Soka: PSG yaamriwa kumlipa Kylian Mbappé karibu euro milioni 61
Mahakama ya Kazi ya Paris leo Jumanne, Desemba 16, imeamuru Paris Saint-Germain, kumlipa takriban euro milioni 61 mchezaji wake wa zamani Kylian Mbappé katika mzozo kati ya pande hizo mbili…