Mashariki mwa DRC: Baraka, mji wa tatu ulio chini ya vitisho vya AFC/M23
Hali mashariki mwa DRC ilikuwa kwenye ajenda ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Ijumaa, Desemba 12. Mkutano huo ulifanyika siku moja baada ya kundi lenye silaha…
Hali mashariki mwa DRC ilikuwa kwenye ajenda ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Ijumaa, Desemba 12. Mkutano huo ulifanyika siku moja baada ya kundi lenye silaha…
Eritrea imetangaza siku ya Ijumaa, Desemba 12, kujiondoa katika IGAD, Jumuiya ya mataifa ya Afrika Mashariki yenye makao yake makuu Djibouti. Katika taarifa yake, Asmara ilidai kwamba shirika hilo, linalojumuisha…
Waendesha mashtaka Nicolas na Claire Thouault huko Paris nchini Ufaransa wameomba kifungo cha maisha siku ya Ijumaa, Desemba 12, kwa kiongozi wa zamani wa kisiasa na kijeshi wa Kongo Roger…
Belarus imewaachilia huru wafungwa 123 leo Jumamosi, Desemba 13, shirika la habari la serikali Belta limetangaza. Miongoni mwao ni mwanaharakati Ales Bialiatski, mpokeaji mwenza wa Tuzo ya Amani ya Nobel…
Jeshi la Israel limefanya mashambulizi ya anga katika maeneo kadhaa kusini na mashariki mwa Lebanon leo Ijumaa asubuhi, Desemba 12. Msemaji wa jeshi la Israel amesema katika taarifa kwa vyombo…
Rais wa zamani wa Iraq Barham Saleh, kutoka jamii ya Wakurdi, ameteuliwa kuwa mkuu wa UNHCR, Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa, chanzo cha Umoja wa Mataifa, kikizungumza kwa…
Mkuu wa operesheni za kulinda amani za Umoja wa Mataifa ameonya leo Ijumaa Desemba 12, 2025, kuhusu tishio la “vurugu za kikanda” katika eneo la Maziwa Makuu, kufuatia shambulio jipya…
Serikali ya Marekani imeweka vikwazo vipya vinavyowalenga washirika wa rais wa Venezuela, pamoja na meli kadhaa zinazosafirisha mafuta yanayozalishwa nchini humo, Wizara ya Fedha imetangaza katika taarifa siku ya Alhamisi,…
Nchini Ufaransa, muungano wa vyama vya kiraia kwa ajili ya Rwanda (CPCR) umewasilisha mahakamni malalamiko dhidi ya Benki ya Ufaransa, ukiishutumu kwa kushiriki katika mauaji ya kimbari na uhalifu dhidi…
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimesema siku ya Alhamisi, Desemba 11, kwamba zaidi ya watu 2,000 waliuawa katika vurugu za mwishoni mwa mwezi Oktoba na mwanzoni mwa mwezi Novemba,…