Ramaphosa na Putin wajadili suala la kuajiri raia wa Afrika Kusini katika vita dhidi ya Ukraine
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amezungumza kwa simu siku ya Jumanne, Februari 10, na mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin. Miongoni mwa mada zilizojadiliwa kati ya wakuu hao wawili wa…