DRC: IMF yatoa ufadhili mpya wa dola Milioni 348 lakini yakemea kuhusu fedha za umma
Shirika la Fedha la Kimataifa linaendeleza usaidizi wake wa kifedha kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Bodi ya wakurugenzi ya taasisi hiyo iliidhinisha ugawaji mpya Ijumaa, Juni 26, baada ya…