Iran kumzika Khamenei kwenye mji alikozaliwa
Raia wa Iran wanajiandaa hivi leo kumzika kiongozi wao Ali Khamenei katika mji alikozaliwa wa Mashhad ulioko kaskazini mwa Iran, shughuli inayoenda kufanyika wakati huu mashambulizi ya Marekani yakitishia kurejea…