Venezuela: ‘Imetosha’… Mrithi wa Maduro alaani kuingiliwa na Marekani
Rais wa Marekani Donald Trump anakusudia “kulazimisha” sera ya Venezuela, hatua ambayo haimpendezi rais wa mpito Delcy Rodriguez, ambaye hapo awali aliridhika kushirikiana na Washington. Imechapishwa: 26/01/2026 – 07:52Imehaririwa: 26/01/2026…