China yawekea vikwazo makampuni 10 ya Marekani katikati ya mvutano wa kibiashara
China imeweka udhibiti wa mauzo ya nje kwa makampuni 10 ya Marekani yanayohusika katika ulinzi, anga za juu, na uchimbaji madini adimu, kufuatia uamuzi wa Washington wa kupanua orodha nyeusi…