Oburu Odinga: Mchekeshaji Profesa Aduol awavunja mbavu Wakenya kwa jinsi anavyomuiga kaka ya Raila
Mchekeshaji Profesa Aduol amevutia wengi kwa kumwiga kiongozi wa ODM Oburu Odinga kupitia TV47, akinasa hotuba yake, tabia zake, na ishara zisizo za maneno