William Ruto amcheka Uhuru Kenyatta kuhusu kufufuliwa kwa Azimio kabla ya uchaguzi wa 2027
Rais William Ruto alisema kuwamba kufufuliwa kwa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya na Uhuru Kenyatta hakuleti tishio kwa azma yake ya kuchaguliwa tena 2027.