KUTOKA MOROCCO: “Ni mchezo muhimu sana kwetu”
KUTOKA MOROCCO: “Ni mchezo muhimu sana kwetu” Nahodha msaidizi wa Yanga SC, Dickson Job anasema wanahitaji kuwa bora zaidi leo ili kuweza kupata matokeo mazuri dhidi ya AS FAR katika…
KUTOKA MOROCCO: “Ni mchezo muhimu sana kwetu” Nahodha msaidizi wa Yanga SC, Dickson Job anasema wanahitaji kuwa bora zaidi leo ili kuweza kupata matokeo mazuri dhidi ya AS FAR katika…
DODOMA JIJI vs KMC: “Tutamkosa mchezaji mmoja ambaye ni Ally Salim” Kocha wa Dodoma Jiji, Aman Josiah ameonesha kusikitika kwa kumkosa golikipa wake Ally Salim ambaye alipata changamoto kwenye mechi…
KUTOKA ANGOLA: Mwandishi wa habari za michezo wa nchini Angola azungumzia yale yanayosemwa na wapenda soka kuelekea mechi ya leo ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Petro Atletico…
MASHABIKI YANGA, SIMBA: Shabiki wa Yanga kutoka Mwembe Yanga Dar es Salaam, asema anaitaka sare tu mbele ya AS FAR katika mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).…
KUTOKA ANGOLA: Unafahamu kuwa Estadio 11 de Novembro ndio uwanja ambao Lionel Messi ‘aliutwanga’ hapo akiwa na kikosi cha Argentina….? Unafahamu kuwa Simba SC sio mgeni kukipiga katika dimba hilo…??…
#CAFCL | Wabishi wa Sudan wamechapika ugenini na kufanya Kundi C kuwa gumu zaidi. FT: MC Alger 2-1 Al Hilal. Msimamo baada ya mechi tano kwa wawili hao ni Hilal…
KUTOKA MOROCCO: Kikosi cha Yanga kikitoka hotelini kuelekea uwanjani kwa ajili ya mazoezi ya mwisho kabla ya kuivaa AS FAR. Mechi ni kesho saa 4:00 kwa saa za Tanzania LIVE…
KUTOKA ANGOLA: Kikosi cha Simba kimefanya mazoezi yake ya mwisho tayari kuikabili Petro Atletico kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL). Mechi ni saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports2HD #CAFCL…
NBCPL: “Kwa nini tunaruhusu magoli kipindi cha pili” Kocha msaidizi wa Coastal Union, Joseph Lazaro anasema mwenendo walionao na fikra zilizopo kwa wachezaji, wanaweza kujikuta wanapoteza mechi zote. Kocha huyo…

KUTOKA KWA MADIBA: Timu ya Taifa ya Tanzania imepata ushindi katika michezo yake miwili iliyocheza leo Februari 6, 2025 kwa kuifunga Zimbabwe kwa fremu 14-11 na baadae ikawafunga wenyeji Afrika…
KUTOKA KWA MADIBA: Timu ya Taifa ya Tanzania imepata ushindi katika michezo yake miwili iliyocheza leo Februari 6, 2025 kwa kuifunga Zimbabwe kwa fremu 14-11 na baadae ikawafunga wenyeji Afrika…
KUTOKA MOROCCO: Kocha wa Yanga Pedro Goncalves yupo anasema timu yake ipo tayari kuikabili AS FAR katika Uwanja wao wa nyumbani na kupata matokeo mazuri yatakayowasaidia kufuzu hatua ya robo…
KUTOKA MOROCCO: Kocha wa Yanga Pedro Goncalves yupo anasema timu yake ipo tayari kuikabili AS FAR katika Uwanja wao wa nyumbani na kupata matokeo mazuri yatakayowasaidia kufuzu hatua ya robo…
MSIMAMO: Pamba Jiji yatua nafasi ya tatu kutoka nafasi ya tano. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable #ImenogaZaidi
MSIMAMO: Pamba Jiji yatua nafasi ya tatu kutoka nafasi ya tano. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable #ImenogaZaidi
NBCPL: Kila timu imeondoka na alama moja. FT: Tanzania Prisons 0-0 Mashujaa FC Ilikuwa LIVE #azamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #TZPrisonsVsMashujaa #Prisons #Mashujaa

NBCPL: Bado hakuna goli 65’: Prisons 0-0 Mashujaa FC LIVE #azamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #TZPrisonsVsMashujaa #Prisons #Mashujaa
NBCPL: Bado hakuna goli 65’: Prisons 0-0 Mashujaa FC LIVE #azamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #TZPrisonsVsMashujaa #Prisons #Mashujaa
CARABAO CUP: Usio ya fahamu kuhusu fainali ya kombe la Carabao msimu huu wa mwaka 2026 ambao unazikutanisha Manchester City dhidi ya Arsenal pale Wembley Mchi 22, 2026. Mchambuzi @sharif_bayona…
CARABAO CUP: Usio ya fahamu kuhusu fainali ya kombe la Carabao msimu huu wa mwaka 2026 ambao unazikutanisha Manchester City dhidi ya Arsenal pale Wembley Mchi 22, 2026. Mchambuzi @sharif_bayona…
NBCPL: Tazam magoli yote matatu ya Pamba Jiji ikiifunga Coastal Union. Ni Shassiri Nahimana ambaye ameweka kambani magoli mawili kabla ya Mathew Momanyi kufunga la tatu. FT: Pamba Jiji 3-0…
NBCPL: Tazam magoli yote matatu ya Pamba Jiji ikiifunga Coastal Union. Ni Shassiri Nahimana ambaye ameweka kambani magoli mawili kabla ya Mathew Momanyi kufunga la tatu. FT: Pamba Jiji 3-0…
NBCPL: Mchezo umetamatika katika dimba la CCM Kirumba, Mwanza Shassiri Nahimana na Mathew Momanyi wakibakisha alama zote tatu nyumbani. Pamba Jiji 3-0 Coastal Union LIVE #AzamSports1HD Saa 10:15 ni Prisons…
NBCPL: Shassiri Nahimana wa Pamba Jiji ameshaweka chuma mbili nyavuni. 85’: Pamba Jiji 2-0 Coastal Union LIVE #AzamSports1HD Saa 10:15 ni Prisons dhidi ya Mashujaa FC. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates…
KUTOKA ANGOLA: Kocha Mkuu wa Simba SC, Steven Barker na mchezaji Neo Maema wamezungumzia maandalizi ya mchezo wao wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) dhidi ya wenyeji wao…
NBCPL: Bado hakuna mbabe. 65’: Pamba Jiji 0-0 Coastal Union LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #PambaJijiVsCoastalUnion #CoastalUnion #PambaJiji
PRISONS vs MASHUJAA: Tazama hali ilivyo katika dimba la Sokoine jijini Mbeya wakati vikosi vya timu zote mbili vikiwasili kwa ajili ya mechi. Ni mechi ya NBC Premier League ambayo…
ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: 'Pepe' anafunguka namna alivyojipanga kuelekea kwenye mashindano ya #Vishada, changamoto ndogondogo zilikuwa ni upepo tu. Uhondo unaanza kesho Februari 7. Mashindano yatakayoanza ni ya #KaskaziCup2026 na…
AZAM FC vs AS MANIEMA UNION: Nyota wa Azam FC, Himid Mao Mkami awaita Watanzania bara na visiwani kuujaza uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kwa ajili ya mchezo wao…
NBCPL: Hakuna mbabe kwenye dakika 45 za kipindi cha kwanza. Pamba Jiji 0-0 Coastal Union LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #PambaJijiVsCoastalUnion #CoastalUnion #PambaJiji
PRISONS vs MASHUJAA: Chuma ya kazi ipo katika dimba la Sokoine Mbeya kwa ajili ya mechi ya NBC Premier League kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Mashujaa FC. Mechi ni…
KUTOKA KWA ‘MADIBA”: Mtanzania Jackson Ng’anyi ametinganusu fainali ya mashindano ya mchezo wa Pool kwa kumfunga Mtanzania mwenzke Omary Akida hatua ya robo fainali. Katika mchezo huo, wachezaji wote walionesha…
MTIBWA vs NAMUNGO FC: Kocha wa Mtibwa Sugar, Yusuf Chipo amesema wataanza kwa kuangalia mapungufu ya mpinzani wao yalipo ili wakifanya mabadiliko ya wachezaji yakatoe matokeo chanya uwanjani. Naye nahodha…
AZAM FC vs AS MANIEMA: Kocha mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge amesema amewaelekeza wachezaji kucheza kwa kujiamini kwa kuwa wamejiandaa vema. Ibenge amesema watacheza kama Azam na hivyo mchezo…
AZAM FC vs AS MANIEMA: Kocha wa klabu ya AS Maniema, Papy Kimoto Okitankoyi amesema wanatambua Azam ni timu bora hasa ikiwa nyumbani lakini wamekuja na lengo kuu la kuzitafuta…
KUTOKA ANGOLA: Angola ni miongoni mwa mataifa machache duniani yanayozungumza Kireno ikiwa ni lugha rasmi ya Taifa. Kwa Afrika ni Guinea Bissau, Msumbiji, Angola na Cape Verde wanaotumia lugha hii…
VIWANJANI: “Simba hawana tena cha kupoteza…” Mchambuzi wa soka, Philip Nkini amesema mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Atletico De Luanda dhidi ya Simba SC ni mchezo…
ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: Seif Shaban Seif anasema mwaka jana 'alitisha' sana kwenye mashindano ya #Vishada, changamoto ndogondogo zilikuwa ni upepo tu. Uhondo unaanza kesho Februari 7. Mashindano yatakayoanza ni…
KUTOKA MOROCCO: Meneja habari na mawasiliano wa Yanga SC amefunguka sababu za nyota wao mpya Buba Jammeh kutokuungana na timu nchini Morocco. Kamwe ametoa ratiba ya mchezaji huyo namna atakavyofika…
AZAM FC vs MANIEMA UNION: Nyota wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' awaita Watanzania kuujaza uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kwa ajili ya mchezo wao wa kesho wa…
KUTOKA ANGOLA: “Mazoezi ya leo ndio mazoezi ya mechi kabisa…” Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally, alipozungumza jana na mwandishi wa #AzamTV @mangasore_ ambapo amebainisha kuwa mazoezi…
ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: Lukman Mohamed Abdallah anasema mwaka jana hakufanya vizuri kwenye mashindano ya #vishada, mwaka huu sasa amepania haswa. Uhondo unaanza kesho Februari 7. Mashindano yatakayoanza ni ya…
KUTOKA MOROCCO: Mkuu wa msafara Yanga SC, Rogers Gumbo ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa timu hiyo amesema maandalizi kuelekea mchezo wa hapo kesho dhidi ya AS…
YANGA SC vs AS FAR: “Cha kwanza ni kujilinda…” Mchambuzi wa soka, @lilianmukulu_ amesema jambo muhimu katika mchezo wa kesho Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kwa Yanga SC watakapokuwa wanacheza…
#MachiMosi #Kariakooderby #Haikwepeki #YangaSCVsSimbaSC
#CoppaItaliaFrecciarossa Wanaokwenda nusu fainali ni....!!!! FT: Atalanta 3-0 Juventus. Je, ulitarajia!!? Burudani zinaendelea LIVE #AzamSportsHD #CoppaItalia #ItalianCup #AtalantaJuve
#CoppaItaliaFrecciarossa Juve wanakung'utwa....!!! 89' : Atalanta 3-0 Juventus. LIVE #AzamSports3HD #CoppaItalia #ItalianCup #AtalantaJuve