#ElClasico “…adui wa kwanza wa ubingwa ni idadi ya sare”
#ElClasico “…adui wa kwanza wa ubingwa ni idadi ya sare” George Job anachambua jinsi idadi kubwa ya sare ilivyowaathiri Real Madrid kwenye mbio za ubingwa msimu huu… George pia anatoa…
#ElClasico “…adui wa kwanza wa ubingwa ni idadi ya sare” George Job anachambua jinsi idadi kubwa ya sare ilivyowaathiri Real Madrid kwenye mbio za ubingwa msimu huu… George pia anatoa…
#ElClasico “…Real Madrid ni timu kubwa, ina heshima kubwa, sidhani kama Barcelona wanaweza kupata ushindi kirahisi” Shabiki wa Real Madrid, Karim Boimanda, anasema El Clasico ni mchezo wa kipekee, haijalishi…
#ElClasico “…kukwepa aibu ya kutumika kama daraja la Barcelona kutangaza ubingwa” Shabiki wa FC Barcelona, Crivalent Kilumile, anasema anajua Real Madrid wataingia kwenye game ya leo kwa nguvu ya kuzuia…
#ElClasico Je, mwenendo wa Real Madrid kuruhusu magoli hasa katika dakika za mwisho, katika mechi zake za mwisho, ina maana gani kuelekea mechi hii ya leo?? Godlisten Muro anasema “hiyo…
#ElClasico Godlisten Muro anasema licha ya kuwa na majeruhi kibao, na formu kuwa chini, lakini kinachowapa hamasa Real Madrid kwenye mchezo huu ni kuwacheleweshea ubingwa FC Barcelona… Ni uchambuzi LIVE…
TRA UNITED vs AZAM FC: “Ndio timu kubwa na bora barani Afrika” Afisa Habari wa TRA United, Christina Mwagala anasema Azam FC imelipa kodi kwa hiyari. Ni baada ya kufungwa…
TRA UNITED vs AZAM FC: “Hongera kwa TRA” Kocha wa Azam FC, Florent Ibenge anasema walianza mechi vizuri japo baadae wakasahau kucheza mpira na kuwaacha TRA United wakienda kushambulia. Ibenge…
YANGA vs COASTAL UNION: “Kocha tulikuwa hatumuelewi” Mashabiki wa Yanga wanasema hawana hofu baada ya kuondoshwa kwa aliyekuwa kocha mkuu, Pedro Goncalves kwasababu walikuwa hawamuelewi hasa kwa upande wa mabadiliko.…
YANGA vs COASTAL UNION: “Inawezekana kupata matokeo” Afisa Habari wa Coastal Union, Hussein Mchomvu anasema mchezo wao wa kesho Mei 09, 2026, dhidi ya Yanga SC, sio mwepesi japo kwa…
MSIMAMO: TRA United waleee…nafasi ya nne. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable (Feed generated with FetchRSS)
MSHIKEMSHIKE: Baada ya Simba na Yanga kutoka nguvu sawa katika Dabi ya Kariakoo; Je, ni kitu gani kimekuvutia zaidi kwenye mchezo huo?. Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye…
#NBCPL Magoli yote matatu…. Aliyejifunga na Marco Mhilu na kuipa Mbeya City bao la ushindi. Tazama alichokifanya. FT: TZ Prisons 1-2 Mbeya City. Burudani zinaendelea LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL…
#KariakooDerby 'Saves'. Yamefungwa magoli manne, lakini kuna kazi magolikipa wote wawili waliifanya kupunguza idadi ya magoli. Hizi hapa ni baadhi ya ‘saves’ kutoka kwenye Kariakoo Derby, Simba vs Yanga iliyopigwa…
MSIMAMO: Mambo bado sana… kimahesabu hata KMC anaweza kumaliza ligi akiwa ‘top four’. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable #ImenogaZaidi (Feed generated with FetchRSS)
#NBCPL Wajelajela hali inazidi kuwa tete…!!! FT: TZ Prisons 1-2 Mbeya City. Burudani zinaendelea LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #MbeyaDerby #DabiYaMbeya #PrisonsMbeyaCity (Feed generated with FetchRSS)
#KariakooDerby Tumekianza kipindi cha pili.. 46' : Simba SC 2-1 Yanga SC Burudani iko LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #KariakooDerby #SimbaYanga (Feed generated with FetchRSS)
#KariakooDerby Prince Dube alivyomalizia jambo na kuipa Yanga bao namna hii…!!! 43’: Simba SC 2-1 Yanga SC Burudani iko LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #KariakooDerby #SimbaYanga #HainaLawama (Feed…
#NBCPL Chuma zote hizi hapa zilizowapa alama tatu 'wakusanya kodi', TRA United. FT: Tanzania Prisons 0-3 TRA United #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #TanzaniaPrisonsTRAUnited (Feed generated with FetchRSS)
VITA YA KISASI: Tumeanza UPYAAAAAAA…….!!!!!! Ni wapiga picha mjongeo @salva_ngasa na dogo Said. @sayeed_saleh18 Ni hapa EACLC, Ubungo Dar es Salaam. Pambano Kuu ni Ibrahim Mafia dhidi ya Alvin Camique…
MSIMAMO: Vita bado ni kali, TRA United wanaendelea kusogea juu, kwa Tanzania Prisons bado wapo pale pale... #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable (Feed generated with FetchRSS)
#NBCPL TRA United wamekusanya kodi za kutosha kwa Tanzania Prisons...! FT: Tanzania Prisons 0-3 TRA United FT: Dodoma Jiji FC 0-0 Namungo FC LIVE #AzamSports1HD & #AzamSports2HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL…
VITA YA KISASI: ‘Mzuka’ ni mwingi kutoka kwa vijana wa kazi wa #AzamTV. Ni wapiga picha mjongeo @salva_ngasa na dogo Said. @sayeed_saleh18 Ni hapa EACLC, Ubungo Dar es Salaam. Pambano…
USIKU WA KISASI: Tunazungumza kuhusu ngumi tu hapa EACLC, hapa Ubungo Dar es Salaam. Leo ni kupima uzito na face off ili kesho zichapwe ndondi. Tutakuwa LIVE #AzamSports3HD leo kuanzia…
PIN POINT: ‘Mwamba wa Juu’ @leomusikula_tz kuhusu kile alichofanya kocha wa Simba SC, Steve Barker katika safu ya ulinzi kuhakikisha ulinzi unakuwa imara katika kikosi chake kwenye mchezo wa fainali…
MSHIKEMSHIKE: Baada ya Dabi ya Kariakoo jana, Simba SC kumfunga Yanga SC, na kutwaa ubingwa wa Kombe la Muungano, upi utabiri wako wa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Mei…
#MuunganoCup Mgeni Rasmi kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Muungano 2026 ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi. Fainali ni Yanga vs Simba…
#MuunganoCup "Kila mchezaji anajua umuhimu wa mchezo wa kesho, tuko tayari kupambana ili tuchukue taji" Kiungo wa Simba SC, Semfuko Daud, amesema wachezaji wote wa timu hiyo wana ari na…
Jumatano hii inapigwa fainali ya Kombe la Muungano. Mabingwa watetezi Yanga SC dhidi ya Simba SC. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 2:15 usiku na kuruka mubashara kupitia AzamSports1HD. Sasa mapema…
MAPOKEZI YA BONDIA IBRAH CLASSIC: “Nimeiheshimisha nchi yang” Neno kutoka kwa bondia Ibrahim Class baada ya kutua Dar es Salaam, Tanzania. Ni Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere…
#MuunganoCup Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally, anasema wao ni timu ya mpira, na kazi yao ni kucheza mechi ya mpira, kwahiyo hawawezi kukimbia mechi ya mpira...!! Ahmed anasema wameshukuru…
PIN POINT: Nani amekwambia Chama hana kasi…..??????? Ni swali ambalo anauliza ‘Mwamba wa Juu’ @leomusikula_tz kuhusu yale anayofanya Clatous Chota Chama hasa kwenye michuano ya Muungano Cup 2026. Katika mchezo…
#SportPesaLeague Tatu za faida….!!! FT: AFC Leopards 0-1 Gor Mahia Ilikuwa LIVE #AzamSpors3HD #LigiKuuKenya #SportPesaLeague #AFCLeopards #GorMahiaFC (Feed generated with FetchRSS)
#MuunganoCup Zingatia jezi namba 20 wa Mlandege FC..... Anaitwa Musa Hassan Salum 'Mbappe'... Ni yule aliyeiwasha Singida BS chuma ya pili katika ushindi wa 2-1. Je, unajua leo ataifanya nini…
#SerieA: Mechi imemalizika bila goli. FT: Fiorentina 0-0 Sassuolo LIVE #AzamSports2HD Saa 10:00 jioni ni Genoa dhidi ya Como #SerieA #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #FiorentinaVsSassuolo #Fiorentina #Sassuolo (Feed generated with FetchRSS)
#MuunganoCup Zanzibar ni soka na utalii... Je, unamshauri nini kocha wa Simba, Steve Barker kuelekea mchezo wa leo dhidi ya Mlandege!? NB: Akishinda leo, atakutana Na Yanga kwenye fainali itakayopigwa…
Bundesliga Game za wikiendi hii katika Bundesliga. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama Bundesliga mwezi mzima. #bundesliga #azamtvsports (Feed generated with FetchRSS)
#MuunganoCup Kama Yanga kuna Prince Dube..... Azam FC kuna huyu hapa, 'a man from Congo'. Anaitwa Jean Jaques Ngita Kamanga... !!! Hadi sasa wote wawili wana magoli mawili kila mmoja…
#MuunganoCup Achana na mwana mfalme Dube... huyo hapo ukutani kushoto kwako ndiye mfalme pekee 'mweusi', kati ya watawala 12 walioitawala Zanzibar.. Anaitwa Sultan Sayyid Ali bin Hamoud Al-Busaidi. Tukirudi kwa…
VITA YA KISASI: Katika Vitasa leo mtangazaji wa Lugha ya Kiingereza ni Jimmy Kabwe na mchambuzi ni Philip Kitungu Mapambano 11, mikanda minne kupiganiwa. Vitasa hivi vitaruka mbashara kupitia AzamSports3HD…
VIWANJANI: “Mimi sitashangaa Azam wakiendelea na wachezaji walewale ambao wamecheza katika mechi ya kwanza”, @lilianmukulu_ akitoa maoni yake kuhusu mchezo wa nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Muungano kati…
#MuunganoCup Simba SC walivyokaribishwa rasmi Zanzibar kwa 'makachu'. Hii ni sehemu ya ziara yao kutembelea vivutio vya utalii Zanzibar ikiwa ni zawadi kutoka kwa Rais Hussein Mwinyi kwa timu zote…
#MuunganoCup Katika ziara yao ya kutembelea vivutio mbalimbali hapa Zanzibar, msafara wa wachezaji na viongozi wa Yanga ukapata mapokezi oia kwa 'vijana wa makachu'. Tazama ilivyokuwa... Ziara hii ni moja…
Usiku wa Vitasa Aprili 24, 2026. Moja ya pambano litakalopigwa katika ya Vita Kisasi ni Mchanja Yohana dhidi ya Eric Korley kutoka Ghana. Hizi hapa Takwimu zao Usiku wa Vita…
#MuunganoCup Kwa vibe hili la mashabiki wa Mlandege FC, leo Singida watatoka kweli....!!!!?? Hapa walikuwa kwenye mechi ya ligi kuu...pata picha kwenye Kombe la Muungano watakuwaje..!! Mechi yao ni saa…
VIWANJANI: “Na kuchukua taji hili kwa Simba kwao nadhani ni yale mataji ambayo yatawaongezea morali zaidi…”- Mchambuzi wa soka, Andrew Kingamkono akifafanua maoni yake kuhusu Simba SC kuelekea mchezo wao…
Ligi Kuu ya Wanawake Saa 10:00 jioni, Simba Queens watakuwa dimba la Azam Complex wakiwakaribisha Fountain Gate Princess. Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports1HD. #SisiNiSoka #Azamtvsports (Feed generated with FetchRSS)
#MuunganoCup 'Chaki' inang'arishwa tayari kwa jambo la leo Aprili 22, Azam FC vs KVZ FC saa 1:15 usiku LIVE #AzamSports1HD #MuunganoCup2026 #KombeLaMuungano #SokaLinatuunganisha. (Feed generated with FetchRSS)
KNOCKOUT YA MAMA, VITA YA KISASI: “Sio mchezo mwepesi wala rahisi hata kidogo” Mtangazaji wa @ufmradiotz na #AzamTV @gilbertjohannes anasema pambano la Aprili 24, 2026 kati ya Mtanzania, Ibrahim Mafia…
Nusu Fainali AFC Champions League TWO Saa 1:00 usiku, Al Nassr kukipiga na AL-Ahli Mechi hii kuruka mbashara kupitia AzamSports4HD. #Azamtvsports #AFCCHampionsLeagueTWO (Feed generated with FetchRSS)
VIWANJANI: “Kwasasa tunajua mpira wa miguu umebadilika zaidi kuliko kumtegemea mshambuliaji kinara pekee awe ndio mfugaji, hao pia ambao wanacheza karibu na goli la mpinzani wanatakiwa kuhusika katika magoli…”- Mchambuzi…