🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55….DISEMBA 23, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....DISEMBA 23, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....DISEMBA 23, 2025
Polisi Mkoa wa njombe wamekamata watu 98 kwa tuhuma za makosa mbalimbali ikiwemo ubakaji mauaji, Wizi na makosa ya usalama barabarani. Kamanda wa polisi mkoa wa njombe, Kamishna msaidizi wa…
#MEZAHURU: Mtoko wa vijana umri wa miaka 13 – 20 ni nini muhimu kuzingatia ili wawe salama
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Katavi, Leopard Fungu amwataka maafisa usafirishaji maarufu boda boda, kutokuwa chanzo cha ajali barabarani kutokana na mtindo wao wa siku za karibuni…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....DISEMBA 23, 2025
#HABARI: Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeongeza treni moja ya abiria kuelekea mikoa ya Kaskazini, ili kupunguza msongamano unaojitokeza kipindi cha sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya. Hatua hiyo imechukuliwa…
Familia na wadau mbalimbali wamefanya ibada ya kumkumbuka mwanahabari mkongwe nchini Kenya, ambaye pia ni baba mzazi wa @babbiekabae, Sammy Lui Wang’ondu ambaye alifariki October 23, 2025 katika makazi yake…
#HABARI: Mkuu wa Kitengo cha Utalii na Diplomasia Jeshi la Polisi mkoani Arusha SP Waziri Tenga, amesema taarifa za uhalifu dhidi ya watalii zimepungua kwa kiwango kikubwa kwa sasa na…
🔴MASHINDANO YA AFCON 2025: MALI VS ZAMBIA || AFRIKA KUSINI VS ANGOLA || MISRI VS ZIMBABWE...
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....DESEMBA 23, 2025
"Vijana iwaangalie vijana kwa kicheko na tabasamu na kwa furaha kwa sababu ujana ni maji ya moto. Mkiona vijana wamekuwa wakali watafuteni wazee kidogo ili mambo yaende ni lazima washiriki…
"Nimefurahi Waziri wa Vijana hana walinzi. Unamuhofia nani? Natamani nisikie kwamba Waziri wa Fedha ametangaza kila Jumamosi ya mwisho wa mwisho wa mwezi, vijana waende na makabrasha yao wakazungumze nae.…
Ila Gonja Hatun dah...Sema anaeleweka ana maumivu makali. Usipange kukosa uhondo wa OTTOMAN leo saa 4:00 usiku ndani ya #AzamTWO
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 23, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Asubuhi yako iko ajee? @pjsweya akipiga stori na @evodia_laurent akimueleza asubuhi yake ilivyo kabla ya kuanza kukiamsha kunako 360 ya Clouds TV. #LiveonClouds360 #CloudsTvNyoosha #LainiYawana
Watumishi wa idara mbalimbali katika kata ya Nyamazugo Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi ili kuchochea maendeleo ya wananchi hususani katika sekta za kilimo ,ufugaji na…
AFCON 2025 Michuano ya AFCON inazidi kushika kasi nchini Morocco, mechi nne kupigwa leo, ikiwemo Taifa Stars ambao watacheza dhidi ya Nigeria. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michuano hii…
Yavuz bado anapatwa na moto wa mama yake. Jevdet ajilaumu kwa kifo cha Rifat aahidi kuwa kinga ya watoto wake. Wakati huo Samet yuko mikononi mwa adui. Usikose kutazama 6…
🔴#KUMEKUCHA MICHEZO: HATIMAYE STARS YASHUKA DIMBANI LEO DHIDI YA NIGERIA AFCON DISEMBA 23, 2025
🔴#KUMEKUCHA MICHEZO: DISEMBA 23, 2025
Ila Sheiza bwana 😅 Ohoo Mfaume kamuingiza chaka mzee Maega...Kumbe Sandra msaliti. Usikose kutazama #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
🔴#KUMEKUCHA: .....DISEMBA 23, 2025
#KIPIMAJOTO: Ukame kuendelea kuleta athari sehemu mbalimbali nchini. Je, Mamlaka husika zinawaandaa wananchi kukabiliana na hali hiyo?
🔴 #MAGAZETI: KRISMASI KUWA CHINI YA ULINZI MAALUMU KUANZIA IBADA HADI ULINGO WA STAREHE...
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI.....DISEMBA 23, 2025
Serikali imewahimiza wawekezaji wa ndani kutumia uwezo wao katika kukuza biashara ya samaki wa vizimba ili kuchechemua zaidi sekta hiyo sambamba na kutajirika kutokana na upya wa sekta na uhitaji…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 22 DESEMBA 2025
🔴MCHEZO SUPA:HII NDIO NGUVU YA BUKU..22 DESEMBA 2025
Wananchi mkoani Mtwara wakiendelea na maandalizi kuelekea sikukuu za mwishoni mwa mwaka. #SentroYaCloudstv
TAARIFA YA HABARI YA USIKU -22/12/2025
Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika (WHO-Afrika), Profesa Mohamed Janabi amezitahadharisha nchi za Afrika kuhusu hatari ya kukumbwa na changamoto kubwa za kukabiliana na maradhi kutokana na…
Msanii gani umemsikiliza sana ngoma zake kwenye playlist yako mwaka huu? Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 . Hosted by…
Kuongezeka kwa idadi ya vifo vya kujinyonga kwa watoto walio chini ya miaka 18 nchini kumeibua hali ya wasiwasi na tahadhari miongoni mwa wanajamii hususani matukio ya hivi karibuni yaliyotokea…
Wakazi wa maeneo ya Kitongano na Paje visiwani Zanzibar wanatarajia kuondokana na adha ya usafiri katika barabara inayounganisha maeneo hayo kufuatia kukamilika kwa zaidi ya asilimia 80 ya barabara hiyo…
Ila Mzee Maega ndio kajitetea hapo 😅
Mji wa Moshi umeanz kuchukua sifa za jiji la Dar es salaam na hii ni kutokana na wenyeji wake wanaofanya shughuli zao Katika maeneo mengine ya nchi likiwemo jiji la…
#HABARI: Serikali imesema miradi yote yenye thamani ya chini ya shilingi bilioni hamsini inapaswa kutekelezwa na wakandarasi wazawa ili kuwajengea uwezo na kuongeza ushiriki wao katika utekelezaji wa miradi ya…
#HABARI:Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewabadilishia makosa watuhumiwa watatu waliokuwa wanashtakiwa kwa uhaini na kuwapa mashtaka ya kuchoma ofisi ya Chama cha Mapinduzi(CCM) ya Kivule Kata ya Majohe wilaya ya…
Ila Mussa yote hii ili awe tu karibu tu Radhia 😅
Serikali imewataka maafisa wa Idara ya Uhamiaji nchini kuendelea kuimarisha na kuweka mikakati imara ya kudhibiti wageni waoingia na kutoka nchini bila kufuata sheria na taratibu za nchi. Hayo yameelezwa…
🔴TAARIFA YA HABARI YA DESEMBA 22, 2025 - DARAJA MUHIMU LASOMBWA NA MAJI RUVUMA
Jambo gani hutosahau mwaka 2025 kabla ya kuelekea 2026 ⁉️ #SentroYaCloudstv #CloudsTvNyoosha #LainiYawana
Baada ya rubaini manufaa makubwa yanayopatikana kwa wananchi wa mkoa wa Kagera hususani kwa vijana wanaojishughulisha na kilimo cha kahawa, serikali ya mkoa huo imetenga ekari 2,000 kwa ajili ya…
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Kawe, Mheshimiwa Geofrey Timoth, ametembelea Kituo cha Polisi Salasala ambacho kilipata madhara kufuatia matukio ya Oktoba 29, na kuahidi atahakikisha kituo hicho kinarejea katika hali…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA IRINGA - DISEMBA 22, 2025 -
#HABARI: Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha kuwa hali ya usalama nchini imeendelea kuwa shwari tangu kutolewa kwa ripoti ya usalama Desemba 12, 2025. Utulivu huo umechangiwa na ushirikiano wa Watanzania…
Kutoka Kanda ya Ziwa hadi Kaskazini mwa Tanzania signal zimesoma kusini hadi Kigoma jirani na majirani wa nje. Satellite za makachero wa Sentro zimeshapangwa, chaneli zipo kwenye mstari wa kufunguka,…
#HABARI: Wakulima wa Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora wanatarajia kuongeza uzalishaji katika mazao ya kilimo, baada ya kuacha kutumia jembe la mkono na kuhamia katika matrekta madogo aina ya Kubota,…
Ujenzi wa Daraja la Pangani lenye urefu wa mita 525 umefikia asilimia zaidi ya 65 huku ukitarajia kukamilika Februari 2027 kwa mujibu wa mkandarasi anayesimamia mradi huo. Daraja hilo linatarajiwa…