Mapitio ya #MAGAZETI leo januari 19, 2026 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo januari 19, 2026 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Mapitio ya #MAGAZETI leo januari 19, 2026 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Mkuu wa Mkoa wa Songwe ndg Jabiri Makame amesema kuongezeka kwa ufanisi katika bandari ya DSM kumeongeza kiwango cha mzigo unaopita katika lango la Tunduma kwa mwaka, kutoka tani mil…
Ni Katibu wa NEC ,Itikadi ,Uenezi na Mafunzo CCM Kinani Kihongozi akizungumza wakati akiwa shina namba 7 wilayani Manyoni mkoani Singida akiwa kwenye ziara yake ya Ufuatiliaji wa utekelezaji wa…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 18/01/2026
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limekanusha taarifa inayosambaa katika mtandao wa kijamii ikieleza kuwa nyumba ya kiongozi wa Polisi Mkoani humo imechomwa moto. Akitoa taarifa hiyo leo, Kamanda wa…
Salamu za Pole | Januari 18, 2026
Mshauli Mwelekezi wa Stadi za Maisha, Rodrick Nabe, amesisitiza umuhimu wa kutumia maumivu na changamoto za maisha kama chachu ya kufanikisha malengo. Amesema kuwa wengi wanapofanikisha maisha yao, huwa wanasahau…
Katibu wa NEC ,Itikadi na Mafunzo kenani kihongosi mara baada ya kuwasili katika ofisi za CCM wilaya ya Manyoni amewasilisha salamu za Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya…
Mjasiriamali Dorice Mushi, ambaye amepitia hali ngumu ya maisha kabla ya kufanikiwa kimaisha, amesema kuwa mafanikio yoyote huanza na Mungu katika kila jambo. Ameeleza kuwa ili kufanikiwa katika malengo anayoyaweka,…
Mwenezi Kihongosi yupo Mkoani Singida katika ziara ya kichama kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM.
Mbunge wa Viti Maalumu, CCM - kundi la wafanyakazi, Halima Iddi Nassor amefariki dunia. Taarifa ya Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu imesema Halima amefikwa na umauti leo Jumapili, Januari…
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Idd Nassor, amefariki dunia leo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Dar es Salaam wakati alipokuwa akitibiwa. "Kwa masikitiko makubwa, natangaza kifo cha Mbunge…
Nigeria imefanikiwa kuibuka mshindi wa tatu michuano ya AFCON 2026 huko Morocco baada ya kuitungua Misri mikwaju ya penalti 4-2. Mchezo huo wa kusaka mshindi wa tatu umekwenda hatua hiyo…
Rais wa Shirikisho la Soka Afrika(CAF), Dkt Patrice Motsepe amefuta mashindano yanayohusu wachezaji wanaocheza Ligi za ndani (CHAN), akidai yanagharimu kiasi kikubwa cha fedha. Motsepe ametoa kauli hiyo kupitia…
Kabila nyingi za Afrika zimekuwa na mila na desturi zake ambazo zimekuwa utambulisho wa jamii nyingi za bara hilo. Miongoni mwa tamaduni ya kale ni ‘Jando na Unyago’ kwa makabila…
Ngoma ya Kiduwo ya kabila la Wahehe imejizolea umaarufu mkoani Iringa ikiwa inachezwa katika sherehe, misiba na mapokezi maalumu ya viongozi na mashujaa. Muhammad Nyaulingo amewatembelea wenyeji wa mkoa huo…
Tume ya uchunguzi wa matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,2025 itakutana na kuwasikiliza wananachi Wiilaya ya Ilala. Taarifa ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward…
Unajua kuwa kuna aina ya kobe ambayo ni tofauti na ile uliyoizoea Karibu umuone ‘kobe chapati’ ambaye amekuwa kivutio kingine cha utalii nchini. Undani kuhusu kobe huyu unaletwa na Hellen…
Simba SC imemtambulisha mchezaji mpya, Lebasse Guaye raia wa Senegal kutoka klabu ya Teungueth ya Senegal. Guaye anatoka taifa moja na staa wa zamani wa Liverpool, Sadio Mane kwa maana…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU- 17/01//2026
Serikali imewataka waajiri kutekeleza amri ya kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi na kuzingatia viwango vilivyowekwa katika utekelezaji wa amri hiyo. Akiwakumbusha waajiri kuhusu tamko hilo, Waziri wa…
Naibu waziri wa Maji Mhandisi Kundo Mathew amechukizwa na wakandarasi wanaojenga Mradi wa Maji wa Miji Ishirini na Nane unaotekelezwa katika kata ya nyabiyonza wilayani Karagwe Mkoani Kagera ambao unghalimu…
Serikali imewataka waajiri wote nchini kuzingatia amri ya kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi, ambayo utekelezaji wake umeanza kutumika kuanzia Januari Mosi mwaka huu. Ufafanuzi huo umetolewa na…
Chama cha madaktari wa ugonjwa wa kisukari nchini umesema hatari ya vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo ugonjwa huo imeongezeka na sasa duniani imefikia asilimia 75 huku pia ulemavu wa…
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi, Uwenezi na Mafunzo, Ndugu Kenani Labani Kihongosi amesema kuwa CCM ni chama cha kimaendeleo na chama cha kijamii, kinachojengwa juu ya misingi…
Shirikisho la soka la Senegal linaishutumu Morocco kwa majaribio ya makusudi ya kuhujumu Fainali ya AFCON kati ya timu hizo mbili iliyopangwa Jumapili, Januari 18. Katika taarifa yenye maneno makali,…
Chama Cha Mapinduzi @ccmtanzania Kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi, Uwenezi na Mafunzo, Ndugu Kenani Labani Kihongosi, kimesema kimefurahishwa na hatua ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya…
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi, Uwenezi na Mafunzo, Ndugu Kenani Labani Kihongosi, leo tarehe 17, jamuari 2026 ametangaza kuanza kwa ziara ya kichama ya kitaifa itakayohusisha mikoa…
Kumekuwa na changamoto nyingi za majengo kwenye maeneo tunayoishi kutokana na kutokufanyiwa ukarabati kwa muda mrefu, Msanifu majengo, Osman S Mbarouk kutoka kampuni ya Majengo Grid Intarnational amesema kuwa, ukarabati…
Ikiwa leo ni siku ya ushauri elekezi duniani, Dr. Catherine Kahabuka, Mshauri mwelekezi (mentor) amabye pia ni (Career Advancement Coach) ametuambia kuwa, ushauri elekezi (mentorship) kwa kiasi kikubwa huwa inahusishwa…
Kama ulishwahi kuhisi umecheleweshewa kupokea mzigo wako ambao uliagiza mahali popote pale basi hujawahi kucheleweshewa, huko nchini Libya jijini Tripoli mfanyabiashara wa simu amepokea mzigo huo wa simu alioagiza tangu…
Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amewataka watumishi wa umma kuwekeza katika Mfuko wa Faida Fund kama njia ya kujipatia uhuru wa kifedha kabla na baada ya kustaafu.…
Ukistaajabu ya Musa utayona ya Firauni, leo kwenye mikasa ya Dafrao huko nchini Marekani Jonathan Gerlack mwenye umri wa miaka 34, amejikuta matatani baada ya kushikiliwa na vyombo vya dola…
Wananchi wanaoishi katika kijiji cha Kirongwe na Bubombi wilayani Rorya mkoani Mara wameiomba serikali ya mkoa wa Mara, kuchukua hatua za kudhiti vitendo vya uvamizi katika ziwa victora kwani wamechoshwa…
Serikali imezindua rasmi kituo cha kupooza umeme cha Mtera ambacho kinatarajiwa kuimarisha upatikanaji wa umeme wa uhakika katika mikoa ya Dodoma na Iringa, hatua inayotekeleza sera ya Taifa ya Nishati…
Tazama mazoezi ya leo yanayohusu namna tofauti ya kunyoosha viungo na kupunguza uzito yanayoongozwa na mwalimu Eric, ambayo yanavyoweza kufanywa na rika tofauti kwa watu wazima na wazee, mazoezi hayo…
NBC Premier League Jumamosi hii AzamFC watakuwa nyumbani Azam Complex wakiwakaribisha Coastal Union. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD. #NBCPL #Azamtvsports1HD
Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme baada ya kusukumwa na udadisi wa kutatua changamoto za usafiri hususani upande wa uchafuzi wa mazingira…
Wakala wa Umeme Vijijini (REA) umefanikiwa kuzindua kituo cha kupoza umeme cha Mtera kinachotarajiwa kuwanufaisha wakazi wa Iringa na maeneo ya jirani. Sambamba na hilo serikali imewahimiza wananchi kulinda miundombinu…
Serikali imepokea meli mbili za tani 26,500 za mbolea ya kupandia mazao aina ya DAP zenye ruzuku kwa ajili ya kuwasambazia wakulima nchini. Mkurugenmzi Mkuu wa Kampuni ya Mbolea nchini…
Serikali imetangaza kutoa fursa kwa vijana zaidi ya 5,700 ya kujiunga na mafunzo ya uanagenzi yatakayowawezesha kupata ujuzi wa vitendo ili kushindana kikamilifu katika sekta za maendeleo kupitia ajira, kujiajiri…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU - 16/01/2026
Kibaha, Pwani — Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Tanzania Women Empowerment Network (TAWEN), Dk. Florence Masunga, ametoa wito kwa wakuu wa taasisi za umma na viongozi wa…
Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wawili akiwemo Doto Lubongeja mkazi wa kijiji cha Madundasi wilayani Mbarali kwa tuhuma za mauaji ya watoto watatu wa familia moja wasiokuwa wakichunga mifugo ya…
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kung’ara katika utoaji wa huduma za matibabu ya mifupa katika ukanda wa nchi zinazoendelea na zinazopokea ufadhili wa vifaa tiba…
Jeshi la polisi mkoani Tabora linawashikilia watu sita kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya kijana Dereva Bodaboda Hamisi Nchambi (27) ambaye aliuawa na kisha mwili wake kutelekezwa juu ya…
Vikosi vya usalama vimezingira nyumba ya kiongozi wa upinzani nchi Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine. Bobi Wine ambaye anashiriki katika kinyang'anyiro cha Uchaguzi Mkuu nchini Uganda ameonyesha upinzani mkubwa…
Wazazi wa wanafunzi wa kidato cha kwanza waliopangiwa shule za Serikali lakini wakaandikishwa shule binafsi wametakiwa kutoa taarifa katika shule walizopangiwa awali, ili Serikali iwe na kumbukumbu sahihi. Hayo yamesemwa…
Matokeo ya awali ya uchaguzi nchini Uganda 2026, yanaonesha Rais Yoweri Museveni wa NRM aliye madarakani anaongoza kwa asilimia zaidi ya 60 ya kura zilizopigwa. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi…