Serikali imetangaza kutoa fursa kwa vijana zaidi ya 5,700 ya kujiunga na mafunzo ya uanagenzi yatakayowawezesha kupata ujuzi wa …
Serikali imetangaza kutoa fursa kwa vijana zaidi ya 5,700 ya kujiunga na mafunzo ya uanagenzi yatakayowawezesha kupata ujuzi wa vitendo ili kushindana kikamilifu katika sekta za maendeleo kupitia ajira, kujiajiri…