FIFA yafikiria kuiondolea Urusi adhabu ya kushiriki michuano ya kimataifa
Timu za taifa za Urusi zilisimamishwa kushiriki michuano iliyoandaliwa na FIFA na UEFA, mwezi Februari 2022, baada ya taifa hilo kuivamia Ukraine.
Dk Mwigulu: Serikali kununua matrekta 10,000
WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba amesema Serikali imepanga kununua matrekta 10,000 na kuanzisha vituo jumuishi 1,000 vya huduma za zana za kilimo katika ngazi ya Kata, hatua itakayoongeza tija, kupunguza…
Mhudumu apandishwa kizimbani kwa tuhuma za mauaji
Mhudumu katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Simon...
Swifpack resumes services after operational upgrades
DAR ES SALAAM: AFTER a temporary suspension for technical and operational upgrades, Swifpack, the digital transport and cargo delivery service owned by Tanzania Posts Corporation (TPC), has officially resumed operations.…
VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @iddynonga_ anaimwagia sifa Mtibwa Sugar kutokna na mwenendo wake kwenye NBC Premier League msimu h…
VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @iddynonga_ anaimwagia sifa Mtibwa Sugar kutokna na mwenendo wake kwenye NBC Premier League msimu huu. #Viwanjani
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia Bil
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia Bil. 66.7 kupeleka umeme katika Vitongoji 619 ambapo Kaya 19,878…
Dr Samia is set for talks with UN Tourism in the UAE
DUBAI: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has today, February 3, 2026, begun a working visit to Dubai, United Arab Emirates, holding high-level engagements with international leaders and global stakeholders aimed at…
Afrika yazindua msukumo wa kuziba pengo la matumizi ya mashine za kisasa kwenye kilimo.
Harakati za zama za sasa za kutumia mashine kwenye sekta ya kilimo lazima zitofautiane na harakati za zamani ili hatua hizo ziwe endelevu, amesema Beth Bechdol, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa…
Barabara Kuu zisizoonekana: Mtandao mkubwa wa kebo chini ya bahari zinazounganisha mawasiliano
Kila siku, tunatuma barua pepe nyingi, kuzungumza kupitia simu za video, kutafuta vitu kwenye wavuti wa Google, kutumia huduma za usambazaji wa maudhui kama vile YouTube au Netflix kwa ajili…
Saratani ya shingo ya kizazi yaua wanawake 10 kila siku nchini Kenya; serikali yachukua hatua
Wanawake 10 hufariki dunia kila siku nchini Kenya kutokana na saratani ya shingo ya kizazi. Ukosefu wa uelewa kuhusu king ana tiba bad oni changamoto Mpango wa Kitaifa wa Kutokomeza…
WHO yazindua ombi la dola bilioni 1 kwa dharura 36 duniani kote 2026
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO, leo Jumanne limezindua kampeni yake ya kimataifa ya mwaka 2026 ya takriban dola bilioni 1 ili kuhakikisha mamilioni ya watu wanaoishi…
Baridi kali Ukraine, UNICEF yasambaza majenereta 106 kunusuru watoto
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF, limesambaza jenereta 106 za uwezo wa kati na mkubwa kote nchini Ukraine ili kuhakikisha huduma za maji, vipasha joto, na afya…
WHO: Wagonjwa watano wahamishwa Gaza kwenda Misri baada ya ufunguzi wa kivuko cha Rafah
Matumaini mapya yameibuka kwa wagonjwa walioko Gaza baada ya kufunguliwa tena kwa kivuko cha Rafah mpakani mwa Ukanda wa Gaza na Misri jana Jumatatu, na hivyo kuruhusu uhamisho wa matibabu…
Muhtasari wa habari: Ufadhili wa majanga ya afya mwaka 2026, Kivuko cha Rafah, Msimu wa baridi nchini Ukraine
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani, WHO, leo limetoa ombi la dola bilioni moja ili kukabiliana na majanga ya afya mwaka 2026 katika dharura 36 zilizo mbaya zaidi…
Pingamizi lakwamisha kesi watuhumiwa walioandamana kufanya uhaini
Mabishano ya kisheria yameibuka katika kesi ya kukusanyika na kuandamana kwa lengo la kufanya...
#NBCPL: Tusubiri dakika 45 zijazo
#NBCPL: Tusubiri dakika 45 zijazo HT: Mbeya City 1-1 Dodoma Jiji LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #MbeyaCityVsDodomaJiji #MbeyaCity #DodomaJiji
VIWANJANI: “Simba atabaki kuwa mkubwa”
VIWANJANI: “Simba atabaki kuwa mkubwa” Mchambuzi wa soka @nkiniphilip anasema Simba itahitaji kwenda kuionesha Petro Atletico ya kwamba wao waliteleza na sio kuanguka katika mechi zao zilizopita za Ligi ya…
Tanzania insists on free services to pregnant women, warns those who charge them
DODOMA: THE Tanzanian government has insisted it offers free delivery services to pregnant women and children countrywide and warned against charging money to those groups, saying it is unacceptable. The…
UN kutuma walinzi wa amani Kongo kufuatilia usitishaji vita
Umoja wa Mataifa utapeleka ujumbe wake wa kulinda amani nchini Kongo katika siku za hivi karibuni, kwa uangalizi wa juhudi za usitishaji vita kati ya serikali ya DRC na waasi…
Msumbiji yazindua mtambo wa kuchakata madini ya Grafiti
Kwa sasa, Msumbiji ndiyo kinara wa uzalishaji wa madini hayo, ikifuatiwa na Madagascar na Tanzania.
Suluhisho kukabiliana na udumavu Iringa -3
Wadau wa lishe wanapendekeza hatua mahususi za kukabiliana na viwango vya udumavu wa watoto...
Sh7 bilioni kuviwezesha vikundi 57 Dodoma
Taasisi ya Aga Khan kwa kushirikiana na Ubalozi wa Ireland nchini kupitia mradi wa Tuamke...
Mwanamuziki Ally Star afariki dunia
Mwimbaji mkongwe na mtunzi wa muziki wa taarabu nchini, Ally Hemed 'Ally Star' amefariki dunia...
#NBCPL: Kila timu imepata goli moja
#NBCPL: Kila timu imepata goli moja. 35’: Mbeya City 1-1 Dodoma Jiji LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #MbeyaCityVsDodomaJiji #MbeyaCity #DodomaJiji
Tanzania deploys 594 ambulances to boost emergency medical services
DODOMA: THE Tanzanian government has deployed 594 ambulances to health facilities across all councils in the country as part of ongoing efforts to strengthen emergency medical services and improve access…
TMDA’s draft of the Strategic Plan for 2026-31 awaits the board’s approval
MOROGORO: TANZANIA Medicines and Medical Devices Authority (TMDA) has discussed the draft of the Authority’s New Strategic Plan for the five years, 2026/27-2030/31, which reflects the implementation of the National…
Ghasia za Oromia zazidi kuathiri raia Ethiopia
Wakati serikali ya Ethiopia ikiendeleza operesheni kali za kijeshi dhidi ya waasi katika eneo la Oromia, mzozo huo unaendelea kuwaathiri pakubwa raia, huku pande zote zikilaumiwa kwa ukiukwaji wa haki…
Mikono ya Obby Alpha ilivyopamba ‘Asante’ ya Nandy
Msanii wa Bongo Fleva, Nandy ameweka wazi namna ambavyo mwimbaji wa nyimbo za injili nchini...
Rais wa Iran aagiza mazungumzo ya haki na usawa na Marekani
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amemuagiza Waziri wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi kufanya "mazungumzo ya haki na usawa" na Marekani.
Kwa nini Marekani inafuatilia sera ya “mazungumzo na vitisho kwa wakati mmoja” dhidi ya Iran?
Utawala wa Rais Donal Trump wa Marekani umekuwa ukifuatiilia sera ya "mazungumzo na vitisho" kwa wakati mmoja dhidi ya Iran.
Nakuru: Shule ya Upili ya Wasichana ya Njoro yafungwa kufuatia kifo cha mwanafunzi
Shule ya Upili ya Wasichana ya Njoro ilifungwa kwa muda usiojulikana baada ya fujo za wanafunzi kufuatia kifo cha mmoja wao wa kidato cha nne shuleni humo.
Wakazi wa Sumbawanga wameiomba serikali wilayani humo kuhakikisha inaondoa vikundi vya vijana wanaochezesha Kamari, waliopiga ka…
Wakazi wa Sumbawanga wameiomba serikali wilayani humo kuhakikisha inaondoa vikundi vya vijana wanaochezesha Kamari, waliopiga kambi kwenye mageti ya kuingilia katika soko la Sabasaba na Mandela, ambapo wanawalazimisha watu kucheza…
Maafisa wa usalama Minneapolis waagizwa kuvaa camera kazini
Waziri wa Usalama wa Ndani nchini Marekani Kristi Noem ametangaza kwamba kila afisa wa Usalama wa Shirikisho aliyeko Minneapolis atalazimika kuvaa camera. Maafisa hao ni pamoja na wa uhamiaji na…
Wahudumu 160 ‘wapikwa’ kupambana na malaria
Baada ya Tanzania kuorodheshwa kuwa miongoni mwa nchi 10 duniani zinazoongoza kwa vifo...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Simiyu, imemhukumu Kabote Magembe (23), mkazi wa Mkula wilayani Busega, kifungo cha m…
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Simiyu, imemhukumu Kabote Magembe (23), mkazi wa Mkula wilayani Busega, kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la kuua bila kukusudia. Tukio hilo…
Mashambulizi ya Urusi yakata usambazaji wa joto Kyiv
Urusi imeshambulia miundombinu ya nishati ya Ukraine mapema hii leo, na kukata huduma ya usambazaji wa joto kwenye zaidi ya majengo 1,000 ya makazi mjini Kyiv, huku kiwango cha joto…
Shule ya Sekondari Geita, inayosimamiwa na serikali, imeandika historia mpya baada ya kufaulisha wanafunzi wote wa kidato cha nn…
Shule ya Sekondari Geita, inayosimamiwa na serikali, imeandika historia mpya baada ya kufaulisha wanafunzi wote wa kidato cha nne katika mitihani ya taifa kwa kupata daraja la kwanza, na hivyo…
AKU kuwaunganisha wanafunzi na fursa za kibiashara
Chuo Kikuu cha Aga Khan nchini (AKU), kimezindua klabu ya ujasiriamali ili kuwawezesha na...
Serikali imesema inaendelea kufanya maboresho katika Bandari ya Dar es Salaam, ikiwemo kujenga gati namba 12 hadi 15 ili kuongez…
Serikali imesema inaendelea kufanya maboresho katika Bandari ya Dar es Salaam, ikiwemo kujenga gati namba 12 hadi 15 ili kuongeza ufanisi na uwezo wa bandari hiyo kuhudumia meli nyingi. Hayo…
UN kutuma ujumbe kutathmini usitishwaji wa mapigano Kongo
Ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo utapeleka timu yake ya kwanza kutathmini usitishwaji wa mapigano kati ya serikali na waasi wa AFC/M23.
UN kutuma ujumbe kutathmini usitishwaji wa mapigano Kongo
Ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo utapeleka timu yake ya kwanza kutathmini usitishwaji wa mapigano kati ya serikali na waasi wa AFC/M23.
Dk Muyungi akutana na timu ya wataalamu NEMC
KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Richard Muyungi amekutana na kufanya mazungumzo na Timu ya wataalamu kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) inayosimamia…
TMDA yajipanga mikakati mipya utekelezaji dira 2050
DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imejadili rasimu ya mpango mkakati mpya wa mamlaka wa miaka mitano unaoakisi utekelezaji wa Dira ya Taifa ya 2050. Haya…
IAEA sees Tanzanian preps to invest in nuclear power generation
DODOMA: TANZANIA has intensified preparations for investment in nuclear power generation as part of its long-term energy strategy, with the government completing key preliminary requirements, including a detailed implementation roadmap.…
Majina 11 yaliyotikisa usajili wa Januari 2026
Kwa mujibu wa takwimu za soko la usajili, vilabu vya ligi kuu England vilihusika katika uhamisho saba kati ya kumi ghali zaidi duniani kwa mwezi Januari, ishara nyingine ya nguvu…
Indaba Conference hands Tanzania a platform, advertise its richness in strategic minerals
DODOMA: THE Ministry of Minerals and its Institutions along with the stakeholders in the mining value chain, including financial institutions, will participate in the International Mining Investment Indaba Conference to…
Ethiopia yakana kufadhiliwa na Marekani ujenzi wa bwawa la umeme
Kulingana na Waziri Mkuu wa Ethiopia, bwawa hilo lilijengwa kwa kutumia fedha za ndani za nchi hiyo.
Ethiopia yakana kufadhiliwa na Marekani ujenzi wa bwawa la umeme
Kulingana na Waziri Mkuu wa Ethiopia, bwawa hilo lilijengwa kwa kutumia fedha za ndani za nchi hiyo.
Wakaazi katika vijiji vya Ukingo wa Magharibi wafurushwa
Hali ya usalama katika baadhi ya vijiji vya Ukingo wa Magharibi imeendelea kuwa mbaya huku wakaazi wakikabiliwa na ongezeko la vitendo vya uonevu, unyanyasaji na mashambulizi kutoka kwa walowezi wa…
Wakaazi katika vijiji vya Ukingo wa Magharibi wafurushwa
Hali ya usalama katika baadhi ya vijiji vya Ukingo wa Magharibi imeendelea kuwa mbaya huku wakaazi wakikabiliwa na ongezeko la vitendo vya uonevu, unyanyasaji na mashambulizi kutoka kwa walowezi wa…