Tanzania, Mozambique broaden ties in defence and security
DODOMA: TANZANIA and Mozambique have agreed to strengthen cooperation in defence and security matters, particularly in the fight against terrorism and criminal activities threatening peace and stability in Eastern and…
Ujumbe wa Hija: Kiongozi Muadhamu ayatolea wito mataifa ya Kiislamu kuunda utaratibu mpya wa kikanda; asema enzi ya US imefikia tamati
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amezitolea wito nchi za Kiislamu kuzidisha ushirikiano na kuanzisha utaratibu mpya wa kieneo na kimataifa mbali na utawala wa Marekani.
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa: Iran haitasalimu amri wala kurudi nyuma
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama la Taifa la Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu "haitarudi nyuma" huku kukiwa na ripoti juu ya uwezekano wa kufikiwa makubaliano kati ya Tehran…
Baqaei: Marekani imefanya uhalifu wa kivita kwa kujaribu nguvu ya kombora lilitumika kwa mara ya kwanza kuua watu Lamerd, Iran
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Marekani ilitumia kwa mara ya kwanza kombora la PrMS katika shambulio lake kwenye eneo la makazi…
Mkurugenzi Mkuu wa WHO: Vifo vinavyoshukiwa kuwa vya Ebola vyafika 220
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ameeleza kuwa vifo 220 vinashukiwa kusababishwa na mlipuko wa sasa wa homa hatari ya Ebola.
Madiwani Temeke wataka miradi yenye ubora
DAR E SALAAM: BARAZA la Madiwani Manispaa ya Temeke limewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi wilayani humo kufanya hivyo kwa ubora na wakati. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke, Uzairu Athumani amesema…
Mgogoro wa kisiasa washtadi Senegal baada ya Rais kumteua Al Aminou Lo kuwa Waziri Mkuu
Mgogoro wa kisiasa wa Senegal umeshika kasi huku Rais wa nchi hiyo Bassirou Diomaye Faye akimteua mchumi Ahmadou Al Aminou Lo katika nafasi ya Waziri Mkuu akichukua nafasi ya Ousmane…
UDSM yawaita wadau kutafakari fikra za Mwalimu Nyerere
Wadau wa maendeleo ya siasa, uchumi na masuala ya kijamii wametakiwa kushiriki Kongamano la...
Jinsi Mahmoud Ahmadinejad alivyogeuka fumbo la vita Iran
Mwanasiasa huyo mwenye kauli kali kuwa mmoja wa watu ambao maafisa wa Israel walikuwa wakiwataja mara kwa mara kuelezea kile walichokiita "tishio la Iran" kwa dunia.
Kauli ya Serikali kilichotokea Afrika Kusini
Shangazi ametaka Serikali itoe taarifa rasmi kuhusu usalama wa Watanzania waliopo nchini humo...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema kuwa zipo sheria zinazosamia matumizi ya mitandao na kukataza upotosh…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema kuwa zipo sheria zinazosamia matumizi ya mitandao na kukataza upotoshaji unaoweza kuzua taharuki kwa jami, huku akitoa mfano wa picha…
Viongozi wamlilia mama wa Magufuli
Viongozi mbalimbali wa Serikali wametuma salamu za rambirambi kwa familia ya aliyekuwa Rais wa...
Asilimia 70 ya wagonjwa wa moyo kanda ya kaskazini washindwa kufika JKCI
Asilimia 70 ya wagonjwa wanaohitaji huduma za matibabu ya moyo kutoka Kanda ya Kaskazini...
Asilimia 70 ya wagonjwa wa moyo kanda ya kaskazini washindwa kufika JKCI
Asilimia 70 ya wagonjwa wanaohitaji huduma za matibabu ya moyo kutoka Kanda ya Kaskazini...
Sifuna Akiumbua Kikosi cha Oburu Kufuatia Mpango wa Kuitema Kauli ya Linda Ground: “Linda ni Mjamo”
Gavana wa Homa Bay Gladys Wanga alitangaza kauli mbiu mpya ya ODM "ODM-Tuko Tayari," ikichukua nafasi ya "Linda Ground," kukiwa na mgawanyiko wa mwelekeo wa chama
Rio’s Tanzania visit: Fame, finance, value, strategy?
TANZANIA:RIO Ferdinand’s visit to Tanzania has transitioned from a sports and tourism story into a debate. The criticism has been sharp. Some argue that Rio has not played professional football…
Wanamichezo 10 wanaolipwa fedha nyingi zaidi Duniani 2026
Huku ligi ulimwenguni kote zikichapisha rekodi ya mapato na wawekezaji wakimimina pesa taslimu ili kuendeleza upanuzi zaidi, mastaa hao wakubwa wa michezo kwa muda mrefu wameweza kutegemea nyongeza ya mishahara…
Wanariadha 10 wanaolipwa fedha nyingi zaidi Duniani 2026
Huku ligi ulimwenguni kote zikichapisha rekodi ya mapato na wawekezaji wakimimina pesa taslimu ili kuendeleza upanuzi zaidi, mastaa hao wakubwa wa michezo kwa muda mrefu wameweza kutegemea nyongeza ya mishahara…
Mshukiwa wa mauaji ya babake baby James huko Mathare asimulia kilichotokea
Alphonce Ochieng mwenye umri wa miaka 22, aliyekamatwa kwa mauaji ya babake Baby James, amesimulia matukio yaliyojiri siku hiyo na kudai kujitenga.
Baby Mama wa Diamond wana sifa zinazofanana!
Dar es Salaam. Mwimbaji Diamond Platnumz amezaa na Zari The Bosslady watoto wawili, Tiffah...
WHO yatahadharisha kasi na Ebola, nchi 11 hatarini
Wakati vifo vya Ebola vikifikia 220, ikiwa ni ongezeko la watu 20 waliopoteza maisha ndani ya...
Wizara yajivunia taswira, heshima ya Tanzania kimataifa
DODOMA; WIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema kufuatia utekelezaji wa vipaumbele vya wizara na kwa kuzingatia Malengo ya Kimkakati ya Sera ya Mambo ya Nje…
Damian Soul kama chumvi kwenye msosi wa Hip Hop Bongo
Rapa AY kwenye moja ya mahojiano yake mwaka 2015, aliwataja Damian Soul na Vanessa Mdee kama...
Temeke prioritizes local contractors to boost economic growth
TEMEKE: THE Temeke Municipal Council has urged contractors implementing projects in the district to ensure they complete them on time and maintain high quality standards for the benefit of the…
Ebola nchini DRC: Mambo yanayofanya mlipuko wa Ebola kuwa mgumu zaidi kuudhibiti
Wakati wa mkutano wa mawaziri mtandaoni ulioandaliwa na Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magaonjwa cha Afrika (Africa CDC) siku ya Jumatatu, Mei 25, Mkurugenzi Mkuu wa WHO Tedros Ghebreyesus alizungumzia…
Timu za taifa zapigwa tafu miaka miwili
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limeingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya usambazaji vinywaji baridi, Watercom kwa ajili ya timu zote za Taifa.
Jinsi Ferdinand Omanyala Alivyojenga Nyumba ya Ndoto ya KSh 50 Milioni Inayofafanua Upya Mafanikio
Ferdinand Omanyala, mwanariadha mwenye kasi zaidi barani Afrika, azindua jumba lake la kifahari la KSh 50 milioni huku nyota yake iking'aa...............
Tanzania should embrace LPG-powered vehicles to ease fuel burden
DAR ES SALAAM: THE persistent rise in petroleum fuel prices continues to place heavy pressure on Tanzania’s economy, affecting transport costs, business operations and the cost of living for ordinary…
Yaliyojificha nyuma ya ukaribu wa Anko Nzala na Mo Dewji
Dar es Salaam. Msanii wa vichekesho nchini, Anko Nzala amesema ukaribu wake na mfanyabiashara...
‘Msimamo wa Tanzania ni kutofungamana na upande wowote’
DODOMA; WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema Tanzania inaendelea kudumisha misingi ya uhusiano na ushirikiano na msimamo wake ni uleule wa…
Nchini Burkina Faso, mpatanishi wa ECOWAS kwa nchi za ESA anatetea ushirikiano “muhimu”
Mpatanishi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) amepokelewa Ouagadougou mnamo Mei 25, 2026, na Rais wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traoré, ambaye pia ni Rais wa…
Why trust, simplicity will shape Africa’s insurance future
DAR ES SALAAM: ACROSS Africa, the insurance industry is growing steadily, but so is the gap between what insurers offer and what many customers actually experience. Awareness about insurance is…
Je, Benin na Niger zinaelekea kufufua mahusiano baada ya Benin kupata rais mpya
Ujumbe wa Niger, ukiongozwa na Waziri Mkuu, ulikuwepo katika sherehe ya kuapishwa kwa rais mpya wa Benin mnamo Mei 24, 2026. Je, hii ni ishara ya kuanzishwa kwa uhusiano kati…
Shabiki wa Arsenal jela miaka 25 baada ya mwenzake wa Man-U waliyegombana naye kupatikana amekufa
Mwanaume kutoka Migori, Omar, alihukumiwa kifungo cha miaka 25 kwa kifo cha shabiki wa Manchester United baada ya mzozo mkali kuhusu mechi ya mpira wa miguu.
Huu hapa ujumbe wa Rais Samia akiwaapisha majaji
Uapisho huo umekamilisha uteuzi wake wa majaji tisa aliowateua hivi karibuni kujiunga na...
Maonesho ya kuenzi maisha na urithi wa mwanadiplomasia mashuhuri wa Tanzania, Dkt
Maonesho ya kuenzi maisha na urithi wa mwanadiplomasia mashuhuri wa Tanzania, Dkt. Salim Ahmed Salim, yamefungua mjadala mpana kuhusu mwelekeo wa maendeleo ya bara la Afrika. Maonesho hayo yaliyofunguliwa Mei…
Natamani maprofesa wangekuwa wavuvi
Kuna wakati ukikaa ufukweni mwa bahari alfajiri, ukawaangalia wavuvi wakivuta nyavu zao huku...
Tanzania, Kenya strengthen strategic agricultural cooperation
DODOMA: TANZANIA and Kenya have agreed to strengthen strategic cooperation in the agriculture sector, particularly in promoting trade, investment, and food security across the East African region. The commitment was…
Moscow inatoa wito kwa wakazi wa Kyiv kuondoka kabla ya mashambulizi
Diplomasia ya Urusi siku ya Jumatatu imewataka raia wa kigeni wanaoishi Kyiv, wakiwemo wafanyakazi wa kidiplomasia, kuondoka katika mji mkuu wa Ukraine kabla ya mashambulizi zaidi ya anga ya Urusi.…
TANESCO orders completion of Hale power plant upgrade by July
TANGA: THE Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) has directed the contractor implementing the rehabilitation and upgrading of the Hale Hydropower Plant to complete the project by July 30 this…
Rafiki wa Binti launches MH Day 2026 Song, expands period underwear distribution
DAR ES SALAAM: IN celebration of Menstrual Hygiene Day on May 28, Rafiki wa Binti has released a new educational animated song aimed at empowering schoolgirls with menstrual health knowledge…
Video ya mlinzi wa Ruto akionekana kumshambulia askari wenzake yaibuka na kuzua sintofahamu
Video ya mtandaoni ya aliyekuwa mkuu wa usalama wa Rais Ruto, Noah Maiyo, akihusika katika ugomvi imezua wasiwasi kuhusu weledi wa polisi na ulinzi wa rais.
Mtaalam wa uchumi, Ally Mkimo, ameshauri kuanzishwa kwa bandari kavu zaidi nchini ili kupunguza msongamano wa malori kwenye bara…
Mtaalam wa uchumi, Ally Mkimo, ameshauri kuanzishwa kwa bandari kavu zaidi nchini ili kupunguza msongamano wa malori kwenye barabara kuu. Amesema hatua hiyo itasaidia kupunguza mzigo mkubwa wa usafirishaji unaotumia…
SGR opens new opportunities for vegetable farming
MOROGORO: COAST Regional Commissioner, Abubakar Kunenge has urged agricultural stakeholders to utilise the Standard Gauge Railway (SGR) to expand vegetable farming along the railway corridor. Speaking during the Eastern Zone…
undefined
Mtaalamu wa Uhandisi na Usafirishaji Kutoka chuokikuu cha Der es salaam (UDSM) Pancras Bujulu , amesema ubora wa barabara hupimwa na aina ya matumizi ya barabara hiyo, ambapo kuna baadhi…
Mwenyekiti wa Baraza la Wasafirishaji Shehena Tanzania, Clement Kamendu, amesema ujenzi wa miundombinu ya kisasa ya bandari kwa …
Mwenyekiti wa Baraza la Wasafirishaji Shehena Tanzania, Clement Kamendu, amesema ujenzi wa miundombinu ya kisasa ya bandari kwa kutumia rasilimali za ndani haukwepeki ili kukidhi ongezeko la mizigo nchini. Amesema…
Tanzania eyes massive waste recycling drive to boost green jobs
ARUSHA: TANZANIA is mulling the recycling of all solid and liquid waste as part of the country’s latest efforts to address the effects of climate change and create employment opportunities…