23.12.2025
Waziri Mkuu wa Sudan, Kamil Idris, amependekeza mpango mpana wa amani unaolenga kumaliza vita vya takribani siku 1,000 nchini mwake+++Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema anatarajia Urusi itafanya mashambulizi makubwa…
Serikali imewahimiza wawekezaji wa ndani kutumia uwezo wao katika kukuza biashara ya samaki wa vizimba ili kuchechemua zaidi sek…
Serikali imewahimiza wawekezaji wa ndani kutumia uwezo wao katika kukuza biashara ya samaki wa vizimba ili kuchechemua zaidi sekta hiyo sambamba na kutajirika kutokana na upya wa sekta na uhitaji…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 22 DESEMBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 22 DESEMBA 2025
🔴MCHEZO SUPA:HII NDIO NGUVU YA BUKU..22 DESEMBA 2025
🔴MCHEZO SUPA:HII NDIO NGUVU YA BUKU..22 DESEMBA 2025
Waziri wa uvuvi wa Somalia apongeza ushirikiano wa kimkakati na Uturuki
Somalia, Uturuki waimarisha uhusiano katika sekta ya uvuvi kwa kutia saini makubaliano mapya
‘Simamieni ushindani wa haki, msiumize walaji’
DAR ES SALAAM; Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Patrobas Katambi, amelitaka Baraza la Ushindani (FCT) kuendelea kulinda na kusimamia ushindani wa haki, ili kuondokana na vitendo vya ukiritimba, upangaji…
Wananchi mkoani Mtwara wakiendelea na maandalizi kuelekea sikukuu za mwishoni mwa mwaka
Wananchi mkoani Mtwara wakiendelea na maandalizi kuelekea sikukuu za mwishoni mwa mwaka. #SentroYaCloudstv
Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika (WHO-Afrika), Profesa Mohamed Janabi amezitahadharisha nchi za Afrika kuhu…
Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika (WHO-Afrika), Profesa Mohamed Janabi amezitahadharisha nchi za Afrika kuhusu hatari ya kukumbwa na changamoto kubwa za kukabiliana na maradhi kutokana na…
Msanii gani umemsikiliza sana ngoma zake kwenye playlist yako mwaka huu?
Msanii gani umemsikiliza sana ngoma zake kwenye playlist yako mwaka huu? Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 . Hosted by…
Kuongezeka kwa idadi ya vifo vya kujinyonga kwa watoto walio chini ya miaka 18 nchini kumeibua hali ya wasiwasi na tahadhari mi…
Kuongezeka kwa idadi ya vifo vya kujinyonga kwa watoto walio chini ya miaka 18 nchini kumeibua hali ya wasiwasi na tahadhari miongoni mwa wanajamii hususani matukio ya hivi karibuni yaliyotokea…
Wakazi wa maeneo ya Kitongano na Paje visiwani Zanzibar wanatarajia kuondokana na adha ya usafiri katika barabara inayounganisha…
Wakazi wa maeneo ya Kitongano na Paje visiwani Zanzibar wanatarajia kuondokana na adha ya usafiri katika barabara inayounganisha maeneo hayo kufuatia kukamilika kwa zaidi ya asilimia 80 ya barabara hiyo…
Mji wa Moshi umeanz kuchukua sifa za jiji la Dar es salaam na hii ni kutokana na wenyeji wake wanaofanya shughuli zao Katika mae…
Mji wa Moshi umeanz kuchukua sifa za jiji la Dar es salaam na hii ni kutokana na wenyeji wake wanaofanya shughuli zao Katika maeneo mengine ya nchi likiwemo jiji la…
#HABARI: Serikali imesema miradi yote yenye thamani ya chini ya shilingi bilioni hamsini inapaswa kutekelezwa na wakandarasi waz…
#HABARI: Serikali imesema miradi yote yenye thamani ya chini ya shilingi bilioni hamsini inapaswa kutekelezwa na wakandarasi wazawa ili kuwajengea uwezo na kuongeza ushiriki wao katika utekelezaji wa miradi ya…
Mapigano yarindima mji wa mpaka wa DRC wa Uvira kati ya vikosi vya serikali na waasi wa M23
Mapigano yaliibuka siku ya Jumatatu karibu na mji wa Uvira katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kati ya waasi wa M23 na wapiganaji wanaounga mkono serikali, siku chache baada ya…
Njia mbadala za mshikamano katikati ya mgogoro, DRC
Wakati mapigano yakiendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wakazi wa mji wa Goma wanatafuta njia mbadala za kuonyesha matumaini na mshikamano.
#HABARI:Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewabadilishia makosa watuhumiwa watatu waliokuwa wanashtakiwa kwa uhaini na kuwapa mas…
#HABARI:Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewabadilishia makosa watuhumiwa watatu waliokuwa wanashtakiwa kwa uhaini na kuwapa mashtaka ya kuchoma ofisi ya Chama cha Mapinduzi(CCM) ya Kivule Kata ya Majohe wilaya ya…
Kenya yawarudisha nyumbani raia 116 waliotapeliwa Myanmar
Serikali ya Kenya imewarejesha nyumbani Wakenya 119 waliokuwa wamehadaiwa kwa ahadi za uongo za kazi katika baadhi ya nchi za Asia ya Kusini-Mashariki.
Dk Mwinyi ateuwa watano, wamo wastaafu
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amewateua wakurugenzi watano kuwa wenyeviti wa bodi ya...
Ila Mussa yote hii ili awe tu karibu tu Radhia 😅
Ila Mussa yote hii ili awe tu karibu tu Radhia 😅
Zijue athari za ongezeko la vina vya maji Kenya
Mabadiliko ya tabianchi yanaendelea kuacha athari mbaya kwa jamii zinazolizunguka Ziwa Naivasha, katikati ya Bonde la Ufa nchini Kenya. Maelfu wamelazimika kuyahama makazi yao kutokana na ongezeko la kina cha…
Serikali imewataka maafisa wa Idara ya Uhamiaji nchini kuendelea kuimarisha na kuweka mikakati imara ya kudhibiti wageni waoingi…
Serikali imewataka maafisa wa Idara ya Uhamiaji nchini kuendelea kuimarisha na kuweka mikakati imara ya kudhibiti wageni waoingia na kutoka nchini bila kufuata sheria na taratibu za nchi. Hayo yameelezwa…
🔴TAARIFA YA HABARI YA DESEMBA 22, 2025 – DARAJA MUHIMU LASOMBWA NA MAJI RUVUMA
🔴TAARIFA YA HABARI YA DESEMBA 22, 2025 - DARAJA MUHIMU LASOMBWA NA MAJI RUVUMA
Uturuki inasema vikosi vya SDF havina nia ya mazungumzo na serikali ya Syria kuhusu kujumuishwa
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan anasema ushirikiano wa vikosi vya Syrian Democratic Forces na Israel unasababisha kikwazo kikubwa katika mazungumzo na Syria
Jambo gani hutosahau mwaka 2025 kabla ya kuelekea 2026 ⁉️
Jambo gani hutosahau mwaka 2025 kabla ya kuelekea 2026 ⁉️ #SentroYaCloudstv #CloudsTvNyoosha #LainiYawana
Baada ya rubaini manufaa makubwa yanayopatikana kwa wananchi wa mkoa wa Kagera hususani kwa vijana wanaojishughulisha na kilimo …
Baada ya rubaini manufaa makubwa yanayopatikana kwa wananchi wa mkoa wa Kagera hususani kwa vijana wanaojishughulisha na kilimo cha kahawa, serikali ya mkoa huo imetenga ekari 2,000 kwa ajili ya…
Kambi upimaji moyo, magonjwa yasiyoambukiza yaja
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Bohari ya Dawa (MSD) wamepanga...
Serikali yatoa siku 90 wasiosajili maeneo ya kazi
Waziri huyo amewataka watumishi wa Osha kufanya kazi kwa bidii, kujituma na kuzingatia weledi...
Hali ya kibinaadamu Sudan inazidi kuwa mbaya
Licha ya mapigano yanayoendelea kushuhudiwa nchini Sudan pamoja na ukiukwaji mbaya wa haki za binadamu, jumuiya ya kimataifa inaonekana kuipuzia migogoro mibaya zaidi ya kibinadamu na ya wakimbizi duniani.
Bei ya dhahabu yapaa, yavunja rekodi dola 4,400 kwa gramu
BEI ya dhahabu imepanda na kuvunja rekodi, ikiuza kwa zaidi ya dola 4,400 kwa gramu kwa mara ya kwanza katika historia ya soko hilo. Wachambuzi wa masoko wanasema ongezeko hilo…
Tanzania, Egypt agree to deepen ties in cultural tourism, antiquities
CAIRO: TANZANIA and Egypt have agreed to intensify bilateral cooperation in promoting and developing cultural tourism and the antiquities sectors. The agreement was reached during a meeting between Tanzania’s Minister…
Ethiopia yapiga marufuku mifuko ya plastiki
MAMLAKA ya Kulinda Mazingira nchini Ethiopia imetangaza kuwa itaanza kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kuanzia Januari 31, 2026. Hatua hiyo inafuatia tangazo lililothibitishwa na Bunge mwezi Julai 2025.…
Ukame wa abiria vituoni wakatika, mabasi yajaa abiria
Hali Hali ya ukame wa abiria uliokuwa ukionekana katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli...
Mitazamo tofauti kuhusu Krismasi
Katika jamii ya kisasa inayokabiliwa na changamoto za kiuchumi, kijamii na kiutu, maisha ya...
Raia 119 wa Kenya waokolewa Myanmar
SERIKALI ya Kenya imesema kuwa imefanikiwa kuwaokoa raia wake 119 waliokuwa wamekwama nchini Myanmar. Katika taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Kigeni, Katibu anayesimamia masuala ya raia wanaoishi ughaibuni…
ZFDA seizes 1,232.64kg of expired meat products
ZANZIBAR: THE Zanzibar Food and Drugs Agency (ZFDA) has seized a total of 1,232.64 kilograms of meat products found to have expired after they were discovered in a cold storage…
Wenye makaburi Kurasini waanza kulipwa, udanganyifu ukitawala
Makaburi hayo zaidi ya 4,000 yatahamishwa kupishwa ujenzi wa bandari kavu inayojengwa na...
Taifa Stars inavyosaka rekodi kibao kwa Nigeria AFCON 2025
TANGU yalipotangazwa makundi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 iliyoanza juzi huko Morocco, mashabiki na wapenzi wa soka nchini wamekuwa na kihoro kwa timu ya taifa,…
Police investigate the incident leading to the death of MC Pilipili
DODOMA: THE Dodoma Regional Police Force has announced that investigations are ongoing into the death of renowned comedian and entertainer Emanuel Mathias, popularly known as MC Pilipili, which occurred in…
Taifa Stars upbeat for bright start in AFCON opener against Nigeria
RABAT: TANZANIAN envoys, Taifa Stars, are keen for a stellar performance when they face Nigeria in the opening match of the Africa Cup of Nations (AFCON) in Fez, Morocco, tomorrow,…
Maandamano ya kupinga kuondolewa M23 Uvira yafanyika Kongo
Katika mji wa Goma, miungano ya kiraia iliandamana hii leo kuelezea kutoridhika na shinikizo la kuondoka wapiganaji wa AFC/ M23 katika mji wa Uvira mkoani kivu kusini na maeneo mengine.
Krismasi: Sikukuu ya upendo, matumaini mapya
TANZANIA inaungana na mataifa mengine duniani kufurahia Sikukuu ya Krismasi inayoadhimishwa Desemba 25 kilamwaka, siku inayokumbusha kuzaliwa kwa Yesu Kristo, tukio lenye ujumbe mzito wa upendo, amani na matumaini kwa…
Mapigano yazuka tena kwenye mji wa Uvira
Mapigano yamezuka tena hii leo kati ya wanamgambo wa M23 na upande wa wanaoiunga mkono serikali, karibu na mji wa Uvira nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, siku chache baada…
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Kawe, Mheshimiwa Geofrey Timoth, ametembelea Kituo cha Polisi Salasala ambacho kilipata madhara kufu…
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Kawe, Mheshimiwa Geofrey Timoth, ametembelea Kituo cha Polisi Salasala ambacho kilipata madhara kufuatia matukio ya Oktoba 29, na kuahidi atahakikisha kituo hicho kinarejea katika hali…
Thai na Cambodia zalaumiana kwa kuanzisha tena mapigano
Cambodia imesema Thailand imeanzisha mashambulizi ya angani muda mfupi baada ya Bangkok kutangaza mataifa hayo mawili yamekubaliana kuanza mazungumzo wiki hii ya kusitisha mapigano. yaliyochochewa na mzo
China yaziwekea ushuru baadhi ya bidhaa za maziwa za EU
China imeweka ushuru wa muda kwa baadhi ya bidhaa za maziwa kutoka Umoja wa Ulaya, katika hatua ya hivi karibuni ya mzozo wa kibiashara kati ya pande hizo.
Wasiwasi watawala kuhusu mustakabali wa serikali ya Merz
Uchunguzi mpya uliofanywa nchini Ujerumani umeonyesha karibu nusu ya Wajerumani wana wasiwasi ikiwa muungano wa serikali unaoongozwa na wahafidhina utadumu hadi uchaguzi ujao.