Ifahamu mikataba iliyomuweka Raila Odinga ‘madarakani’ licha ya urais kumponyoka
Hatua ya karibu zaidi ya Raila kuchukua urais ilikuja mwaka wa 2007, alipowania urais chini ya chama cha Orange Democratic Movement (ODM). Matokeo ya awali yalionyesha anaongoza, lakini Tume ya…
Muqawama: Hatutaruhusu Palestina iwe ngome ya mamluki wa Kizayuni
Makundi ya Muqawama ya Palestina yamepongeza operesheni ya kuzisafisha taasisi za usalama katika Ukanda wa Ghaza, na kutangaza kuwa Palestina kamwe haitakuwa kimbilio na ngome ya mamluki wa adui Mzayuni.
Uhispania yarindima kwa maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina
Makumi ya miji na mikoa kote Uhispania imeshuhudia maandamano makubwa na migomo ya umma ya mshikamano na watu wa Gaza . Migomo na maandamano hayo makubwa ya nchi nzima yalifanya…
Mwanasiasa mkongwe Raila Odinga aombolezwa; Rais Ruto atangaza siku saba za maombolezo
Rais William Ruto ametangaza kipindi cha maombolezo ya kitaifa kwa muda wa siku saba kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Amollo Odinga.
Mfalme wa Jordan: Asia Magharibi itakuwa na hatima mbaya bila kuundwa taifa la Palestina
Mfalme Abdullah II wa Jordan amesisitizia udharura wa kuundwa nchi huru ya Palestina.
Alkhamisi, 16 Oktoba, 2025
Leo ni Alkhamisi tarehe 23 Mfunguo Saba Rabiuthani 1447 Hijria sawa na 16 Oktoba 2025 Miladia.
KWA KAWAIDA UNA UTARATIBU WA KUOGA MARA NGAPI KWA SIKU?
KWA KAWAIDA UNA UTARATIBU WA KUOGA MARA NGAPI KWA SIKU? #StarTvInfo
Kamati ya Kitaifa inayoandaa Mazishi ya Kitaifa ya Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga imetangaza kwamba mazishi yake ya…
Kamati ya Kitaifa inayoandaa Mazishi ya Kitaifa ya Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga imetangaza kwamba mazishi yake yatafanyika Jumapili nyumbani kwake Bondo, Kaunti ya Siaya, magharibi mwa…
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ametaka maandalizi ya kila mwananchi kujua kituo chak…
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ametaka maandalizi ya kila mwananchi kujua kituo chake cha kupigia kura yaanze sasa, ili kuepusha usumbufu siku ya…
Hamis Tabasamu, mgombea ubunge wa Jimbo la Sengerema kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi, ameahidi kuleta mabadiliko makubwa y…
Hamis Tabasamu, mgombea ubunge wa Jimbo la Sengerema kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi, ameahidi kuleta mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kijamii katika Kata ya Kagunga ikiwa atachaguliwa katika uchaguzi…