CAR: Jeshi lavunja ukimya wake na kukanusha jaribio lolote la mapinduzi
Makao makuu ya jeshi la Jamhuri ya Afrika ya Kati (FACA) yamefutilia mbali shutuma zinazoyahusisha na njama inayodaiwa ya kupindua utawala uliopo. Kwa siku kadhaa, jumbe zinazosambaa kwenye mitandao ya…
Ahueni: Israel yaiondoa Kenya kwenye orodha ya nchi ilizowekea vikwazo vya usafiri kuhusu Ebola
Israel imeondoa vikwazo vya muda vya usafiri kwa Kenya na Rwanda kutokana na wasiwasi ya Ebola. Kenya inahakikisha maandalizi dhidi ya milipuko inayoweza kutokea.
Marekebisho ya Katiba nchini DRC: Baraza Seneti lapitisha muswada kwa ajili ya kura ya maoni
Hatua mpya imepigwa katika mchakato unaoongoza kwa kura ya maoni inayowezekana ya kikatiba nchini DRC. Baada ya Bunge, Baraza la Seneti limepitisha siku ya Jumatatu, Juni 15, 2026, muswada unaoelezea…
Bintiye Angela Chibalonza Aendeleza Urithi wa Mamake, Aduwaza Watu Kanisani kwa Sauti Tamu
Wonder Chibalonza, bintiye marehemu nyota wa injili Angela Chibalonza, aliwavutia watu kwa sauti yake ya mbinguni, akiendeleza urithi wa mamake....
Siasa za Afrika zinavyojengwa ‘kihuni’
Wakati makundi haya yanatekeleza kile walichoagizwa wakati huo huchukuliwa kama mkakati wa kumshinda adui ila ukweli wa mambo ni kwamba baada ya muda, makundi hayo hayo ndio hugeuka na kuwa…
Israel: Rais wa Somaliland akaribisha kufunguliwa kwa ‘ukurasa mpya’ kati ya nchi hizo mbili
Rais wa Somaliland, Abdirahman Mohamed Abdullahi, amepokelewa siku ya Jumapili, Juni 14, 2026, mjini Jerusalemu, na mwenzake wa Israel, Isaac Herzog. Hii ilikuwa ziara ya kwanza rasmi ya kiserikali ya…
Mkutano wa G7: Ruto apaa tena, aelekea Ufaransa kuwakilisha nchi zote za Afrika
Rais William Ruto asafiri kwenda Ufaransa kwa ajili ya Mkutano wa G7, ambapo atawakilisha Afrika nzima na kusukuma uwekezaji, akili bandia na mageuzi ya kifedha.
Donald Trump: Mlango-Bahari wa Hormuz utafunguliwaIjumaa
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza Mlango-Bahari wa Hormuz “utafunguliwa kikamilifu” kuanzia Ijumaa, huku viongozi wa Magharibi wakikusanyika katika mkutano wa kilele wa G7 huko Évian-les-Bains wakijitahidi kuzuia makubaliano dhaifu…
Idara ya Halli ya Hewa yaonya, yataja Nairobi na maeneo mengine yatakayoshuhudia baridi ya kali sana
Idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa Kenya imeonya kuhusu usiku wa baridi kali katika siku zijazo, huku halijoto ikishuka hadi 4°C katika maeneo ya Kati.
Changamoto kuhusu mkataba wa Iran na Marekani
Kulingana na Trump, makubaliano hayo ni mazuri na yataleta amani ukanda huo wote wa Ghuba ya Uajemi.
Tetesi za soka: Fernandes azigonganisha PSG, Madrid na Man Utd
Real Madrid imefanya mawasiliano kuhusu uwezekano wa kumsajili Mateus Fernandes, huku Manchester United ikisita kufikia bei inayotakiwa na West Ham. Bayern Munich nayo ipo mbioni kumsajili Ismael Saibari kutoka PSV…
Wabunge watimka mbio baada ya nyoka wa ajabu kuporomoka kutoka darini wakati wa kikao
Wabunge wa jimbo la Ondo nchini Nigeria mnamo Alhamisi, Julai 25, 2019 walilazimika kukatiza vikao vyao ghafla baada ya nyoka kuanguka bungeni kutokea darini.
Pezeshkian: Hasira ya Israel dhidi ya MoU na Marekani ni ‘ishara dhahiri’ ya ushindi wa Iran
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema hasira ya Israel kuhusu hati ya maelewano (MoU) ya makubaliano kati ya Iran na Marekani inaashiria wazi mafanikio na ushindi wa taifa la Iran.
Iran ilivyoingia Marekani na ulinzi mkali Kombe la Dunia
Mamlaka za Mexico zimeweka kikosi maalumu cha askari wapatao 300 kutoka Jeshi na Kikosi cha...
Ayatullah Amoli Larijani: Istiqama ya taifa imeshinda ‘kiburi kibaya cha US-Israel
Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesifu istiqama na ushujaa wa taifa kubwa la Iran mbele ya "kiburi kibaya" cha Marekani na…
Waziri Mkuu: Pakistani itakuwa mwenyeji wa hafla ya “kihistoria” ya kusaini makubaliano ya Iran na Marekani mjini Geneva, Juni 19
Waziri Mkuu wa Pakistani, Shehbaz Sharif amesema kuwa hafla ya kutia saini Mkataba wa Maelewano kati ya Iran na Marekani (MOU) itaandaliwa na nchi yake mjini Geneva, Juni 19 mwaka…
Baada ya Trump kusherekea bethidei yake ya 80, sasa umri na afya ndio kiini cha mjadala wa kisiasa wa Marekani
Ripoti ya Newsweek inaonyesha kwamba kutimiza umri wa miaka 80 Rais wa Marekani Donald Trump kumerejesha mjadala wa umri na afya ya rais katika mstari wa mbele wa malumbano ya…
Tel Aviv inawakera hata washirika wake, Ufaransa yalituhumu shirika la Israel kuingia mambo ya ndani ya nchi hiyo
Baada ya takriban mwezi mmoja wa uchunguzi rasmi, Paris imeituhumu kampuni ya Israel kwa kuingilia uchaguzi uliopita nchini Ufaransa, na imetaka maelezo kutoka Tel Aviv kuhusu suala hilo.
Uingereza kupiga marufuku watoto wa chini ya miaka 16 kutumia mitandao ya kijamii
Waziri Mkuu wa Uingereza jana alisema nchi hiyo itapiga marufuku watoto walio na umri wa chini ya miaka 16 kutumia programu mbalimbali za mitandao ya kijamii ikiwa ni pamoja na…
Marekani na Iran zatia saini makubaliano ya kusitisha vita
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa makubaliano hayo tayari yamesainiwa na Mlango-Bahari wa Hormuz unatarajiwa kufunguliwa kuanzia Ijumaa, ingawa bado kuna sintofahamu kuhusu vipengele na masharti kamili ya makubaliano…
Mwamnyeto aona mwanga Yanga
NAHODHA wa Yanga, Bakari Mwamnyeto amesema ushindi walioupata dhidi ya Mashujaa wa mabao 2-0 umezidi kuwaongezea morali ya kupambana na kuyasogelea malengo ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu…
Mkenya awindwa Kagera Sugar
BAADA ya Kagera Sugar kujihakikishia kucheza Ligi Kuu Bara msimu wa 2026-2027, timu hiyo imeanza kumfuatilia mshambuliaji wa Fortune Sacco FC, Mkenya Collins Maina baada ya kikosi hicho cha Wanankurukumbi…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 16, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Watatu waitwa mezani Namungo
WAKATI Namungo ikibakiwa na mechi nne za kuhitimisha msimu wa 2025-2026 wa Ligi Kuu Bara, uongozi wa klabu hiyo umeanza mazungumzo na wachezaji wake watatu ili kuongeza mikataba baada ya…
Yanga yaitaka Azam FC Zanzibar katika vita ya ubingwa
Mchezo ujao wa Yanga itakuwa ugenini Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha itakapokuwa mgeni wa Fountain Gate inayofundishwa na Fred Felix Minziro aliyewahi kuichezea Yanga nafasi ya beki wa…
Mkenda Cup yawasha moto Rombo, timu 118 kushiriki
Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro inatarajiwa kushuhudia ushindani mkubwa wa soka mwaka huu...
Wengi waliiona Cape Verde kama timu ndogo tu kwenye World Cup lakini “Blue Sharks” wameamua kuushangaza ulimwengu 🌍⚽🔥
Wengi waliiona Cape Verde kama timu ndogo tu kwenye World Cup lakini “Blue Sharks” wameamua kuushangaza ulimwengu 🌍⚽🔥 Nchi yenye watu tqkribani laki 6 imeingia World Cup kwa mara ya…
Favorable investment climate drives Oryx Energies’ expansion
DAR ES SALAAM : THE Oryx Energies Tanzania has stated that the favorable investment environment created by the government in the oil and gas energy sector has enabled the company…
Stakeholders back fiscal reforms to boost business growth
DAR ES SALAAM: BUSINESS leaders and tax experts have welcomed a series of proposed fiscal reforms contained in the 2026/27 national budget, describing them as positive steps toward improving the…
Safari bajeti za maendeleo zilivyoibadili Tanzania
Katika kipindi cha miaka mitano, Serikali ilitenga zaidi ya Sh trilioni 228 kwenye bajeti zake huku Sh trilioni 76.3 zikielekezwa kwenye maendeleo. Je fedha hizo zimeleta matokeo gani katika maisha…
MCHUMI: Msamaha wa kodi kwa mafuta ya kula utachochea uwekezaji
DAR ES SALAAM: Msamaha wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwa mafuta ya kula yanayozalishwa kwa kutumia mbegu zinazozalishwa ndani ya nchi unatarajiwa kuongeza uwekezaji, ushindani wa viwanda vya…
Huyu ndiye Vozinha kipa wa Cape Verde aliyeiduwaza Hispania
Kipa mkongwe wa timu ya taifa ya Cape Verde, Josimar José Évora Dias maarufu kama Vozinha...
Wazee Chadema kujifungia Singida kujadili mustakabali wa chama
Baraza la Wazee la Chadema) (Bazecha) linatarajiwa kukuketi kwa siku mbili mkoani Singida...
Mbeya City yaisukia ‘ajali’ Simba Ligi Kuu
Wakati pesha ya kutoshuka daraja ikizidi kupanda, Mbeya City imesema ili kukwepa aibu hiyo haitakuwa na mzaha katika mchezo wowote ikianza na Simba Juni 17 kuhakikisha inabaki salama Ligi Kuu…
Mtoto aliyetekwa apatikana hai msituni, baba adaiwa kuhusika
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia kikosi maalumu cha kupambana na uhalifu, limefanikiwa...
Malalamiko ya wananchi kusuasua huduma ya maji yamng’oa kigogo Mwanza
“Sasa naelekeza Katibu Mkuu, Meneja wa Usambazaji Maji asimamiswe mara moja. Haya mambo siyataki.
Yasin Ayari: Mswedeni aliyeitesa Tunisia timu ya baba yake
Mara nyingi soka huandika simulizi ambazo haziwezi kutungwa na mwandishi wa filamu. Ndivyo...
UMEME ULIOCHOCHEA UCHUMI
Miaka mitano iliyopita, haikuwa jambo la ajabu kutembea katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam na kusikia ngurumo za jenereta karibu kila kona. Maduka ya jumla, maghala, karakana, viwanda…
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Benno Malisa amewataka wakazi na wakulima wa wilaya ya Mbarali mkoani humo kutafuta zao mbadala la biasha…
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Benno Malisa amewataka wakazi na wakulima wa wilaya ya Mbarali mkoani humo kutafuta zao mbadala la biashara ili kuongeza wigo wa mapato badala ya kutegemea…
Wenza wanavyoshirikiana asilimia 30 ya bakteria wa tumboni
Utafiti mpya umebaini kuwa watu wanaoishi pamoja kama wanandoa au wapenzi hushirikiana kiasi...
25’ | #KombeLaDunia2026
25’ | #KombeLaDunia2026 Hispania 0-0 Cape Verde LIVE #AzamSports2HD kwa Kiswahili, na #AzamSports4HD kwa Kiingereza #FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 #FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV ##MechiZote104LiveAzamTV #SpainCapeVerde (Feed generated with FetchRSS)
Mvutano wa wahamiaji Afrika Kusini washika kasi, Juni 30 ikikaribia
Katika Jimbo la KwaZulu-Natal, maelfu ya raia wa Malawi wamekimbia makazi yao na kukusanyika...
Hapi: Viongozi CCM tatueni kero za wananchi acheni kushughulikiana
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, amewataka viongozi wa...
Ifahamu programu mpya kupima masikio kupitia kishkwambi
Programu hiyo, ambayo inapatikana bila malipo katika mifumo ya Android na iOS, imeundwa...