ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Kibonzo cha sokwe wa Mashujaa FC chawakosha watangazaji na wachambuzi wa kipindi cha #Viwanjani
ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Kibonzo cha sokwe wa Mashujaa FC chawakosha watangazaji na wachambuzi wa kipindi cha #Viwanjani. Ni kuelekea mchezo wa kesho wa NBC Premier League dhidi ya Pamba Jiji na…
#MEZAHURU: Wakati Ligi kuu ya wanawake ikianza, ilikuwa halali kuwapima jinsia waliotiliwa mashaka
#MEZAHURU: Wakati Ligi kuu ya wanawake ikianza, ilikuwa halali kuwapima jinsia waliotiliwa mashaka
Dk Mwinyi anavyozisaka kura akiendelea kutoa ahadi
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi, ameahidi...
š“HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025
š“HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025
VIWANJANI: Wachambuzi @adrianojames_ na @akingamkono wazichambua mechi za kesho za NBC Premier League
VIWANJANI: Wachambuzi @adrianojames_ na @akingamkono wazichambua mechi za kesho za NBC Premier League. Pamba Jiji itaikaribisha Mashujaa FC, saa 8:00 mchana na Fountain Gate dhidi ya Dodoma Jiji, saa 10:15…
Kuihami Palestina na kuimarisha ushirikiano wa pande kadhaa; Msimamo wa Iran katika Mkutano wa NAM
Sayyid Abbas Araqchi, Waziri wa Mambao ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili Kampala, mji mkuu wa Uganda kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa Mawaziri wa Mambo…
ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Mtangazaji wa soka @ngodaalwatan asimulia namna alivyokuwa anamfuatilia nyota mpya wa Simba Mohamed Baja…
ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Mtangazaji wa soka @ngodaalwatan asimulia namna alivyokuwa anamfuatilia nyota mpya wa Simba Mohamed Bajaber raia wa Kenya ambaye jana alionekana kurejea katika kiwanja cha mazoezi akiungana na wenzake.…
Kuongezeka uraibu wa dawa za kulevya katika jeshi la Israel/Uchokozi wa utawala huo dhidi ya Lebanon waendelea
Taasisi ya Israel ya Al-Sam, inayoshughulikia matibabu ya waraibu wa dawa za kulevya, imefichua katika taarifa yake kwamba asilimia 13 ya wanaopata matibabu ya uraibu katika taasisi hiyo ni askari…
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtama, Nape Moses Nnauye amewataka wananchi wa mji wa Shuka, uliopo jimboni humo kutouza ardhi yao ov…
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtama, Nape Moses Nnauye amewataka wananchi wa mji wa Shuka, uliopo jimboni humo kutouza ardhi yao ovyo, akisisitiza kuwa eneo hilo lina thamani kubwa kutokana…
KMKM vs AZAM FC: āTusije tukawadharau KMKMā
KMKM vs AZAM FC: āTusije tukawadharau KMKMā Tahadhari ikitolewa na mmoja wa mashabiki wa Azam FC, kuhusu mchezo wao Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji wao KMKM. Shabiki huyo…