Israeli yasema inadhibiti 40% ya jiji la Gaza, huku mashambulizi yakitarajiwa kutanuka
Chanzo cha picha, EPA Israeli inadhibiti 40% ya jiji la Gaza, msemaji wa jeshi alisema Alhamisi huku mashambulizi yake yakilazimisha Wapalestina zaidi kutoroka makazi yao na maelfu ya wengine wakikaidi…
UN ina wasiwasi kuhusu ‘kuzorota kwa haki za binadamu’ nchini Mali
Katika taarifa iliyotolewa siku ya Alhamisi, Septemba 4, Volker Türk, Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu, ametoa wito kwa mamlaka mjini Bamako kuchukua “hatua madhubuti na…
DRC: Mlipuko mpya wa Ebola waua Kumi na sita
Mlipuko mpya wa Ebola umetangazwa na mamlaka ya afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kulingana na Wizara ya Afya, takriban vifo kumi na sita vimeripotiwa tangu mwisho wa mwezi…
Tanzania kinara wa mabilionea Afrika Mashariki – Ripoti
Ripoti mpya ya Africa Wealth Report 2025, iinaonyesha kwa sasa, Afrika ina jumla ya mabilionea 25 kutoka nchi 7 pekee, Tanzania ikipenya. Bara hili pia lina centi-milionea 348 (wale wenye…
Mike Tyson na Floyd Mayweather kukutana ulingoni 2026
Kampuni ya yenye kujihusisha na mchezo wa masumbwi, CSI Sports, imetangaza pambano hilo kati ya Tyson, ambaye atatimiza miaka 60 mwaka ujao, na Mayweather mwenye umri wa miaka 48. Hata…
Macron: Mataifa 26 yako tayari kupeleka Jeshi la Ukraine
Macron alitoa kauli hiyo baada ya mkutano uliofanyika jijini Paris wa kile kinachoitwa “Muungano wa Wenye Nia”, kundi la mataifa 35 yanayoiunga mkono Ukraine. Alisema kuwa mataifa 26 kati ya…
05.09.2025
DIRA.BZ05.09.20255 Septemba 2025 Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alisema mataifa 26 washirika wa Ukraine yameahidi kupeleka wanajeshi kama “jeshi la kuhakikisha usalama” kwa taifa hilo+++Baada ya miezi kadhaa ya kuwa…
Zaidi ya miili 370 yapatikana baada ya maporomoko ya ardhi eneo la Darfur, Sudan
Miili zaidi ya 370 imepatikana baada ya maporomoko mabaya ya ardhi yalisababisha vifo vya karibu watu 1,000 Darfur magharibi mwa Sudan, kundi moja la Sudan lilisema siku ya Alhamisi. Ibrahim…
Mapigano ya kikabila Ghana yauwa watu 31, yawahamisha 48,000
Mapigano ya kikabila kaskazini mwa Ghana yaliyotokea mwishoni mwa mwezi uliopita yamesababisha vifo vya watu 31 na kuwafanya karibu wengine 50,000 kuhama makazi yao,
Mlipuko mpya wa Ebola nchini DRC umewaua watu 15
Mamlaka ya afya katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imetangaza mlipuko mpya wa virusi vya Ebola, ambao tayari umesababisha vifo vya watu 15 tangu mwishoni mwa Agosti, Waziri wa…
Israel yalaani kuhusishwa na mauaji ya halaiki Gaza
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel, Oren Marmorstein, kupitia mtandao wa X amesema “Tunalaani vikali madai yasiyo na msingi yaliyotolewa na Makamu wa Rais Mtendaji wa Halmashauri…
DRC yatangaza mlipuko mwingine wa Ebola, watu 15 wafariki
Mlipuko wa Ebola umesababisha vifo vya watu 15, ikiwemo wafanyakazi wanne wa afya, katika eneo la Mweka mkoa wa kusini wa Kasai, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, waziri wa afya…
Jinsi mtiririko haramu wa fedha unavyoathiri ukuaji Afrika
Inakadiriwa kuwa dola bilioni 88 za Marekani, sawa na euro 76 bilioni hutoka Afrika kila mwaka kupitia ukwepaji kodi, utakatishaji fedha na ufisadi, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa. Mwaka…
Viongozi wa Ulaya wazungumza na Trump kuhusu Ukraine
Viongozi wa Ulaya wamezungumza kwa njia ya video na rais wa Marekani Donald Trump baada ya kufanya mkutano na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kuhusu hakikisho la usalama kwa Ukraine…
Xi na Kim waahidi kuimarisha uhusiano katika kikao Beijing
Rais wa China Xi Jinping na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un wamekutana mjini Beijing na kuahidi kuimarisha urafiki wa jadi na ushirikiano kati ya nchi zao. Mazungumzo hayo…
Papa Leo XIV akutana na rais wa Israel Isaac Herzog Vatican
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV amekutana hivi leo na rais wa Israel Isaac Herzog. Viongozi hao wamejadiliana kuhusu hali mbaya katika Ukanda wa Gaza. Papa Leo XIV…
Juhudi za kumaliza mzozo wa Kongo na Rwanda zaimarika
Kikao hicho kiliwahusisha wapatanishi kutoka Qatar, Marekani, Togo na Kamisheni ya Umoja wa Afrika, kwa mujibu wa taarifa ya pamoja iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Jumatano.…
Misri na Sudan: Bwawa la Ethiopia ni kitisho kwa uthabiti
Misri an Sudan zimekubaliana kwamba bwawa la Ethiopia linakiuka sheria ya kimataifa, lina athari mbaya sana kwa nchi hizo mbili upande wa chini na linasimamia kitisho endelevu kwa uthabiti wa…
Misri, Sudan zasema bwawa la Ethiopia ni kithso kwa uthabiti
Misri an Sudan zimekubaliana kwamba bwawa la Ethiopia linakiuka sheria ya kimataifa, lina athari mbaya sana kwa nchi hizo mbili upande wa chini na linasimamia kitisho endelevu kwa uthabiti wa…
Hakuna ushahidi kuhusu vifo vya wagombea wa AfD Ujerumani
Kiongozi wa kanda wa chama cha mrengo wa kulia cha Alternative for Germany (AfD) amesema leo kwamba chama hicho hakina ushahidi kuhusu vifo visivyo vya kawaida baada ya baadhi ya…
Wanamgambo 15 wauwawa katika msitu wa Sambisa Nigeria
Jeshi la anga la Nigeria limewaua wanamgambo zaidi ya 15 wenye msimamo mkali wa kidini katika shambulzi la kutokea angani lililolenga maficho yao kwenye msitu wa Sambisa katika jimbo la…
Vifo vya wagombea 17 nchini Ujerumani vyazua minong’ono
Hivi leo kiongozi wa chama mbadala kwa Ujerumani cha AfD katika jimbo la North Rhine Westphalia amesema chama chake hakina ushahidi kwamba vifo vya wagombea wake vimesababishwa na hali isiyokuwa…
Jean-Pierre Lacroix anatarajiwa mashariki mwa DRC kuzindua upya juhudi za MONUSCO
Jean-Pierre Lacroix, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Operesheni za Ulinzi wa Amani, almewasili Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Jumatano, Septemba 3, kwa ziara ya siku nyingi.…
Togo inakuwa nchi ya kwanza barani Afrika kutoa chanjo ya malaria ya R21 kote nchini
Togo imefikia hatua ya kihistoria kwa kuwa nchi ya 22 barani Afrika kuanzisha chanjo ya malaria ya R21/Matrix-M, kuanzia Septemba 1, 2025. Nchi hiyo ni ya kwanza barani humo kufanya…
Ufaransa: Viongozi wa Ulaya wamfikia Trump baada ya mkutano
Viongozi wa Ulaya wamezungumza na rais wa Marekani Donald Trump baada ya mkutano wao wa kilele na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kuhusu dhamana za usalama kwa Kiev endapo kutakuwa…
UN yalaani hatua ya uongozi wa kijeshi nchini Mali kuahirisha uchaguzi
Volker Turk, Mkuu wa Tume ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Haki za Binadamu, amelaani hatua ya uongozi wa kijeshi nchini Mali, kuahirisha uchaguzi na kuendelea kuwakamata wapinzani na viongozi wa…
Nigeria: Zaidi ya watu 30 wafariki katika ajali ya boti kwenye Mto Malale
Watu zaidi ya 30 wamepoteza maisha katika jimbo la Niger, nchini Nigeria, baada ya boti waliyokuwa wanasafiria kuzama kwenye mto Malale. Imechapishwa: 04/09/2025 – 16:35 Dakika 1 Wakati wa kusoma…
Serikali yakanusha wanajeshi wa Jubaland kuingia Kenya
Akizungumza jimboni Busia Magharibi ya Kenya siku ya Jumatano, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya Kipchumba Murkomen amenukuliwa na vyombo vya habari akieleza kuwa, kauli za uwepo wa majeshi…
Mazungumzo kati ya serikali ya DRC na waasi wa AFC/M23 hayajapiga hatua
Ujumbe wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na ule wa waasi wa AFC/M23, umekuwa jijini Doha kwa wiki tatu sasa kwa ajili ya mazungumzo ya amani, lakini hatua…
Uganda: Teluthi Moja ya watumishi wa umma walitoa rushwa ya fedha kupata ajira
Nchini Uganda, ripoti ya serikali inaonesha kuwa thuluthi moja ya watumishi wa umma, walitoa rushwa ya fedha ili kupata kazi walizonazo. Imechapishwa: 04/09/2025 – 16:12Imehaririwa: 04/09/2025 – 16:53 Dakika 1…
Matumaini na chuki: Jinsi uhamiaji ulivyoibadili Ujerumani
Katika mitaa ya Sonnenallee jijini Berlin, wanaume hukaa nje ya baa za shisha na wanawake waliovalia hijab wakisukuma mikokoteni ya watoto wakipita mbele ya mikahawa na maduka ya vyakula vya…
Mgodi mkubwa wa almasi Lesotho wapunguza asilimia 20 ya wafanyakazi wake
Mgodi mkubwa zaidi wa almasi nchini Lesotho, Letšeng, umewafuta kazi wafanyakazi 240, ikiwa ni sawa na asilimia 20 ya wafanyakazi wake, huku ukipambana na bei ya chini ya vito kutokana…
CHAUMMA wajinadi na sera ya mabadiliko
Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) nchini Tanzania kimewaomba Watanzania kukipa ridhaa ya kuiongoza nchi hiyo, kwa ahadi ya kusukuma mbele vuguvugu la mabadiliko katika nchi hiyo. Akizungumza mjini Morogoro,…
Kenya yasimamisha zoezi la kufukua miili huko Binzaro
Daktari wa serikali ya Kenya Richard Njoroge amesema zoezi la kitaalamu la kukusanya vijinasaba kwa miili hiyo litaanza mara baada ya kukamilika kwa vipimo vya mionzi vya X-ray kwenye miili…
Uturuki kuendelea kuongoza jitihada za amani kumaliza vita kati ya Urusi na Ukraine
Uturuki kuendelea kuongoza jitihada za amani kumaliza vita kati ya Urusi na Ukraine “Diplomasia na mazungumzo kati ya pande zinazohusika yanapaswa kupewa kipaumbele,” alisema Makamu wa Rais wa Uturuki baada…
Mgawanyiko Sudan: Kwa nini serikali pinzani ni mbaya zaidi kuliko nchi iliyo kwenye vita
Eneo la Nyala la Sudan ndiko kulikofanyika sherehe Agosti 31 ambayo itabadilisha muelekeo wa taifa lililokumbwa na mapigano, yaliyochochewa na mfarakano wa kisiasa kuwahi kutokeo tangu kujiondoa kwa Sudan Kusini.…
Uganda yasisitiza itapokea wahamiaji wa Marekani
Mwanasheria Mkuu wa Uganda anasisitiza kuwa nchi hiyo imejitolea kwa makubaliano na Marekani kupokea watu waliofukuzwa kutoka nchi hiyo. Hayo yamethibitishwa Agosti, 2025.Hata hivyo, Uganda inasema makubaliano hayo yana masharti.…
Wingi wa wanawake na nyota njema kwenye uongozi, Zanzibar
Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imethibitisha kuwa wanawake watatu kutoka vyama tofauti vya siasa wamechukua fomu za uteuzi kwa kiti cha urais wa Zanzibar. Hali hii inatoa picha mpya…
Papa Leo XIV atoa wito wa kusitishwa kwa ‘janga la kibinadamu’ Sudan
Pia aliwaombea wahanga wa maporomoko ya ardhi ya hivi majuzi na kuongeza kuwa kuenea kwa kipindupindu kunatishia maisha ya maelfu ya watu ambao “tayari wamechoka.” Zaidi ya watu 1,000 walipoteza…
Wasiwasi wazidi kuongezeka katika mji wa Uvira, DRC
Mashuhuda wanasema kwa siku tatu mfululizo hakuna shughuli zozote zinazofanyika. Masoko, maduka, ofisi zimefungwa, na hata usafiri wa barabarani hakuna. Asasi za kiraia zimeshirikiana na kundi la wapiganaji wanaoitwa Wazalendo…
Afghanistan: Matumaini ya kuwapata manusura hai yanapungua
Msemaji wa serikali ya Taliban, Hamdullah Fitrat amesema miili zaidi bado ipo chini ya vifusi, hivyo huenda idadi ya vifo ikaongezeka. Tetemeko hilo la ukubwa wa 6.0 lilitokea Jumapili usiku…
Ugiriki yaimarisha sheria kwa waomba hifadhi waliokataliwa
Hatua hiyo inadhihirisha msimamo mkali zaidi wa nchi hiyo dhidi ya wahamiaji, kufuatia ongezeko la wakimbizi waliowasili eneo la mipakani kusini mwa nchi hiyo mwaka huu. Nchi hiyo ya bahari…
Zelensky kukutana na viongozi wa Ulaya mjini Paris
Viongozi wa Ulaya na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky wanakutana leo mjini Paris katika jitihada mpya za kuongeza shinikizo kwa rais wa Urusi Vladimir Putin baada ya kiongozi huyo kuapa…
Hamas yasema iko tayari kwa makubaliano
Hamas imesema bado inasubiri majibu kutoka Tel Aviv juu ya pendekezo la hivi punde zaidi lililowasilishwa na wapatanishi wa kimataifa. Israel imeendelea kusisitiza masharti yake kuwa makubaliano yoyote ya kusitisha…
Jeshi la Israel latambua kombora lililorushwa kutokea Yemen
Jeshi la Israel limesema kombora lilivurumishwa kutokea nchini Yemen kuelekea Israel lilianguka katika eneo lililo wazi nje ya himaya ya Israel na hakuna ving’ora vilivyowashwa. Waziri wa ulinzi wa Israel…
Xi Jinping kukutana na Kim Jong Un mjini Beijing
Rais wa China Xi Jinping na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un watakutana kwa mazungumzo mjini Beijing. Hayo yamesemwa leo na serikali ya mjini Beijing wakati kiongozi huyo wa…
Zelensky na Ulaya wakutana kusaka dhamana za usalama
Viongozi wa mataifa ya Magharibi ambayo ni washirika wa Ukraine katika mzozo wake na Urusi, wanakutana Alhamisi mjini Paris Ufaransa na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, kutafuta mpango wa jinsi…
Watu 60 wafa katika ajali ya boti nchini Nigeria
Watu wapatao 60 wamekufa baada ya boti iliyokuwa imewabeba abiria zaidi ya 100 kupinduka katika jimbo la Niger nchini Nigeria. Maafisa wa wilaya ya Malale wamesema, chombo hicho kiliondoka pwani…
Ureno yaomboleza kufuatia ajali iliyoua watu 15 mjini Lisbon
Ureno inafanya maombolezo ya kitaifa ya siku moja hivi leo, baada ya ajali kutokea jana katika mji mkuu Lisbon iliyosababisha vifo vya watu 15. Mamlaka haijatoa taarifa kuhusu watu waliokufa…
Horizon 19: Satelite mpya ya kijasusi ya Israel yenye uwezo wa kipekee duniani
Chanzo cha picha, Israel Foreign Ministry X Maelezo ya picha, Kwa mujibu wa Wizara ya Ulinzi ya Israel, satelaiti ya kijasusi ya “Horizon 19” ilirushwa angani kutoka kituo cha anga…