Waziri wa Ulinzi: Vikosi vya Iran vilipenya mifumo ya ulinzi wa makombora ya Israel
Waziri wa Ulinzi wa Iran amesifu uwezo wa hali ya juu wa kijeshi wa taifa hili wakati wa vita vya siku 12 vya uchokozi vilivyoanzishwa na Marekani na Israel, akisema…
Vipigo 10 visivyosahaulika England – BBC News Swahili
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Bryan Mbeumo alikosa goli ambalo lingewapa ushindi Manchester United dhidi ya Grimsby Maelezo kuhusu taarifa Author, Adam Millington Nafasi, Mwandishi BBC Sport…
Zelensky: Ujumbe wa Ukraine utakutana na maafisa wa Marekani mjini New York Ijumaa
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametangaza siku ya Jumatano kwamba wajumbe wa utawala wake watakutana na maafisa wa Marekani mjini New York siku ya Ijumaa kama sehemu ya juhudi za…
Alkhamisi, tarehe 28 Agosti, 2025
Leo ni Alkhamisi tarehe 4 Rabiul Awwal, mwaka 1447 Hijria, inayosadifiana na tarehe 28 Agosti mwaka 2025. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
Nigeria: Wawili wauawa na zaidi ya mia moja watekwa nyara Zamfara
Watu wenye silaha wamewauwa takriban watu wawili na kuwateka nyara zaidi ya watu 100, wengi wao wakiwa wanawake na watoto, katika shambulio lililotokea katika Jimbo la Zamfara, Nigeria, maafisa wa…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Israel yaendeleza operesheni ya kijeshi Gaza
Jeshi la Israel limeendeleza operesheni zake za kijeshi katika Mji wa Gaza, huku ikiwa katika shinikizo kubwa la kuimaliza operesheni hiyo iliyodumu kwa takribani miaka miwili, ambako Umoja wa Mataifa…
Nchi kadhaa zatoa wito wa kuimarisha Kikosi cha MSS kupambana na magenge nchini Haiti
Kundi la nchi saba, ikiwa ni pamoja na Marekani, limeliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatano kuimarisha kikosi cha kimataifa kilichopewa jukumu la kupambana na ghasia…
Kampeni za uchaguzi wa urais wa mwezi Oktoba zaanza rasimi Tanzania
Vyama 17 kati ya 18 vimetimiza masharti ya kuanza kampeni za urais kabla ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 nchini Tanzania. Wagombea walioteuliwa na tume huru ya uchaguzi INEC wamepewa…
Kukanusha kukaribia kusainiwa makubaliano ya usalama kati ya serikali ya mpito ya Syria na utawala wa Israel
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya serikali ya mpito ya Syria siku ya Jumamosi ilikanusha habari iliyochapishwa kuhusu kukaribia kusainiwa kwa makubaliano ya usalama kati ya Damascus na utawala wa…
Umoja wa Mataifa una wasiwasi kuhusu njaa Gaza
Katika mkutano wa Jumatano, wanachama wa baraza hilo wameonya kwamba kutumia njaa kama silaha ya kivita ni kinyume na sheria za kimataifa za kiutu. Wameelezea tahadhari na masikitiko yao makubwa…
🔴KUMEKUCHA:UZINDUZI KAMPENI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU….AGOSTI 28, 2025
🔴KUMEKUCHA:UZINDUZI KAMPENI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU….AGOSTI 28, 2025
#SWALILAKIPIMAJOTO:”Malori yanayosafirisha Makontena ya mizigo ndani na nje ya nchi
#SWALILAKIPIMAJOTO:”Malori yanayosafirisha Makontena ya mizigo ndani na nje ya nchi. Je, Mamlaka zinakagua ili kudhibiti ufungaji wa loki ipasavyo kuepusha majanga?
Kampeni za uchaguzi mkuu Tanzania kuanza rasmi leo
Chanzo cha picha, CCM Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka huu zimeanza rasmi leo, kwa mujibu wa ratiba ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC). Hata hivyo, uchaguzi…
Zelensky: Maafisa wa Marekani na Ukraine kukutana Ijumaa
Akilihutubia taifa kwa njia ya video Jumatano usiku, Zelensky amesema Mkuu wa Ofisi ya Rais wa Ukraine, Andriy Yermak na Katibu wa Baraza la Usalama na Ulinzi wa Taifa, Rustem…
🔴MAGAZETI: CCM YALIAMSHA YAANZA NA MIKOA MITATU..AGOSTI 28, 2025
🔴MAGAZETI: CCM YALIAMSHA YAANZA NA MIKOA MITATU..AGOSTI 28, 2025
Watu 5 wameuawa kwenye mapigano kati ya Kongo na Wazalendo
Duru za kijeshi zimeeleza kuwa mapigano hayo yalizuka siku ya Jumanne katika mpaka wa Kavimvira, karibu na Uvira. Msemaji wa jeshi la Kongo katika jimbo la Kivu Kusini, Reagan Mbuyi…
Nchi kadhaa zataka kuongezwa kikosi cha kimataifa Haiti
Kulingana na barua iliyoonekana na Shirika la Habari la Ufaransa, AFP, nchi hizo zitaunda ”kundi la washirika” kwa ajili ya kusimamia ujumbe huo ambao uliidhinishwa kwa mara ya kwanza na…
Watu wenye silaha waua watu wawili na kuwateka 100 Nigeria
Maafisa na viongozi wa eneo hilo wamesema kuwa washambuliaji walikivamia kijiji cha Gamdum Mallam huko Adafka Bukkuyum siku ya Jumamosi, wakiwa wanaendesha pikipiki na kuanza kufyatua hovyo risasi. Mwenyekiti wa…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa: Ni wakati wa kuchukua hatua; tunahitaji usitishaji mapigano mara moja Gaza
Msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amesema kuhusiana na tangazo rasmi la mgogoro wa baa la njaa huko Gaza, kwamba anaamini…
Kiongozi Muadhamu: Iran itasimama kidete dhidi ya matakwa ya Marekani
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema Marekani inahujumu na kukabiliana na Iran kwa sababu inataka taifa hili liwe tiifu kwake, lakini wananchi wa Jamhuri ya…
Jaribio la Wazayuni la kumuua kigaidi Mkuu wa Majeshi ya Yemen lagonga mwamba
Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeripoti habari ya kufeli jaribio la utawala haramu wa Israel la kumuua Mkuu wa Majeshi ya Yemen, kwa mara ya pili sasa. BONYEZA HAPA USOME…
Mkwamo wa soka la Wanawake visiwani Zanzibar
Najjat Omar28.08.202528 Agosti 2025 Soka la wanawake Zanzibar linakumbwa na changamoto kadhaa zinazozuia ukuaji wake licha ya vipaji vilivyopo visiwani humo. Hali ya uwekezaji duni imeathiri pakubwa ustawi wa wachezaji,…
Mwelekeo wa magari ya umeme EVs nchini Kenya
28.08.202528 Agosti 2025 Magari ya umeme nchini Kenya yanaanza kuchukua nafasi kubwa katika sekta ya usafiri huku juhudi za serikali na kampuni binafsi zikichochea mabadiliko kuelekea nishati jadidifu. Hata hivyo…
28.08.2025
SK2 / S02S28.08.202528 Agosti 2025 Urusi imefanya mashambulizi makubwa ya droni na makombora yaliyoulenga mji wa Kyiv ambako takriban watu 14 wameuawa+++Rwanda na Msumbiji zimetia saini makubaliano ya “amani na…
Matangazo ya Asubuhi 28.08.2025
28.08.202528 Agosti 2025 Jeshi la Israel limeendeleza operesheni zake za kijeshi katika Mji wa Gaza // Wanasiasa wa Iraq wanalenga kufanya mageuzi ya sheria inayowahusu wanamgambo walio nje ya udhibiti…
TICAD inaimarisha vipi nafasi ya Afrika katika siasa na uchumi wa dunia?
Mkutano wa 9 wa Kimataifa wa Maendeleo ya Afrika, Tokyo International Conference on African Development (TICAD), ulimalizika Ijumaa, Agosti 22 kwa kusainiwa mikataba takriban 300 ya ushirikiano kati ya taasisi…
Je, kustawishwa ushirikiano wa Russia na India ni jibu kwa sera ya mashinikizo ya Trump?
Sambamba na mashinikizo ya utawala wa Trump dhidi ya India ili ipunguze uhusiano wake na Russia, Waziri wa Mambo ya Nje wa India alisafiri hadi Moscow na kukutana na kufanya…
Jumatano, tarehe 27 Agosti, 2025
Leo ni Jumatano tarehe 3 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1447 Hijria sawa na Agosti 27 mwaka 2025. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
Ugonjwa wa kipindupindu wauwa watu 63 mashariki mwa Chad
Watu wasiopungua 63 wamepoteza maisha kwa ugonjwa wa kipindupindu katika jimbo la Ouaddai mashariki mwa Chad tangu katikati ya mwezi Julai mwaka huu. Taraifa hii imetolewa na Wizara ya Afya…
Zaidi ya mabalozi 206 wa zamani wa EU wataka Israel ichukuliwe hatua kali
Zaidi ya mabalozi 200 wa zamani wa Umoja wa Ulaya na maafisa wa ngazi ya juu jana Jumanne waliituhumu Brussels kwa kushindwa kuchukua hatua za kukabiliana na hali mbaya ya…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 27, AGOSTI 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 27, AGOSTI 2025
Venezuela yapeleka meli za kivita, ndege zisizo na rubani pwani, wakati kikosi cha wanamaji cha Marekani kikikaribia
Venezuela imetangaza kuwa imepeleka meli za kivita na ndege zisizo na rubani kwenye eneo lake la maji na kufanya doria kwenye ufuo wa pwani ya nchi hiyo ili kukabiliana na…
Hamas yakadhibisha madai ya kuuawa kigaidi Khalil al-Hayya
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepinga madai ya utawala haramu wa Israel kwamba umemuua kigaidi Khalil al-Hayya, mmoja wa viongozi waandamizi wa kundi hilo la Muqawama. BONYEZA…
#HABARI: Rais William Ruto ameongoza Wakenya katika Maadhimisho ya kwanza ya siku ya katiba, siku ambayo Wakenya walipiga kura n…
#HABARI: Rais William Ruto ameongoza Wakenya katika Maadhimisho ya kwanza ya siku ya katiba, siku ambayo Wakenya walipiga kura na kupitisha Katiba ya mwaka Katiba ambayo ilitambulika kama moja ya…
Rais wa Sudan Kusini atuhumiwa kwa upendeleo baada ya kumteuwa binti yake katika cheo cha juu serikalini
Adut Salva Kiir, binti wa Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ameteuliwa na baba yake kuwa Mjumbe wa Rais Anayehusika na Mipango Maalumu, kazi ambayo awali ilikuwa inafanywa na Makamu…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel akiri kutengwa utawala huo kisiasa
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kutengwa na kuzingirwa kisiasa utawala huo katika ngazi za kimataifa. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 27, 2025 – TUME YATENGUA UTEUZI WA MGOMBEA WA ACT WAZALENDO LUHAGA MPINA
🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 27, 2025 – TUME YATENGUA UTEUZI WA MGOMBEA WA ACT WAZALENDO LUHAGA MPINA
Abbas Araghchi: Wakaguzi wa IAEA wanaingia nchini kwa uamuzi wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuingia nchini kwa wakaguzi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA ni uamuzi uliochukuliwa na…
Sisitizo la Malaysia juu ya uungaji mkono endelevu kwa Palestina
Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Malaysia amesema kuwa, nchi hiyo itadhibiti na kusimamia vilivyo vitisho au ugaidi wowote unaohusiana na suala la uungaji mkono wa Kuala Lumpur kwa…
#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Kigamboni, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg
#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Kigamboni, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Haran Sanga, amechukua fomu Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Wilaya ya Kigamboni na kuomba kuteuliwa kuwania…
Baa la njaa ni nini? Wataalamu wa afya wafafanua
Ripoti hiyo ya IPC iliyochapishwa Ijumaa iliyopita imesema zaidi ya watu nusu milioni huko Gaza sio tu wamenaswa kwenye baa la njaa, bali pia wanakabiliwa na mateso yatokanayo na kukosa…
#HABARI: Wakulima wa Zao la Tumbaku katika Wilaya ya Namtumbo, mkoani Ruvuma, wametakiwa kuacha tabia ya kuchanganya maji kwenye…
#HABARI: Wakulima wa Zao la Tumbaku katika Wilaya ya Namtumbo, mkoani Ruvuma, wametakiwa kuacha tabia ya kuchanganya maji kwenye Tumbaku kwa lengo la kuiongezea uzito na kwamba kitendo hicho kinaharibu…
Trump apingwa baada ya kudai kuvimaliza vita vya Kongo
Mnamo Jumatatu ya wiki hii, Trump alirudia madai kwamba ameumaliza mzozo huo uliodumu kwa miongo kadhaa huku akiielezea Kongo kama taifa la Afrika lililoko gizani. “Nimevimaliza vita saba, vita vilivyokuwa…
#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Muleba Kaskazini, mkoani Kagera, Adonis Alfred Bitegeko, amerejesha fomu ya kupeperusha bendela…
#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Muleba Kaskazini, mkoani Kagera, Adonis Alfred Bitegeko, amerejesha fomu ya kupeperusha bendela ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Mwaka 2025 – 2030. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania…
#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Bw
#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Bw. Raymond Mndolwa, amewataka watumishi wapya wa NIRC kutumia maarifa na ujuzi walionao ili kufanikisha malengo ya Tume na kuzingatia…
Hamas: Kitendo cha utawala wa Kizayuni kukataa kukabidhi miili ya mashahidi wa Kipalestina kinaonyesha ukatili
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeashiria kuwa, utawala ghasibu wa Israel umekataa kukabidhi maiti 726 za mashahidi wa Kipalestina na kukitaja kitendo hicho kuwa jinai na ukatili…
Netanyahu ashtumiwa kwa matamshi kuhusu mauaji ya Armenia
Wizara hiyo ya mambo ya nje ya Uturuki, imesema taarifa ya Netanyahu kuhusu matukio ya mwaka 1915 ni jaribio la kutumia mikasa ya zamani kwa sababu za kisiasa. Wizara hiyo…
Urusi yakataa kupelekwa kwa vikosi vya Ulaya nchini Ukraine
Msemaji wa ikulu ya Kremlin Dmitry Peskov, amesema wana mtazamo mbaya kuhusu mijadala ya uwezekano wa kikosi cha kulinda amani cha Ulaya kama sehemu ya makubaliano ya kumaliza vita vya…