🔴HABARI ZA SAA: SAA NNE NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA NNE NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
Uganda: Polisi wapaza sauti kuelekea kampeni ya uchaguzi wa rais wa Januari 12
Mgombea yeyote ambaye atakosa kufuata miongozo ya uchaguzi atakamatwa, vikosi vya usalama vimetangaza siku ya Jumanne, Agosti 26. Onyo hili limesababisha mara moja baadhi ya watu kushutumu kuwa ni matumizi…
Afrika Kusini yawaonya vijana wake kuhusu ofa za kazi bandia nchini Urusi
Mamlaka za Afrika Kusini zinawaonya vijana wa Afrika Kusini kuhusu ofa za kazi bandia nje ya nchi. Onyo hili linakuja baada ya video kusambaa kwenye mitandao ya kijamii: mshawishi alikuwa…
Ufaransa yarejesha mafuvu ya vichwa Madagascar miaka 127 baada ya mauaji ya kikoloni
Ufaransa jana Jumanne ilirejesha mafuvu matatu nchini Madagascar, likiwemo moja linaloaminika kuwa la mfalme aliyekatwa kichwa na wanajeshi wa Ufaransa kufuatia mauaji ya Agosti 1897. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Salim Alaudin Hasham, amepokelewa na wananchi pamoja na wanachama wa Chama Cha Map…
#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Salim Alaudin Hasham, amepokelewa na wananchi pamoja na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya…
🔴HABARI ZA SAA: SAA TATU NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA TATU NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
Tetesi za soka Jumatano: Isak awagomea mabosi Newcastle, asisistiza kuondoka
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Alexander Isak Saa 3 zilizopita Mshambuliaji wa Sweden Alexander Isak, mwenye umri wa miaka 25, ameiambia Newcastle kwamba bado anataka kuondoka na…
DRC: FARDC na wasaidizi wake wa Wazalendo wakabiliana Uvira
Jeshi la DRC, FARC linaendelea kusakamwa na wasaizi wake kutoka kutoka makundi ya Wazalendo. Makabiliano yametokea tena siku ya Jumanne, Agosti 26, huko Uvira, Kivu Kusini. Imechapishwa: 27/08/2025 – 08:50…
Mrengo wa upinzani Somalia wafikia makubaliano na serikali kuhusu uchaguzi
Mrengo uliojitenga na muungano mkuu wa upinzani nchini Somalia wa Salvation Forum umetia saini makubaliano ya uchaguzi na Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia, na hivyo kutoa pigo kubwa kwa…
Ufaransa-Senegal: Changamoto za mkutano kati ya Emmanuel Macron na Bassirou Diomaye Faye Paris
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron atampokea mwenzake wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, katika Ikulu ya Élysée leo Jumatano, Agosti 27. Ziara hii ya kiserikali inatarajiwa kufunguwa ukurasa mpya ya uhusiano…
Kuchukuliwa mateka kwa wanajeshi 34 kunathibitisha kiwango cha juu cha ghasia nchini Colombia
Nchini Colombia, mapigano na mivutano na makundi yaliyojitenga ya FARC yanaendelea. Siku ya Jumanne, Agosti 26, Waziri wa Ulinzi amethibitisha kwamba wanajeshi 34 wamechukuliwa mateka katika eneo la Guaviare, kusini…
“Kwa nini Syria ina haki ya kuzungumza na Israel?” – Magazetini
Chanzo cha picha, Reuters Maelezo ya picha, Rais wa mpito wa Syria, Ahmed al-Sharaa Saa 2 zilizopita Huku kukiwa na misukosuko ya kisiasa nchini Syria, waandishi katika magazeti ya kimataifa…
Chama cha Soka Palestina: Wanasoka 355 wameuawa shahidi na Israel
Mkuu wa Shirikisho la Soka la Palestina amekosoa uzembe wa Shirikisho la Soka Duniani FIFA na taasisi za kimataifa na kutaka kuchukuliwa hatua za haraka dhidi ya hujuma za utawala…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: BONGO FLEVA NJE YA MIPAKA…AGOSTI 27, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: BONGO FLEVA NJE YA MIPAKA…AGOSTI 27, 2025
#HABARI: Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inatarajiwa leo, Jumatano Agosti 27, 2025, kufanya zoezi la uteuzi wa wagombea wa…
#HABARI: Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inatarajiwa leo, Jumatano Agosti 27, 2025, kufanya zoezi la uteuzi wa wagombea wa nafasi ya Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri…
🔴HABARI ZA SAA: SAA MBILI NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA MBILI NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
DRC: Qatar yahakikisha kuhusu mazungumzo yanayoendelea Doha kati ya Kinshasa na M23
Wakati bado kuna mkanganyiko kuhusu mazungumzo kati ya serikali ya Kongo na waasi wa AFC/M23, ambayo yalianza tena mjini Doha mnamo Agosti 20, diplomasia ya Qatar imevunja ukimya wake siku…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Madaktari wapandikiza mapafu ya nguruwe kwa binadamu: Nini kinafuata baadae?
Madaktari bingwa wa upasuaji nchini China wamefanya upandikizaji wa kwanza kabisa wa pafu la nguruwe lililobadilishwa vinasaba ndani ya mtu ambaye ubongo wake umepoteza uwezo wa kufanya kazi. Imechapishwa: 27/08/2025…
Mabilionea wajenga makazi ya siri ya kifahari ardhini kukwepa vita na mabadiliko ya tabianchi
Chanzo cha picha, SAFE Dakika 12 zilizopita Mabilionea ulimwenguni wanakumbatia dhana mpya katika ujenzi wa makazi yaliyoundwa mahususi ili kuwalinda mabilionea hawa dhidi ya hatari inayowezekana inayosababishwa na vita, athari…
Uchunguzi wa maoni: Wanajeshi wengi wa Israel wanapinga kuendezwa mashambulizi dhidi ya Gaza
Kwa mujibu wa matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uuliyochapishwa Jumatatu wiki hii na Taasisi ya Utafiti ya Agam, Wazayuni walio wengi wanakubaliana kwa kauli moja katika suala la kuhitimishwa…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: MADAGASCAR YATINGA FAINALI CHAN….AGOSTI 27, 2025
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: MADAGASCAR YATINGA FAINALI CHAN….AGOSTI 27, 2025
Mkuu wa UNHCR anasema DRC na Rwanda zimekubaliana kuhusu kurejea kwa wakimbizi
Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, amesema siku ya Jumanne kwamba Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda zimekubali kuwarejesha makwao wakimbizi wawalitoroka makazi yao…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
#KIPIMAJOTO : Kupunguza Kodi ya Vitenge kutoka nje ya nchi
#KIPIMAJOTO : Kupunguza Kodi ya Vitenge kutoka nje ya nchi. Je, kutakomesha biashara ya magendo ya bidhaa hiyo?
CHAN 2024: Madagascar kuvaana na Morocco katika fainali
Sudan, inayofundishwa na kocha kutoka Ghana Kwesi Appiah, ilicheza nusu fainali yao ya tatu baada ya kushindwa kupenya katika hatua hiyo mwaka wa 2011 na 2018. Walijaribu kutumia faida ya…
Qatar: Mpira uko katika uwanja wa Israel; Tel Aviv haitaki kufikia mapatano
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar ameeleza kuwa, hivi sasa mpira uko katika uwanja wa utawala wa Kizayuni wa Israel na inaonekana kuwa Tel Aviv haitaki kufikia…
Mkuu wa UNHCR asema Kongo, Rwanda kuwarejesha wakimbizi
Tamko hilo la Grandi akiwa mjini Kinshasa, limejiri wakati mivutano ikiendelea kati ya Kongo na Rwanda, licha ya kuwepo mpango wa amaniuliosimamiwa na Marekani ambao nchi hizo mbili jirani zilitia…
Mazungumzo ya nyuklia ya Iran yakamilika bila mafanikio
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Ismail Baghai, ameiambia televisheni ya taifa kuwa pande hizo mbili zilibadilishana maoni wakati wa mkutano wa Geneva. Bila mafanikio, mzozo juu…
Wagombea urais, ubunge, udiwani Tanzania kujulikana leo
Kwa mujibu wa Tume huru ya taifa ya uchaguzi (INEC), uteuzi wa wagombea utafanyika kati ya saa 1.30 mpaka saa 10:00 alasiri. Source link
China: Madaktari wampandikiza binadamu mapafu ya nguruwe
Wanasema hilo linaoyesha uwezekano wa mafanikio katika upasuaji huo – hata kama majaribio makubwa zaidi bado yanahitajika. Kwa mujibu wa Taasisi ya Utafiti wa magonjwa ya njia ya hewa ya…
Jumatatu, Agosti 25, 2025
Leo Jumatatu tarehe Mosi Mfunguo Sita Rabiul Awwal mwaka 1447 Hijria, sawa na Agosti 25 mwaka 2025. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
🔴MAGAZETI: RAIS SAMIA ATOA MAAGIZO MAZITO KWA MAKALLA / MAMBO 3 KITASA KIPYA..AGOSTI 27, 2025
🔴MAGAZETI: RAIS SAMIA ATOA MAAGIZO MAZITO KWA MAKALLA / MAMBO 3 KITASA KIPYA..AGOSTI 27, 2025
Macron akanusha madai ya kuongezeka kwa chuki dhidi ya Wayuhudi
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, amekanusha kwa nguvu zote, madai ya Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu kuhusu kuongezeka kwa vitendo vya chuki na ubaguzi dhidi ya Wayahudi katika nchi…
Israel: Shambulizi la hospitali liliilenga kamera ya Hamas
Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi, askari waliamua kuchukua hatua dhidi ya kamera hiyo, na kuongeza kuwa wakati sita kati ya waliouawa walikuwa “magaidi,” jeshi “linajutia” madhara yoyote yaliyosababishwa kwa…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – AGOSTI 2, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – AGOSTI 2, 2025
Hamas yapongeza 'ujasiri' wa mawaziri wa Uholanzi kujiuzulu juu ya Gaza
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imepongeza hatua ya kujiuzulu mawaziri kadhaa wa Uholanzi, akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Caspar Veldkamp, kujibu hatua ya…
OIC leo inajadili mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza na kuunganisha pamoja misimamo
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) wanafanya mkutano wa dharura leo Jumatatu katika mji wa Jeddah nchini Saudi Arabia kujadili vita vya mauaji ya…
27.08.2025 Matangazo ya Mchana
SK2 / S02S27.08.202527 Agosti 2025 Tume huru ya uchaguzi nchini Tanzania (INEC) imekiandikia chama cha upinzani cha ACT Wazalendo kuwa hakitaweza kumteua mgombea wa urais kupitia chama hicho, Luhaga Mpina//…
27.08.2025 Matangazo ya Asubuhi
DIRA.BZ27.08.202527 Agosti 2025 Nchi za Magharibi ambazo ni washirika wakuu wa Kiev, zimekuwa zikijadili uwezekano wa kupelekwa kwa wanajeshi nchini Ukraine// Uhaba wa maji unaotokana na ongezeko la viwango vya…
27.08.2025 Taarifa ya Habari Asubuhi
DIRA.BZ27.08.202527 Agosti 2025 Jeshi la Israel lasema shambulizi la hospitali ya Nasser liliilenga kamera ya Hamas // Mazungumzo ya nyuklia yaliyofanyika Geneva yakamilika bila mafanikio // Na Morocco kuvaana na…
Wanahabari wa Afrika waunda Muungano wa Kupinga Mauaji ya Kimbari ya Israel Gaza
Waandishi wa habari kutoka bara zima la Afrika wamezindua muungano uliopewa jina la ‘African Journalists Against Genocide (AJAG)’ wenye lengo la kupinga kile wanachoeleza kuwa ni mauaji ya kimbari ya…
Je, ushirikiano wa kijeshi wa Marekani na Nigeria unaongeza hatari ya ukiukaji wa haki za binadamu?
Hivi karibuni Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilitangaza kuwa ili kuisaidia Nigeria katika mapambano dhidi ya makundi ya kigaidi, imekubali kuiuzia nchi hiyo silaha zenye thamani ya takriban…
Ufaransa 'yamjia juu' balozi wa US Paris kwa kuituhumu kuwa inahatarisha maisha ya Mayahudi
Ufaransa imemwita balozi wa Marekani nchini humo Charles Kushner, baada ya mwanadiplomasia huyo kumwandikia barua Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa akidai kwamba Paris imeshindwa kuchukua hatua za kutosha kukomesha vitendo…
Uganda: Upinzani wakosoa makubaliano ya kupokea wahamiaji
Maafisa wa Uganda hawajatoa maelezo ya kina kuhusu makubaliano hayo na Marekani ingawa walisema wanapendelea kupokea wahamiaji waliotoka barani Afrika na hawataki watu wenye rekodi za uhalifu. Uganda inapendekezwa kumpokea…
EU yasisitiza kuiunga mkono "kwa dhati" ICC baada ya US kuwawekea vikwazo waendesha mashtaka 2
Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema “amesikitishwa sana” na uamuzi wa Marekani wa kuwawekea vikwazo maafisa wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC). BONYEZA HAPA USOME…
Hali yaripotiwa kurejea ya kawaida mjini Uvira, DR Kongo
Ukiwa unapatikana kwenye kwenye mwambao wa Ziwa Tanganyika, mji wa Uvira ni mji wa pili kwa jimbo la Kivu Kusini na wenye umuhimu mkubwa wa kiuchumi si tu kwa Jamhuri…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 26, AGOSTI 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 26, AGOSTI 2025
Mawaziri wa kizayuni watoa msimamo kuhusu Ghaza: "Wazingireni, waacheni wafe kwa njaa"
Mawaziri wa utawala wa kizayuni wa Israel wenye misimamo mikali ya chuki wametetea waziwazi hatua ya kuwatesa kwa njaa Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
#HABARI: Wilyaya ya Singida imeweka mkakati kati ya VETA na Jeshi la Magereza, Wilaya ya Singida, ili kuhakikisha wafungwa w…
#HABARI: Wilyaya ya Singida imeweka mkakati kati ya VETA na Jeshi la Magereza, Wilaya ya Singida, ili kuhakikisha wafungwa wanapatiwa mafunzo ya muda mfupi ya ufundi stadi, ili wanapo maliza…