Dk Mwinyi aahidi kushughulikia changamoto za wenye ulemavu
Mgombea huyo wa urais wa Zanzibar ambaye anatetea nafasi hiyo kwa kipindi cha pili, amesema kwa...
‘Je, huu ndio mwanzo wa mwisho wa Netanyahu’ – The Independent
Tahariri za magazeti: Tuanze kwa kuangazia yaliokuwepo kwenye gazeti la The Independent, ambalo tahariri yake iliitwa "Ziara ya Ushindi ya Trump, na Mwanzo wa Mwisho wa Netanyahu."
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
Wadau wajadili mabadiliko ya ufadhili, mwelekeo wa utekelezaji Dira 2050
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
#HABARI: Mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, Bi Anna Mary Polepole akiwa baadhi ya ndugu …
#HABARI: Mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, Bi Anna Mary Polepole akiwa baadhi ya ndugu wa Polepole katika viunga vya Mahakama Kuu Masjala ndogo ya…
TFF yaufungia Sokoine, Liti, timu nne kutafuta makazi mapya
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limevifungia viwanja viwili kutumika kwa mechi za Ligi Kuu Bara na Ligi ya Championship kutokana na kukosa vigezo vya kikanuni na sheria za…
Michuano ya PFL Africa inazidi kushika kasi na sasa ni hatua ya nusu fainali kutafuta mabondia watakaofuzu hatua ya fainali
Michuano ya PFL Africa inazidi kushika kasi na sasa ni hatua ya nusu fainali kutafuta mabondia watakaofuzu hatua ya fainali. Ni Jumamosi hii jijini Kigali, Rwanda utapata kushuhudia jumla ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
Safari ya siasa ya Raila Odinga
Safari ya Raila Odinga katika siasa ilianza miongo kadhaa iliyopita.
#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) iliyokuwa inaendelea katika Mahak…
#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) iliyokuwa inaendelea katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirishwa hadi kesho Oktoba 16, 2025.…
#HABARI: Rais wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mheshimiwa Raila A…
#HABARI: Rais wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mheshimiwa Raila Amolo Odinga, na kwamba taifa limempoteza kiongozi mahiri, Mwanamajumui wa Afrika, mpenda…
TFF yapiga kufuli Viwanja vya Liti na Sokoine
Siku tano baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuufungulia Uwanja wa Ali Hassan...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtama kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amewasihi vijana na Watanzania kwa ujumla,…
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtama kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amewasihi vijana na Watanzania kwa ujumla, kuepuka kushawishika na kuingia katika migogoro ya kisiasa ambayo…
Wiki hii ndani ya Kisimbuzi chako cha AzamTV
Wiki hii ndani ya Kisimbuzi chako cha AzamTV. Yanga na Simba watakuwa viwanja vya ugenini katika mechi za ligi ya mabingwa Afrika kuwania hatua ya Makundi. AzamFC na Singida BS…
#TANZIA: Baada ya taarifa za Kifo cha Waziri Mkuu wa zamani nchini Kenya Raila Odinga waombolezaji wamefika Nyumbani kwa Raila e…
#TANZIA: Baada ya taarifa za Kifo cha Waziri Mkuu wa zamani nchini Kenya Raila Odinga waombolezaji wamefika Nyumbani kwa Raila eneo la Bondo. Rais wa Kenya William Ruto, anatarajiwa kuhutubia…
Raila Odinga Afariki Dunia:Taifa na bara la Afrika lapoteza kiongozi shupavu
Nairobi – Kenya imepata pigo kubwa kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani na mwanasiasa mashuhuri, Raila Amolo Odinga, ambaye alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 80. Kwa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
#HABARI: Mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM wilayani Kalambo mkoani Rukwa Ndugu Edifonce Kanoni, amesema andapo akic…
#HABARI: Mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM wilayani Kalambo mkoani Rukwa Ndugu Edifonce Kanoni, amesema andapo akichaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo, atahakikisha anamalizia ujenzi wa masoko yaliyojengwa kwa…
#MEZAHURU: Je kitu gani kifanyike kuweka ulinzi kwa watoto juu ya vitu hatarishi kwenye mazingira yetu nyumbani.?
#MEZAHURU: Je kitu gani kifanyike kuweka ulinzi kwa watoto juu ya vitu hatarishi kwenye mazingira yetu nyumbani.?
Jinai za Marekani nchini Syria
Marekani imekuwa nchini Syria tangu mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na ISIS na imefanya jinai nyingi nchini humo.
Mtoto wa Mjini – 4
Akaweka mkazo katika ujuzi huo akaenda kusoma katika chuo cha udereva hadi akapata leseni ya udereva. Muddy akaanza kuendesha daladala kwa muda mrefu, hapo alipata mafanikio kwa kiasi fulani...
Lukaku atangaza kutomzika baba yake
Nyota wa Napoli, Romelu Lukaku amesema kuwa yeye na mdogo wake Jordan Lukaku watashindwa...
Kila mwaka ifikapo Oktoba 15, dunia huadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake wanaoishi vijijini
Kila mwaka ifikapo Oktoba 15, dunia huadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake wanaoishi vijijini. Maadhimisho haya yanalenga kutambua mchango mkubwa wa wanawake wa vijijini katika nyanja mbalimbali, ikiwemo uchumi, uzalishaji…
“…Taifa halijagawanyika… anayefikiri limegawanyika, yeye mwenyewe ndiye amegawanyika…” – Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen …
“…Taifa halijagawanyika… anayefikiri limegawanyika, yeye mwenyewe ndiye amegawanyika…” - Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, akielezea hali ya siasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 19. #AzamTVUpdates Mhariri | John…
Waziri Mkuu wa zamani Kenya, Raila Odinga, 80, afariki
Kulingana na familia yake, Raila odinga amekuwa akipokea matibabu nchini India kwa siku kadhaa kabla ya habari za kifo chake kutangazwa mapema Jumatano.
Waziri Mkuu wa zamani na mkongwe wa siasa za Kenya Raila Odinga afariki dunia akiwa matibabuni India
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga amefariki dunia leo asubuhi huko Koothattukulam, wilayani Ernakulam nchini India, baada ya kupata mshtuko wa moyo wakati anafanya matembezi yake ya kila…
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amewataka Watanzania kuwa makini na taarifa za upotoshaji zinazochapishwa kwenye m…
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amewataka Watanzania kuwa makini na taarifa za upotoshaji zinazochapishwa kwenye mitandao ya kijamii. Amesisitiza umuhimu wa wananchi kutumia vyanzo rasmi vya habari na…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
Safari ya Raila Odinga kutafuta Urais Kenya
Raila Odinga aliazimia miaka mingi kuingia Ikulu Kenya kama Rais, japo kila jaribio lake lilisindikana, na kuachiwa sifa ya kuwa muandaaji wa wafalme, bila yeye mwenye kuweza kuwa mfalme.
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga amefariki dunia leo Oktoba 15, 2025 akipatiwa matibabu huko Kochi nchini India
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga amefariki dunia leo Oktoba 15, 2025 akipatiwa matibabu huko Kochi nchini India. Kwa mujibu wa msemaji wa hospitali ya Ayurvedic, Hayati Odinga alipata…
Raila Odinga afariki dunia, Ruto athibitisha
Mwanasiasa mashuhuri kinara wa upinzani na aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Amolo...
#HABARI: Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumatano, Oktoba 15, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, wak…
#HABARI: Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumatano, Oktoba 15, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, wakati kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Tundu Lissu ikitarajiwa…
Kwa nini makundi ya Palestina yanakichukulia Kikao cha Sharm el-Sheikh kuwa kisicho na maana
Harakati ya Hamas imetoa tamko bila kutilia maanani mkutano wa kilele wa "Sharm al-Sheikh" ikisisitiza udharura wa kuzingatiwa haki halali za Wapalestina.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amesema kwa mujibu wa takwimu, Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi pekee ambaye a…
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amesema kwa mujibu wa takwimu, Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi pekee ambaye amekutana mara nyingi na kuzungumza na viongozi wa vyama vya…
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga (80) amefariki dunia leo Oktoba 15, 2025 wakati akipatiwa matibabu katika hospitali…
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga (80) amefariki dunia leo Oktoba 15, 2025 wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Ayurvedic iliyopo Koothattukulam, Kerala nchini India. #AzamTVUpdates Mhariri |…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
Raila Odinga aaga dunia
Aliyekuwa waziri mkuu nchini Kenya Raila Odinga amefariki akiwa na umri wa miaka 80.
#HABARI: Rais Donald Trump amesema, Marekani imeishambulia boti nyingine kwenye pwani ya Venezuela na kuua watu sita, katika cha…
#HABARI: Rais Donald Trump amesema, Marekani imeishambulia boti nyingine kwenye pwani ya Venezuela na kuua watu sita, katika chapisho kwenye mitandao ya kijamii, Trump amesema boti hiyo ni ya magaidi…
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa tiketi ya Chama cha SAU Majalio Kyara, ameahidi kwamba akiingia ma…
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa tiketi ya Chama cha SAU Majalio Kyara, ameahidi kwamba akiingia madarakani atahakikisha anamaliza changamoto ya upatikanaji wa soko la uhakika…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UTENGENEZAJI WA BIDHAA….OKTOBA 15, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UTENGENEZAJI WA BIDHAA....OKTOBA 15, 2025
Iran: Trump hawezi kuwa mtu wa kuleta amani wakati anachochea vita visivyo na mwisho
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amemkosoa vikali Donald Trump kwa sera yake ya kuchochea vita katika eneo la Asia Magharibi, akisema…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe, amewataka watumishi wa umma na Watanzania kwa ujumla kufanya mazoezi, kula mlo sahihi na kupumzika vya kutosha ili kulinda afya za…
Israel yaanza ukhabithi wake, yapunguza misaada ya kuingizwa Ghaza hadi nusu, yazuia fueli kikamilifu
Utawala wa kizayuni wa Israel umeueleza Umoja wa Mataifa kwamba utaruhusu malori 300 tu ya misaada kwa siku, ikiwa ni nusu ya idadi iliyokubaliwa kuingia katika Ukandwa Ghaza kuanzia leo…
Afrika Kusini: Kesi ya mauaji ya kimbari tuliyofungua ICJ dhidi ya Israel itaendelea licha ya vita kusitishwa
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema usitishaji vita wa Ghaza hautaathiri kesi ya mauaji ya kimbari iliyofunguliwa na nchi yake dhidi ya utawala wa kizayuni wa Israel katika Mahakama…
Mahakama ya Madagascar “yamwita” kanali wa jeshi akachukue uongozi na kuitisha uchaguzi
Mahakama ya Juu ya Katiba ya Madagascar Jumanne "imemwita" kamanda wa Kituo cha Uendeshaji cha Wafanyakazi wa Jeshi (CAPSAT) Kanali Michael Randrianirina "akatekeleze kazi za mkuu wa nchi."
Chama cha rais wa Gabon chapata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Bunge
Chama tawala cha Rais wa Gabon Brice Oligui Nguema, cha Muungano wa Kidemokrasia wa Wajenzi (Democratic Union of Builders) (UDB) kimepata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Bunge, kwa kunyakua…
Akoni acheza kama Hakimi kwenye ishu ya maokoto
Mwanamuziki na mwigizaji maarufu kutoka Marekani, Akon Thiam amekumbwa na sakata jipya katika...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla, amewahakikishia wazee na wananchi wa mkoa huo usalama na amani wakati wa uchag…
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla, amewahakikishia wazee na wananchi wa mkoa huo usalama na amani wakati wa uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025. Akizungumza katika matembezi ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
Mtoto wa Mjini – 3
Hapo ndipo zilipozaliwa ndoto za kutafuta maisha bora ya Ulaya na kuwaingia akilini vijana wengi walioamini wangefanikiwa kimaisha kama wangefika katika mojawapo wa nchi za bara hilo.