Ushindi kwa HAMAS: Mamia ya mateka wa Kipalestina waachiliwa huru
Mamia ya mateka wa Kipalestina wameachiliwa huru kutoka jela za Israel siku ya Jumatatu chini ya awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza. Katika uamuzi wa kushangaza jeshi…
Urusi: Tutaipatia Iran silaha za kijeshi inazohitaji
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov amesema ushirikiano wa kijeshi na Iran utaendelea "kwa mujibu wa sheria za kimataifa," hata baada ya vikwazo vya silaha vya Umoja…
Vikwazo utoaji wa elimu kidijitali shuleni, vyuoni
Kwa mujibu wa takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Watanzania wengi sasa...
Mgogoro Madagascar: Rais Rajoelina ahutubia taifa na kutoa wito wa ‘kuheshimu Katiba’
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amehutubia taifa jioni ya Jumatatu, Oktoba 13, katika matangazo ya video kwenye mitandao ya kijamii. Mkuu wa nchi, anayepingwa sana na wakazi wake na sehemu…
Zelenskiy kukutana na Trump Ijumaa kuzungumzia silaha mpya
Rais Donald Trump amethibitisha kuwa atamkaribisha Volodymyr Zelenskiy White House Ijumaa hii kujadili msaada wa kijeshi na makombora ya Tomahawk, huku Urusi ikionya kuwa hatua hiyo ni uchokozi mkubwa dhidi…
Baadhi ya ripoti: Rais wa Madagascar ametorokea Ufaransa
Baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti kuwa Rais Andry Rajoelina wa Madagascar ameikimbia nchi hiyo na kuelekea Ufaransa.
Letitia James amkaidi Trump, amuunga mkono Zohran Mamdani
Mwanasheria mkuu wa New York Letitia James, aliyeshtakiwa na utawala wa Trump, ameapa kutonyamaza huku akimuunga mkono mgombea meya Zohran Mamdani, akisema haogopi mtu yeyote wala vitisho vya kisiasa.
Sisi: Pendekezo la Trump la Mashariki ya Kati ni ‘nafasi ya mwisho’ ya amani katika eneo hilo
Rais wa Misri ameuambia mkutano wa kilele wa viongozi wa dunia siku ya Jumatatu kwamba pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump la Mashariki ya Kati ni “nafasi ya mwisho”…
🔴MAGAZETI: DKT SAMIA AWAPA FARAJA WENYE MAHITAJI MAALUMU
🔴MAGAZETI: DKT SAMIA AWAPA FARAJA WENYE MAHITAJI MAALUMU.. 14 OKTOBA 2025
Venezuela yazifunga balozi zake Norway, Australia
Venezuela imetangaza kufunga balozi zake nchini Norway na Australia, na kufungua mpya katika mataifa ya Burkina Faso na Zimbabwe, ikisema ni sehemu ya “mabadiliko ya kimkakati” ya huduma za kidiplomasia.
Tetesi za soka Ulaya Jumanne: Man Utd na Crystal Palace wamtaka Bellingham
Manchester United na Crystal Palace wanamfuatilia Jobe Bellingham, Arsenal na Manchester City miongoni mwa klabu zinazomtaka Nathaniel Brown, harakati za Chelsea kumnasa Adam Wharton zaongezeka.
Uongozi na wafanyakazi wa Azam Media Limited unaungana na watanzania wote katika kumbukizi ya miaka 26 ya kifo cha Baba wa Taif…
Uongozi na wafanyakazi wa Azam Media Limited unaungana na watanzania wote katika kumbukizi ya miaka 26 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwl Julius Kambarage Nyerere. #AzamTVBurudaniKwaWote
Mwalimu Nyerere alivyolinda tunu za amani, umoja wa kitaifa
Amani na umoja ni tunu zilizosimamiwa kwa nguvu kubwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere,...
Kwa nini mwenendo wa kukabiliana na sarafu ya dola umeshika kasi duniani?
Hisa ya sarafu ya Yuan ya China katika malipo ya biashara na upokeaji imefikia takriban 53%, na kuipita hisa ya dola ya 47%. Mabadiliko haya ya kihistoria yanakuja katika hali…
Hamas: Miongoni mwa vipaumbele vyetu vikuu vitaendelea kuwa ni kukomboa mateka wa Palestina
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema kuwa bado ina msimamo wake ule ule wa kuhakikisha mateka wote wa Palestina walioko kwenye makucha ya utawala wa Kizayuni wanaachiliwa…
Jeshi la Kizayuni lilichoma moto majengo na chakula kabla ya kukimbia Ghaza
Tovuti ya Drop Site News, chombo cha habari cha uchunguzi kilichoko Washington kimefichua kuwa, jeshi la Israel lilichoma kinyama nyumba na vyakula kabla ya kukimbia Ukanda wa Ghaza na baadaye…
Jeshi la Sudan ladai kuua zaidi ya wapiganaji 100 wa RSF magharibi mwa nchi
Jeshi la Sudan (SAF) limetoa taarifa na kudai kuwa, zaidi ya wapiganaji 100 wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) wameuawa katika mapigano ya El Fasher, makao makuu ya Jimbo…
Islamabad: Operesheni ya Taliban dhidi ya Pakistan ilifanywa kwa uratibu na India
Waziri wa habari wa Pakistan, amezungumzia mzozo wa mpaka wa nchi yake na Afghanistan, akidai kuwa operesheni hiyo ilifanywa kwa uratibu na India na kwamba shambulio hilo lilikuwa sehemu ya…
Jumanne, 14 Oktoba, 2025
Leo ni Jumanne tarehe 21 Mfunguo Saba Rabiul-Thani 1447 Hijria Qamaria, sawa na tarehe 22 Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia, inayosadifiana na tarehe 14 Oktoba 2025 Miladia.
Kushindwa utawala wa kizayuni Ghaza; ushindi wa Muqawama katika medani ya vita na kwenye ulingo wa siasa
Makundi ya Muqawama wa Palestina yanasisitiza kutekelezwa matakwa yao halali na ya wananchi wa Palestina katika makubaliano ya kusitisha mapigano.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 14, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Vodacom na safari ya heshima kwa Nyerere, umoja na maendeleo ya Tanzania
Kwa mwaka wa tatu mfululizo, Vodacom imekuwa mdau mkuu wa safari maarufu ya Twende Butiama...
#HABARI:Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia chama cha Mapinduzi (CCM), Bi
#HABARI:Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia chama cha Mapinduzi (CCM), Bi. Angellah Kairuki, ameendelea na Kampeni zake kwenye Kata ya kwembe na kuaahidi ujenzi wa shule mpya pamoja na…
Azimio la la Gaza latoa wito wa uvumilivu, heshima na ustawi wa pamoja
Erdogan, Trump, Sisi, na Sheikh Tamim wamesaini nchini Misri azimio la kumaliza vita vya Gaza, wakati wa Mkutano wa Amani wa Sharm el-Sheikh.
“Ili kuwe na amani lazima haki itamalaki, na hii ni kazi ya viongozi wote…wawe watenda haki, wasiopenda kuvuruga wananchi”-Bal…
"Ili kuwe na amani lazima haki itamalaki, na hii ni kazi ya viongozi wote...wawe watenda haki, wasiopenda kuvuruga wananchi"-Balozi Mstaafu Brigedia Jenerali Francis Bernard Mndolwa #DAKIKA45 Powered by #MCHEZOSUPA JINSI…
“Nyote mtakubaliana nami kwamba Hayati Magufuli alikuwa kiongozi shupavu, mzalendo na mwenye maono ya kimkakati na ya kimapinduz…
"Nyote mtakubaliana nami kwamba Hayati Magufuli alikuwa kiongozi shupavu, mzalendo na mwenye maono ya kimkakati na ya kimapinduzi, alikuwa ni mwalimu mzuri na mlezi mahiri... ndiyo maana kazi tuliyoianza awamu…
“Inatakiwa kiongozi aliyechagua sera zile azisimamie, azieleze, wananchi wazielewe…sasa wako viongozi wanabababisha tu uongozi…
"Inatakiwa kiongozi aliyechagua sera zile azisimamie, azieleze, wananchi wazielewe...sasa wako viongozi wanabababisha tu uongozi...wakati mwingine wananchi wanapata matatizo... yaleyale yanazungumzwa na chama hiki, yaleyale yanazungumzwa na chama kingine...wananchi wanachanganyikiwa.."-Balozi Mstaafu…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 13, OKTOBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 13, OKTOBA 2025
Trump amshukuru Erdogan kwa juhudi zake za kuhakikisha usitishaji mapigano Gaza
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, "hajawahi kutuangusha," akimtaja kama "mtu wa kipekee" na akamshukuru kwa urafiki wao wa muda mrefu.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Iramba mkaoni Singida imewatahadharisha madereva wa bodaboda na baj…
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Iramba mkaoni Singida imewatahadharisha madereva wa bodaboda na bajaji kutotumiwa na watu wenye nia ovu katika kipindi cha uchaguzi kwa kutoa…
#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Bw
#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Bw. Chrispin Chalamila, amekabidhi msaada wa mashine maalum mbili za kutunzia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati, katika Hospitali…
Makubaliano ya kusitishwa kwa vita kati ya Israel na kundi la Hamas yaliyosimamiwa na Rais wa Marekani, Donald Trump yamezaa mat…
Makubaliano ya kusitishwa kwa vita kati ya Israel na kundi la Hamas yaliyosimamiwa na Rais wa Marekani, Donald Trump yamezaa matunda baada ya pande hizo mbili kubadilishana mateka kama inavyoelezwa…
Cape Verde yaandika historia kwa kufuzu Kombe la Dunia 2026 kwa mara ya kwanza
Cape Verde iliichapa Eswatini mabao 3-0 siku ya Jumatatu na kufuzu kwa Kombe la Dunia la 2026, hatua inayoiwezesha kushiriki mashindano hayo ya kimataifa kwa mara ya kwanza kabisa katika…
Ikiwa leo Oktoba 13, 2025 dunia inaadhimisha Siku ya Kujikinga na Majanga, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahimiza Watanzania ku…
Ikiwa leo Oktoba 13, 2025 dunia inaadhimisha Siku ya Kujikinga na Majanga, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahimiza Watanzania kujenga utamaduni wa kujihami dhidi ya majanga kwa kufanya maandalizi thabiti ikiwemo…
Wakazi wa Mbagala na maeneo ya karibu wanaotumia barabara kuu ya mikoa ya kusini wameanza kushuhudia utekelezaji wa mradi wa mab…
Wakazi wa Mbagala na maeneo ya karibu wanaotumia barabara kuu ya mikoa ya kusini wameanza kushuhudia utekelezaji wa mradi wa mabasi ya mwendo wa haraka baada ya leo Oktoba 13,…
Majalio Kyara anayegombea Urais kwa tiketi ya chama cha Sauti ya Umma (SAU) amesema endapo atafanikiwa kushinda nafasi hiyo atah…
Majalio Kyara anayegombea Urais kwa tiketi ya chama cha Sauti ya Umma (SAU) amesema endapo atafanikiwa kushinda nafasi hiyo atahakikisha anaboresha mitaala ya elimu ili iweze kuendana na mahitaji ya…
Serikali imeendelea kuwasisitiza Watanzania kutumia haki ya kikatiba ya kuwachagua viongozi wa ngazi mbalimbali nchini ikiwemo n…
Serikali imeendelea kuwasisitiza Watanzania kutumia haki ya kikatiba ya kuwachagua viongozi wa ngazi mbalimbali nchini ikiwemo ngazi ya Rais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Ikiwa yamesalia majuma mawili…
Chama cha NCCR Mageuzi katika kampeni zake za urais kimewasisitiza wapiga kura kutanguliza maslahi ya kuzingatiwa kwa amani ya n…
Chama cha NCCR Mageuzi katika kampeni zake za urais kimewasisitiza wapiga kura kutanguliza maslahi ya kuzingatiwa kwa amani ya nchi wakati huu wa kampeni, wakati wa uchaguzi na baada ya…
🔴AIBU YAKO: HEBU ONA BODABODA WASIVYOFUATA SHERIA ZA BARABARANI, OKTOBA 13, 2025
🔴AIBU YAKO: HEBU ONA BODABODA WASIVYOFUATA SHERIA ZA BARABARANI, OKTOBA 13, 2025
“Tunataka hata sisi mtu mwenye ‘Masters’ akaongoze Kata, ndio tutakuwa tumefikia kwenye climax ya maendeleo yetu, tusiwe kama ku…
"Tunataka hata sisi mtu mwenye 'Masters' akaongoze Kata, ndio tutakuwa tumefikia kwenye climax ya maendeleo yetu, tusiwe kama kule nyuma kazi fulan Fulani ni za watu wa elimu Fulani"-Balozi Mstaafu…
WAKULIMA HABARI:Katika kuhakikisha kuwa zao la kahawa aina ya Arabika kutoka Nyanda za juu Kusini linaendelea kufanya vizuri kwe…
WAKULIMA HABARI:Katika kuhakikisha kuwa zao la kahawa aina ya Arabika kutoka Nyanda za juu Kusini linaendelea kufanya vizuri kwenye soko la kimataifa, wakulima wa kahawa wilayani Mbozi mkoani Songwe, wameanza…
Huyu ndiye Patrick Mabedi, msaidizi mpya wa Folz Yanga
KLABU ya Yanga, Oktoba 13, 2025 ilimtambulisha Patrick Mabedi kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo chini ya Mjerumani, Romain Folz. Mabedi ametua Yanga kuchukua nafasi ya Manu Rodriguez, aliyewasilisha barua…
Yanga yashusha Kocha mpya
Klabu ya Yanga, imemtangaza Patrick Mabedi raia wa Malawi kuwa kocha msaidizi wa kikosi hicho kinachoongozwa na Mjerumani, Romain Folz.
Cape Verde yafuzu Kombe la Dunia, Arajiga akisimama kati
Cape Verde limekuwa taifa la sita Afrika kukata tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Dunia...
Michael Owen awakingia kifua Mo Salah na Isak
Staa wa zamani wa Ligi Kuu England, Michael Owen anaamini masupastaa Mohamed Salah na Alexander...
Zidane yupo tayari kurudi kazini
Zinedine Zidane amefunguka na kubainisha kwamba sasa yupo tayari kurudi mzigoni.
Zubimendi afichua alivyotua Arsenal, amtaja Arteta
Kiungo, Martin Zubimendi amefichua kwamba simu moja tu aliyopigiwa na kocha Mikel Arteta...
#HABARI: Wakati uchaguzi Mkuu ukikaribia Viongozi na waumini wa dini ya Kiislam mkoani Arusha, wamefanya ibada maalum…
#HABARI: Wakati uchaguzi Mkuu ukikaribia Viongozi na waumini wa dini ya Kiislam mkoani Arusha, wamefanya ibada maalum ya kuliombea Taifa, huku wakisisitiza suala la Watanzania kuendelea kuimarisha amani na pia…
Antony afichua alimbembelezwa na Cunha asiondoke Man United
Winga wa Real Betis, Antony amefichua kwamba Mbrazili mwenzake, Matheus Cunha alimbebeleza sana...
#HABARI:Katika Kuunga Mkono Juhudi za Serikali kwenye Kada ya Afya, Jeshi la Kujenga Taifa Kupitia Kampuni yake ya Ujenzi (SUMAJ…
#HABARI:Katika Kuunga Mkono Juhudi za Serikali kwenye Kada ya Afya, Jeshi la Kujenga Taifa Kupitia Kampuni yake ya Ujenzi (SUMAJKT Construction Co. Ltd) limeendelea kutekeleza miradi mbalimbali nchini, ukiwemo Ujenzi…