Scientists eye gene-drive mosquitoes to end malaria
ARUSHA: HEALTH researchers, scientists and other stakeholders have said Gene Drive Modified Mosquitoes (GDMM) technology could become a key tool in Tanzania’s efforts to eliminate malaria and achieve zero local…
BOA TZ hails budget’s focus on private sector growth
DAR ES SALAAM: BANK of Africa (BOA) Tanzania has said the government’s 62.3 tri/- budget for 2026/27 is expected to strengthen private sector growth, boost investment and enhance economic activity…
Zanzibar’s calculated quantum leap
ZANZIBAR: FOR decades, Zanzibar’s place in the global imagination has been anchored in its postcard-perfect beaches and thriving tourism industry. Tourism has long been the archipelago’s undisputed engine of growth.…
Mastaa walivyoishi na siri ya Wema Sepetu
Wakati habari za msanii na mfanyabiashara, Wema Sepetu kupata mtoto zilipoanza kusambaa hivi...
Magazetini: Ushindi Mkubwa kwa Sifuna! baada ya Gavana Kang’ata Kujiunga na Linda Mwananchi
Bei mpya za mafuta zilizotangazwa na EPRA zimezua mjadala. Wakati huo huo, mkutano wa kisiasa wa Linda Mwananchi mjini Thika umeibua miungano ya kisiasa
Cooperatives emerge as engine of agricultural transformation
DAR ES SALAAM: FOR years, smallholder farmers have toiled individually, earning little despite feeding the nation. Today, through cooperative societies, they are gaining collective strength, accessing better markets, improving productivity…
Ivory Coast na ushindi wa kwanza Afrika Kombe la Dunia 2026
Ivory Coast imeandika historia ya kuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kupata ushindi Kombe la...
CCM backs 62tri/- budget
DODOMA: THE ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) has commended the government’s 2026/27 budget, describing it as a people-centred financial plan that will accelerate development, strengthen economic self-reliance and improve service…
Moallin hails side’s spirit after Mashujaa victory
KIGOMA: YOUNG Africans interim Coach, Abdihamid Moallin, commended his players 2-0 away victory over Mashujaa in a Mainland Premier League match at Lake Tanganyika Stadium in Kigoma on Saturday. The…
Thousands yet to report for JKT training
DODOMA: THOUSANDS of Form Six graduates selected for compulsory National Service (JKT) training are yet to report to camps across the country, prompting authorities to grant a final four-day extension…
TAZARA turns 50 amid major reforms
DAR ES SALAAM: THE Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA) is set to commemorate its 50th anniversary next month as it advances a major transformation programme aimed at revitalising one of Africa’s…
NGOs eye greater role in Vision 2050
DODOMA: THE National Council for Non-Governmental Organisations (NaCoNGO) has reaffirmed its commitment to becoming stronger, more accountable and innovative in order to better serve citizens and contribute effectively to the…
Dirisha la usajili limefunguliwa rasmi EPL, klabu yako inahitaji nini kuongeza nguvu?
Licha ya tofauti ya kuanza, ligi zote kuu za Ulaya zitafunga dirisha la usajili kwa pamoja siku moja, ambayo ni Jumanne, tarehe 1 Septemba 2026. Baada ya tarehe hiyo, vilabu…
EAC advances political integration
ARUSHA: THE East African Community (EAC) is set to resume national consultations on the drafting of the Constitution for the proposed East African Political Confederation through a stakeholder engagement exercise…
Moshi unaoua kimya kimya
Shirika la Afya Duniani (WHO) linakadiria kuwa watu milioni 2.9 hufariki dunia kila mwaka kutokana na magonjwa yanayohusishwa na uchafuzi wa hewa majumbani unaosababishwa na matumizi ya nishati zisizo safi…
BoT gets nod for steering economic stability
ZANZIBAR: THE Bank of Tanzania (BoT) has been urged to continue supporting national efforts to maintain economic stability and preserve the value of the Tanzanian shilling for the benefit of…
Mwinyi pledges stronger health partnerships
ZANZIBAR: ZANZIBAR President Dr Hussein Mwinyi has said the government will step up coordination and continue working closely with institutions and stakeholders in the health sector to improve the delivery…
Utajiri wa Ajabu: Wakenya Waduwaza na Magari ya KSh 150 milioni ya Sonko Wakati wa Harusi ya Bintiye
Mike Sonko na mkewe Primrose waliandaa harusi ya kifahari ya binti yao Janetta huko Machakos, wakionesha msafara wa magari ya kifahari yenye thamani ya KSh 150m
Utajiri wa Ajabu: Wakenya Waduwaza na Magari ya KSh 150 ya Sonko Wakati wa Harusi ya Bintiye
Mike Sonko na mkewe Primrose waliandaa harusi ya kifahari ya binti yao Janetta huko Machakos, wakionesha msafara wa magari ya kifahari yenye thamani ya KSh 150m
Yote unayohitaji kufahamu kuhusu makubaliano ya Iran na Marekani
"Makampuni ya usafirishaji wa baharini yanatarajiwa kusubiri kuona ikiwa makubaliano hayo yatadumu kabla ya kurejesha shughuli zake kikamilifu'', anasema mtaalam wa masuala ya uchumi Jonathan Josephs
Machozi na Hasira Mazishishi: Mwanafunzi Aliyenusurika Utumishi Academy Amkabili Mwalimu
Mwanafunzi wa Utumishi aliyenusurika mkasa alilia katika mazishi ya Purity Naisula, akiwapongeza walimu waliowasaidia huku akimshutumu mwalimu mmoja kwa unafiki.
Iran yatangaza kufikiwa makubaliano ya kumaliza vita na Marekani
Sekretarieti ya Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC) imethibitisha kuwa Iran na Marekani zimekamilisha maandishi ya hati ya makubaliano (MoU) yanayolenga kumaliza vita, kusimamisha mara moja na…
Viongozi wa dunia wakaribisha makubaliano ya kumaliza vita vya Marekani dhidi ya Iran
Viongozi mbalimbali duniani wamekaribisha hati ya makubaliano (MoU) kati ya Iran na Marekani, ambayo inahitimisha mara moja vita vya kichokozi vilivyoanzishwa na Marekani na Israel dhidi ya Iran, kuondoa mzingiro…
Jezi za Kombe la Dunia zilizopewa jina la mtoto wa Kipalestina aliyeuawa na Isral zazinduliwa
Fulana za michezo zenye jina la "Jezi ya Kombe la Dunia ya Hind Rajab" zimezinduliwa rasmi sambamba na mashindano ya kombe hilo yanayoendelea katika nchi za Marekani, Canada na Mexico;…
Sudan: RSF inafanya biashara haramu ya viungo vya binadamu
Serikali ya Sudan imelituhumu kundi la Rapid Support Forces (RSF) kuwa linaendesha mtandao wa biashara haramu ya viungo vya binadamu ndani ya magereza ya Daqris na Shala huko El Fasher,…
Makumi ya magaidi, majasusi na wachochezi wa ghasia wamekamatwa wakati wa uvamizi wa Marekani na Israel dhidi ya Iran
Wizara ya Intelijensia ya Iran imesema imefanikiwa kutekeleza operesheni za kupambana na ugaidi, ujasusi na hujuma nchini wakati wa uvamizi wa siku 39 wa Marekani na Israel ambao ulisitishwa mapema…
Hamas yalaani safari ya “rais wa Somaliland” huko Israel, yasema ni dhambi ya kisiasa
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeitaja safari ya rais wa jimbo lililotangaza kujitenga na Somalia la Somaliland huko Israel kuwa ni "dhambi ya kisiasa, ukiukaji wa kanuni…
Jumatatu, 15 Juni, 2026
Leo ni Jumatatu 29 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1447 Hijria sawa na 15 Juni 2026.
Kombe la dunia: Ivory Coast yapata ushindi dhidi ya Ecuador
Mchezaji wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Ivory Coast, Amad Diallo, ameisaidia nchi yake kuanza vema michuano ya kombe la dunia baada ya kufunga goli pekee…
RDC Ebola: Idadi ya watu walioambukizwa yafikia 782
Idadi ya wagonjwa waliothibitishwa kuwa na maambukizi ya Ebola nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imeongezeka na kufikia 782, ikiwemo vifo 178n wakati huu mlipuko huo ukienea kwenye maeneo mawili…
Tetesi za Soka Ulaya: Arsenal na Liverpool vitani kwa Bouaddi
Arsenal na Liverpool wanavutiwa kumsajili kiungo wa Lille, Ayyoub Bouaddi, huku Manchester City wakipanga kumchukua beki wa Everton Jarrad Branthwaite.
Vita vya Iran: Makubaliano kutiwa saini Ijumaa wiki hii nchini Uswisi
Marekani na Iran zimekubaliana kusitisha mapigano mara moja ambapo yatakuwa ni yakudumu, hatua inayotajwa kuwa mwisho wa zaidi ya miezi mitatu ya vita katika eneo la mashariki ya kati. Imechapishwa:…
Marekani na Iran zafikia makubaliano ya kumaliza vita
Pakistan ambaye amekuwa msuluhishi wa mgogoro baina ya nchi hizi imesema mkataba rasmi utasainiwa Ijumaa kumaliza vita vilivyodumu kwa karibu miezi minne.
Kinda Mtibwa aipasua kichwa Azam FC
KLABU ya Azam imeingia rasmi katika mbio za kuwania saini ya nahodha na beki wa kati wa Mtibwa Sugar, Evody Haroun (18), ambaye amekuwa mmoja wa wachezaji vijana wanaofanya vizuri…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 15, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Jeanine, Shikangwa katika vita ya kiatu WPL
KAMA ulikuwa unajua Ligi Kuu ya Wanawake imetamatika baada ya Simba Queens kukabidhiwa kombe lao basi nikupe pole, kuna ligi nyingine ya mfungaji bora imeshika kasi.andayisenga
Rais wa Somaliland afanya ziara yake ya kwanza ya kiserikali nchini Israel
Rais wa Somalia Abdirahman Mohamed Abdullahi amekutana na mwenzake wa Israeli Isaac Herzog siku ya Jumapili huko Jerusalemu kwa ziara yake ya kwanza ya kiserikali, miezi michache tu baada ya…
Kiungo Mkenya aziingiza vitani Simba, Yanga
WAKATI dirisha la usajili likisubiriwa kwa hamu kufunguliwa, tayari timu za Ligi Kuu ya Wanawake zimeanza kufanya usajili mapema kuelekea msimu mpya.
Gaza: Sita wauawa katika mashambulizi ya Israel
Mashambulizi ya Israel katika Ukanda wa Gaza yameua watu wasiopungua sita siku ya Jumapili, Juni 14, kulingana na maafisa wa uokoaji na vyanzo vya hospitali katika eneo la Palestina, licha…
DRC: Upinzani watafuta wafuasi wake waliojeruhiwa baada ya polisi kutawanya maandamano yao
Baada ya polisi kuzima siku ya Ijumaa mandamano ya upinzani dhidi ya marekebisho ya katiba yaliyopendekezwa ambayo yanahusishwa na kambi ya rais, malalamiko yameongezeka kutoka kambi moja kweda nyingine. Serikali…
Shambulio kaskazini magharibi mwa Nigeria: Watu 20 wameuawa, kulingana na ripoti ya usalama
Shambulio lililofanywa na wanajihadi, wanaoshukiwa kuwa wa kundi lililolengwa na mashambulizi ya anga ya Marekani mwezi Desemba mwaka uliyopita, limesababisha vifo vya watu 20 kaskazini magharibi mwa Nigeria, kulingana na…
Afrika Kusini yatangaza kuwafukuza wageni 2,745 ndani ya wiki moja
Afrika Kusini imewarejesha wageni 2,745 ndni ya wiki moja kufuatia ahadi ya rais Cyril Ramaphosa ya kukabiliana na uhamiaji haramu, Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo ametangaza siku…