Serikali yaonya ujazaji abiria kwenye vyombo vya baharini
Wakati Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ikiendelea kuwataka wamiliki wa vyombo vya usafiri wa...
Soraga awataka vijana waepuke kuvuruga amani
Waziri wa Mawasiliano, Teknolojia, Habari na Ubunifu Zanzibar, Mudrik Ramadhan Soraga, amesema...
DRC: Sylvain Ekenge msemaji wa FARDC amesimamishwa kazi
Msemaji wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-FARDC, Meja Jenerali Sylvain Ekenge amesimamishwa kazi, kufuatia matamshi tata aliyotoa, yanayoashiria ubaguzi dhidi ya wanawake wa Kitutsi nchini humo, wakati wa…
Rais wa Vikoba endelevu Tanzania Mohamed Basanga amewataka wanachama wote wa Vikoba Tanzania kuhakikisha wanavitumia Kujiletea M…
Rais wa Vikoba endelevu Tanzania Mohamed Basanga amewataka wanachama wote wa Vikoba Tanzania kuhakikisha wanavitumia Kujiletea Maendeleo ya Kiuchumi na Kukuza hali ya Kipato cha familia na Taifa kwa Ujumla.…
JKCI yavuna bil 1/- utalii tiba kliniki Oyster Bay
DAR ES SALAAM: MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dk Peter Kisenge amesema idadi ya watalii wanaotibiwa katika tawi la Oyster Bay Plaza imeongezeka kutoka wagonjwa 10…
TRC yaongeza safari za SGR baada ya usumbufu kwa abiria
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanzisha safari za ziada za Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) kwa...
Madereva wa Malori zaidi ya 100 wamekwama Mpakani mwa Tanzania na Kenya katika eneo la horohoro Mkoani Tanga huku wakiiomba seri…
Madereva wa Malori zaidi ya 100 wamekwama Mpakani mwa Tanzania na Kenya katika eneo la horohoro Mkoani Tanga huku wakiiomba serikali kuwasaidia kuharakisha mazungumzo kati ya pande mbili za nchi…
Raheem aingia anga za Azam FC
MATAJIRI wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC wamefungua mazungumzo na klabu ya Ghazl El Mahalla ya Misri ili kuipata saini ya beki wa kushoto wa kikosi hicho, Mtanzania…
Kutoka Manyara, Wacloudsania wananyoosha !!
Kutoka Manyara, Wacloudsania wananyoosha !! #Clouds26Nyooshaa #LainiYawana
Mwanengo mali ya Yanga, aanza tizi la Mapinduzi
ALIYEKUWA kiungo mshambuliaji wa TRA United (zamani Tabora United), Emmanuel Mwanengo ameanza mazoezi na Yanga tayari kwa kushiriki michuano ya Mapinduzi Cup inayoendelea Zanzibar.
Taifa Stars ‘do or die’ Morocco
HAKUNA namna. Taifa Stars ina dakika 90 ngumu usiku wa leo mbele ya Tunisia. Ni ushindi pekee ndio unaweza kuifanya timu hiyo isalie Morocco ama ifungashe virago kurudi nyumbani kama…
Serikali yatangaza nafasi 500 za ajira nje ye nchi kwa waendesha pikipiki
Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira, Kazi na Mahusiano kwa kushirikiana na Kampuni ya Kampuni ya Target...
China yazindua mazoezi makuu ya kijeshi karibu na kisiwa cha Taiwani
China imezindua mazoezi makubwa ya kijeshi, ikitumia silaha nzito za moto, ikiwa ni pamoja na mazoezi ya kurusha makombora na risasi moja kwa moja na kuiga kuzingirwa kwa bandari za…
TUICO inavyojipambanua katika utekelezaji wa majukumu yake kimkakati
Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO) ni...
TUICO na miaka 30 ya kudai, kulinda na kutetea haki, heshima na masilahi ya wanachama wake na wafanyakazi
Kwa kipindi cha miaka 30, Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma...
Marekani yatoa dola bilioni 2 kupiga jeki huduma za kibinadamu za UN
Katika taarifa yake iliyotolewa leo mjini Geneva, Uswisi Tom Fletcher, Mratibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayesimamia Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu misaada ya kibianadamu na Masuala ya…
Baraza la Usalama lathibitisha tena uhalali wa eneo la Somalia baada ya Israel kuitambua Somaliland
Tangazo la Israeli kulitambua eneo la Somaliland kuwa ni nchi limezua upinzani mpana wa kikanda na kimataifa. Serikali ya Somalia imepinga hatua hiyo kama shambulio la makusudi na inasema haitaruhusu…
Ujumbe wa mwaka mpya 2026 kutoka kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa ujumbe mzito wa Mwaka Mpya kwa ulimwengu akisema ulimwengu uko katika njia panda, ukikabiliwa na machafuko, sintofahamu na migawanyiko mikubwa na…
WHO: Mwaka 2025 umekua wa mafanikio na changamoto kwa afya ya dunia
Mwaka 2025 umeelezwa kuwa mwaka wa kihistoria kwa sekta ya afya duniani. Hayo ni kwa mujibu wa ujumbe uliotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya…
OCHA: Wahudumu wa misaada wahaha kusaidia baada ya Urusi kusahambulia usiku kucha Kyiv
Wahudumu wa misaada ya kibinadamu wako eneo la mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, wakikabiliana na athari za shambulio kubwa la usiku lililojeruhi raia na kukatiza huduma za kupasha joto na…
Araqchi: Jenerali Soleimani alikuwa ‘Mbunifu wa Mhimili wa Muqawama’ Magharibi mwa Asia
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amemsifu shahidi na kamanda wa vita dhidi ya ugaidi, Luteni Jenerali Qassim Soleimani na kumtaja kuwa "mbunifu wa Mhimili wa Muqawama" katika eneo…
‘Nchi yoyote haitakiwi kuunga mkono kujitenga’: China yapinga kutambuliwa kwa Somaliland na Israel
China imetoa wito kwa mamlaka za Somaliland kuangalia kuhusu muelekeo na mara moja waache 'mkwaruzano na watu kutoka nje'.
Uhamiaji watangaza nafasi za ajira
DAR ES SALAAM: IDARA ya Uhamiaji kupitia Kamishna Jenerali wa Uhamiaji imetangaza nafasi ya ajira kwa mujibu wa Kifungu cha 11 (1) cha Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za mwaka…
Bendera ya taifa yazua mjadala wa kisiasa Uganda
Kwa mara ya kwanza, raia wengi wa Uganda wanaonekana kugundua nguvu ya kutumia bendera ya taifa lao kama chombo cha kujieleza kisiasa.
Uhamiaji watangaza ajira mpya wenye elimu ya juu, utaalamu kupewa kipaumbele
Jeshi la Uhamiaji nchini limetangaza nafasi mpya za ajira kwa vijana wa Kitanzania.
Kocha Fufuni macho yote kwa Simba
JANA Jumatatu kuanzia saa 10:15 jioni, vinara wa Ligi Kuu Zanzibar, Fufuni walikuwa uwanjani kucheza dhidi ya Muembe Makumbi City katika Kombe la Mapinduzi 2026, lakini kocha wa kikosi hicho,…
URA yapigwa mkwara mzito Mapinduzi Cup 2026
MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi mwaka 2016, URA kutoka Uganda, wameambiwa wajiandae kupokea kipigo kutoka kwa watetezi wa michuano hiyo, Mlandege ya Unguja.
Tanzania initiates mega water projects to address climate change
MLANDIZI: THE United Republic of Tanzania said it began implementing various water projects three years ago as a country’s efforts to address water shortages caused by climate change. The Tanzanian…
Winga Simba aibukia Mlandege
WINGA wa zamani wa Simba, Rashid Juma Mtabigwa, ameonekana akiichezea Mlandege katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inayoendelea kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja, huku kocha msaidizi wa…
Ibenge atumia dakika 45 kupiga chabo wapinzani
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge hajakaa kinyonge kwani baada ya mechi yao ya kwanza katika Kombe la Mapinduzi iliyopangwa kuchezwa Desemba 28, 2025 dhidi ya URA kusogezwa mbele,…
Marekani yaiahidi Ukraine dhamana “kubwa” ya usalama
Rais Volodymyr Zelensky amesema Marekani itaipatia Ukraine dhamana "kubwa" ya usalama kwa kipindi kinachoweza kuongezwa cha hadi miaka 15, ingawa amesema Kyiv inataka hakikisho la muda mrefu zaidi.
Guede aongeza mzuka Singida Black Stars
BAADA ya kurejea kuitumikia Singida Black Stars, mshambuliaji Muivory Coast, Joseph Guede ameonekana kupandisha mzuka kikosini hapo.
Trump/Netanyahu kujadili awamu ya pili ya mkataba wa amani
Rais Donald Trump wa Marekani anatarajiwa hii leo kukutana na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwenye makazi yake binafsi ya Mar- a-Lago, Florida kujadiliana awamu inayofuata ya mpango wa…
China yaanza mazoezi ya kijeshi kuizunguka Taiwan
China imeanza mazoezi ya kijeshi ikitumia silaha za moto karibu na Taiwan Jumatatu yanayofanana na namna watakavyokizingira kisiwa hicho kinachojitawala.
Somalia yaikosoa Israel kwa kuitambua Somaliland huru
Somalia imekosoa vikali uamuzi wa Israel wa wiki iliyopita wa kuitambua rasmi Somaliland kuwa taifa huru, ikisema hatua hiyo ni tishio kwa mamlaka ya taifa, umoja wa watu wa Somalia,…
Tatizo la afya ya akili lilivyogusa Watanzania 2025
Mwaka 2025 umeweka wazi jeraha lisiloonekana, lakini lenye maumivu makali la afya ya akili...
Waziri Mkuu: Kilichotokea sio uzembe
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema kuwa upungufu wa maji uliotokea nchini haujasababishwa...
Syria yakumbwa na machafuko mengine ya kimadhehebu
Mapigano yameibuka kati ya waandamanaji kutoka madhehebu ya wachache ya Waalawi na wanaopinga maandamano hayo na kusababisha vifo vya karibu watu wanne na wengine kadhaa kujeruhiwa.
China yazindua luteka ya kijeshi karibu na Taiwan
China imezindua luteka ya kijeshi karibu na kisiwa cha Taiwan, ikitumia silaha nzito za moto. Beijing imesema hayo ni mazoezi ya kijeshi yanayofanana na namna watakavyokizingira kisiwa hicho kinachojitawala chenyewe.
PM sees progress at Kidunda dam as Kimbiji-Mtera project nears completion
DAR ES SALAAM: THE Chief Executive Officer of the Dar es Salaam Water Supply and Sanitation Authority (DAWASA), Mkama Bwire, has called for the speedy completion of the Kidunda Dam…
Admin nimelia jamani mnisamehe ila niko upande wa
Admin nimelia jamani mnisamehe ila niko upande wa... au basi 🥹
AFCON 2025: Mechi za mwisho za hatua ya makundi zinaanza huku chachu ya mtoano ikichacha
Timu tatu tayari zimejikatia tiketi katika hatua ya 16 bora baada ya kushinda mechi zao mbili za mwanzo.
Serikali imeanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa bwawa la maji la Mwambazi mjini Sumbawanga, mkoani Rukwa, kwa lengo la kukabilian…
Serikali imeanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa bwawa la maji la Mwambazi mjini Sumbawanga, mkoani Rukwa, kwa lengo la kukabiliana na uhaba wa maji unaowakabili wakazi wa mji huo ambao…
Watoa huduma za afya mkoani Mtwara wametakiwa kujipanga ili kuboresha utoaji wa huduma katika vituo vyao na kuwa vivutio kwa wag…
Watoa huduma za afya mkoani Mtwara wametakiwa kujipanga ili kuboresha utoaji wa huduma katika vituo vyao na kuwa vivutio kwa wagonjwa, hatua inayolenga kuongeza upatikanaji wa fedha kutoka Mfuko wa…
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imetoa notisi ya siku 21 kwa waombaji wa viwanja katika maeneo ya Mtumba na Kikombo waliochelewa k…
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imetoa notisi ya siku 21 kwa waombaji wa viwanja katika maeneo ya Mtumba na Kikombo waliochelewa kukamilisha mchakato wa malipo ndani ya muda uliopangwa, ikiwataka…
Dk. Mwigulu akagua hali ya maji Ruvu Chini
WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, leo Desemba 29, 2025, amefanya ukaguzi wa uzalishaji na usambazaji wa maji katika eneo la Ruvu Chini, mkoani Pwani. Ukaguzi huu ni sehemu ya jitihada…
NMB MAPINDUZI CUP 2026:
NMB MAPINDUZI CUP 2026: Jumatano hii, AzamFC watacheza mechi yao ya kwanza ya michuano ya NMB Mapinduzi Cup kwa kukipiga na Singida BS. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 2:15 usiku,…
Takriban watu 4 wapoteza maisha katika makabiliano Syria
Takriban watu 4 wamepoteza maisha jana Jumapili baada ya kuzuka makabaliano wakati wa maandamano yaliofanywa na jamii ya walio wachache nchini Syria ya Waalawi.
Dosari za kisheria zawanusuru Wakenya wawili kutumikia kifungo jela
Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, imewaachia huru raia wawili wa Kenya, Titus Mutisya na Benard...
Vita vinavyoendelea kati ya Urusi na Ukraine vinaendelea kuathiri moja kwa moja nchi za Afrika, hususan katika upatikanaji wa bi…
Vita vinavyoendelea kati ya Urusi na Ukraine vinaendelea kuathiri moja kwa moja nchi za Afrika, hususan katika upatikanaji wa bidhaa muhimu kama ngano na mafuta. Mchambuzi wa siasa Abdulaziz Jaad,…