Budeba aeleza sababu Mbuni kuwaka Championship
KOCHA wa Mbuni FC, Leonard Budeba, amesema maandalizi makini na umakini wa wachezaji wake katika kufuata maelekezo ndiyo siri ya ushindi mnono wa mabao 4-0 walioupata dhidi ya Mbeya Kwanza…
Aman Josiah kutua Dodoma Jiji
DODOMA Jiji ipo hatua za mwisho kumchukua kocha Aman Josiah ili kuziba pengo la Vincent Mashami raia wa Rwanda wanayetaka kuachana naye ikitajwa sababu ya kukosa vigezo vya kukaa benchi…
Wenje ahamia CCM, Samia ampokea
Wenje amepokelewa na Katibu Mkuu wa CCM,Balozi Dk Asha-Rose Migiro.
Samia aahidi mitaji kwa wachimbaji wadogo, kupima maeneo ya wafugaji
Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kwamba endapo atapata...
#HABARI: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Ziwa Victoria, Ezekiel Wenje, amejiuga na Chama cha Mapinduzi CCM leo, wakati …
#HABARI: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Ziwa Victoria, Ezekiel Wenje, amejiuga na Chama cha Mapinduzi CCM leo, wakati wa Kampeni za CCM za kumnadi mgombea wake wa Urais Dkt.…
MOI yazindua mfumo wa kuweka miadi na madaktari kidijitali
Septemba 15, 2025, jijini Dar es Salaam, Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI)...
“…kipindi tunamzika Mzee wetu Mama ulisema hautatuacha Chato na hakika hili umeweza kulidhihirisha sana, na mimi leo niko mbel…
"...kipindi tunamzika Mzee wetu Mama ulisema hautatuacha Chato na hakika hili umeweza kulidhihirisha sana, na mimi leo niko mbele yenu wazazi wangu lakini niko mbele hapa nikiongea katika ardhi ambayo,…
#HABARI: Rais Dkt
#HABARI: Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alisema "Kaka yangu Magufuli ameondoka lakini Dada yenu sitaiacha Geita". Mgombea Ubunge wa Jimbo la Pangani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jumaa Aweso, amesema…
Dhamana ya Sh2.4 trilioni yachochea uwekezaji sekta ya kilimo nchini
Katika kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa nchini ndani ya kipindi cha miaka mitano, Taasisi...
#HABARI: Halmshauri ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, imetia saini mkataba wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa soko jipya la…
#HABARI: Halmshauri ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, imetia saini mkataba wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa soko jipya la Kwa Sadala, utakaogharimu zaidi ya shilingi bilioni kumi huku…
CCM yaahidi maendeleo Kigoma
Katika siku ya mwisho mkoani humo, Dk Nchimbi amesema miaka mitano ijayo, Serikali itaimarisha...
Patrick Herminie: Rais mpya wa Ushelisheli ni nani?
Patrick Herminie alikuwa mwanachama wa People's Party, aligombea katika uchaguzi wa urais wa 2025 kama mgombeaji wa United Seychelles.
EALA yaitaka Nelson Mandela kuendeleza tafiti zinazozalisha ajira kwa vijana
Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) wameitaka Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya...
#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu katika Mahakama Kuu …
#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirishwa kwa muda. Kesi hiyo iliyooanza…
Umepanga kutoa zawadi ya nyumba, kiwanja harusini?
Umepanga kutoa zawadi ya nyumba, kiwanja harusini? basi zingatia haya ili kuepusha migogoro ya kisheria inayoweza kutokea kwa wanandoa waliopewa zawadi hiyo. #SheriaUpdates
#HABARI: Mbunge wa viti maalum mstaafu, Felista Njau, ameibukia Tarime mkoani Mara na kutoa wito kwa Watanzania kuendelea kumuun…
#HABARI: Mbunge wa viti maalum mstaafu, Felista Njau, ameibukia Tarime mkoani Mara na kutoa wito kwa Watanzania kuendelea kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisema ni wajibu wa taifa…
Kambaya atahadharisha siasa za fujo kuelekea uchaguzi mkuu
Kambaya amewataka wananchi wa Makurumla kutoingia kwenye mtego wa watu wanaohubiri mambo...
Je, mateka wanaoachiliwa ni akina nani?
Jeshi la Israel linasema mateka wa kwanza wamekabidhiwa na Hamas na wamerejea Israel.
‎TFS yaanza kutumia teknolojia kubaini moto kabla haujasambaa
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kupitia shamba la miti la Sao Hill, umeingia katika...
Ofisi ya rais Madagascar yalaani jaribio la kupinduliwa
Baada ya siku kadhaa za hekaheka za maandamano ya wananchi dhidi ya serikali ya Madagascar...
Utafiti wabaini changamoto maabara za usalama wa chakula nchini
Kati ya maabara tisa zilizofanyiwa utafiti ni moja pekee ambayo imeonekana kuwa na cheti cha...
Kuishi watu wengi katika familia moja ni jambo linaloendelea kujadiliwa katika jamii nyingi, hasa kwa kuzingatia mabadiliko ya m…
Kuishi watu wengi katika familia moja ni jambo linaloendelea kujadiliwa katika jamii nyingi, hasa kwa kuzingatia mabadiliko ya maisha ya kisasa. Wapo wanaoona ni maendeleo, wakisema mfumo huu hujenga umoja,…
Sintofahamu INEC ikiwaengua madiwani saba
Kwa nini uamuzi huu sasa…? Ni swali wanalohoji wachambuzi wa masuala ya siasa na wagombea...
Doyo aahidi kupitia upya mikataba ya madini nchini
Doyo ametoa ahadi hiyo katika Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga kwenye mkutano wake wa kampeni...
Madagascar: Rais Andry Rajoelina aandolewa nchini kwa ndege ya kijeshi ya Ufaransa
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina ameondolewa nchini kwa ndege ya kijeshi ya Ufaransa mnamo Oktoba 12, 2025, RFI inaweza kuthibitisha hili. Makubaliano na Rais Emmanuel Macron yaliripotiwa kuruhusu kuondolewa kwa…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia Justine Gama (40), Raia wa Malawi anayeishi mjini Mzuzu, kwa tuhuma za kuku…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia Justine Gama (40), Raia wa Malawi anayeishi mjini Mzuzu, kwa tuhuma za kukutwa na vipande 15 vya pembe za ndovu kinyume na Sheria…
OMO: Nitashughulikia malalamiko ya fidia uwanja wa ndege Pemba
Othman amesema Serikali atakayoiunda kuanzia Oktoba 29, itahakikisha kila mwananchi aliyepisha...
Taharuki Madagascar: Rais Rajoelina ‘hajulikani aliko’
Rajoelina, ambaye hajaonekana hadharani tangu Jumatano, alisema mwishoni mwa wiki kuwa kulikuwa na "njama ya kuchukua madaraka kinyume cha sheria."
Watanzania waaswa kuepuka vurugu kuelekea uchaguzi mkuu
Serikali kupitia vyombo vyake vya dola, imewatahadharisha wananchi dhidi ya kujihusisha na vitendo ambavyo vinaweza kuvunja amani, huku ikiahidi kuchukua hatua kali za kisheria kwa watakaobainika kufanya hivyo.
#HABARI: Uwekezaji, uwezeshaji na maboresho madhubuti ya Vipaumbele 5 vya Sera ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi ikiwemo kilimo, nisha…
#HABARI: Uwekezaji, uwezeshaji na maboresho madhubuti ya Vipaumbele 5 vya Sera ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi ikiwemo kilimo, nishati, miundombinu ya usafiri majini na utalii endelevu vimechochea ongezeko kubwa…
#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Arusha, Cecilia Paresso amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura…
#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Arusha, Cecilia Paresso amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura wagombea wa CCM Oktoba 29, mwaka huu. Amesema hayo wakati wa mkutano…
Samia: Vijana lindeni nchi yenu
Mgombea huyo wa CCM, alisisitiza kuwa amani ikivurugika vijana watashindwa kushiriki shughuli mbalimbali kama vile uchimbaji madini na burudani.
Iran: Dunia iwe macho, isikubali Israel ikiuke usitishaji vita Gaza
Iran imesisitiza uungaji mkono wake usioyumba kwa juhudi zozote zinazolenga kukomesha mauaji na mauaji ya halaiki ya Israel huko Gaza, ikionya kuhusu historia ya utawala unaoikalia kwa mabavu Quds ya…
🔴MEZA HURU: SOKO LA KARIAKOO .OKTOBA 13, 2025
🔴MEZA HURU: SOKO LA KARIAKOO .OKTOBA 13, 2025
Hali yazidi kuwa tete Madagascar kufuatia maandamano ya vijana, UN yafuatilia kwa karibu
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amesema anaendelea kufuatilia kwa karibu maendeleo ya hali nchini Madagascar kufuatia kuibuka kwa maandamano ya vijana na wasiwasi juu ya uwezekano wa…
Tume ya Umoja wa Mataifa yahimiza hatua za dharura kuzuia Sudan Kusini kusambaratika zaidi
Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu kuhusu Sudan Kusini imeonya kuwa mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini humo umechochea upya mapigano, ukiathiri vibaya hali ya kibinadamu na haki…
Tathmni ya ‘chanya na hasi’ katika amani Mashariki mwa DRC
Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa Ukanda wa Maziwa Makuu barani Afrika, Huang Xia, amehutubia Baraza la Usalama akionesha taswira ya mchanganyiko wa matumaini na tahadhari…
WHO: Usugu wa bakteria dhidi ya viuavijasumu vya kawaida waenea duniani
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO limeonya kuwa usugu wa bakteria dhidi ya viuavijasumu vya kawaida unaongezeka kwa kasi duniani, hali inayotishia afya ya watu na mafanikio…
Utafiti: Takwimu na uwajibikaji vinaweza kuongeza tija ya maendeleo mara kumi
Licha ya mabilioni kutumika katika elimu, afya na miundombinu, kwa nini bado mataifa mengi yanashindwa kufikia maendeleo ya maana Je, tatizo ni matumizi kidogo au matumizi yasiyo sahihi?
SIKU YA KIMATAIFA YA MTOTO WA KIKE
Tarehe 11 mwezi Oktoba kila mwaka dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike, ikiwa ni siku muhimu ya kutambua mchango na uwezo wa mabinti katika jamii.
Mateka waachiliwa Gaza, misaada yaanza kuingia na UN iko msitari wa mbele: UN
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, leo amekaribisha kwa furaha kuachiliwa kwa mateka wote waliokuwa hai kutoka Gaza, huku mashirika ya misaada yakiripoti kwamba usambazaji wa misaada ya…
Ulimwengu wa Spoti, Okt 13
Ufuatao ni mkusanyiko wa matukio yaliyotifua mavumbi viwanjani ndani ya siku zilizopita duniani, kuanzia hapa Iran hadi barani Afrika.
Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura na kudumisha amani na utulivu kipindi hiki cha uchaguzi, …
Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura na kudumisha amani na utulivu kipindi hiki cha uchaguzi, ili kuendele kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere.…
Faida na changamoto za kuishi watu wengi katika familia moja : Je, ni maendeleo au kurudi nyuma
Faida na changamoto za kuishi watu wengi katika familia moja : Je, ni maendeleo au kurudi nyuma Tupe maoni yako na tutayasoma katika #Kilingechafamilia Jumapili saa 1:00 kamili usiku. 📸iStock
Mali yajibu mapigo, yawawekea Wamarekani vikwazo
Serikali ya Mali imeweka masharti ya bondi ya viza kwa raia wa Marekani, ili kulipiza kisasi cha uamuzi wa Washington wa kuwawekea vikwazo vya usafiri raia wa nchi hiyo ya…
Wiki ya lawama, heshima CAF
Wikiendi tunayoiendea, wawakilishi wa Tanzania katika michuano inayosimamiwa na Shirikisho la...
Ferran Torres kuikosa Bulgaria kesho
Kiungo mshambuliaji wa Barcelona, Ferran Torres amelazimika kuondoka kwenye kambi ya timu ya...
Mechi za mchujo Kombe la Dunia 2026 kupigwa Morocco
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeitaja nchi ya Morocco kuwa mwenyeji wa mashindano...
Rais Rajoelina kulihutubia taifa kufuatia maandamano
Baada ya maandamano makubwa ya vijana kuungwa mkono na jeshi, rais Rajoelina azungumzia wasiwasi wa kupinduliwa madarakani
Wakulima wa mkoani Kagera wamesema bado wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa mikopo yenye gharama nafuu kutoka taasisi z…
Wakulima wa mkoani Kagera wamesema bado wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa mikopo yenye gharama nafuu kutoka taasisi za kifedha, hali inayosababisha kushindwa kuendeleza shughuli zao za kilimo, ikiwemo upanuzi…