HABARI: Wachimbaji madini wasiopungua 33 wamefariki dunia kutokana na uvujaji wa kaboni-monoksidi unaoshukiwa kutokea kwenye mgo…
HABARI: Wachimbaji madini wasiopungua 33 wamefariki dunia kutokana na uvujaji wa kaboni-monoksidi unaoshukiwa kutokea kwenye mgodi wa madini ya risasi na zinki katika Jimbo la Plateau katikati mwa Nigeria. Mkasa…
Mbunge Agne atoa msaada kwa wafungwa, mahabusu Musoma
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, ametoa msaada wa vyakula na vifaa vya usafi...
Stephanie Ruto: Maelezo kuhusu kazi nono ya bintiye Rais William Ruto
Stephanie Ruto amekuwa akifanya mambo yake faraghani tangu babake aingie madarakani. Maelezo yameibuka kuhusu kazi yake baada ya kuhudhuria hafla moja Ukambani.
Kamusi ya Kiswahili mtandaoni muhimu utoaji elimu ya fedha
Katika miaka ya karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia ongezeko kubwa la juhudi za utoaji wa...
#MEZAHURU: Unashauri nini Wizara ya Michezo kwenye kuinua MPIRA WA KIKAPU KWA VIJANA ndani ya Tanzania
#MEZAHURU: Unashauri nini Wizara ya Michezo kwenye kuinua MPIRA WA KIKAPU KWA VIJANA ndani ya Tanzania -Weka Moani yako
Mwigulu kukagua miradi ya maendeleo Rombo leo
WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba leo anaendelea na ziara yake mkoani Kilimanjaro kwa kutembelea Wilaya ya Rombo. Akiwa Rombo Dk Nchemba atakagua ujenzi wa barabarani ya chini”lower Road”, mradi wa…
Umuhimu wa kutunza kumbukumbu binafsi
Watu wengi hufanya kazi kwa bidii maisha yao yote ili kujenga maisha bora kwa familia zao.
Baraza la Usalama la UM lakutana na kujadili Gaza kabla ya Baraza la Amani la Donald Trump
Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatano wametaka makubaliano ya kusitisha mapigano ya Gaza yawe ya kudumu na wamekosoa juhudi za Israel za kupanua udhibiti…
Magazetini: Matiang’i-Kalonzo Wagongana Upinzani Ukichanganyikiwa Kuhusu Nani Atapeperusha Bendera
Mzozo kuhusu jinsi ya kuchagua mpepepeshaji bendera wa urais wa muungano wa upinzani umeibuka, na kufichua mgawanyiko mkubwa ndani yao kambi hiyo.
Rubio kumfahamisha Netanyahu kuhusu hali ya mazungumzo kati ya Marekani na Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio anapanga kusafiri kwenda Israel wiki ijayo kumjulisha Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuhusu maendeleo ya hivi punde katika mazungumzo ya…
HABARI: Mnamo Febuari 10, 2026 mbele ya Mhe
HABARI: Mnamo Febuari 10, 2026 mbele ya Mhe. Jasmin A. A wa Mahakama ya Wilaya ya Siha, TAKUKURU (W) Siha imefungua mashauri matatu ya Uhujumu Uchumi namba 2831, 2834 na…
VinÃcius: Miaka minane akiwa Real Madrid, matukio 20 ya madai ya ubaguzi
Balagué anaeleza kuwa badala ya soka kusherehekea bao la kipekee la VinÃcius, mchezo huo ulitawaliwa tena na mjadala wa ubaguzi wa rangi, kukanusha tuhuma, na visingizio.
Je, fedha za kidijitali zinaleta usawa mijini na vijijini?
Kwa miongo kadhaa, uchumi wa Tanzania umekuwa na taswira mbili tofauti: upande mmoja ni miji...
Korea Kusini: Hatima ya rais wa zamani Yoon kujulikana
Adhabu ya kifo, kifungo cha maisha, au msamaha dhidi ya uwezekano wowote? Rais wa zamani wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol atajua hatima yake leo Alhamisi katika kesi kuu inayohusiana…
#MEZAHURU: Kipi kifanyike kuinua uthamani wa MPIRA WA KIKAPU KWA VIJANA ndani ya Tanzania.?
#MEZAHURU: Kipi kifanyike kuinua uthamani wa MPIRA WA KIKAPU KWA VIJANA ndani ya Tanzania.? -Weka Moani yako
Marekani inatuhumu China kwa kufanya jaribio la siri la nyuklia
Shutuma za Marekani dhidi ya China zinafufua mvutano kati ya mataifa yenye nguvu za nyuklia na kufufua mjadala kuhusu mustakabali wa udhibiti wa silaha, dhidi ya hali ya ushindani mkubwa…
‘Baraza la Amani’ linaloungwa mkono na Donald Trump kukutana kwa mara ya kwanza Washington
Chombo kipya cha kimataifa kilichoitwa “Baraza la Amani” ambacho kilizinduliwa mwanzoni mwa mwaka na rais wa Marekani, kinakutana kwa mara ya kwanza leo Alhamisi, Februari 19, nchini Marekani. Lakini lengo…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO …..FEBRUARI 19, 2026
🔴KUMEKUCHA MICHEZO .....FEBRUARI 19, 2026
Zuckerberg ahojiwa mahakamani kuhusu athari za Instagram kwa watoto
Mkurugenzi Mkuu mtendaji wa kampuni kubwa ya teknolojia ya Meta, zamani facebook, Mark Zuckerberg, amekuwa Mahakamani jijini Los Angeles nchini Marekani, kujibu tuhuma kuhusu namna matumizi ya mtandao hasa wa…
Arteta akubali lawama Arsenal
Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, ameonyesha kukerwa na kiwango cha wachezaji wake kufuatia...
Uturuki: Tume ya Bunge yafungua njia kwa wanachama wa PKK kurudi Nchini
Hii ni hatua muhimu katika mchakato wa amani ulioanzishwa katika msimu wa vuli wa mwaka 2024 kati ya Ankara na Chama cha Wafanyakazi cha Kurdistan (PKK): siku ya Jumatano, Februari…
MCB yapata Sh9 bilioni, yalenga kuibua mapinduzi ya ufadhili sekta ya elimu
Mkopo huo wa muda wa kati hadi mrefu unatajwa kuwa sehemu ya mkakati wa benki hiyo kupanua wigo...
Burkina Faso: Watu kadhaa wauawa katika shambulio jipya la wanajihadi karibu na Fada N’Gourma
Shambulio jipya linalohusishwa na kundi la jihadi limesababisha vifo vya watu kati ya 60 na 70 mashariki mwa Burkina Faso siku ya Jumamosi, Februari 14. Wakati huu, lililenga kambi ya…
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi: Man Utd yajutia uamuzi wa Rashford
Manchester United yajutia dili la Marcus Rashford Barcelona, ​​Marcos Senesi anataka kujiunga na Barcelona, huku Liam Delap akitarajiwa kuondoka Chelsea msimu huu wa joto.
Marekani kuwaondoa wanajeshi wake Syria huku mvutano na Iran ukiongezeka
Wanajeshi wa Marekani wamekuwa Syria tangu mwaka 2015, kama sehemu ya kampeni ya kupambana na ugaidi ili kukabiliana na ushawishi wa Dola la Kiislamu (ISIS).
Raia wa Kenya 95 wamesajiliwa kwenye jeshi la Urusi kupigana Ukraine
Serikali nchini Kenya imebaini kuwa raia wake 95 wamesajiliwa kwenye jeshi la Urusi, kwenda kupigana nchini Ukraine. Takwimu hizi zimetolewa na Wizara ya Mambo ya nje, kwa mujibu wa Gazeti…
Afrika Kusini: Jeshi kutumwa kupambana na magenge hakuungwi mkono kwa kauli moja
Nchini Afrika Kusini, Kaimu Waziri wa Polisi amebainisha Bungeni siku ya Jumanne, Februari 17, kutumwa kwa jeshi ndani ya siku kumi kupambana na uhalifu, hasa vurugu za magenge. Hatua hii,…
EU, Uingereza na Canada zalaani vita vinavyoendelea nchini Sudan
Mataifa ya Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya, yamelaani vita vinavyoendelea nchini Sudan kwa karibu miaka mitatu sasa na kusema, kinachoendelea ni uhalifu wa kivita dhidi ya binadamu. Imechapishwa: 19/02/2026…
Wachimbaji 38 wa madini wamefariki kwenye mlipuko Nigeria
Wachimbaji 38 wa madini waliuawa wakati gesi ilipolipuka kwenye shimo katika jimbo la Plateau katikati mwa Nigeria, Wengine 27 walijeruhiwa katika mlipuko huo kwenye eneo la uchimbaji madini la Kampanin…
Kwa nini mnyororo wa usambazaji wa dawa za asili jijini Dar vigumu kudhibitiwa – 4
Dawa za asili zinazotokana na miti ya misituni husafirishwa mamia ya kilometa hadi jijini Dar...
🔴#MAGAZETI:WAZIRI MKUU AAGIZA ‘FAGIO’ KUWAONDOA VIGOGO WOTE
🔴#MAGAZETI:WAZIRI MKUU AAGIZA 'FAGIO' KUWAONDOA VIGOGO WOTE
Wanawake wa jamii ya Alawite nchini Syria waelezea walivyotekwa na kubakwa
Kundi la kutetea haki za wanawake la Syrian Feminist Lobby (SFL) kinasema kilirekodi ripoti kutoka kwa familia, vyombo vya habari na vyanzo vingine, kuwa zaidi ya wanawake 80 hawajulikani waliko.
Mateso ya Ukoloni: Majaribio ya Nyuklia ya Ufaransa nchini Algeria, Uhalifu Ambao Hautasahaulika
Wakati wa ukoloni wa Ufaransa nchini Algeria, moja ya sura nyeusi na ya uhalifu mkubwa zaidi ilikuwa majaribio ya nyuklia katika ardhi ya nchi hiyo na kwa watu wake.
Alkhamisi, 19 Februari, 2026
Leo ni Alkhamisi tarehe Mosi Ramadhani 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 19 Februari, 2026.
Mufti wa Libya: Kuikomboa Palestina ni wajibu wa kidini
Sheikh Sadiq al-Ghariani, Mufti wa Libya amesema kwamba kuikomboa Palestina na kuwasaidia wakazi wake ni wajibu wa kidini kwa Waislamu wote.
Mvutano wa kodi kati ya Bara na Zanzibar kuibuka mara kwa mara
Mvutano wa kodi kati ya Bara na Zanzibar kuibuka mara kwa mara. Je,Viongozi walaumiwe kwa kutosimamia maamuzi yao kuhusu jambo hili ?
Nchi 24 zaonya kuhusu janga la watu nchini Sudan; UN yasema ina wasiwasi mkubwa
Nchi 24 za Magharibi zimeelezea wasiwasi wao kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa dhidi ya raia, uharibifu wa miundombinu na mashambulizi dhidi ya taasisi za misaada ya kibinadamu nchini Sudan, zikitoa wito…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 19, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 19, 2026
Je, NATO imemjibu Trump kufuatia mzozo wa Greenland?
Mpango wa NATO wa Walinzi wa Arctic, uliotangazwa rasmi wiki iliyopita na Katibu Mkuu wa NATO Mark Rutte, uliibuka huku kukiwa na uhusiano mbaya kati ya Marekani na nchi za…
Manuva ya kijeshi ya Iran na Russia kufanyika leo katika Bahari ya Oman
Msemaji wa maneva ya kijeshi ya Iran na Russia, Admirali Hassan Maghsoudlou, amesema kuwa vikosi vya majini vya Iran na Russia leo Alkhamisi vitafanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi.
Wazayuni wenye misimamo mikali wavamia msikiti wa al-Aqswa
Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia tena Msikiti mtakatifu wa Al-Aqswa na kufanya vitendo vya kichochezi dhidi ya kibla hicho cha kwanza cha Waislamu.
Familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia yapuuza madai ya kuwekewa sumu Lungu
Familia ya Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, ambaye alifariki dunia nchini Afrika Kusini mwezi Juni mwaka jana na bado hajazikwa, imekanusha madai kwamba Lungu aliwekewa sumu.
Stakeholders explore collaborative approaches to combat GBV
DAR ES SALAAM: Civil society organizations, research institutions, and development stakeholders from across the country have discussed strategies grounded in evidence to prevent and address violence against women and children…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 19, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Wakayi wanajiandaa kwa mazishi, kumbe Bala anatesekea kwa Sophia
Wakayi wanajiandaa kwa mazishi, kumbe Bala anatesekea kwa Sophia #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 18, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 18, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 15, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 15, 2026
TFS yatatua migogoro ya mipaka na vijiji kwa 96%
MOROGORO: WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS) umefanikiwa kutatua migogoro ya mipaka 423 kati ya 438 iliyokuwa inahusiana na vijiji na Wadau wengine iliyoanishwa kupitia lamati ya mawaziri wanane iliyoundwa…
TRA United yapata bodi ya usimamizi
DAR ES SALAAM: Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda leo amezindua Bodi ya Usimamizi wa Timu ya mpira wa miguu “TRA United Sports Club na…