Wakazi wa Geita, tumewaletea Oili inayoongoza kwa tuzo miaka 18 duniani kwa ubora kwa injini- Hii ni Oili ya Shell
Wakazi wa Geita, tumewaletea Oili inayoongoza kwa tuzo miaka 18 duniani kwa ubora kwa injini- Hii ni Oili ya Shell. Fahamu faida za Oili ya Shell katika chombo chako cha…
Gaza: Mateka wengine wanne waliokuwa wamesalia wakabidhiwa shirika la Msalaba Mwekundu
Jeshi la Israel limetangaza jioni ya Jumanne, Oktoba 14, kwamba mateka wengine wanne ambao walikuwa bado wanazuiliwa na kundi la Palestina la Hamas huko Gaza wamekabidhiwa kwa Shirika la Msalaba…
Rais wa Syria al-Sharaa kuzuru Moscow Jumatano
Rais wa Syria Ahmed al-Sharaa anatarajiwa kuzuru Moscow leo kwa mazungumzo kuhusu mustakabali wa vituo vya kijeshi vya Urusi nchini humo na hatma ya Bashar al-Assad, aliyepinduliwa mwaka jana na…
🔴MAGAZETI: ASKOFU RUWA’ICHI ATOA UJUMBE MZITO / LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA…OKTOBA 15, 2025
🔴MAGAZETI: ASKOFU RUWA'ICHI ATOA UJUMBE MZITO / LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA...OKTOBA 15, 2025
Marekani, China zatupiana ada mpya za bandari
Mvutano wa kibiashara kati ya Marekani na China umechukua sura mpya baada ya mataifa hayo mawili kuanza kutozana ada za bandari kwa kampuni za usafirishaji baharini.
Donald Trump atishia kusitisha ununuzi wa mafuta ya kupikia kutoka China
Rais wa Marekani Donald Trump ameikosoa China siku ya Jumanne, Oktoba 14, kwa kutonunua tena soya kutoka Marekani na kudai kuwa nchi yake inaweza, kwa kulipiza kisasi, kuacha kuagiza mafuta…
Hamas yairejesha miili mingine minne ya mateka
Shirika la Msalaba Mwekundu lilichukua mabaki hayo kwenye majeneza na kuyakabidhi kwa wanajeshi wa Israel usiku wa Jumanne.
Waziri Mkuu wa Uhispania: Usitishaji vita hauipi kinga Israel ya kutoadhibiwa kwa mauaji ya kimbari ya Gaza
Pedro Sanchez Waziri Mkuu wa Uhispania amesisitiza kuwa makubaliano ya kusitisha vita Gaza yaliyofikiwa hivi karibuni kati ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na Israel yasifanywe kuwa…
Israel yapokea miili ya mateka zaidi kutoka Gaza
Jeshi la Israel limepokea mabaki ya mateka wanne waliokabidhiwa na Hamas chini ya mpango wa kusitisha mapigano. Wakati huo huo, hospitali ya Gaza imethibitisha kupokea miili ya Wapalestina 45 waliorejeshwa…
#KIPIMAJOTO: Miaka 26 ya Kumbukizi ya Kifo cha Baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere
#KIPIMAJOTO: Miaka 26 ya Kumbukizi ya Kifo cha Baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere. Je, watanzania wanatunza misingi ya amani aliyoiasisi?