Iran yajibu bwabwaja, vitisho na matamshi ya uingiliaji ya Trump
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ameonya kwamba, uingiliaji kati wa Marekani katika masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu utavuruga utulivu wa eneo zima la…
Nabii atabiri Ghana kufika fainali Kombe la Dunia 2026
Nabii maarufu kutoka Ghana, Nigel Gaisie ametabiri kuwa timu ya taifa ya nchi hiyo, Black...
Wahamiaji kadhaa wakufa maji katika ajali ya boti Gambia
Askari wa gadi ya baharini ya Gambia wameopoa majini miili saba ya wahamiaji wasio na vibali, huku wengine 96 wakiokolewa kufuatia ajali ya boti pwani ya nchi hiyo.
Ethiopia yawarejesha nyumbani zaidi ya raia 27,000 waliokwama nje ya nchi
Serikali ya Ethiopia imetangaza kwamba imewarejesha nyumbani zaidi ya raia 27,300 waliokuwa wamekwama katika nchi za Myanmar na Saudi Arabia katika kipindi cha miezi mitano iliyopita.
Denmark: Tutasimama kidete dhidi ya mpango wa Trump kwa Greenland
Waziri Mkuu wa Denmark, Mette Frederiksen amepinga vikali juhudi mpya za Marekani za kuinunua Greenland, akitoa hotuba kali dhidi ya mpango huo, huku mvutano wa kidiplomasia baina ya pande mbili…
Ujenzi wa viwanda vya nguo, dawa za binadamu kupunguza gharama za uagizaji Zanzibar
Ujenzi wa viwanda vya nguo na dawa za binadamu katika eneo la viwanda Dunga Zuze, Mkoa wa...
Dosari zairejesha kesi dhidi ya raia Nigeria Mahakama Kuu
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imebatilisha hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela na faini ya...
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI – 02/01/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 02/01/2026
Ujenzi wa viwanda vya nguo, dawa za binadamu kuleta unafuu kwa Wazanzibar
Ujenzi wa viwanda vya nguo na dawa za binadamu katika eneo la viwanda Dunga Zuze umetajwa...
Waziri Mkuu Japan ataka matundu ya choo yaongezwe jengo la Bunge
Waziri Mkuu wa Japan, Sanae Takaichi ameongeza nguvu kushawishi kutaka vyoo vya wanawake...
Je, siasa za Kenya 2026 zinaanzaje bila Raila Odinga
Mwaka huu Kenya ilimpoteza mmoja wa watu wake mashuhuri kwa jina la Raila Amolo Odinga, mmoja wa wanasiasa waliodumu nchini humo, aliyefariki akiwa na umri wa miaka 80.
Penzi la Harmonize, Kajala limepitia hekaheka nyingi -1
Uhusiano wa Harmonize na Kajala Masanja umekuwa na matukio mengi ya panda shuka ambayo kwa...
Mzigo wa amani na utulivu: Namna Polisi ilivyobeba uzito wa utulivu wa taifa
SIKU kabla ya uchaguzi, wakati na baada ya uchaguzi mara chache huwa tulivu. Katika demokrasia, siku hizo huleta hofu, kauli za ushindani na kuibua hisia. Tanzania haikuachwa nyuma. Matukio yaliyoripotiwa…
Gabon suspends the national team after ‘disgraceful performance’ at AFCON
GABON: GABON’s government has announced the suspension of the national team, the sacking of the coach and kicked Pierre-Emerick Aubameyang off the squad in the wake of three defeats at…
Dar exports to Lilongwe rise sharply
DODOMA: Trade volume between Tanzania and Malawi has increased sharply over the past five years, rising from USD 46.886 million (approximately 114.88bn/-) in 2020 to USD 77.679 million (about 190.33bn/-),…
Trump anasema ikiwa Iran itawaua waandamanaji, Marekani ‘itawasaidia’
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwenye mtandao wake wa Truth Social siku ya Ijumaa kwamba “ikiwa Iran itawapiga risasi waandamanaji wa amani na kuwaua kwa nkiholela, kama ilivyo kawaida…
#HABARI: Mwanahabari nguli wa Tanzania anayeishi nchini Sweden, Bwana Majjid Mjengwa, amewataka Watanzania kuwa makini na taari…
#HABARI: Mwanahabari nguli wa Tanzania anayeishi nchini Sweden, Bwana Majjid Mjengwa, amewataka Watanzania kuwa makini na taarifa za upotoshaji zinazochochewa na watu wenye nia ovu katika mitandao ya kijamii, akisema…
Mwezi Januari huendelea kutajwa na wengi kama mwezi mgumu, kutokana na shinikizo la maisha linalowakumba wananchi katika kipindi…
Mwezi Januari huendelea kutajwa na wengi kama mwezi mgumu, kutokana na shinikizo la maisha linalowakumba wananchi katika kipindi hicho. Matumizi huongezeka kwa kiasi kikubwa, yakihusisha ada za shule, kodi ya…
Venezuela releases 88 jailed after post-election protests
VENEZUELA: The New Year’s Day announcement marks the second mass release in a week amid US pressure on President Nicolas Maduro’s government. Venezuela‘s government on Thursday announced the release of…
Five-year-old boy killed in Ukrainian drone attack – governor
UKRAINE: A five-year-old boy has been killed in a Ukrainian drone strike on his family’s car in Russia’s Kherson Region, Governor Vladimir Saldo has said. The boy, his mother and…
Zohran Mamdani ametangazwa kuwa meya mpya wa Jiji la New York City, nchini Marekani na hivyo kuwa kiongozi mwenye umri mdogo zai…
Zohran Mamdani ametangazwa kuwa meya mpya wa Jiji la New York City, nchini Marekani na hivyo kuwa kiongozi mwenye umri mdogo zaidi kuliongoza jiji hilo tangu mwaka 1992. Aidha, anakuwa…
Liam Rosenior kubeba mikoba ya Maresca Chelsea
Safari kutoka Hull City hadi Chelsea kupitia Strasbourg huenda isimfanye Liam Rosenior kuingia...
Madagascar: Wagonjwa watano wa Mpox wamethibitishwa Majunga, Kulingana na Wizara ya Afya ya Umma
Nchini Madagascar, wagonjwa watano wa Mpox, pia unaojulikana kama virusi vya homa ya nyani, wamethibitishwa na Wizara ya Afya ya Umma. Wagonjwa kumi na mmoja wanaoshukiwa kuambukizwa virusi hivyo pia…
Tanzania sees institutions with over 100 people using clean energy
MKURANGA: IT has been stated that the use of clean cooking energy continues to create numerous employment opportunities for Tanzanians, particularly in the production of alternative charcoal and the manufacturing…
Amani iwe mtaji muhimu wa maendeleo 2026
MWAKA Mpya 2026, ndio umeanza ikiwa ni siku ya pili tangu Watanzania walipoungana na watu wengine duniani kuupokea mwaka huo. Kwanza tunamshukuru Mungu kuwezesha wengi wetu kuuona mwaka na uwepo…
PM begins tour of Morogoro to inspect Kidunda Dam progress
MOROGORO: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has begun an official working tour of Morogoro to assess the ongoing construction of the Kidunda Dam and assess the impact of the recent rainfall…
Kenya: Kinyozi anayetumia zana za jadi kama beleshi na tindo kunyoa nywele
Kinyozi mmoja nchini Kenya anaefahamika kwenye mitandao kama Chief Safro, ameendelea kujizolea umaarufu ndani na nje kwa kutumia zana za jadi kama beleshi na tindo kunyoa nywele, mtindo ambao umemsaidia…
Wagonjwa TB walioacha dawa kusakwa
WILAYA ya Tunduru mkoani Ruvuma kupitia Idara ya Afya imeanza msako wa kuwatafuta wagonjwa wa Kifua Kikuu waliokatisha matumizi ya dawa ili waendelee kunywa, ikiwa ni mkakati wa kumaliza tatizo…
Watoto wanavyoweza kuwa pambo la nyumba
Methali ya Kiswahili isemayo “Watoto pambo la nyumba, wathaminiwe” ni methali yenye maana kubwa...
Gambia: Saba wamefariki na wengi hawajulikani walipo baada ya boti ya wahamiaji kuzama
Nchini Gambia, angalau wahamiaji saba wamefariki na wengine kadhaa hawajulikani walipo baada ya boti yao kuzama usiku wa Desemba 31, walipokuwa wakijaribu kuingia Ulaya kupitia njia ya baharini ya Atlantiki,…
Somaliland yakana kukubali Israel kuweka kambi ya kijeshi kwa sharti la kutambuliwa
Mvutano wa kidiplomasia katika Pembe ya Afrika unaendelea kufuatia tangazo la Israel la kuitambua uhuru wa Somaliland, eneo linalotaka kujitenga kaskazini mwa Somalia. Rais wa Somalia anaishutumu serikali ya Israel…
#HABARI:Wananchi wameendelea kufika katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro kutambua miili…
#HABARI:Wananchi wameendelea kufika katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro kutambua miili ya ndugu zao, waliopoteza maisha kwenye ajali ya basi na lori, yaliyogongana…
Mauzo korosho yavuka tril 1.2/-
MAUZO ya korosho kwenye minada mbalimbali nchini yamevunja rekodi baada ya kuvuka Sh trilioni 1.2 ambazo zimekusanywa nchini, kutokana na kuuzwa tani 433,000 za korosho msimu huu unaotarajiwa kukamilika Machi…
Katika kuadhimisha sherehe za kufunga mwaka 2025 na kufungua mwaka mpya wa 2026, Hifadhi ya Taifa Mikumi imeendelea kuwa kivutio…
Katika kuadhimisha sherehe za kufunga mwaka 2025 na kufungua mwaka mpya wa 2026, Hifadhi ya Taifa Mikumi imeendelea kuwa kivutio kikubwa cha utalii wa ndani baada ya kutembelewa na Godfrey…
TRA yavunja rekodi, yakusanya tril 9.8/-
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imejivunia ufanisi wa ukusanyaji wa mapato katika robo ya pili ya Mwaka 2025/2026 huku Desemba ikivunja rekodi za ukusanyaji wa mapato nchini kwa kukusanya Sh…
Mashujaa Queens coach praises TWPL standards
DAR ES SALAA: MASHUJAA Queens FC Head Coach Ally Ally has expressed strong satisfaction with both his team’s progress and the overall standard of competition in the ongoing Tanzania Women’s…
Samia akabidhi zawadi kwa wahitaji
WAKATI Watanzania wakiungana na watu wengine duniani kote kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2026, Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi zawadi mbalimbali za mwaka mpya kwa watu wenye mahitaji mkoani Kilimanjaro. Zawadi…
Askofu kanisa la ufunuo Shinyanga ahubiri amani
SHINYANGA: ASKOFU wa Kanisa la Ufunuo mkoani Shinyanga, Samawi Bendera amewashauri waumini wa kanisa hilo kujiepusha na vurugu kwani kuna baadhi ya nchi watu wake wamekuwa wakiingia kanisani kuhubiri kwa…
Zanzibar charts bold path toward sports and wellness
ZANZIBAR: ZANZIBAR’S vision to emerge as a regional hub for sports tourism and wellness was powerfully showcased as hundreds of fitness enthusiasts filled the streets from Kisonge to the New…
The Big Five ‘association football’
ALSO READ: THE Big Five refers to the association football markets of England, France, Germany, Italy and Spain. As of 2025, they are the five European leaders in size and…
Legends: Grit, plan fuel Stars
DAR ES SALAAM: FOOTBALL legends have attributed Taifa Stars’ historic progress to the AFCON last 16 to sound technical planning, unwavering player commitment and a shared hunger to write a…
Kudos Taifa Stars for AFCON milestone
DAR ES SALAAM: TANZANIA national football team – Taifa Stars has achieved a milestone by storming into a knockout stage of the Africa Cup of Nations (AFCON) for the first…
Africa’s green economy gains strong momentum
AFRICA: AFRICA’S push for green industrialisation is accelerating in 2026, with new value chains, renewable energy projects, and strategic development of critical minerals reshaping the continent’s economic trajectory, according to…
VICOBA strengthen SME access to capital
DAR ES SALAAM: COMMUNITY-based savings and credit groups are playing a growing role in financing small and medium-sized enterprises by mobilising domestic savings into affordable loans and profit sharing schemes,…
H.E. Ambassador Chen Mingjian’s 2026 New Year Message
DAR ES SALAAM: AS the cycle of seasons turns and a new year begins, I would like to take this auspicious opportunity, on behalf of the Chinese Embassy in Tanzania…
Maridhiano, uchumi vyambeba Samia
WADAU mbalimbali wakiwemo wanasiasa, wasomi na wachumi wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa dhamira yake ya dhati ya kuliunganisha taifa kupitia Tume ya Maridhiano aliyoanza hatua ya kuiunda. Wamesema Rais…
Gabon: Rais Brice Oligui Nguema atangaza kuundwa kwa serikali yake
Nchini Gabon, Rais Brice Clotaire Oligui Nguema amesaini agizo tatu za kiraisi siku ya Alhamisi, Januari 1. La kwanza linamteua Hugues Alexandre Barro Chambrier kama Makamu wa Rais wa Jamhuri.…
Jackie Chan amwaga machozi kuwalilia watoto wa Ghaza
Jackie Chan, muigizaji maarufu wa Hollywood na filamu za Hong Kong, amewaga machozi kuwalilia watoto wa Ghaza akielezea huzuni yake kubwa kutokana na hali mbaya ya kibinadamu katika ukanda huo…
Chinese President Xi Jinping’s 2026 New Year message
CHINA: ON New Year’s Eve, Chinese President Xi Jinping delivered his 2026 New Year message through China Media Group and the internet. The following is the full text of the…
Jenerali Vahidi: Vitisho vya Maadui vinatokana na woga na hofu yao
Naibu kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH, amesisitizia wajibu wa kuendelea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuunga mkono Mhimili wa Muqawama na kusema kuwa: "Vitisho na…