Mataifa ambayo muda wa kufunga Ramadhan utakuwa mrefu zaidi 2026
Mataifa yaliyo kusini mwa ikweta yatashuhudia mfungo wa muda mfupi.
Reza Pahlavi atoa wito wa kuingilia kati kijeshi ‘haraka’ nchini Iran
Mtoto wa Shah aliyeondolewa madarakani, Reza Pahlavi, ametoa wito tena kwa Donald Trump kwa kuingilia kati kijeshi “haraka” nchini Iran na akarudia pendekezo lake la kuhakikisha “mpito” wa kisiasa nchini…
Kenya : Mpasuko waendelea kushuhudiwa katika chama cha ODM
Nchini Kenya, mpasuko wa kisiasa ndani ya chama cha siasa cha ODM umeendelea ambapo mwishoni mwa wiki iliyopita, pande mbili zinazovutana kuhusu kumuunga mkono rais William Ruto, ziliandaa mikutano ya…
Mazungumzo kati ya Iran na Marekani: Netanyahu yaweka masharti ya makubaliano
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametoa wito siku ya Jumapili kwa “kuvunjwa” kwa uwezo wa urutubishaji wa uranium wa Iran, wakati wa hotuba mbele ya Mkutano wa viongozi wa…
Nyuklia, mafuta, gesi, madini… Kile Iran inapendekeza ili kurahisisha makubaliano na Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameondoka Tehran Jumapili, Februari 15, kwenda Geneva kwa ajili ya duru ya pili ya mazungumzo na Marekani, yanayosimamiwa na Oman, ili kuzuia mashambulizi…
Kambi ya kijeshi yashambuliwa na kuporwa nchini Mali
Nchini BurkinaFaso, mji wa Titao, ambao hapo awali uliokolewa kutokana na mashambulio ya kigaidi, ulivamiwa na kundi la washambuliaji siku ya Jumamosi, Februari 14, 2026. Walishambulia na kupora kambi ya…
Makubaliano ya Marekani na Iran lazima yajumuishe kuharibu miundombinu ya nyuklia – Netanyahu
Netanyahu alisema ana mashaka kuhusu makubaliano lakini lazima yajumuishe kuondolewa kwa nyenzo zilizorutubishwa nchini Iran.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeanza utekelezaji wa maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan akiitka mamlaka hayo kuongeza wigo…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeanza utekelezaji wa maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan akiitka mamlaka hayo kuongeza wigo wa utoaji huduma. Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Juma Mwenda akiwa…
Ifahamu sumu ya chura iliyotumika kumuua kiongozi wa upinzani wa Urusi Alexei Navalny
Sumu, epibatidine, inaweza kupatikana kwa vyura porini Amerika Kusini au kutengenezwa katika maabara.
🔴#MAGAZETI: MASOKO YALIYOGHARIMU MABILIONI YAKOSA WATEJA / HESABU ZIMEKATAA…..FEBRUARI 16, 2026
🔴#MAGAZETI: MASOKO YALIYOGHARIMU MABILIONI YAKOSA WATEJA / HESABU ZIMEKATAA.....FEBRUARI 16, 2026
Je, China ina msimamo gani kuhusu hatua mpya za utawala wa Israel katika Ukingo wa Magharibi?
China sambamba na kuashiria kuidhinishwa kanuni mpya na baraza la mawaziri la usalama la Israel ili kuimarisha udhibiti wa Ukingo wa Magharibi, imeonya kuhusu matokeo mabaya ya hatua hiyo.
Jenerali Mousavi: Mapambano dhidi ya Iran yatakuwa funzo kwa Trump
Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Donald Trump anapaswa kufahamu kwamba kuingia katika mapambano ya kijeshi na Iran kutakuwa funzo lenye athari kubwa,…
Palestina yataka uingiliaji kati wa walimwengu kusitisha mashambulizi ya Israel
Mamlaka ya Ndani ya Palestina, imetoa radiamali kwa uamuzi wa baraza la mawaziri la utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu kutaifisha ardhi za Ukingo wa Magharibi na kuitaka jamii ya…
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: Murillo kuondoka Nottingham Forest?
Murillo anawaniwa na vilabu vya soka vya London, mchezaji mwenzake wa Nottingham Forest Morgan Gibbs-White huenda akaelekea Manchester City, na Everton inafukuzia Harry Wilson Fulham
#KIPIMAJOTO: Wanaofanya udanganyifu ili kujipatia mbegu nyingi za ruzuku ili kuzifanyia biashara
#KIPIMAJOTO: Wanaofanya udanganyifu ili kujipatia mbegu nyingi za ruzuku ili kuzifanyia biashara. Je, wanyang'anywe leseni kuwadhibiti?
Jumatatu, 16 Februari, 2026
Leo ni Jumatatu 27 Sha'ban 1447 Hijria ambayo inasadifiana na 16 Februari 2026.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 16, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 16, 2026
Iran yaingia kwenye klabu ya mataifa yenye bidhaa za juu za tiba ya seli
Taasisi ya Utafiti ya Royan Research ya Iran imezindua bidhaa sita mpya zilizotengenezwa ndani ya nchi katika nyanja ya tiba ya seli na uhandisi wa tishu, hatua inayoiweka Iran miongoni…
Umoja wa Afrika wapitisha “Azimio la Algiers” kuhusu uhalifu wa kikoloni barani Afrika
Kikao cha 39 cha kawaida cha Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) kilichofanyika Jumapili jijini Addis Ababa kimepitisha “Azimio la Algiers” kuhusu uhalifu wa kikoloni barani…
Wapalestina 10 wauawa katika mashambulizi ya Israel Gaza licha ya usitishaji vita
Vikosi vya Israel vimewaua angalau Wapalestina 10 katika mashambulizi mapya yaliyofanywa katika maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Gaza, katika ukiukaji mwingine wa makubaliano ya usitishaji vita yaliyoratibiwa na Marekani na…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 16, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
Kariakoo Dabi ya Machi mosi kupigwa ‘Gwantanamo Bay’
MECHI ya watani wa jadi, Yanga dhidi ya Simba maarufu Kariakoo Dabi iliyopangwa kufanyika Machi 1, 2026, itachezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Mpira unaumiza jamani daah!
ZANZIBAR; MPIRA UNAUMIZA, lakini mpira pia unakera. Pengine ndivyo unavyoweza kuzungumzia matokeo ya mchezo wa mwisho hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga na JS Kabylie uliomalizika…
Yanga yashindwa kutinga robo fainali CAFCL
Hesabu zimekaa. Ndicho kilichotokea jana kwa wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAF...
Azam FC, kama Singida Shirikisho Afrika
AZAM FC leo imekamilisha ratiba ya meci za makundi kwa kipigo cha mabao 2-0 ugenini mbele ya Wydad AC ya Morocco na kuunganana na Singida Black Stars kung’oka katika michuano…
Yanga hesabu zimekataa! Yashindwa kutinga robo fainali CAFCL
HESABU zimekaa. Ndicho kilichotokea jana kwa wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAF baada ya Yanga jana usiku kupata ushindi wa mabao 3-0 nyumbani mbele ya JS Kabylie ya Algeria,…
Bibi katoa uvivu wote, hataki kiumbe ambacho hakipo ndani ya ndoa
Bibi katoa uvivu wote, hataki kiumbe ambacho hakipo ndani ya ndoa #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
Aliyemlawiti mtoto wa miaka mitano akwaa kisiki Mahakama Kuu
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imebariki adhabu ya kifungo cha maisha jela kwa mkazi wa Arusha...
Ukosefu wa vyoo kuwang’oa wakurugenzi, ma-DAS
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, amewabana mawaziri wanne na manaibu wao kujibu hoja zilizotolewa...
TRA yaanza kufanyia kazi maagizo ya Rais Samia
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza utekelezaji wa maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan...
Video: Mrengo wa Sifuna Wapokelewa Kishujaa Kitengela Mkutano wa Linda Mwananchi
Waasi wa ODM wa kundi la Edwin Sifuna walivamia mji wa Kitengela, wakipokea uungwaji mkono huku viogozi wa mrengo huo wakiukosoa uongozi wa Oburu Ogiga,
Huyu Salma hapa ndio hamna shughuli tena, Boni huyooo anapepea…Pole mwaya 💀
Huyu Salma hapa ndio hamna shughuli tena, Boni huyooo anapepea...Pole mwaya 💀 (Feed generated with FetchRSS)
Azam yakwama na pointi tisa
MOROCCO; AZAM imemaliza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa na pointi tisa, lakini imekwama kutinga robo fainali. Azam leo imepoteza mchezo wake wa mwisho hatua ya makundi…
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 14 , 2026 MKANDARASI ALIYETELEKEZA MRADI WA MAJI ATAKIWA KUPATIKANA
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 14 , 2026 MKANDARASI ALIYETELEKEZA MRADI WA MAJI ATAKIWA KUPATIKANA
#HABARI: Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) wilayani Mtwara imepata mafanikio makubwa kupitia miradi saba ya…
#HABARI: Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) wilayani Mtwara imepata mafanikio makubwa kupitia miradi saba ya mita za malipo ya kabla (pre-paid meters) inayohudumia vijiji 11. Mhandisi…
Yanga inaongoza 1-0 ngoma mapumziko
ZANZIBAR; NI mapumziko mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi Uwanja wa New Amaan Complex kati ya Yanga ya Dar es Salaam na JS Kabylie ya Algeria na…
Wadau wataka tiba saikolojia kwa wachezaji
KOCHA Mkuu wa Dodoma Jiji, Aman Josiah amelitaja suala la saikolojia kwa wachezaji kuwa ni eneo muhimu nje ya uwanja ambalo makocha wanapaswa kulijua ipasavyo.
#BSSNextLevelRevolution | Sikiliza ‘mastori’ tumepiga na baadhi ya washiriki ambao jana walifanikiwa kuingia mchujo wa pili (leo…
#BSSNextLevelRevolution | Sikiliza ‘mastori’ tumepiga na baadhi ya washiriki ambao jana walifanikiwa kuingia mchujo wa pili (leo). Wanakuambia kwenye duara cha BSS sio poa 😅 #BongoStarSearch itaanza kuruka hewani kuanzia…
Kakama yasherehekea miaka 10 ya kukuza Kiswahili
ZANZIBAR; Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki (Kakama) imesherehekea mwaka wake wa 10 katika tukio kubwa lililofanyika makao makuu yake Zanzibar, ikionesha dira muhimu katika kukuza Kiswahili kama chombo cha…
TRA yaanza utekelezaji maagizo ya Rais Samia
ARUSHA: MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kuchukua hatua ya utekelezaji wa maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoyatoa wakati wa kampeni wilayani Karatu mkoa wa Arusha ya kuitaka TRA…
Askofu Kasala ashauri jambo Bima ya Afya kwa Wote
Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita, Flavian Kasala ameshauri utaratibu wa utoaji wa Bima ya Afya...
#HABARI: Taasisi ya Ukaguzi na Udhibiti wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imefanya operesheni ya kushtukiza mkoani Singida na kubaini ba…
#HABARI: Taasisi ya Ukaguzi na Udhibiti wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imefanya operesheni ya kushtukiza mkoani Singida na kubaini baadhi ya wamiliki wa maduka ya pembejeo wakihujumu mfumo wa ruzuku kwa…
Kamati ya Bunge yatoa maagizo udhibiti wa bandari bubu nchini
Kushamiri kwa bandari bubu nchini, kumeiamsha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kutoa...