East Africa to anchor regional growth momentum
EAST AFRICA: EAST African economies are expected to remain the primary engines of regional growth, supported by resilient domestic demand, continued infrastructure investment and improving performance in agriculture and services.…
Katambi tasks CAMARTEC to boost agricultural innovation
ARUSHA: DEPUTY Minister for Industry and Trade, Mr Patrobas Katambi, has directed the Centre for Agricultural Mechanisation and Rural Technology (CAMARTEC) to develop innovations that will make agriculture more attractive…
Papa Leo azungumzia madhila ya Wapalestina wa Ghaza katika ibada ya Krismasi
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV amesema katika mahubiri ya Krismasi aliyotoa jana Alkhamisi kwamba anasikitishwa na madhila yanayowafika Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza.
PM urges religious leaders to promote harmony
DAR ES SALAAM: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has called on religious leaders to continue collaborating with the government in promoting education on unity and peace, denouncing hatred, division and…
VETA eyes 250,000 enrolments after completion of 65 new colleges
DODOMA: TANZANIA expects enrolment in vocational training programmes to rise to more than 250,000 students following the completion of an ongoing construction project of 65 new colleges under the Vocational…
Authorities probe helicopter crash killing five on Mt K’njaro
DAR ES SALAAM: AUTHORITIES have launched an investigation into the cause of a helicopter crash that claimed five lives at Kilimanjaro National Park (KINAPA) on Wednesday evening. TANAPA Conservation Commissioner…
Clerics preach faith, unity at Christmas
KIGOMA: CHRISTIANS and Tanzanians at large have been called upon to uphold faith, unity and righteous living as they celebrate Christmas and prepare to usher in the New Year 2026,…
Polisi wa Zambia apongezwa kwa kukataa hongo ya $50,000 kwenye uwanja wa ndege wa Lusaka
Tume ya Kupambana na Rushwa ya Zambia (ACC) imempongeza askari polisi wa kike aliyekataa kupokea hongo ya dola za Kimaarekani 50,000 kutoka kwa mshukiwa wa utakatishaji pesa katika uwanja wa…
Govt expands small-scale mining licenses nationwide
GEITA: The government has rolled out a fresh push to widen access to small-scale mining licences for youth, women, and special groups, positioning the drive as a national empowerment effort…
Kwa nini ‘ujibusti’ nguvu za kiume kwa vidonge?
Unashauriwa kula vyakula vya baharini angalau mara mbili kwa wiki. Samaki wa mafuta wana...
Venezuela: Watu 99 waliokamatwa baada ya uchaguzi wa urais wa 2024 waachiliwa
Angalau watu 99 waliofungwa baada ya uchaguzi wa urais wa 2024 uliokuwa na utata nchini Venezuela wameachiliwa, mamlaka ya nchi hiyo imetangaza leo Ijumaa. Imechapishwa: 26/12/2025 – 06:56 Dakika 1…
Mwakinyo, Eribo clash in Dar today
DAR ES SALAAM: International boxer Hassan Mwakinyo today carries Tanzania’s flag into the ring as he faces Nigeria’s Stanley Eribo in the highly anticipated Boxing on Boxing Day bout scheduled…
Somalia yafanya uchaguzi wa kihistoria wa serikali za mitaa kwa amani
Wakazi wa Mogadishu Kuu wamepiga kura mnamo Desemba 25 katika uchaguzi wao wa kwanza wa serikali za mitaa kwa kupiga kura moja kwa moja tangu miaka 56 iliyopita. Uchaguzi huo…
Guinea: Kampeni zisizo na utulivu zimemalizika kabla ya uchaguzi wa urais wa Desemba 28
Kampeni za uchaguzi wa urais uliyopangwa kufanyika siku ya Jumapili, Desemba 28, zimemalizika siku ya Alhamisi jioni, Desemba 25. Siku mbili za kutokuwa na harakati zozote za kisiasa lazima sasa…
Jevdet aweka bayana kila kitu
Jevdet aweka bayana kila kitu. Jemo na kivuruge wakaa sawa pamoja. Aziza amuwakia bibi yake katili. Usikose kutazama 6 of Us leo saa 2:00 usiku #AzamTWO
DRC: Ukosefu wa usalama katika eneo la Fizi wazidisha hali ya afya ya watu 265,000 kuwa mbaya zaidi
Mashariki mwa DRC, hali ya kibinadamu inaendelea kuzorota katika mkoa Kivu Kusini. Wiki mbili baada ya kuanguka kwa mji wa Uvira mikononi mwa waasi wa AFC/M23, mapigano yanaendelea katika maeneo…
Côte d’Ivoire: Mzozo waibuka usiku wa kuamkia uchaguzi wa wabunge wa Desemba 27
Nchini Côte d’Ivoire, wagombea wa uchaguzi wa wabunge wana chini ya saa 24 kuwashawishi wapiga kura waweze kuwapigia kura. Usiku wa kuamkia uchaguzi wa Desemba 27, chama cha Ivory Coast-African…
Watoto wajifunze umuhimu wa mazingira
MRADI wa Eco-School ni muhimu katika kuimarisha elimu ya mazingira na maendeleo endelevu kwa wanafunzi, jamii na taifa kwa ujumla. Mradi huu unawawezesha watoto kujifunza kwa vitendo, kukuza uongozi na…
Tanzania: Helikopta ya uokoaji yaanguka, na kuua watano kwenye Mlima Kilimanjaro
Watu watano walifariki katika ajali ya helikopta kwenye Mlima Kilimanjaro, mlima mkuwa zaidi barani Afrika, nchini Tanzania, mamlaka zimetangaza. Imechapishwa: 26/12/2025 – 05:39 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya…
Senegal: Watu wasiopungua 10 wafariki baada ya boti iliyokuwa ikielekea Visma vya Canary kuzama
Nchini Senegal, boti iliyokuwa imebeba watu 200 kwenda Visiwa vya Canary ilizama usiku wa Desemba 22 kuamkia Desemba 23 kutoka pwani ya Ngazobil, karibu na Joal. Idadi ya muda ya…
Mechi za Mzunguko wa pili AFCON 2025 kuendelea hii leo
Mechi ya awali kabisa hii leo ni kati ya Angola dhidi ya Zimbabwe, timu hizi za kundi zinakutana baada ya kila mmoja kuchapwa katika mechi zao za mzunguko wa kwanza.…
Marekani yafanya mashambulizi ya anga dhidi ya kundi la Islamic State nchini Nigeria
Marekani imefanya mashambulizi ya anga dhidi ya wapiganaji wa Islamic State (ISIS) kaskazini magharibi mwa Nigeria, Rais Donald Trump ametangaza kwenye jukwaa lake la mtandao wa kijamii, Truth Social, siku…
TMDA yaimarisha udhibiti wa dawa za kulevya
MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), imetoa mafunzo maalumu kwa waganga wafawidhi, wafamasia na wakaguzi wa dawa kutoka wilaya nne za Mkoa wa Tanga. Meneja wa TMDA Kanda ya…
Zelenskyy aeleza mbinu mpya za kumaliza vita na Urusi
Zelenskyy ameyasema hayo katika chapisho lake kwenye mtandao wa kijamii wa Telegram akiongeza kwamba wameweka wazi mawazo na mbinu mpya zenye lengo la kusaidia namna ya kupatikana kwa amani na…
Guinea kufanya uchaguzi mkuu wiki wiki hii
Jumla ya watu milioni 6.8 katika taifa hilo la Afrika Magharibi wanatarajiwa kujitokeza siku ya Jumapili majira ya 7:00 asubuhi hadi saa 6:00 jioni kuwapigia kura wagombea tisa wa nafasi…
Trump atangaza vikosi vya Marekani kuishambulia IS, Nigeria
Rais wa Marekani Donald Trump amesema vikosi vya Marekani vimefanya mashambulizi makali dhidi ya kundi linalojiita dola la kiislam IS kaskazini magharibi mwa Nigeria. Trump ametishia kwamba watafanya mashambulizi zaidi.
🔴 #MAGAZETI: UKUTA WA KANISA WAANGUKA, WAUA WANNE, WAJERUHI 18 || MZIZE ASHTUA YANGA
🔴 #MAGAZETI: UKUTA WA KANISA WAANGUKA, WAUA WANNE, WAJERUHI 18 || MZIZE ASHTUA YANGA......
Marekani yafanya mashambulizi dhidi ya IS, Nigeria
Katika mtandao wa kijamii wa Truth Social, Trump ameandika " "Marekani imeanzisha mashambulizi makali dhidi ya ISIS Kaskazini-Magharibi mwa Nigeria, ambao wamekuwa wakiwalenga na kuwaua kikatili Wakristo wasio na hatia.
Araghchi: Vita vya siku 12 vilimalizika kwa heshima, hadhi na ushindi kwa Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kwamba Jamhuri ya Kiislamu ilijihami kwa njia halali mbele ya uvamizi haramu wa adui, na hatimaye adui akalazimika kuomba kusitisha mapigano bila…
Mradi wa bomba la gesi waendelea – TPDC
SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) linaendelea na mchakato wa kutekeleza mradi wa Bomba la Gesi kutoka Kinyerezi kwenda Chalinze utakaogharimu zaidi ya Sh bilioni 2.3. The post Mradi…
Hamas yasambaza simulizi ya pili ya kimbunga cha al Aqsa, Muqawama hauwezi kufutwa
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imetoa simulizi yake ya pili kuhusiana na Operesheni ya Kimbunga cha al Aqsa dhidi ya Israel iliyoendeshwa kwa mafanikio Oktoba 7, 2023,…
UN yalaani vikali shambulio la kigaidi lililoua waumini msikitini jimboni Borno, Nigeria
Umoja wa Mataifa umelaani vikali shambulio la kigaidi lililotokea kwenye msikiti ulioko katika Soko la Gamboru, mjini Maiduguri, katika Jimbo la Borno kaskazini-mashariki mwa Nigeria, lililopelekea kuuawa na kujeruhiwa makumi…
#KIPIMAJOTO: Watakaobainika kuchoma moto matairi barabarani usiku wa mkesha wa kuingia mwaka mpya wa 2026
#KIPIMAJOTO: Watakaobainika kuchoma moto matairi barabarani usiku wa mkesha wa kuingia mwaka mpya wa 2026. Je, wachukuliwe hatua kama wahujumu uchumi?
Sudan katika ukingo wa shimo la maangamizi, RSF washadidisha mashambulizi
Vikosi vya Msaada wa Haraka RSF nchini Sudan vimetangaza kwamba vimezidisha mashambulizi na kuchukua udhibiti wa maeneo ya Abu Qamra na Ombro katika jimbo la Darfur Kaskazini, huko magharibi mwa…
Al-Sudani apinga vikali uhusiano wa Iraq na Israel
Waziri Mkuu wa Iraq aliyemaliza muda wake, Mohammed Shi'a al Sudani amepinga vikali uhusiano wa aina yoyote ile baina ya nchi yake na utawala pandikizi wa Israeli, akissisitiza kwamba jambo…
Al-Sudani apinga vikali uhusiano na Iraq na Israel
Waziri Mkuu wa Iraq aliyemaliza muda wake, Mohammed Shi'a al Sudani amepinga vikali uhusiano wa aina yoyote ile baina ya nchi yake na utawala pandikizi wa Israeli, akissisitiza kwamba jambo…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…..DISEMBA 26, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI.....DISEMBA 26, 2025
Ijumaa, tarehe 26 Disemba, 2025
Leo ni Ijumaa tarehe 5 Rajab 1447 Hijria sawa na tarehe 26 Disemba 2025.
Uchunguzi waanza ajali ya Helikopta Kilimanjaro
UCHUNGUZI kuhusu ajali ya helikopta ya uokoaji iliyotokea katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA) umeanza kwa lengo la kubaini chanzo cha ajali hiyo iliyotokea juzi na kusababisha vifo vya…
Shukurani za Venezuela kwa Iran kwa msimamo wake thabiti wa kuitetea Caracas
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Venezuela ameisifu Iran kwa misimamo yake thabiti ya kutetea mamlaka ya kujitawala Caracas.
Watoto 13 wazaliwa Krismasi Dar
WAKATI waumini wa dini ya Kikristo nchini na duniani wakiendelea kusherehekea Sikukuu ya Krismasi ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, watoto 13 wamezaliwa nchini katika hospitali mbalimbali. The post Watoto 13…
Viongozi wa Dini watakiwa kupinga chuki
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ametoa wito kwa viongozi wa dini kuendelea kushirikiana na serikali katika kutoa elimu ya umoja na amani, kupinga chuki, migawanyiko na vitendo vyovyote vinavyoweza kuvuruga…
26.12.2025 Matangazo ya Jioni
Rais wa Ukraine, Zelensky, asema atakutana na Trump karibuni // Mapigano mapya yamezuka karibu na Uvira, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo // Na Uhaba wa mafuta unasababisha hospitali…
26.12.2025 Matangazo ya Mchana
Wizara ya mambo ya nje ya Nigeria imethibitisha mashambulizi ya Marekani dhidi ya maeneo ya kigaidi // Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim, ameagiza uzalishaji zaidi wa makombora mwaka 2026 //…
Kutoka mapinduzi hadi sanduku la kura: Guinea yapiga kura
Guinea inaelekea kwenye uchaguzi wake wa kwanza wa rais tangu mapinduzi ya kijeshi ya 2021, huku wachambuzi wakitabiri ushindi wa kiongozi wa kijeshi Jenerali Mamadi Doumbouya, licha ya mashaka kuhusu…
Polisi akataa rushwa ya dola $50,000 katika uwanja wa ndege nchini Zambia
Tume ya Kupambana na Rushwa ya Zambia (ACC) imempongeza polisi wa kike aliyekataa rushwa ya dola $50,000 kutoka kwa mshukiwa wa utakatishaji fedha katika uwanja wa ndege mji mkuu wa…
Mgao wa maji Dar, Pwani sasa basi
PWANI: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameziagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha inaondoa mgawo wa maji kwa wakazi wa Dar es Salaam na…