Sh bilioni 600 zatengwa ujenzi miundombinu Dar
DAR ES SALAAM: ZAIDI ya Sh bilioni 600 zimewekezwa katika ujenzi wa miundombi- nu ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) jijini Dar es Sa- laam, mradi unaotekelezwa kwa awamu sita kwa…
Hesabu bado ngumu kufuzu robo fainali CAF
Rekodi mbili zinaipa matumaini Yanga kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika leo wakati...
Je, ulikokulia kunaathiri vipi tabia yako?
Je, ungekuwa mtu tofauti iwapo ungekulia mahali pengine?
Kukata uhusiano na mpenzi wako wa zamani ama kusalia kuwa marafiki. Jinsi ya kutatua tatizo hili
Kuachana kimapenzi ni ngumu. Kutoka wakati mmoja hadi mwingine, unapoteza mtu ambaye ulishiriki naye kila kitu. Lakini kudumisha urafiki na mpenzi wako wa zamani kunaweza kuumiza vile vile.
Unataka maisha ya furaha na kuridhika
Katika ulimwengu wa sasa wenye kasi, presha za maisha, kazi na uhusiano vimekuwa chanzo kikubwa...
Kwanini watu wasio na wenza ‘waseja’ hunukia tofauti
Wanaume hunusa harufu ya mwili wa wanawake kuwa ya kuvutia zaidi wakati wa kipindi cha rutuba katika mzunguko wa hedhi, na isiyovutia sana wakati wa hedhi. Hali hii huenda iliwasaidia…
Mwigulu afichua ‘madudu’ ulaji fedha za miradi
TANGA: Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba amefichua namna baadhi ya watendaji wa serikali wanavyotumia ujanja kuhalalisha upotevu wa fedha katika miradi. Dk Mwigulu alieleza hayo jana baada ya kukagua na…
Tunachokifahamu kuhusu wanajeshi 200 wa Marekani waliotumwa Nigeria
Kundi la Boko Haram, wapiganaji wa Islamic State West Africa Province (ISWAP) na makundi mengine, yameongeza mashambulizi yao kaskazini magharibi mwa Nigeria.
Valentine Day: How lovers picked Ngorongoro’s call, pour into the park to boost pairs’ love
NGORONGORO: IF you feel your love is fading and fading, it’s not too late, entice your lover, husband or wife to come to the Garden of Eden in the Ngorongoro…
Tetesi za soka Ulaya Jumapili: Liverpool, Arsenal na ManCity mbioni kumsajili Anthony Gordon
Anthony Gordon anaweza kurejea Merseyside huku Mohamed Salah akionekana kuwa tayari kuondoka Liverpool, Arsenal inamlenga Castello Lukeba, huku Manchester United wakiwachunguza wachezaji wawili kwenye mechi ya Serie A.
Usimkatie tamaa mtoto mtukutu, fanya haya
Katika safari ya malezi karibu kila mzazi hukutana na changamoto ya kulea mtoto anayejulikana...
Mkakati kazi za staha wazinduliwa
DODOMA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sanga amezindua Mkakati wa Kukuza Kazi za Staha kwa Wafanyakazi wa Nyumbani 2025/26 – 2029/2030 kwa lengo…
Gen Z wanavyotazama ndoa, uhusiano
Gen Z wanakubaliana na mila huku wakihakikisha uhusiano unaheshimu hisia na mipaka yao binafsi.
Hekaya za Mlevi: Madogo shtukeni, hela inatafuta pesa
Leo tuongee kidogo na GenZ wanaoota kama masupastaa lakini wanalala kama mbwa koko. Namaanisha...
ONGEA NA AUNT BETTIE: Mume wangu ‘amekata pumzi’ kitandani baada ya ndoa
Sijui alikuwa anajiunga na maungaunga ya kuongeza nguvu za kiume ama vipi. Maana alivyokuwa...
Why Green Agenda pertinent
DAR ES SALAAM: ONE of big news reported yesterday was that of African calling for stronger continental alignment on climate action and green investment, as the global economy gradually moves…
Nyuma ya pazia Cardi B kuja na bidhaa za nywele
Msanii wa Hip-Hop kutokea Marekani, Cardi B, (33), anajiandaa kuingia rasmi kwenye soko la...
🔴KUMEKUCHA:UFUNGUZI SOKO LA KARIAKOO….FEBRUARI 15, 2026
🔴KUMEKUCHA:UFUNGUZI SOKO LA KARIAKOO....FEBRUARI 15, 2026
🔴#MAGAZETI: #MAGAZETI: VIJANA WANAVYOLIZWA NA AJIRA ZA MITANDAONI / HAKUNA NAMNA..FEBRUARI 15, 2026
🔴#MAGAZETI: #MAGAZETI: VIJANA WANAVYOLIZWA NA AJIRA ZA MITANDAONI / HAKUNA NAMNA..FEBRUARI 15, 2026
Rais Pezeshkian: Nchi za eneo zinaweza kutatua matatizo yao bila kusimamiwa
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba kuanzisha amani na utulivu ndiyo "njia ya maisha kwa sayari hii ndogo," akisisitiza kuwa nchi za eneo zinaweza kutatua…
Israel yakasirishwa na kauli ya kumdhalilisha rais wake iliyotolewa na Trump
Duru zilizo karibu na rais wa utawala wa kizayuni wa Israel zimeyaelezea matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kumtusi na kumdhalilisha rais wa utawala huo Isaac Herzog kuwa…
Tanzania backs Nile Basin commission
ADDIS ABABA: TANZANIA has called for stronger institutional cooperation and sustainable management of the Nile River as countries within the basin seek to safeguard one of Africa’s most vital shared…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 15, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 15, 2026
Umoja wa Afrika: Mateso dhidi ya Wapalestina lazima yakomeshwe
Mahmoud Ali Youssouf Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) amesema kuwa, mauaji dhidi ya wananchi wa Palestina ni lazima yakomeshwe. Mahmoud Ali Youssouf alisema hayo jana (Jumamosi) wakati…
China: Tofauti kati ya Iran na Marekani zinapaswa kutatuliwa kupitia mazungumzo
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa China amesisitiza kuwa, tofauti kati ya Iran na Marekani zinapaswa kutatuliwa kupitia mazungumzo na upatanishi, na akaonya kwamba mvutano kati ya nchi hizo mbili…
Mbunge wa Kongresi: Marekani iliwezesha mauaji ya halaiki Ukanda wa Gaza
Mbunge wa chama cha Democratic katika Kongresi ya Marekani amesema kuwa, msaada wa kijeshi wa Marekani kwa Israel "usio na masharti" uliwezesha mauaji ya halaiki huko Gaza," akibainisha kuwa maelfu…
Ubepari na ukosefu wa utulivu wa kijamii
Uhusiano kati ya ubepari na ukosefu wa utulivu wa kijamii ni mojawapo ya mada muhimu katika uwanja wa sayansi za jamii.
Jumapili, 15 Februari, 2026
Leo ni Jumapili 26 Shaaban 1447 Hijria mwafaka na 15 Februari 2026 Miladia.
TFS resolves 96pc of forest conflicts
DODOMA: THE Tanzania Forest Services Agency (TFS) has resolved 423 out of 438 forest-related conflicts, marking a 96 per cent implementation of government directives aimed at ending long-standing land disputes…
#KIPIMAJOTO: Kushirikisha wananchi wanaopakana na mradi wa reli ya kisasa (SGR) kwenye ujenzi wa miundombinu yake na vikundi vya…
#KIPIMAJOTO: Kushirikisha wananchi wanaopakana na mradi wa reli ya kisasa (SGR) kwenye ujenzi wa miundombinu yake na vikundi vya ulinzi shirikishi. Je, kutauhakikishia usalama mradi huo?
Drone unit to strengthen customs
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Revenue Authority has launched a one-month drone operations training programme for customs officers as part of broader efforts to modernise surveillance and strengthen the fight…
SAMIA @100 DAYS: Results, stability, reform
DAR ES SALAAM: POLITICAL leaders, analysts and key stakeholders have commended President Samia Suluhu Hassan for her steady, results-driven leadership during her first 100 days in office, citing notable progress…
CCM’s Women wingsteps in to fasttrack universal health coverage
DODOMA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Women’s Wing (UWT) has launched a nationwide mobilisation strategy aimed at accelerating enrolment in the Universal Health Insurance (UHI) scheme. The initiative marks a significant…
Kama mwanamke kweli, chukua hela ya dada mkubwa kwenye kamradi kake ka video koridoni 😂
Kama mwanamke kweli, chukua hela ya dada mkubwa kwenye kamradi kake ka video koridoni 😂 (Feed generated with FetchRSS)
Sanga launches National Strategy to promote Decent Work for Domestic Workers
DODOMA: MINISTER of State in the Prime Minister’s Office (Labour, Employment and Industrial Relations), Deus Sanga, has officially launched the National Strategy for Promoting Decent Work for Domestic Workers 2025/26–2029/2030…
FIGHT AGAINST MALARIA: Samia demands ownership
ADDIS ABABA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has called upon fellow African leaders to take full ownership of the fight against malaria, emphasising that sustainable domestic financing will be a crucial…
Bihari ya Dawa (MSD), imeshinda tuzo ya Huduma kwa Wateja katika sekta ya Dawa na Vifaa Tiba inayotolewa na taasisi ya kimataifa…
Bihari ya Dawa (MSD), imeshinda tuzo ya Huduma kwa Wateja katika sekta ya Dawa na Vifaa Tiba inayotolewa na taasisi ya kimataifa inayojishughulisha na kutoa mafunzo, vyeti na viwango vya…
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba ameagiza Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) Mkoa wa Tanga kufanya uchung…
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba ameagiza Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) Mkoa wa Tanga kufanya uchunguzi ili kubaini thamani ya fedha iliyotumika katika ujenzi wa Hospitali…
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetumia siku ya Valentine kwa kupeka tabasamu kwa wananachi wa mkoa wa Mwanza kw…
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetumia siku ya Valentine kwa kupeka tabasamu kwa wananachi wa mkoa wa Mwanza kwa kutoa Hatimiliki za Ardhi kwa watu ambao wamekamilisha…
Simba yapata ushindi wa kwanza nyumbani, ikilipa kisasi kwa Stade Malien
SIMBA imemaliza kibabe hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa kwa kupata ushindi wa hatua hiyo na wa kwanza pia nyumbani baada ya kuichapa Stade Malien kwa bao 1-0 nyumbani.
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU – 14/02/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU - 14/02/2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 14 , 2026:WAHUJUMU UJENZI KITUO CHA AFYA SINDENI KUCHUKULIWA HATUA
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 14 , 2026:WAHUJUMU UJENZI KITUO CHA AFYA SINDENI KUCHUKULIWA HATUA
Mchakato ujenzi wa uwanja Yanga wafikia patamu
RAIS wa Yanga, Hersi Said amesema mchakato wa ujenzi wa uwanja wa klabu hiyo utakaojengwa Jangwani umefikia hatua nzuri baada ya kupokea mchoro wa kwanza wa mradi huo.
Serikali kuweka vituo kupoza umeme kila wilaya
TABORA: Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme (TANESCO) itahakikisha inajenga vituo vya kisasa vya kupokea, kupoza na kusambaza umeme katika kila wilaya. Amesema lengo kuhakikisha…
Prisons yafufuka baada ya dakika 720, Namungo yakalishwa Sokoine
Licha ya kwenda mapumziko ikiwa nyuma Kwa mabao 2-0, Tanzania Prisons imefanya 'comeback' kwa kuizamisha Namungo 3-2 na kujihakikishia pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.
Samia: Mapambano ya malaria Afrika yanahitaji uongozi na usimamizi thabiti
Amesema vita dhidi ya malaria si suala la afya pekee, bali ni ajenda ya maendeleo, uchumi na...
Sh45 bilioni zitakavyotumika 2026/27 Simanjiro
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara, wamepitisha Sh45 bilioni kwa...
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba ameagiza uongozi wa halmashauri ya wilaya ya handeni Mji mkoani Tanga,kuharakisha mchakato wa …
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba ameagiza uongozi wa halmashauri ya wilaya ya handeni Mji mkoani Tanga,kuharakisha mchakato wa upatikanaji wa vifaa tiba kwa ajili ya Jengo la ICU ili wananchi…