Finland na Tanzania waimarisha ushirikiano kupitia sekta ya misitu
Balozi wa Finland nchini Tanzania, Theresa Zitting amesisitiza umuhimu wa ushirikiano wa...
Waislamu wa Canada watoa wito kwa serikali kupambana na chuki dhidi ya Uislamu
Waislamu wa Canada wameitaka serikali kupambana na chuki dhidi ya Uislamu nchini humo kupitia mageuzi ya kina na hatua madhubuti.
Marekani yawanyima visa maafisa wa timu ya soka ya Iran licha ya majukumu yake kama mwenyeji wa FIFA 2026
Marekani imekataa kutoa visa kwa maafisa kadhaa wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Iran kabla ya Kombe la Dunia la FIFA la 2026 licha ya majukumu yake…
Dar yaanza operesheni kuondoa spika zenye kelele Kariakoo
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeanza mchakato wa kuondoa spika za matangazo...
Dola 10,000 zilivyobadilisha upepo kwa Ibenge Azam
Ongezeko la Dola 10,000 (Sh26 milioni) katika mshahara wa Florent Ibenge, ni miongoni mwa...
Gachagua afunguka aliko rafiki wa kisiasa aliyemsaidia kuweka mizizi ya DCP katika ardhi ya Mulembe
Rigathi Gachagua amevunja ushirikiano na mwanasiasa wa Magharibi mwa Kenya kwa tuhuma za ukabila, na kuibua maswali kuhusu mustakabali wa Cleophas Malala katika DCP.
IRGC yashambulia kambi za Marekani huko Kuwait, Bahrain baada ya mashambulizi ya ndege zisizo na rubani katika ardhi ya Iran
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kuwa limeshambulia kambi mbili za anga za Marekani huko Kuwait na vituo vilivyobaki vya Kikosi cha Tano cha Marekani (US Fifth…
Kliniki katika kitovu cha Ebola nchini DR Congo ‘yazidiwa’ na wagonjwa
Ripoti zinasema kuwa, hospitali katika eneo lililoathiriwa na Ebola la Bunia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imejaa idadi kubwa ya wagonjwa wa Ebola.
Wakulima wa korosho waishukuru serikali uwezeshaji pembejeo
MTWARA: BAADHI ya Wakulima wa zao la Korosho katika kata ya Naliendele Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wameishukuru serikali kwa kuendelea kuwaletea pembejeo za korosho bure ili kuwapunguzia gharama…
PPP investments set to strengthen specialised healthcare services
DAR ES SALAAM: THE Chief Executive Officer of the Public-Private Partnership Centre (PPP Centre), David Kafulila, has led a national conference on major reforms in the health sector, stating…
Onyo la dawa za usingizi kwa nyota wa England Kombe la Dunia
Mtaalamu wa usingizi, James Wilson amewashauri wachezaji wa timu ya Taifa ya England kutotumia...
DCEA yataka ushiriki wa vijana kudhibiti dawa za kulevya
ARUSHA: Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amewataka vijana kuwa mabalozi wa mapambano dhidi ya dawa za kulevya kwa kuelimisha jamii,…
Wakulima Shinyanga wanufaika na Amco’s
SHINYANGA: WAKULIMA 164,400 mkoani Shinyanga wamenufaika na huduma kupitia Vyama vya Msingi (Amco’s) huku vyama hivyo vikiendelea kuimarishwa zaidi na kupewa elimu ya mara kwa mara. Mrajisi Msaidizi wa Vyama…
Dennis Oliech: Fahamu ni kwa nini alikataa KSh 890M kuubadilisha uraia wake
Oliech alisema alipokuwa aking'aa kama nyota ya timu ya taifa ya kandanda ya Harambee Stars, alipokea ofa ya KSh 890M auze urais wake na kuingia Dubai 2004.
SUA yajizatiti utafiti wa mbegu bora
MOROGORO: CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimelekeza nguvu kuwekeza katika tafiti, ubunifu na teknolojia za uzalishaji wa mbegu bora ili kuongeza tija katika sekta ya kilimo na kuimarisha…
Wanafunzi wa kike wapewa tahadhari matumizi ya simu
MOROGORO: WANAFUNZI wakike wa shule za msingi na sekondari mkoani Morogoro wameshauriwa kujiepusha na matumizi yasiyo sahihi ya simu kwa vile zimebainika ni vichocheo vya wao kujingiza kwenye uhusiano wa…
Ukweli kuhusu Gen Z kuwa kizazi chenye afya bora
Wakati kizazi cha Gen Z kikionekana kuwa na mwamko mkubwa kuhusu masuala ya afya kuliko vizazi...
Vituo vya afya 300 Zanzibar vyafanyiwa tathmini viwango vya ubora
Wakati vituo vya afya 300 vya Serikali na binafsi vikifanyiwa tathmini ya ubora, wataalamu...
Tanzania commits to deepen ties with Denmark, its long-term partner in the health sector
DAR ES SALAAM: TANZANIA will continue to strengthen its cooperation with Denmark in the health sector as its commitment to improve health services by increasing access to quality treatment and…
Kiswaga ataja changamoto jimboni mbele ya Dk Mwigulu
IRINGA: MBUNGE wa Jimbo la Kalenga, Jackson Kiswaga, ameibua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wa jimbo lake, ikiwemo migogoro ya ardhi, upungufu wa vituo vya afya, uhaba wa mabweni ya wanafunzi…
Mbunge aomba benki maalumu ya wanawake
IRINGA: MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Fatma Rembo (CCM), ameibuka kuwa sauti ya wanawake wa Mkoa wa Iringa baada ya kuiomba Serikali kuanzisha benki maalumu ya wanawake itakayowawezesha…
Mpogolo: ushirikiano ni silaha kukijanisha Dar
Taasisi zinazohusika na masuala ya mazingira nchini zimetakiwa kuimarisha ushirikiano katika...
Zanzibar airport upgrades attract global airlines
ZANZIBAR: THE Zanzibar government has attributed the growing interest from major international airlines to improved infrastructure and enhanced safety standards at Abeid Amani Karume International Airport (AAKIA). The latest development…
Dr Mwinyi hails Zanzibar Investment Forum for promoting new investments, Isles’ economic growth
ZAZIBAR: THE President of Zanzibar, Dr Hussein Ali Mwinyi, said the Zanzibar Investment Forum 2026 has successfully opened new investment opportunities, strengthened international cooperation and stimulated Zanzibar’s economic growth. Speaking…
Kumbukumbu ya Hemedi Maneti na Halila Tongolanga
Kwa mara ya kwanza nilikutana ana kwa ana na Hemedi Maneti ilikuwa mwaka 1989. Wakati huo...
Tanzania invites Russian firms to invest in BSEZ project, it is open for global investors
ST PETERSBURG: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has declared Tanzania ready to become one of Africa’s leading investment destinations, inviting international firms to participate in the country’s major strategic development projects.…
Dr Samia elevates Tanzania’s status on the global economic stage at SPIEF 2026
ST PETERSBURG: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has strengthened Tanzania’s profile on the global economic stage after participating in the 29th St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF 2026) in Russia. The…
Dr Samia invites Russian investors to tap into Tanzania’s vast mineral wealth
ST PETERSBURG: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has invited Russian investors to tap into Tanzania’s vast mineral wealth, highlighting the country’s abundant reserves of strategic minerals that are increasingly vital for…
See how brands in Tanzania suit the consumers’ taste
DAR ES SALAAM: FOR years, brands in Tanzania have been visible without being memorable A logo on a stage. A famous DJ. Discounted drinks. A few influencers posting blurry Instagram…
Twiga eye back-to-back wins over Malawi
DAR ES SALAAM: TWIGA Stars will be looking to build on their winning momentum when they face Malawi Women’s National Team in the second international friendly match at KMC Complex…
Leon Panetta: Vita dhidi ya Iran imekuwa Vietnam nyingine kwa Trump
Waziri wa zamani wa Vita wa Marekani ameonya kuwa: Vita dhidi ya Iran vinakuwa sawa na vita Vietnam kwa Rais wa Marekani, Donald Trump.
AFRICA REGION IV GOLF MEN’S TEAM CHAMPIONSHIP: TZ climbs to 3rd in Mauritius
MAURITIUS: TANZANIA produced an impressive second-round performance to climb from fifth to third place at the ongoing Africa Region IV Men’s Team Championship at Tamarina Golf Club in Mauritius on…
Innovation, skills training redefine DIT Mwanza’s future direction
MWANZA: THE 38bn/- Eastern Africa Skills for Transformation and Regional Integration project (EASTRIP) officially took off around 2020 at the Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) Mwanza Campus, with…
EXCLUSIVE INTERVIEW PART 1 || Magori afunguka mazito Msimbazi
Rekodi ya familia 27, kuvunjwa Kombe la Dunia Katika historia ya Kombe la Dunia ni familia 27 tu za baba na mwana ambazo zimewahi kuwakilishwa kucheza mashindano hayo, zikihusisha familia…
TCB, CPS Africa partner for ‘Diaspora Home Ownership’
Zanzibar. For thousands of Tanzanians living abroad, the dream of owning a home in their homeland has often been hindered by financing challenges, limited access to mortgage products and concerns…
China and Tanzania deepen strategic partnership through high-level diplomatic talks
CHINA and Tanzania have reaffirmed their long-standing friendship and commitment to deeper cooperation following bilateral talks between the Foreign Ministers of the two countries. The discussions highlighted growing political mutual…
🔴TUZO ZA TAASISI YA ELIMU TANZANIA – JUNI 06, 2026
🔴TUZO ZA TAASISI YA ELIMU TANZANIA - JUNI 06, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Mbegu ya ufuta ‘Lindi White’ mkombozi kwa wakulima Lindi, Mtwara
Mbegu hiyo pia hukomaa mapema ndani ya siku 100 hadi 110, jambo linaloiwezesha kustahimili...
Sakaja akataa kumkingia kifua Patrick Analo ambaye EACC walimkuta na KSh 65M, amsimamisha kazi
Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja ameunda upya Kamati ya Mipango Miji na kumteua afisa mpya pamoja na kusisitiza hatokingia mtu linapokuja suala la rushwa
TUCTA, ILO to launch migrant workers resource centre in Tanzania
DAR ES SALAAM: THE Trade Union Congress of Tanzania (TUCTA), in collaboration with the International Labour Organization (ILO), is set to officially launch the Tanzania Migrant Workers Resource Centre (TUCTA-MWRC),…
Mwinyi markets Z’bar to Arab investors
ZANZIBAR: ZANZIBAR President Dr Hussein Mwinyi has invited investors and business leaders from Arab countries to explore investment opportunities in the Isles, citing a conducive business environment and vast prospects…
#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa SUMA JKT, Brigedia Jenerali Petro Ngata, amewaomba Watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki mbi…
#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa SUMA JKT, Brigedia Jenerali Petro Ngata, amewaomba Watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki mbio za SUMA JKT Marathon Juni 7, 2026, ambapo mbio hizo zitafanyika eneo la…
Agriculture insurance regulations due in 2026/27
DODOMA: THE government plans to complete the formulation of agricultural insurance regulations during the 2026/27 financial year, as part of efforts to expand insurance coverage for farmers and agricultural activities.…
Singida Airport project enters land acquisition phase
DODOMA: THE government has begun preliminary steps towards the construction of a major airport in Singida Region, including the valuation of properties belonging to residents surrounding the proposed project site.…
Bila Ozalima hakuna Mbosso Khan
Je, umeshawahi kujiuliza kwanini Mbosso anajiita Mbosso Khan? Hilo jina la Khan msingi wake ni...
Vision 2050 implementation to start next month
DODOMA: VISION 2050 will officially come into force on July 1, 2026, with the government currently preparing key implementation instruments to facilitate the smooth execution of the country’s new long-term…
Government unveils environmental roadmap
DODOMA: THE government has launched an ambitious environmental transformation programme aimed at advancing the goals of Vision 2050, which seeks to position Tanzania among Africa’s top 10 environmentally sustainable and…
#HABARI: Mkurugenzi wa Drug Abuse Prevention Org (DAPO) na mjumbe wa kamati ya maandalizi ya Kongamano la East Africa Youth Foru…
#HABARI: Mkurugenzi wa Drug Abuse Prevention Org (DAPO) na mjumbe wa kamati ya maandalizi ya Kongamano la East Africa Youth Forum on Drugs 2026 lililofanyika jijini Arusha, Surah Nyembo, amesema…
PM warns lax public servants
IRINGA: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has warned public servants who neglect their duties, stressing that the government will not tolerate employees who fail to serve citizens diligently and with…