Wapiganaji wa Kiafrika Urusi: Majina yaliyofichuliwa na AEOW yathibitisha ukubwa wa tukio
Katika “Biashara ya kukata tamaa,” kundi la uchunguzi la All Eyes on Wagner linachunguza mitandao inayowaajiri wapiganaji wa Kiafrika kwa ajili ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine. Kwa mara ya…
Oburu Oginga adokeza kuhusu lini ODM watamtema Ruto ili kuwa na mgombea urais wao 2027
Kiongozi wa ODM Oburu Oginga amesema chama cha ODM hakijajitolea kwa serikali au upinzani, akisema bado kinatafuta washirika wanaofaa wakati unaofaa.
Kundi lenye kusini mwa Libya ladai shambulio la pili dhidi ya vikosi vya Marshal Haftar
“Wanamapinduzi wa Libya Kusini” wanadai kushambulia msafara wa Jeshi la Kitaifa la Libya (LNA) uliokuwa ukisafirisha mafuta kwenda Sudan siku ya Jumatatu, Februari 9. Siku chache mapema, Januari 31, wapiganaji…
Edwin Sifuna atangaza mkutano wake wa kwanza wa kisiasa baada ya kumvuliwa kofia ya katibu mkuu ODM
Katibu mkuu wa zamani wa ODM Edwin Sifuna ana mkutano wa kisiasa Jumapili hii, Februari 15, huko Kitengela, kaunti ya Kajiado, wa kwanza baada ya kuvuliwa ubosi.
Kisiwa ambacho wenyeji hawaruhusiwi kujivinjari katika fukwe zake
Wavuvi waliokuwa wakiishi karibu na eneo hilo ghafla walizuiwa kuchota hata maji mahali ambapo walikuwa wakiegesha boti zao kwa vizazi.
Magazeti ya Kenya, Feburuari 12: Ndani ya mkutano mrefu wa ODM faraghani ulioafikia kumtimua Sifuna
Kuvuliwa kofia ya katibu mkuu wa ODM kutoka kwa seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kulitiwa muhuri katika mkutano wa saa nyingi wa Kamati Kuu ya Kitaifa (NEC).
Morocco: Wakulima wanakaribisha kurudi kwa mvua licha ya mafuriko
Baada ya miaka saba ya ukame, hali inarudi kwenye asili yake nchini Morocco. Mvua nyingi za wiki za hivi karibuni zimewapa wakulima matumaini mapya. Kwa takwimu, milimita 121 za mvua…
Ruto amkemea Gachagua kisa kumzomea kuhusu mikutano ya mradi wa Nyota: “Idler and Jobless”
Rais William Ruto ametetea jukumu la kusambaza fedha za NYOTA dhidi ya madai ya Gachagua ya kuchochea siasa, akisisitiza uwezeshaji wa vijana na uundaji wa ajira.
Nottingham Forest yamtimua Sean Dyche
Klabu ya Nottingham Forest imemtimua kazi kocha wake, Sean Dyche kufuatia Suluhu dhidi ya...
Kenya: Mchungaji Paul Mackenzie ameshtakiwa kwa vifo vingine 52
Tayari anakabiliwa na mashtaka ya mauaji ya Shakahola, ambayo yalisababisha vifo vya zaidi ya watu 450 mwaka wa 2023, mwanzilishi wa Kanisa la Good News International pia ameshtakiwa kwa “ugaidi,”…
Mwisho wa enzi za ODM na mwanzo wa mtikisiko wa siasa za Kenya
Chungwa lililokuwa tamu na kukata kiu ya wengi waliokuwa wanafungamana nalo kisera, leo limegeuka kuwa chungu kwao.
Sababu mikoa hii kuongozwa na askari
Kwa zaidi ya muongo sasa, magwanda ya kijeshi na taaluma ya ulinzi , imeshuhudiwa ikichukua...
Madagascar: Kimbunga Gezani chaua zaidi ya thelathini
Zaidi ya watu 30 wamefariki baada ya Kimbunga Gezani kupiga Madagasar kwa kasi kubwa siku ya Jumanne, na kuacha angalau theluthi mbili ya jiji la pili kwa ukubwa la kisiwa…
Wadau wachora ramani hatma ya bajaji, boda za umeme Tanzania
Wadau wa sekta za usafirishaji na uzalishaji wametoa wito wa kuboreshwa kwa mifumo ya usajili...
Ujerumani: Makombora ya Iran yanatishia sio Israel pekee bali hata Ulaya
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema nchi yake imejitolea kupata suluhu la kidiplomasia kati ya Marekani na Iran kuhusu mipango ya nyuklia na makombora ya Tehran.
Watoto wa marais waliopitia masahibu baada ya wazazi wao kutoka Ikulu
Mwanafalsafa Aung San Suu Kyi alisema ''Si mamlaka yanayoharibu, bali ni hofu. Hofu ya kupoteza mamlaka huwaharibu wale wanaoyashikilia."
Viongozi wa dunia watoa salamu za pongezi kwa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Viongozi wa nchi mbalimbali wametuma jumbe kwa Rais wa Iran wakimpongeza kwa mnasaba wa Siku ya Taifa ya Iran na ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Tetesi za soka Ulaya: Bayern, Chelsea zinapigana vikumbo kwa Verbruggen
Bayern Munich na Chelsea zinamwania kipa Bart Verbruggen majira ya kiangazi, John Stones anaelekea kuondoka Manchester City mkataba wake utakapomalizika, huku Atletico Madrid wakipanga kumsajili Marc Cucurella.
Katika upeo wa unyama, Israel imetumia silaha ‘zilizoyeyusha’ maelfu ya Wapalestina Ghaza
Uchunguzi uliofanywa na televisheni ya Al Jazeera ya Qatar umefichua kuwa, utawala wa kizayuni wa Israel umetumia silaha zilizopigwa marufuku kimataifa zenye joto kupindukia katika vita vya mauaji ya kimbari…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia atahadharisha kuhusu unyonyaji wa madola ya kigeni, ahimiza umoja wa Afrika
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia ametoa wito wa kuwepo Afrika yenye nguvu na mshikamano zaidi ili kulilinda bara hilo dhidi ya 'hatua za unyanyasaji' na ukandamizaji za pande…
Balozi wa Marekani katika NATO: Nchi za Ulaya wanachama wa NATO ni ‘watoto wadogo’
Balozi wa Marekani katika shirika la kijeshi la NATO Matthew Whitaker amewafananisha na watoto wanachama wa kambi ya Ulaya katika shirika hilo, ambao amesema ni lazima hatimaye waache kuwa chini…
Alkhamisi, tarehe 12 Februari, 2026
Leo ni Alkhamisi tarehe 23 Sha'ban 1447 Hijria sawa na Februari 12 mwaka 2026.
Kimbunga Gezani chaikumba Madagascar, chaua 20 na kujeruhi 33
Kimbunga cha Tropiki cha Gezani kimepiga mji wa bandari wa Toamasina ulioko kwenye pwani ya mashariki mwa Madagascar, na kuua watu wasiopungua 20 na kujeruhi wengine 33 katika jiji hilo…
Kashfa ya Epstein ilivyofichua mmomonyoko wa kimaadili katika nchi za Magharibi
Wimbi la kujiuzulu linaloshuhudiwa huko Downing Street, kuanzia mkuu wa wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wa Uingereza hadi mkurugenzi wake wa mawasiliano, ni ishara za nje za mgogoro mkubwa…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 12, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
Zoezi la uandikishaji wa bima ya afya kwa wote kwa kaya masikini limeanza rasmi katika kata ya Genge Halmashauri ya wilaya ya Mu…
Zoezi la uandikishaji wa bima ya afya kwa wote kwa kaya masikini limeanza rasmi katika kata ya Genge Halmashauri ya wilaya ya Muheza Mkoani Tanga, likiongozwa na Mkuu wa Wilaya…
Osman Bey 🙌
Osman Bey 🙌 (Feed generated with FetchRSS)
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 11, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 11, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe
#HABARI: Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile, amewahimiza wafanyabiashara nchini kuitumia Bandari ya Mtwara kutokana na fursa kubwa iliyonayo ikilinganishwa na Bandari ya Dar es Salaam. Akiwa katika ziara…
People’s Renaissance Movement: Maelezo kuhusu chama kipya kinachohusishwa na Edwin Sifuna
Edwin Sifuna amevuliwa madaraka ya Katibu mkuu wa ODM. Kufuatia hatua hiyo, macho yote sasa yanaelekezwa chama kipya cha People’s Renaissance Movement.
Edwin Sifuna avuliwa kofia ya Katibu Mkuu ODM kwa kudaiwa kuwa na mkorofi: “Mara moja”
Kikao cha Kamati Kuu ya Kitaifa ya ODM kiliazimia kumuondoa Edwin Sifuna katika wadhifa wa katibu mkuu wa chama. Sifuna anatuhumiwa kuwa mkorofi.
Teddy ni kama alijipeleka 😅 Huyu Zora wampumzishe na matatizo yao jamani 🥹
Teddy ni kama alijipeleka 😅 Huyu Zora wampumzishe na matatizo yao jamani 🥹 #ZoraSeries (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Vilio vya furaha vimetawala katika ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Singida huku baadhi ya wananchi wakipoteza fahamu kwa his…
#HABARI: Vilio vya furaha vimetawala katika ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Singida huku baadhi ya wananchi wakipoteza fahamu kwa hisia, kufuatia kutatuliwa kwa kero sugu za dhuluma ya nyumba,…
Mmiliki wa kampuni ya Matondo Breweries Investment Limited, Matondo Kilugala Malanda iliyopo wilayani Bukombe, amefikishwa kati…
Mmiliki wa kampuni ya Matondo Breweries Investment Limited, Matondo Kilugala Malanda iliyopo wilayani Bukombe, amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Mkoa wa Geita kujibu mashtaka manane ikiwamo kugushi stampu za Mamlaka…
Fidan muda wote kichwa kinawaka moto
Fidan muda wote kichwa kinawaka moto (Feed generated with FetchRSS)
Kilimo endelevu Kigamboni kinavyolinda mazingira na kuboresha afya za wananchi
Uhifadhi wa mazingira unaendelea kuwa ajenda muhimu duniani kutokana na changamoto za...
Masauni atoa rai kwa wabunge kuhimiza muungano kupitia mikutano
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhandisi Hamad Yussuf Masauni...
Ngoja kwanza, yaani baba Chaichaka anataka kumuua mwanaye kisa mali tu?
Ngoja kwanza, yaani baba Chaichaka anataka kumuua mwanaye kisa mali tu? 👀 #PichaYanguSeries (Feed generated with FetchRSS)
Chalamila awaonya makandarasi wanaosuasua ujenzi barabara, madaraja
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila, amesema mkoa hauwezi kubaki na taswira ya...
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU FEBRUARI 11, 2026- MAHAKAMA YAAMURU KIZIMBA CHA MASHAHIDI KIBADILISHWE
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU FEBRUARI 11, 2026- MAHAKAMA YAAMURU KIZIMBA CHA MASHAHIDI KIBADILISHWE (Feed generated with FetchRSS)
Wachimbaji waomba lango la kuingia Tanzanite kuwa wazi saa 24
Mnyawi ameeleza kwamba changamoto ya lango la kuingia na kutoka ndani ya ukuta kufungwa saa 5...
Viongozi wapya Chaneta kuweni wabunifu
BARAZA la Michezo la Taifa (BMT) limewataka viongozi wapya wa Chama cha Netiboli Tanzania (CHANETA) kuwa wabunifu ili kukuza vipaji vya vijana na kurejesha heshima ya mchezo huo nchini. The…
First school club launched to promote clean cooking
DODOMA: Deputy Minister for Energy, Ms Salome Makamba, has launched the Clean Cooking Energy Club at Bunge Girls Secondary School in Dodoma, calling for the participation of various institutions, the…
NBAA yaendelea kuwanoa wanafunzi taaluma ya uhasibu
DAR ES SALAAM: Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania (NBAA) imeendelea kutoa elimu na mafunzo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na shule za sekondari nchini, ikiwa ni…
Waliorejeshwa Soko Kuu Kariakoo wahofia kuyaachia maeneo walikohamishiwa
Zile kelele za baadhi ya wafanyabiashara kutishia kuandamana baada ya majina yao kutokuwamo...