Je, ni akina nani wanaoshikilia rekodi za Kombe la Dunia
Kombe la Dunia la 2026 linalofanyika Marekani, Canada na Mexico tayari ni mchuano uliovunja rekodi.
Wajumbe kutoka DRC, Burundi na UNHCR wanakutana Kinshasa ili kuharakisha kurejea kwa wakimbizi
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi, na Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Wakimbizi (UNHCR) wamebainisha tena ahadi yao siku ya Alhamisi, Juni 4, huko Kinshasa, kuharakisha kurejea kwa hiari…
Niger: Watu 49 wamefariki kwa kiu jangwani karibu na Agadez baada ya lori lao kuharibika
Tukio baya limetokea jangwani kaskazini mwa Niger. Makumi ya raia wa Niger wamefariki kwa kiu baada ya lori lililokuwa likiwasafirisha kutoka nchi jirani ya Mali kuharibika. Gavana wa Agadez ametangaza…
Lesotho vs Kenya: Likuena aisumbua akili Harambee Stars katika mechi ya kirafiki ya kimataifa
Harambee Stars ilitoka sare ya 1-1 na Lesotho katika mechi ya kirafiki ya kimataifa. Odhiambo alifunga bao kabla ya Makhele kusawazisha huko Afrika Kusini.
Aden Duale ajipiga kifua, asema si lazima kuwashauri Wakenya kuhusu vituo vya karantini ya Ebola
Waziri wa Afya Aden Duale alisema Kenya haitashirikisha umma kuhusu vituo vya karantini ya Ebola, na kusababisha upinzani mkali kutoka kwa wabunge Bungeni.
Ruto asema kukataliwa kwa kituo cha Marekani cha Ebola Kenya ni sikitiko kubwa: “Ni rafiki zetu”
Rais William Ruto alitetea kuanzishwa kwa kituo cha Ebola nchini Kenya, akitoa mfano wa ushirikiano wa muda mrefu wa afya na serikali ya Marekani.
Kombe la Dunia 2026: Mashabiki njia panda huku Canada, Marekani zikiwakataa wageni kutoka Afrika
Mashabiki wamechanganyikiwa huku marufuku ya usafiri nchini Canada na Marekani kutokana na Ebola yakitishia mipango ya kuhudhuria Kombe la Dunia 2026.
Araqchi: Iran haitaki vita, lakini iko tayari kuendelea kujilinda ikilazimu
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amesema Iran haitaki vita, lakini iko tayari kuendelea kujilinda inapobidi.
Kituo cha nyuklia cha Bushehr nchini Iran chafikia rekodi ya kilowati-saa bilioni 80 za uzalishaji wa umeme
Kituo cha Nguvu za Nyuklia cha Bushehr nchini Iran kimezalisha jumla ya kilowati-saa bilioni 80 za umeme, hatua inayochukuliwa kuwa mafanikio muhimu katika mpango wa nishati ya nyuklia kwa matumizi…
Ramaphosa: Waafrika Kusini si wachukia wageni
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemweleza mwenzake wa Kenya, Rais William Ruto, kwamba maandamano ya hivi karibuni dhidi ya uhamiaji haramu nchini humo hayamaanishi kuwa Waafrika Kusini wana chuki…
Waasi wa ADF wanaofungamana na ISIS waua watu 21 DRC
Idadi ya vifo kufuatia shambulio lililofanywa na waasi wa kundi la Allied Democratic Forces (ADF), kundi la waasi lenye misimamo mikali lililoanzia Uganda, imefikia 21 katika mji wa Mbau, ulioko…
Familia 10 tajiri zaidi Duniani
Familia 10 tajiri zaidi ulimwenguni kwa pamoja zinadhibiti mamia ya mabilioni ya dola kupitia minyororo ya rejareja ya kimataifa, utajiri wa mamlaka, na himaya za anasa.
Ijumaa, 5 Juni, 2026
Leo ni Ijumaa 19 Mfunguo Tatu Dhulhija 1447 Hijria mwafaka na 5 Juni 2026.
Zelensky apendekeza mazungumzo ya ana kwa ana na Putin ili kumaliza vita vya Ukraine
Kupitia barua ya wazi aliyomwandikia Putin, Zelensky alisema kuwa ni muhimu viongozi hao wawili kukutana moja kwa moja ili kujadili njia za kurejesha amani kati ya Urusi na Ukraine.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 5, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Yametimia! Iraola atambulishwa Liverpool
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa. Baada ya tetesi za siku kadhaa, Liverpool leo Alhamisi, Juni...
Jidenna anavyobebwa na wimbo mmoja
Kila msanii huwa na wimbo mmoja unaobaki kwenye kumbukumbu za mashabiki kwa muda mrefu. Kwa...
Govt orders action against negligent supervisors, warns on AI misuse
DODOMA: THE Tanzanian government has ordered disciplinary action against supervisors who fail to conduct performance appraisals for public servants and warned of sanctions against employees who misuse Artificial Intelligence (AI)…
CRDB Bank Foundation yatenga Sh400milioni kudhamini Imbeju Ndondo Cup
Taasisi ya CRDB Bank Foundation imetenga jumla ya Sh400 milioni kudhamini mashindano ya msimu...
Mikakati ya Serikali ya Zanzibar katika kuongeza tija kwenye sekta ya mifugo
Sekta ya mifugo Zanzibar imeanza kuchukua sura mpya ya maendeleo huku Wizara ya Kilimo...
The 80th Anniversary of the Italian Republic (2 June 1946 – 2 June 2026)
On 2 June 1946, following the devastation of World War II and twenty years of fascist regime...
Prison legal aid strengthened
DODOMA:THE government has intensified efforts to strengthen legal aid services in prisons as part of broader measures to improve access to justice for inmates and remandees across the country. The…
Zanzibar inavyopaa katika sekta ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo
Sekta ya kilimo imeendelea kuwa mhimili muhimu wa uchumi wa Zanzibar, ikichangia ajira kwa...
Fred Machoka aiambia mahakama jinsi madai ya Robert Alai kuhusu afya yake yalivyomuathiri kiakili
Mtangazaji mkongwe wa redio Fred Machoka ameelezea jinsi madai ya MCA Robert Alai ya kashfa kuhusu afya yake yalivyoathiri jina lake, akitaka alipwe KSh 60 milioni.
“Ziara ya Rais @samia_suluhu_hassan nchini Urusi ni matokeo ya uhusiano mzuri wa kidemokrasia kati ya Tanzania na Uriso wa muda …
"Ziara ya Rais @samia_suluhu_hassan nchini Urusi ni matokeo ya uhusiano mzuri wa kidemokrasia kati ya Tanzania na Uriso wa muda mrefu" - Reeves Ngalemwa, Mchambuzi wa Masuala ya Kidiplomasia #kilichoborakabisa…
Baraza la Taifa la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) limetoa wito kwa wananchi hasusan vijana, kuzitumia taka kama fursa…
Baraza la Taifa la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) limetoa wito kwa wananchi hasusan vijana, kuzitumia taka kama fursa ya kiuchumi, kwa kuzitenganisha na kuzirejeleza kwa lengo la kupata…
Tabata Darajani walia kukosa maji miezi sita, Dawasa yajibu
Wakazi wa Tabata Darajani, maeneo ya Mtaa wa Amani, Magufuli na Jamhuri maarufu Kichefuchefu...
Utumishi Girls’: Afisa wa serikali asema bintiye aliyekufa katika moto wa mauti alitabiri janga
Mzazi aliomboleza kufiwa na binti yake katika moto wa mauti Utumishi Girls' wiki chache baada ya kuibua wasiwasi kuhusu mvutano kati ya wanafunzi.
Samia atunukiwa shahada ya heshima Russia, wadau wachambua uzito wake
Rais, Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki...
Dawa Sherpa: Mkwea mlima aliyedhaniwa amekufa Mlima Everest apatikana hai kimuujiza baada ya siku 6
Dawa Sherpa, mkwea Mlima Everest aliyetoweka, alipatikana hai baada ya siku sita katika eneo hatari. Kuokoka kwake kwa muujiza kumewashangaza waokoaji na wakweaji.
Gachagua asubiri uamuzi muhimu kesi ya kung’atuliwa kwake, asema ana imani 2027 atapambana na Ruto
Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua bado ana imani kuhusu uhalali katika kugombea Uchaguzi Mkuu wa 2027, na yuko tayari kutumia njia zote za kisheria kufanikiwa.
Serikali yajibu azimio la kamati Bunge la Ulaya kuhusu msaada wa Tanzania
Wakati Kamati za Mambo ya Nje na Maendeleo za Bunge la Ulaya zikipitisha mapendekezo...
Wafanyikazi wa ODM Chungwa House wamtembelea afisa mkuu wao baada ya kufanyiwa upasuaji wa ubongo
Oduor Ong'wen, mkurugenzi mtendaji wa ODM, alishiriki kuhusu hali yake ya afya baada ya upasuaji wa ubongo huku wafanyikazi wa Chungwa House wakimtembelea.
Hoteli ya England gumzo, wakianza maandalizi Kombe la Dunia
Kikosi cha wachezaji 26 wa England tayari kipo Marekani kwa ajili ya kufanya maandalizi ya...
Matembezi ya kilomita 10 katika Siku Kuu ya Ghadir jijini Tehran
Leo joto kali la mwezi Juni katika barabara za Tehran halikuweza kupunguza hamasa na shauku ya wananchi waliojitokeza kushiriki katika “Ugeni wa Ghadir wa Kilomita 10”.
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni ya “Tunakuona Mbali” yenye lengo la kuwawezesha Watanzania kufikia malengo ya…
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni ya “Tunakuona Mbali” yenye lengo la kuwawezesha Watanzania kufikia malengo yao ya maendeleo kupitia huduma rasmi za kifedha, huku ikichochea ujumuishaji wa…
Msiwalazimishie mitihani wanafunzi ikiwa hawako tayari, PS Bitok awaambia wakuu wa shule
Katibu wa Wizara ya Elimu ya Msingi Julius Bitok amewasihi wakuu wa shule kutowalazimishaa wanafunzi mitihani ikiwa hawako tayari kuepiusha wimbi la machafuko.
Kituo cha afya cha Chanika kilichopo wilaya ya Ilala Jijini Dar e salaam kimepata ithibati ya kitaifa na kimataifa ya kutoka Jum…
Kituo cha afya cha Chanika kilichopo wilaya ya Ilala Jijini Dar e salaam kimepata ithibati ya kitaifa na kimataifa ya kutoka Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) baada ya…
Tanzanian exporters expand markets, face losses
DAR ES SALAAM: Tanzanian businesses are expanding across Africa. From agriculture and manufacturing to logistics and services, more companies are entering regional markets, securing new customers and building cross-border partnerships.…
Bodaboda, bajaji Karatu zalia ukosefu maeneo ya maegesho, CCM yaelekeza
Baadhi ya vijana wa bodaboda na bajaji katika Wilaya ya Karatu mkoani Arusha, wameeleza kuwa...
Polisi Mbeya yawashikilia 871 kwa tuhuma za uhalifu, wamo wa mauaji
Watu 871 wanashikiliwa na Polisi Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma mbalimbali ikiwepo mauaji, kujeruhi...
Polisi Njombe yamsaka aliyemjeruhi mpangaji wake, kisa wivu wa mapenzi
Jeshi la Polisi mkoani Njombe linamtafuta Leonola Madilo, mkazi wa Mtaa wa Lunyanywi, kwa...
Kocha Serengeti Boys aomba manne
BAADA ya kuipeleka Tanzania kwenye Fainali za Kombe la Dunia la Vijana chini ya miaka 17 zitakazofanyika nchini Qatar, Kocha Mkuu wa Serengeti Boys, Elieneza Nsanganzelu, amesema kazi kubwa iliyobaki…
Wataalamu wa afya wasisitiza tafiti kupunguza vifo vinavyozuilika
Wataalamu wa afya, watunga sera, watafiti na wadau wa sekta ya afya wamesisitiza umuhimu wa...
Ripoti yaanika chanzo kifo cha Mmarekani Ashlee Jenae hotelini Zanzibar
Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar kupitia Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai Zanzibar...
Msako wa pointi tatu Tanzania Prisons
TANZANIA Prisons inaendelea kujifua kwa ajili ya mechi tano zilizobaki, huku kocha mkuu wa timu hiyo Shedrack Nsajigwa akitangaza msako mpya wa pointi tatu kila mchezo ili kuihakikishia timu hiyo…