Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kanda ya Kati (DCEA) imeteketeza kilo 600 za dawa za kulevya aina ya bangi …
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kanda ya Kati (DCEA) imeteketeza kilo 600 za dawa za kulevya aina ya bangi na mirungi, ambazo zimetokana na kesi za…
#BSSNextLevelRevolution | Abiud amesema hii leo ni mpya…
#BSSNextLevelRevolution | Abiud amesema hii leo ni mpya… Usikose msimu mpya wa BSS msimu wa 16 kupitia @sinemazetuhd na @azamtvmaxapp kuanzia Machi 22, 2026. #BongoStarSearch (Feed generated with FetchRSS)
CAFCL: Stade Malien wametinga hatua ya robo fainali
CAFCL: Stade Malien wametinga hatua ya robo fainali. FT: Stade Malien 1-0 Esperance de Tunis Ilikuwa LIVE #ZBC2 #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #StadeMalienVsEsoerancedeTunis #StadeMalien #Esperance
Jamii ya watu wanaofuga nywele za mtindo wa rasta, maarufu kama Marasta, imekuwa ikitambulika kwa sababu mbalimbali iwe ni kwa m…
Jamii ya watu wanaofuga nywele za mtindo wa rasta, maarufu kama Marasta, imekuwa ikitambulika kwa sababu mbalimbali iwe ni kwa misingi ya imani za kiroho, kufuata mitindo ya fasheni au…
Soko jipya la Kariakoo lililojengwa kwa zaidi ya shilingi bilioni 28 limezinduliwa rasmi leo, likiwa na uwezo wa kuchukua wafany…
Soko jipya la Kariakoo lililojengwa kwa zaidi ya shilingi bilioni 28 limezinduliwa rasmi leo, likiwa na uwezo wa kuchukua wafanyabiashara zaidi ya 1,800. Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza upangishaji wa…
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imezitaka taasisi na mashirika ya serikali kuhakikisha yanatumia mfumo wa anuani z…
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imezitaka taasisi na mashirika ya serikali kuhakikisha yanatumia mfumo wa anuani za makazi ili kutoa huduma bora na haraka kwa wananchi. Waziri wa…
#CAFCC: Ben Hamouda wa CR Belouizdad amekula njano ya pili kisha nyekundu…
#CAFCC: Ben Hamouda wa CR Belouizdad amekula njano ya pili kisha nyekundu… 65’: Singida BS 0-1 CR Belouizdad LIVE #AzamSport2HD #CAFCC #CAFConfederationCup #KombeLaShirikishoAfrika #SingidaBSVsCRBelouizdad #SingidaBS #CRBelouizdad
CAFCL: Stade Malien ‘hawachekeshi’ wapo mbele kwa goli moja
CAFCL: Stade Malien ‘hawachekeshi’ wapo mbele kwa goli moja. 65’: Stade Malien 1-0 Esperance de Tunis LIVE #ZBC2 #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #StadeMalienVsEsoerancedeTunis #StadeMalien #Esperance
Mwarabu wa Mangu’ula amekinukisha
Mwarabu wa Mangu'ula amekinukisha #KombolelaSeries (Feed generated with FetchRSS)
Maryam kakutana na Hala tena #AzamTWO
Maryam kakutana na Hala tena #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imekabidhi mashine za joto kwa ajili ya kutunzia watoto wanaozaliwa kabla ya…
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imekabidhi mashine za joto kwa ajili ya kutunzia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Radiant Warmer) na mashine za kutunzia watoto wanaozaliwa na…
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU FEBRUARI 08, 2026- MADARASA, MAKANISA VYAEZULIWA NA MVUA YA MAWE KILINDI
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU FEBRUARI 08, 2026- MADARASA, MAKANISA VYAEZULIWA NA MVUA YA MAWE KILINDI (Feed generated with FetchRSS)
#BSSNextLevelRevolution | Adele jamani…
#BSSNextLevelRevolution | Adele jamani…. Usikose msimu mpya wa BSS msimu wa 16 kupitia @sinemazetuhd na @azamtvmaxapp kuanzia Machi 22, 2026. #BongoStarSearch (Feed generated with FetchRSS)
CAFCL: Hakuna goli
CAFCL: Hakuna goli HT: Stade Malien 0-0 Esperance de Tunis LIVE #ZBC2 #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #StadeMalienVsEsoerancedeTunis #StadeMalien #Esperance
#CAFCC: Singida wapo nyuma kwa goli moja
#CAFCC: Singida wapo nyuma kwa goli moja. HT’: Singida BS 0-1 CR Belouizdad LIVE #AzamSport2HD #CAFCC #CAFConfederationCup #KombeLaShirikishoAfrika #SingidaBSVsCRBelouizdad #SingidaBS #CRBelouizdad
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limemkamata fundi magari mkazi wa Makambako, Bashiru Madembwe, kwa tuhuma za kuhusika n…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limemkamata fundi magari mkazi wa Makambako, Bashiru Madembwe, kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa gari kwa kutumia silaha katika mji wa Tunduma.…
#HABARI: Zaidi ya nyumba 80, vyumba vinne vya madarasa, na makanisa katika Kata za Mabalanga na Jaila, wilayani Kilindi, mkoani…
#HABARI: Zaidi ya nyumba 80, vyumba vinne vya madarasa, na makanisa katika Kata za Mabalanga na Jaila, wilayani Kilindi, mkoani Tanga zimeezuliwa na mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo…
Madereva watishia mgomo kutekwa kiongozi wao, Polisi waeleza alipo
Umoja wa Madereva wa Malori, Mabasi na IT–Tanzania (Tatamata) umetishia kusitisha shughuli zao...
#CAFCC: Mapemaa…wageni wametangulia
#CAFCC: Mapemaa…wageni wametangulia. 15’: Singida BS 0-1 CR Belouizdad LIVE #AzamSport2HD #CAFCC #CAFConfederationCup #KombeLaShirikishoAfrika #SingidaBSVsCRBelouizdad #SingidaBS #CRBelouizdad
Yanga hesabu mpya zipo hapa, Pacome tatizo
EVODY: Beki aliyewazima mastaa Simba akiichezea Mtibwa Sugar HAROUB Evody ndiye aliyekuwa shujaa kwenye mchezo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1 kati ya wenyeji Simba na Mtibwa Sugar kwa kukabidhiwa…
Serikali yataka matumizi ya mfumo wa anwani za makazi nchi nzima
Serikali imezitaka taasisi zote za umma na binafsi kuanza kutumia mfumo wa kitaifa wa anwani za...
Watatu wauawa katika majibizano ya risasi na Polisi Simiyu
Watu watatu wanaodaiwa kuwa majambazi wamefariki dunia baada ya majibizano ya risasi na Kikosi...
#CAFCC: Msimamo wa kundi “B” kwenye Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC), vita bado ni kali
#CAFCC: Msimamo wa kundi “B” kwenye Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC), vita bado ni kali. FT: Nairobi United 0-1 Wydad AC Ilikuwa LIVE #AzamSport3HD #CAFCC #CAFConfederationCup #KombeLaShirikishoAfrika #NairobiUnitedVsWydadAC
Droo ya hatua ya 64 bora Kombe la Shirikisho la CRDB, kufanyika Jumatatu hii Februari 09, timu za NBC Premier League sasa zinain…
Droo ya hatua ya 64 bora Kombe la Shirikisho la CRDB, kufanyika Jumatatu hii Februari 09, timu za NBC Premier League sasa zinaingia. Droo hii kufanyika kuanzia saa 6:00 mchana…
#NBCPL: Iddy Kipagwile akapiga shuti la mbali ambalo kiasi liliguswa na Ismail Gambo lakini haikufua dafu, Dodoma Jiji ikaandika…
#NBCPL: Iddy Kipagwile akapiga shuti la mbali ambalo kiasi liliguswa na Ismail Gambo lakini haikufua dafu, Dodoma Jiji ikaandika goli la pili. FT: Dodoma Jiji 2-1 KMC FC Ilikuwa LIVE…
#NBCPL: Rashid Chambo akapiga ‘header’ flani hivi ya mdondo sinzia na kuiandikia KMC goli la kusawazisha
#NBCPL: Rashid Chambo akapiga ‘header’ flani hivi ya mdondo sinzia na kuiandikia KMC goli la kusawazisha. FT: Dodoma Jiji 2-1 KMC FC Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi…
Video: Msichana aliyeachwa na mamake sababu ya umaskini amsihi arejee katika wimbo wa kugusa moyo
Wimbo wa kugusa hisia wa msichana mdogo katika Ziara ya Linda Mwananchi ulifichua hadithi yake ya kuhuzunisha ya kuachwa. Alimsihi mamake arudi nyumbani.
MSIMAMO: Dodoma Jiji haooooo…nafasi ya sita
MSIMAMO: Dodoma Jiji haooooo…nafasi ya sita #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable #ImenogaZaidi
CAFCL: Hakuna mbabe
CAFCL: Hakuna mbabe FT: FC Lupopo 1-1 Mamelodi Sundowns Ilikuwa BLIVE #AzamSports2HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #FCLupopoVsMamelodiSundowns #FCLupopo #Mamelodi
Serikali imesaini mikataba mitano inayolenga kuwawezesha vijana kupata ajira nje ya nchi, huku mikataba mingine 16 ikiwa katika …
Serikali imesaini mikataba mitano inayolenga kuwawezesha vijana kupata ajira nje ya nchi, huku mikataba mingine 16 ikiwa katika hatua za mwisho za kukamilika. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu…
#CAFCC: Wydad wamechukua alama tatu mbele ya Nairobi United
#CAFCC: Wydad wamechukua alama tatu mbele ya Nairobi United. FT: Nairobi United 0-1 Wydad AC Ilikuwa LIVE #AzamSport3HD FT: Kaizer Chiefs 2-1 Al Masry Ilikuwa LIVE #AzamSports4HD #CAFCC #CAFConfederationCup #KombeLaShirikishoAfrika…
#NBCPL: Alama tatu zimebaki katika jiji la Dodoma
#NBCPL: Alama tatu zimebaki katika jiji la Dodoma FT: Dodoma Jiji 2-1 KMC FC Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi #DodomaJijiVsKMC #DodomaJiji #KMC
#NBCPL: Almanusura William Edgar aiandikie goli Dodoma Jiji
#NBCPL: Almanusura William Edgar aiandikie goli Dodoma Jiji. 85’: Dodoma Jiji 2-1 KMC FC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi #DodomaJijiVsKMC #DodomaJiji #KMC
GF Trucks kupunguza utegemezi wa wataalamu kutoka nje
Licha ya sheria za nchi kutolazimisha sekta ya viwanda na usafirishaji kutekeleza mipango ya...
Haya hapa maagizo ya Rais Samia akizindua Soko Kuu Kariakoo
Huenda Soko la Kariakoo unalolifahamu au kuwahi kulisikia likawa na taswira mpya, baada ya Rais...
#NBCPL: ‘Chuma’ ya kutangulia ya Dodoma Jiji ikwekwa nyavuni na Faraji Kayanda
#NBCPL: ‘Chuma’ ya kutangulia ya Dodoma Jiji ikwekwa nyavuni na Faraji Kayanda. 75’: Dodoma Jiji 1-0 KMC FC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi #DodomaJijiVsKMC #DodomaJiji #KMC
#NBCPL: Bado goli moja limekaa
#NBCPL: Bado goli moja limekaa 70’: Dodoma Jiji 1-0 KMC FC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi #DodomaJijiVsKMC #DodomaJiji #KMC
CAFCL: Mechi ya Kazer Chiefs ni funga nikufunge
CAFCL: Mechi ya Kazer Chiefs ni funga nikufunge. 65’: FC Lupopo 1-1 Mamelodi Sundowns LIVE #AzamSports2HD 62’: Nairobi United 0-0 Wydad AC (Mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika) LIVE #AzamSports3HD…
Maxime: Mfumo sasa umekubali, yeyote aje tu!
BAADA ya msoto wa muda mrefu bila ushindi, hatimaye juzi Mbeya City ilikata mzizi wa fitina kwa kuikanda TRA United kwa mabao 2-0, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Mecky…
Maeneo saba ya utekelezaji wa bajeti ya elimu Zanzibar
Katika juhudi za kuimarisha sekta ya elimu, Serikali imeanisha maeneo saba ya vipaumbele vya...
Bwenzi wala hana presha Mashujaa
KIUNGO mshambuliaji wa Mashujaa FC, Sele Bwenzi amesema licha ya kutofunga bao lolote hadi sasa, bado anajiamini kwa uwezo uwanjani, huku akieleza ugumu na vita ya namba uliopo kikosini.
Viongozi wa dini watakiwa kuliombea Taifa
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora, Regina Ndege amewasihi viongozi...
James Orengo, Edwin Sifuna na Babu Owino Waanza Ziara ya Linda Mwananchi Masaibu ya ODM Yakizidi
Waasi wa ODM walizindua 'Linda Mwananchi Tour' mjini Busia kupinga sera za sasa za chama. Hafla hiyo iliongozwa na James Orengo na Edwin Sifuna....
Askofu Gwandu: Mitandao ya kijamii imejaa chuki na mipasho
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mbulu, John Gwandu...
Muhas, wadau wajadili mtaala mpya wa usimamizi na ugavi bidhaa za afya
Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas) kimeanza kujadili, kuboresha na...
Aliyejeruhiwa ajalini afariki dunia kwa ajali nyingine
Majeruhi aliyepata ajali katika basi la Maning Nice iliyotokea jana saa 12 asubuhi, Ahmad Ally,...