Maendeleo ya Jamii waja na mpango kizazi cha Tanzania ya 2050
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, imetaja vipaumbele saba...
Azam yamfuata staa Serengeti Boys
AZAM FC imeanza mchakato wa kumuwania mshambuliaji wa Serengeti Boys na Kagera Sugar, Luqman Ali, kwa ajili ya msimu ujao.
Vikosi Kombe la Dunia mwisho kesho
Jumla ya wachezaji 1,248 wanategemewa kushiriki fainali hizo zitakazofanyika Marekani, Canada...
Polisi nchini Kenya imetangaza kuwatambuwa rasmi wanafunzi saba wanaoshukiwa wakuu wa uchomaji moto wa bweni katika shule ya was…
Polisi nchini Kenya imetangaza kuwatambuwa rasmi wanafunzi saba wanaoshukiwa wakuu wa uchomaji moto wa bweni katika shule ya wasichana wiki iliyopita. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumapilli (Mei 31) 2026…
Kombe la Dunia laichezesha Simba mchana
WAKATI Ligi Kuu Bara ikiendelea kupamba moto, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya mabadiliko ya ratiba ya mchezo wa Mbeya City dhidi ya Simba ambao awali ulipangwa kuchezwa Juni…
Kikwete orders public servants to undergo induction training after reporting to their stations
DODOMA: THE Minister of State in the President’s Office, Public Service Management and Good Governance, Ridhiwani Kikwete has said that newly recruited public servants must undergo induction training within three…
Nigeria police warn against reprisal attacks against South Africans
NIGERIA: Police in Nigeria have warned against reprisals targeting South African nationals or businesses following a wave of anti-migrant protests in South Africa. The police urged Nigerians not to take…
Namungo yaanza hesabu za vidole Ligi Kuu
WAKATI presha ya kukwepa kushuka daraja ikizidi kuongezeka, Namungo imeanza kufanya hesabu za kujinusuru baada ya kuweka lengo la kukusanya angalau pointi tisa katika mechi tano zilizobaki.
UK wins court case over collapsed Rwanda asylum deal
UK: The UK will not have to pay Rwanda millions of pounds over the collapsed asylum agreement that was cancelled by Keir Starmer shortly after he took office, an international…
Tanzania’s pastoral communities advised to embrace ICT in preserving their cultural heritage
LONGIDO: THE Registrar of Societies and Non-Governmental Organizations in Tanzania, Emmanuel Kihampa, has urged pastoral communities across the country to embrace Information and Communication Technology (ICT) as a tool for…
Five patients recover from Ebola in DR Congo and leave hospital
DR CONGO: Health authorities in the Democratic Republic of Congo are celebrating after five patients, who had Ebola and now recovered, were allowed to leave hospital. The current outbreak is…
Wabuni mfumo wa kidijitali kugeuza taka kuwa fursa za kiuchumi
Kundi la wanafunzi sita wa kidato cha tano kutoka Shule ya Sekondari ya Arusha Sayansi wamebuni...
France seized sanctioned Russian oil tanker with UK help, Macron says
France intercepted a sanctioned oil tanker suspected of being part of Russia’s so-called shadow fleet on Sunday with UK support, French President Emmanuel Macron has said. Officers boarded the Tagor…
TAGCO opens 2026 conference to strengthen communication on Vision 2050
MWANZA: THE 2026 Government Communication Officers Conference has officially commenced today at Malaika Hotel in Mwanza, bringing together government communication professionals from various institutions across the country. The conference is…
Msigwa: Hakuna ruzuku ya mafuta kwa sasa, bei itashuka
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema hakuna ruzuku ya mafuta kwa sasa kwa kuwa bei...
Makamba calls for women’s fully involvement in clean energy with 10bn/- set aside for it
DODOMA: WOMEN and youth in the country have been urged to seize emerging opportunities in the clean cooking energy sector as the government steps up investment to expand access, innovation,…
Kinondoni yazindua hamasa kushangilia Serengeti Boys
DAR ES SAALAAM :MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule, amewahamasisha wakazi wa Tandale na Kinondoni kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kushangilia timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka…
Haya hapa majina waliopangiwa kidato cha tano, vyuo
Kati ya wanafunzi hao 631 ni wenye mahitaji maalumu.
Ebola DRC: Mkurugenzi wa WHO kukutana na rais Tshisekedi baada ya kutamatisha ziara yake
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) anatarajia kuondoka Kinshasa leo Jumatatu jioni, Juni 1, baada ya mkutano na Rais Félix Tshisekedi. Tedros Ghebreyesus anahitimisha ziara ya siku nyingi…
William Ruto, mkewe Rachel watokea katika sherehe za Madaraka na kitinda mimba wao
Rais Ruto na Mkewe Rachel waling'aa katika sherehe za kihistoria za 63 za Madaraka Day huko Wajir, zikiangazia elimu, ujuzi na mustakabali wa Kenya.
Wanne wafariki 29 wajeruhiwa ajali ya basi Mbeya
Watu wanne wamefariki dunia na wengine 29 kujeruhiwa katika ajali iliyotokea eneo la Maji...
Tanzania kuchukua teknolojia zilizoisha muda wa umiliki duniani
Hatua hiyo inafuatia ushirikiano na Shirika la Miliki Ubunifu Duniani (WIPO), ambapo...
Rais Ruto aagiza ujumuishaji wa Shule za Kiislamu katika mfumo rasmi wa elimu wa Kenya
Rais wa Kenya, William Ruto, amemwagiza waziri wa elimu kushirikisha wadau wote husika na kuanzisha mashauriano kuhusu ujumuishaji rasmi wa shule za Kiislamu nchini, zinazojulikana kama Duksi au Madrasa, katika…
Meline Waithera ni nani? Hadithi ya kutisha kuhusu jina lililopewa bweni la Wasichana la Utumishi
Meline Waithera alikuwa nani? Hadithi ya kusikitisha ya jina la bweni la Utumishi Girls Academy, kifo chake cha kuhuzunisha katika ajali na uhusiano na shule.
Rwanda: Hatua zilizochukuliwa dhidi ya Ebola na athari zake kwa raia kwenye mpaka wa Gisenyi
Nchi jirani za DRC zinajilinda vipi dhidi ya hatari ya virusi vya Ebola kusambaa ndani ya mipaka yao? Nchini Rwanda, hakuna visa vilivyorekodiwa, na matukio yote yanaendelea kama ilivyopangwa. Ripoti…
Swiss envoy calls for more capital to bolster SMEs as Tanzania launches the Impact Investment Forum
DODOMA: INVESTORS have been urged to channel more capital towards Tanzania’s high-impact small and medium-sized enterprises (SMEs) to help them scale up operations, create jobs and drive inclusive economic growth.…
Hanang yafikia 97% upatikanaji maji
MANYARA: Upatikanaji wa Maji katika Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara sasa umefikia asilimia 97, huku zaidi ya wananchi 35,000 wilayani humo wanatajwa kunufaika na huduma ya maji kupitia mradi Mradi…
Bendera ya Tanzania kupepea usiku Rabat
NI kawaida bendera kushusha usiku, lakini leo, Jumanne itakuwa tofauti wakati bendera ya Tanzania itapepea usiku timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys itashuka dimbani kuivaa…
Iran na Marekani zinapopigana, kwa nini mshindi awe Erdogan?
Siku tisa tu baada ya vita vya Marekani na Iran kuanza, alianzisha tena kesi ya Ekrem Imamoglu, meya wa mji wa Instanbul, ambaye amekuwa mpinzani mkuu wa Erdogan.
Wananchi waomba zahanati Masakta ipandishwe hadhi, Kihongosi atoa neno
Wananchi wa Kijiji cha Masakta, Kata ya Masakta wilayani Hanang, mkoani Manyara, wameiomba...
Tanzania sounds alarm against children’s access to smartphones, risk of online abuse
DODOMA: THE Tanzanian government has expressed concern over the rising use of electronic devices among children in Tanzania, warning that increased access to smartphones is exposing minors to inappropriate content…
Msajili: Hatuionei Chadema, tunataka sheria iheshimiwe
Amesema wingi wa barua inazokiandikia Chadema kuhitaji maelezo kuhusu kauli za viongozi wake...
Serengeti Boy kwenye mikono salama ya Haji
WAKATI Tanzania ikijiandaa kwa mechi kubwa zaidi katika historia ya soka lake la vijana, kuna jina moja ambalo limekuwa nguzo muhimu katika safari ya ajabu ya Serengeti Boys kufika fainali…
Tanzania lures large investors for pharmaceutical, medical equipment sector
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has continued to attract large investors in the pharmaceutical and medical equipment sector in the country following the presence of the Mloganzila pharmaceutical manufacturing…
Kihongosi: Msingi wa CCM ni kutatua kero za wananchi
MANYARA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amesema msingi mkuu wa chama chao ni kusikiliza wananchi na kuhakikisha changamoto zao zinapatiwa…
CCM yakemea tabia ya kiburi kwa viongozi
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya kiburi cha madaraka, migawanyiko na kutanguliza...
Madaraka Dei: William Ruto aupa Uwanja wa Wajir ulionjengwa juzi jina la waziri wa zamani
Rais William Ruto alisherehekea Madaraka Dei huko Wajir, na kuwa mwenyeji wa kwanza Kaskazini mwa Kenya. Aliupa uwanja huo jina la waziri wa zamani Ahmed Khalif.
Takukuru yakirejeshea mali kikundi cha Asante Mbeya Project ikitoa onyo
Akizungumza leo Juni Mosi, 2026 ofisini kwake, Naibu Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Mbeya, Jasper...
How NBC Dodoma Marathon is saving lives, transforming communities
DAR ES SALAAM: First comes the buzz of anticipation. Then the cheering crowds. Then the rhythmic pounding of thousands of running shoes striking the streets of Dodoma as participants push…
Sh bilioni 5.8 kubadili sura utoaji huduma Hanang
MANYARA: Serikali ya Awamu ya Sita imewekeza zaidi ya Sh bilioni 5.8 katika ujenzi wa Jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’, mkoani Manyara mradi unaotarajiwa kuleta mapinduzi…
Wanne wafa, 29 wajeruhiwa ajali ya basi Mbeya
MBEYA: Watu wanne wamefariki na wengine 29 kujeruhiwa kufuatia ajali ya basi la abiria iliyotokea mkoani Mbeya baada ya gari hilo kuacha njia na kupinduka katika eneo lenye kona kali…
Tanzania braces for global heart health experts conference
DAR ES SALAAM: THE Heart Team Africa CardioTan Imaging 2026 International Scientific Conference is scheduled to take place from June 4 to 6, 2026, at the Blue Sapphire Hall in…
Wawakilishi wahoji usalama taarifa za Serikali Zanzibar
Unguja. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamehoji usalama wa Taifa na taarifa za Serikali...
Kesi meno ya tembo ya Sh983 milioni yaahirishwa
Mshtakiwa Faki Shaal (54) na wenzake watatu wanaokabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la...
Mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama wajadili Lebanon wakati diplomasia ikikabiliwa na mtihani mkubwa
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekutana katika kikao cha dharura hii leo jioni kwa saa za New York Marekani kufuatia ombi la Ufaransa kujadili ongezeko kubwa la mashambulizi…
Kuongezeka kwa tishio la silaha ndogo haramu, Katibu Mkuu wa UN atoa wito wa hatua za pamoja
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, leo Jumatatu ya Juni Mosi ameonya kuwa kuenea na kuhamishwa kwa njia haramu kwa silaha ndogo na nyepesi kunaendelea kuchochea migogoro, ugaidi,…