Kazini kwa Muya Coastal kuna kazi
BAADA ya Coastal Union kuchapwa mabao 3-0 dhidi ya Pamba Jiji katika mechi ya Ligi Kuu iliyopigwa Februari 6, 2026 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, imemfanya kocha mkuu…
CAFCL: Bado milango imefungwa kwa timu zote nne
CAFCL: Bado milango imefungwa kwa timu zote nne. 15’: AS FAR 0-0 Yanga SC LIVE #AzamSports2HD 15’: JS Kabylie 0-0 AL Ahly LIVE #AzamSport1HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #ASFARvsYangaSC #ASFAR #YangaSC…
Kilichokwamisha dili la Shomary Kazakhstan
DILI la aliyekuwa beki wa kushoto wa KMC, Rahim Shomary kujiunga na FK Zhenys inayoshiriki Ligi Kuu ya Kazakhstan, limeshindwa kukamilika, baada ya nyota huyo kuamua kurejea nchini na kutua…
Silas Abungana: Polisi wamkamata kaka anayedaiwa kumuua mchezaji wa Homeboyz FC
Kaka yake mchezaji wa Kakamega Homeboyz FC, Silas Abungana, Denmark Muchiti, amekamatwa kufuatia kifo cha kusikitisha cha mchezaji huyo mapema wiki hii.
Oura atupia, Simba ikiikazia Petro Atletico kwao
NYOTA mpya wa Simba SC, Anicet Oura, amefanikiwa kufunga bao lake la kwanza akiwa na kikosi cha timu hiyo baada ya kujiunga nacho dirisha dogo la usajili msimu huu akitokea…
Rais Dokta Samia Suluhu Hassan amebainisha kuwa meli ya kwanza ya usafirishaji wa mafuta kupitia mradi wa bomba la mafuta ghafi …
Rais Dokta Samia Suluhu Hassan amebainisha kuwa meli ya kwanza ya usafirishaji wa mafuta kupitia mradi wa bomba la mafuta ghafi wa EACOP inatarajiwa kuanza Julai mwaka huu. Dkt. Samia…
Inonga amfuata Ateba Iraq
ALIYEKUWA beki wa kati wa Simba, Mkongomani Henock Inonga Baka, amejiunga na Al-Zawraa SC inayoshiriki Ligi Kuu ya Iraq, akiungana na mshambuliaji nyota wa zamani wa kikosi hicho raia wa…
#MEDANIZASIASA:MASWALI KONKI YA ODEMBA NDANI YA MEDANI KUU
#MEDANIZASIASA:MASWALI KONKI YA ODEMBA NDANI YA MEDANI KUU
Kiungo Stand ana hesabu kali kikosini
BAADA ya kuanza kazi ndani ya kikosi cha Songea United, kiungo mshambuliaji, Shaban Ada amesema hesabu zake ni kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara ili kuimarisha kiwango chake, kuonekana…
Uendeshaji wa pikipiki maarufu ‘Bodaboda’ unatajwa kuwa miongoni mwa vyanzo vya ajali na madhara kwa binadamu na mali zao
Uendeshaji wa pikipiki maarufu 'Bodaboda' unatajwa kuwa miongoni mwa vyanzo vya ajali na madhara kwa binadamu na mali zao. Fatuma Juma ni miongoni mwa mifano na ushahidi halisi wa atari…
CAFCL: Msimamo wa kundi “D” baada ya leo kuchezwa mechi moja
CAFCL: Msimamo wa kundi “D” baada ya leo kuchezwa mechi moja. FT: Petro Atletico 1-1 Simba SC Saa 4:00 usiku ni AS FAR dhidi ya Yanga SC, LIVE #AzamSports2HD #CAFCL…
Makomredi wa vyuo vikuu wenye hasira wamtimua Oketch Salah, wachoma tisheti zenye chapa ya ODM
Oketch Salah alikuwa KICC kukutana na wanafunzi kutoka vyuo vikuu tofauti. Lakini tukio hilo liligeuka kuwa la vurugu na wanafunzi wakaanza kuimba 'wantam'.
Takataka ni msamiati wa kale katika lugha ya Kiswahili unaomanishana vitu visivyokuwa na maana tena huku wengine wakiita uchaf…
Takataka ni msamiati wa kale katika lugha ya Kiswahili unaomanishana vitu visivyokuwa na maana tena huku wengine wakiita uchafu lakini kwa Dkt. Elbahati Kimaro mwenyeji wa mkoani Kilimanjaro msamiati huo…
Serikali imewataka vijana 200 waliopata fursa za ajira nje ya nchi kuwa mabalozi wa Taifa kwa kuzingatia nidhamu, uadilifu na ta…
Serikali imewataka vijana 200 waliopata fursa za ajira nje ya nchi kuwa mabalozi wa Taifa kwa kuzingatia nidhamu, uadilifu na tamaduni katika nchi wanazokwenda, ili kulinda heshima ya Tanzania. Wito…
#NBCPL: Hizi hapa ‘chuma’ zote mbili kwenye mchezo kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Namungo FC
#NBCPL: Hizi hapa ‘chuma’ zote mbili kwenye mchezo kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Namungo FC. Goli la Namungo FC limefungwa na Cyprian Kipenye kabla ya Said Mkopi kupiga shuti…
Hashmet na Mama yake duuh🙌 #AzamTWO
Hashmet na Mama yake duuh🙌 #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
MSIMAMO: Mtibwa Sugar imeng’ang’ana kwenye nafasi ya tatu
MSIMAMO: Mtibwa Sugar imeng’ang’ana kwenye nafasi ya tatu #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable
CAFCL: Simba Mnyama kaondoka na alama moja ugenini
CAFCL: Simba Mnyama kaondoka na alama moja ugenini. FT: Petro Atletico 1-1 Simba SC Saa 4:00 usiku ni AS FAR dhidi ya Yanga SC, LIVE #AzamSports2HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #PetroAtleticoVsSimbaSC…
CAFCC: Azam FC imefikisha alama tisa sasa ikiwa sawa na AS Maniema na Wydad AC
CAFCC: Azam FC imefikisha alama tisa sasa ikiwa sawa na AS Maniema na Wydad AC. FT: Azam FC 1-0 AS Maniema Union Ilikuwa LIVE #AzamSports3HD #CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika #AzamFCVsASManiema #AzamFC #ASManiemaUnion…
Zaidi ya bilioni 33.6 zinataraji kutumika katika shughuli mbalimbali za maendeleo katika halmashauri ya mji wa makambako ikiwemo…
Zaidi ya bilioni 33.6 zinataraji kutumika katika shughuli mbalimbali za maendeleo katika halmashauri ya mji wa makambako ikiwemo utekelezaji wa miradi mbalimbali, ulipaji mishahara pamoja na kuwezesha makundi maalumu ya…
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo Julai mwaka huu, huenda meli ya kwanza ikasafiri kutoka Tanga nchini Tanzania kusaf…
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo Julai mwaka huu, huenda meli ya kwanza ikasafiri kutoka Tanga nchini Tanzania kusafirisha mafuta yanayotokana na Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la…
UNICEF yawapa wasanii kibarua cha kupambana na ukatili
Kwa muda mrefu, tasnia ya muziki imekuwa ikilaumiwa kwa kuzalisha nyimbo zenye maudhui...
CAFCL: Mnyama kachomoa kupitia mchezaji Anicet Oura
CAFCL: Mnyama kachomoa kupitia mchezaji Anicet Oura 85’: Petro Atletico 1-1 Simba SC LIVE #AzamSports2HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #PetroAtleticoVsSimbaSC #PetroAtletico #SimbaSC
#HABARI: Jeshi la polisi mkoani Songwe, linamshikilia mtu mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa kwa ajili ya upelelezi, kwa tuhum…
#HABARI: Jeshi la polisi mkoani Songwe, linamshikilia mtu mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa kwa ajili ya upelelezi, kwa tuhuma za kuhusika na tukio la unyang’anyi wa kutumia silaha aina ya…
CAFCL: Game bado ipo LIVE
CAFCL: Game bado ipo LIVE 80’: Petro Atletico 1-0 Simba SC LIVE #AzamSports2HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #PetroAtleticoVsSimbaSC #PetroAtletico #SimbaSC
#HABARI: Serikali ya Awamu ya Sita imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kulinda haki za wafanyakazi na kuboresha maslahi ya wal…
#HABARI: Serikali ya Awamu ya Sita imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kulinda haki za wafanyakazi na kuboresha maslahi ya walimu nchini, huku ikiitaka CWT kuwa nguzo imara ya weledi, mshikamano…
#HABARI: Watu sita wa familia moja, wakazi wa Kijiji cha Ulamba, Kata ya Kalunde wilayani Tabora, wamenusurika kifo baada ya kup…
#HABARI: Watu sita wa familia moja, wakazi wa Kijiji cha Ulamba, Kata ya Kalunde wilayani Tabora, wamenusurika kifo baada ya kupigwa na radi iliyoambatana na mvua kubwa ,iliyokuwa ikinyesha usiku…
CAFCC: Bado Azam FC inaongoza kwa goli moj kupitia Lusajo Mwaikenda
CAFCC: Bado Azam FC inaongoza kwa goli moj kupitia Lusajo Mwaikenda 65’: Azam FC 1-0 AS Maniema Union LIVE #AzamSports3HD #CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika #AzamFCVsASManiema #AzamFC #ASManiemaUnion #AFCASMU
CAFCL: Bado Petro Atletico wanaongoza kwa goli moja
CAFCL: Bado Petro Atletico wanaongoza kwa goli moja. 60’: Petro Atletico 1-0 Simba SC LIVE #AzamSports2HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #PetroAtleticoVsSimbaSC #PetroAtletico #SimbaSC
Ndoto ya kukwea pipa, imeishia njiani 😂
Ndoto ya kukwea pipa, imeishia njiani 😂 #KombolelaSeriea #KombolelaSeason2 (Feed generated with FetchRSS)
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU – 07/02/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU - 07/02/2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU FEBRUARI 07, 2026- RAIS SAMIA NA MUSEVENI KUONDOA VIKWAZO VYA KIBIASHARA
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU FEBRUARI 07, 2026- RAIS SAMIA NA MUSEVENI KUONDOA VIKWAZO VYA KIBIASHARA (Feed generated with FetchRSS)
CAFCC| Azam FC inakwenda mapumziko ikiwa kifua mbele
CAFCC| Azam FC inakwenda mapumziko ikiwa kifua mbele. HT: Azam FC 1-0 AS Maniema Union LIVE #AzamSports3HD #CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika #AzamFCVsASManiema #AzamFC #ASManiemaUnion #AFCASMU
#NBCPL: Mzani upo sawa kwa timu zote
#NBCPL: Mzani upo sawa kwa timu zote HT: Mtibwa Sugar 1-1 Namungo FC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #RRAUnitedVsMbeyaCity #TRAUnited #MbeyaCity
Suzy ameamua kufukua makaburi
Suzy ameamua kufukua makaburi #NomaSeries #SinemaZetuHD (Feed generated with FetchRSS)
CAFCL: Petro Atletico inakwenda mapumziko ikiwa kifua mbele kwa goli moja
CAFCL: Petro Atletico inakwenda mapumziko ikiwa kifua mbele kwa goli moja. HT: Petro Atletico 1-0 Simba SC LIVE #AzamSports2HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #PetroAtleticoVsSimbaSC #PetroAtletico #SimbaSC
CAFCL: Simba ipo pungufu baada ya nahodha Shomari Kapombe kupewa kadi nyekundu
CAFCL: Simba ipo pungufu baada ya nahodha Shomari Kapombe kupewa kadi nyekundu. 45’: Petro Atletico 1-0 Simba SC LIVE #AzamSports2HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #PetroAtleticoVsSimbaSC #PetroAtletico #SimbaSC
Sita wanusurika kifo radi ikiteketeza nyumba Tabora
Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, Kitete, Swaumu Kimaro...
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Patrobas Katambi, amesema serikali itaweka mifumo ya kudhibiti uhalifu katika maen…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Patrobas Katambi, amesema serikali itaweka mifumo ya kudhibiti uhalifu katika maeneo ya biashara,makazi na mashambani ili kuweza kudhibiti matendo ya uhalifu ikiwemo…
Mnangagwa, Prateek Suri map Africa’s growth path
HARARE, ZIMBABWE: When political leadership meets entrepreneurial ambition, the outcome often shapes the future of nations. Such a moment unfolded when Emmerson Mnangagwa, President of Zimbabwe, sat down with global…
CAFCC| Lusajo Mwaikenda tayari ameshaitanguliza Azam FC
CAFCC| Lusajo Mwaikenda tayari ameshaitanguliza Azam FC. 35': Azam FC 1-0 AS Maniema Union LIVE #AzamSports3HD #CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika #AzamFCVsASManiema #AzamFC #ASManiemaUnion
Baba asimulia alivyowaokoa wanawe wawili moto ukiteketeza nyumba
Tukio hilo la moto lilitokea jana Ijumaa Februari 6, 2026 na kuteketeza mali zote zilizokuwapo...
#NBCPL: TRA walianza kwa kulimwa kadi nyekundu kupitia mchezaji Omary Yusuf na baadae Adily Buha akafunga goli la kwanza kwa pen…
#NBCPL: TRA walianza kwa kulimwa kadi nyekundu kupitia mchezaji Omary Yusuf na baadae Adily Buha akafunga goli la kwanza kwa penati na baadae Said Naushad akaweka la pili. FT: TRA…
15’| CAFCL
15’| CAFCL Petro Atletico 1-0 Simba SC LIVE #AzamSports2HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #PetroAtleticoVsSimbaSC #PetroAtletico #SimbaSC
#BSSNextLevelRevolution | Majaji wamesema haiishi hadi iishe, bado tunaendelea na usaili hapa La Kairo Hotel
#BSSNextLevelRevolution | Majaji wamesema haiishi hadi iishe, bado tunaendelea na usaili hapa La Kairo Hotel. Msimu wa 16 #BongoStarSearch utaanza kuoneshwa rasmi kuanzia Machi 22, 2026 kupitia @sinemazetuhd na @azamtvmaxapp…
Watu wawili wameripotiwa kufariki dunia kufuatia ajali ya gari la kampuni ya Mining Nice lililokuwa likisafiri kutoka Dar es Sal…
Watu wawili wameripotiwa kufariki dunia kufuatia ajali ya gari la kampuni ya Mining Nice lililokuwa likisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Masasi mkoani Mtwara, baada ya kugonga lori la mizigo…
DRC: Idadi ya wagonjwa wa surua yaongezeka katika eneo la Afya la Idjwi, Kivu Kusini
Ukanda wa afya wa Idjwi unakabiliwa na ongezeko kubwa la visa vya surua, hasa vinavyoathiri watoto wenye umri wa miaka 0 hadi 5 katika maeneo kadhaa ya afya. Ili kukabiliana…
Waziri Shemdoe aridhishwa na maandalizi ya ufunguzi Soko la Kariakoo
Waziri huyo amesema uwekezaji wa Sh28 bilioni uliofanyika katika soko hilo baada ya kuungua...
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#KaziNaUtuTunasongaMbele #TabasamuLaUtu #diplomasiayauchumi #MaendeleoEndelevu (Feed generated with FetchRSS)
Wananchi wa Mtaa wa Kisiwa cha Fokoland, Kata ya Yombo Vituka, Manispaa ya Temeke, wamejichanga na kujenga barabara ya zege kwa …
Wananchi wa Mtaa wa Kisiwa cha Fokoland, Kata ya Yombo Vituka, Manispaa ya Temeke, wamejichanga na kujenga barabara ya zege kwa lengo la kutatua kero ya muda mrefu ya miundombinu,…