JKU bado ina matumaini ya ubingwa ZPL
MSEMO wa kuwa adui yako muombee njaa unaonekana bado unaishi, huku mshambuliaji wa JKU, Feisal Hilali maarufu kama ‘Feymar’, akiamini mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) bado hazijaisha.
Iran yalaani vikali shambulio la polisi wa Uholanzi dhidi ya mke mjamzito wa Mpalestina
Iran imelaani vikali shambulio la kikatili lililofanywa na polisi wa Uholanzi dhidi ya mke mjamzito wa mwanamume Mpalestina, ikitoa wito kwa serikali ya Uholanzi kuchunguza tukio hilo na kuwawajibisha waliohusika.
Legends urge calm for Serengeti Boys
DAR ES SALAAM: TANZANIA Under-17 national team, the Serengeti Boys, have been urged to maintain calm, discipline and focus ahead of their tomorrow’s CAF U-17 Africa Cup of Nations final…
Zigo jipya kwa Chameleone aamriwa kulipa Sh5 milioni kila mwezi
Msanii maarufu wa muziki nchini Uganda, Joseph Mayanja 'Jose Chameleone', ametakiwa kulipa...
Sosholaiti Roseli Vieira aaga dunia siku moja baada ya kutumia KSh 1.2m kwa upasuaji wa urembo
Sosholaiti Roseli Fernandes Vieira, 48, aliaga dunia baada ya upasuaji wa kujiremba nchini Brazil. Uchunguzi unaendelea mashabiki wakiomboleza kifo chake cha ghafla
Makonda unveils grassroots sports league as AFCON preps gather pace
ARUSHA: PREPARATIONS for the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON) in Arusha are progressing steadily, with seven sports facilities currently under construction to support the city’s role as one of…
China trade rise as imports outpace export growth
TANZANIA: TANZANIA’S trade with China expanded last year, but rising imports continued to outpace export growth, widening the overall trade gap. According to the 2026/27 budget speech delivered by Industry…
Utamaduni unaendelea kuvuka mipaka ya mikoa nchini, ukichochewa na kuenea kwa lugha ya Kiswahili, maboresho ya miundombinu na sh…
Utamaduni unaendelea kuvuka mipaka ya mikoa nchini, ukichochewa na kuenea kwa lugha ya Kiswahili, maboresho ya miundombinu na shughuli za kiuchumi. Mfano wa hali hiyo ni ngoma ya asili ya…
The big test for Tanzania’s credit guarantee scheme: Catalyst for growth or governance risk?
DAR ES SALAAM: THE Bank of Tanzania’s recent circular, issued on May 22, 2026, follows a meeting held on December 8, 2025 at the bank’s sub-head offices in Dar es…
Hii ni safari ya Winfrida Mkombe, ambaye kitaaluma ni Mhasibu, aliamua kuachana na ajira ya ofisini na kuingia katika ujasiriama…
Hii ni safari ya Winfrida Mkombe, ambaye kitaaluma ni Mhasibu, aliamua kuachana na ajira ya ofisini na kuingia katika ujasiriamali baada ya kuona fursa kubwa katika sekta ya maziwa. Leo…
Dili iliyokufa – 6
ILIPOISHIA “Subiri,” akaniambia huku akishuka. Alikwenda kwenye mlango ambao ulikuwa wazi, akapiga hodi. Hakukuwa na jibu lakini aliingia hivyo hivyo. Nilipomuona anaingia na mimi nilifungua mlango wa teksi nikashuka na…
Afisa Ustawi wa Jamii Wilaya ya Ilala, Joyce Maketa, amesema malezi bora yanayozingatia maadili na imani ni msingi muhimu wa kum…
Afisa Ustawi wa Jamii Wilaya ya Ilala, Joyce Maketa, amesema malezi bora yanayozingatia maadili na imani ni msingi muhimu wa kumjenga mtoto na kumpa uwezo wa kuishi kwa kujiamini ndani…
Mavunde launches salt plant, signals economic era
THE Minister for Minerals, Mr Anthony Mavunde, has officially inaugurated the Rafiki Salt Processing Plant, owned by the State Mining Corporation (STAMICO) in Lindi Region, while directing the corporation to…
Inside BMH’s bold leap into transplant medicine
DODOMA: IF hospitals were countries, Benjamin Mkapa National Hospital (BMH) would already be issuing passports stamped “Welcome to East Africa’s specialist care zone.” Here, medical tourism figures alone tell the…
Kilio kwa Barnaba, studio zake zateketea kwa moto
Tasnia ya muziki nchini imeamka na taarifa za kusikitisha baada ya studio za uzalishaji wa...
Mastaa Stars wapania AFCON 2027
WACHEZAJI wa timu ya Tanzania wameonyesha matumaini makubwa ya kikosi hicho katika fainali za Mataifa ya Afrika AFCON, itakayofanyika mwaka 2027, ikihusisha mataifa matatu wenyeji ambao ni Tanzania, Kenya na…
Viongozi mbalimbali wafika msibani kwa Mususa, kuzikwa kesho Dar
Viongozi mbalimbali wa Serikali na sekta binafsi, wametembelea nyumbani kwa Mwenyekiti wa...
Fei Toto achomolewa Stars, majeraha yatajwa
KIUNGO mshambuliaji wa Taifa Stars, Feisal Salum 'Fei Toto' ameondolewa katika kikosi cha timu hiyo kinachojiandaa na mechi mbili za kirafiki za kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA),…
Utumishi Girls: Wakenya wapigwa na butwaa kufuatia madai mshukiwa mkuu wa mkasa wa moto ametoweka
Polisi walimkamata msichana anayehusishwa na moto katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Utumishi ambao uliua wanafunzi 16, na kuzua ghadhabu ya kitaifa.
Journalists challenged to safeguard public trust
DAR ES SALAAM: PRESIDENT of the East African Court of Justice (EACJ), Judge Nestor Kayobera, has called on journalists across the region to uphold truth, justice and public interest in…
Mambo safi nyumba za watumishi CCM Tanga
TANGA: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Tanga, Rajab Abdulrahman amekabidhi Sh milioni 500 kwa ajili ya umaliziaji wa mradi wa ujenzi wa nyumba 36 za watumishi wa chama…
Baraza la Sekta ya Afya EAC kukutana kujadili mlipuko wa Ebola
Baraza la Sekta ya Afya la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) linatarajia kufanya mkutano...
Wabunifu watakiwa kusajili bunifu zao
ARUSHA: Uwekezaji katika Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM) kwa vijana ni hatua muhimu ya kuongeza ushindani wa taifa katika soko la kimataifa na kuchangia uchumi wa ajira kupitia miradi…
Mzee Zoa: Aliyekuwa mwigizaji wa Vitimbi hana makao, aoekana akiishi mitaani Nairobi
Anne Waiguru wa Kirinyaga anasherehekea huku mwanawe Ian akifunga ndoa na Joanne katika harusi ya kitamaduni iliyojaa upendo, utamaduni na kumbukumbu za furaha.
EACOP reaches 81pc as youth opportunities expand
ARUSHA: CONSTRUCTION of the East African Crude Oil Pipeline (EACOP) has surpassed 81 per cent completion, marking significant progress on one of the region’s largest energy infrastructure projects. The update…
‘Sema na Waziri’ receives 163 public grievances since launch
DODOMA: THE Ministry of Constitution and Legal Affairs has received 163 public grievances through its newly launched ‘Sema na Waziri’ programme since March this year, with 60 cases resolved and…
Samia Kalamu awards launched in Dar
DAR ES SALAAM: THE 2026 Samia Kalamu Awards was officially launched in Dar es Salaam yesterday, with journalists and content creators across the country urged to strengthen development journalism through…
NMB CEO showcases Tanzania’s banking success at Cambridge
CAMBRIDGE: TANZANIA’S banking transformation and its broader macroeconomic impact took centre stage at the University of Cambridge recently. This followed a high-profile keynote address by NMB Bank Managing Director and…
NACTVET opens 2026/27 certificate, diploma admissions
DODOMA: THE National Council for Technical and Vocational Education and Training (NACTVET) has officially opened admissions for certificate and diploma programmes for the 2026/27 academic year. This paves the way…
Magazetini: Idara ya DCI Yatumia Kanda za CCTV Kuwatambua Wasichana 7 Walioanzisha Moto wa Utumishi
DCI ilifichua wanafunzi saba ambao ni washukiwa wakuu wa kuanzisha moto Utumishi Girls ambao uliua wasichana 16 hukui mvutano kuhusu kituo cha Ebola Kenya ukichacha
Nyuma ya pazia kinachofanya Diamond asitoe albamu mpya!
Staa wa Bongo Fleva kutoka WCB Wasafi, Diamond Platnumz hadi sasa ameachia Extended Playlist...
Government sets stage for take-off
DAR ES SALAAM: THE National Planning Commission has endorsed four major frameworks that will guide the implementation of Vision 2050, which officially takes effect on July 1st this year. The…
Katibu wa NEC-Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa Komredi Kenani kihongosi amehitimisha ziara yake katik…
Katibu wa NEC-Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa Komredi Kenani kihongosi amehitimisha ziara yake katika mkoa wa Kilimanjaro kwa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja…
GGML Kili Challenge 2026 targets 2.6bn/- for HIV/AIDS fight
DAR ES SALAAM: THE 2026 edition of the GGML Kilimanjaro Challenge Against HIV/AIDS was officially launched on Saturday, in Dar es Salaam through a fundraising walk and charity drive, with…
Uruguay yamtema Suárez kuelekea Kombe la Dunia
Zikiwa zimebaki siku 10 kabla ya kuanza kwa Fainali za Kombe la Dunia 2026, kocha wa Uruguay...
Maeneo ya kuponda starehe Kombe la Dunia 2026
Kombe la Dunia 2026 litakalofanyika kwa pamoja katika nchi tatu kubwa za Amerika Kaskazini...
Mambo 10 yanayompa Aslay utofauti
Tofauti na wanamuziki wengi, Aslay alianza kuvuma akiwa bado mdogo kabisa, lakini nyimbo zake...
Utumishi Girls’: David Osiany asafiri hadi Narok kumfariji jamaa aliyempoteza bintiye katika mkasa
David Osiany alisafiri hadi Narok kumpa faraja baba aliyezunika baada ya mkasa wa kutisha moto wa Utumishi Girls kukatisha maisha ya bintiye mwenye umri wa miaka 15.
Sudan Kusini: Zaidi ya nusu ya nchi inakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula, kulingana na UM
Nchini Sudan Kusini, Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) halina uwezo. Kulingana na makadirio ya hivi karibuni ya Umoja wa Mataifa, zaidi ya 56% ya…
Vita vya siri vya GPS vinavyotikisa usafiri wa anga duniani
Katika Ghuba ya Uajemi, kulikuwa na ongezeko kubwa la ndege zilizoripoti kuathiriwa na udanganyifu wa GPS baada ya kuanza kwa vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran Mwezi Februari…
Uchaguzi wa wabunge Ethiopia: Tigray kutoshiriki uchaguzi, miaka minne baada ya kumalizika kwa vita
Mamilioni ya Waethiopia watapiga kura kote nchini lro Jumatatu Juni 1, 2026, kwa ajili ya uchaguzi wa wabunge, ambao utatoa nafasi ya kuchaguliwa Waziri Mkuu. Isipokuwa huko Tigray, eneo la…
Mashariki ya Kati: Marekani yashambulia maeneo ya Iran, Walinzi wa mapinduzi wajibu
Marekani imetangaza siku ya Jumapili, Mei 31, kwamba imefanya mashambulizi mwishoni mwa wiki kusini mwa Iran, ikilenga mifumo ya rada na udhibiti wa ndege zisizo na rubani, licha ya makubaliano…
Afrika kuanza kutumia Su-34M, ndege mpya za kivita za Urusi
Su-34M ni ndege ya kivita ya Urusi ambayo ni ya mashambulizi ya masafa marefu , iliyotengenezwa kwa ajili ya mashambulizi ya ardhini, baharini na pia kujilinda angani.
Madagascar: Rais Michaël Randrianirina ahutubia taifa katikati ya mvutano
Rais wa Madagascar Kanali Michaël Randrianirina, amelihutubi taifa, akizungumza kwa muda mrefu kwenye televisheni ya taifa siku ya Jumapili jioni, Mei 31, 2026. Hotuba ambayo wengi waliisubiri kwa hamu, ilikuja…
Senegal: Maswali yaibuka kufuatia kuitishwa kwa wabunge wawili wa PASTEF kufika polisi
Nchini Senegal, kuitishwa kwa wabunge wawili wa PASTEF na kitengo cha utafiti cha polisi kumezua sintofahamu. Wabunge hao ni Guy Marius Sagna na Cheikh Bara Ndiaye. Kulingana na vyanzo vyetu,…
Raia wa Ethiopia wanashiriki uchaguzi Mkuu
Raia wa Ethiopia hivi leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu ambao chama tawala cha Waziri mkuu Abiy Ahmed kinatarajiwa kushinda kirahisi kutokana na upinzani kugawanyika. Imechapishwa: 01/06/2026 – 06:49 Dakika…
Rosana Kathure: “Ningejua anayenioa atanikata jicho, nisingeolewa”
Rosana anasema mume wake alikuwa akimuambia maneno makali kila walipokwazana lakini yeye aliyachukulia kirahisi.
Ethiopia: Abiy Ahmed kuwania muhula mwingine katika uchaguzi wa wabunge unaopingwa
Waethiopia milioni hamsini wameitwa kushiriki uchaguzi leo Jumatatu ili kuwachagua wabunge wao na maafisa wa kikanda. Wengi watakaochaguliwa watachagua waziri mkuu, nafasi ya juu zaidi nchini. Abiy Ahmed ameshikilia wadhifa…