Skip to content
  • Sun. Mar 1st, 2026

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE

Latest Post

Iran: Alireza Arafi ateuliwa kuongoza mpito baada ya kifo cha Khamenei Kifo cha Johanna Ng’eno: Gachagua ataka uchunguzi wa kina kuhusu ajali ya helikopta iliyoua 6 Israel yatangaza mashambulizi mapya ‘katikati mwa Tehran,’ milipuko kadhaa yasikika Mkakati wasukwa ulinzi Ziwa Victoria Wakulima wa kahawa Mbinga, wapata tumaini jipya
IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Iran: Alireza Arafi ateuliwa kuongoza mpito baada ya kifo cha Khamenei

March 1, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

Kifo cha Johanna Ng’eno: Gachagua ataka uchunguzi wa kina kuhusu ajali ya helikopta iliyoua 6

March 1, 2026 mjombazecoder
IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Israel yatangaza mashambulizi mapya ‘katikati mwa Tehran,’ milipuko kadhaa yasikika

March 1, 2026 mjombazecoder
HABARILEO

Mkakati wasukwa ulinzi Ziwa Victoria

March 1, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Wakulima wa kahawa Mbinga, wapata tumaini jipya

March 1, 2026 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
Iran: Alireza Arafi ateuliwa kuongoza mpito baada ya kifo cha Khamenei
IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI
Iran: Alireza Arafi ateuliwa kuongoza mpito baada ya kifo cha Khamenei
Kifo cha Johanna Ng’eno: Gachagua ataka uchunguzi wa kina kuhusu ajali ya helikopta iliyoua 6
TUKO SWAHILI NEWS
Kifo cha Johanna Ng’eno: Gachagua ataka uchunguzi wa kina kuhusu ajali ya helikopta iliyoua 6
Israel yatangaza mashambulizi mapya ‘katikati mwa Tehran,’ milipuko kadhaa yasikika
IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI
Israel yatangaza mashambulizi mapya ‘katikati mwa Tehran,’ milipuko kadhaa yasikika
Mkakati wasukwa ulinzi Ziwa Victoria
HABARILEO
Mkakati wasukwa ulinzi Ziwa Victoria
Uncategorized
Muhammad Ali kuzikwa Ijumaa ya wiki hii
Kesi ya Kabila nchini DRC: Vyama vya kiraia ninadai makumi ya mabilioni ya dola kama didia
Uncategorized
Kesi ya Kabila nchini DRC: Vyama vya kiraia ninadai makumi ya mabilioni ya dola kama didia
Watu kadhaa wajeruhiwa katika ndege ya Malaysia Airlines
Uncategorized
Watu kadhaa wajeruhiwa katika ndege ya Malaysia Airlines
Niger: Mvua na mafuriko yamesababisha vifo vya watu hamsini mwaka 2025
Uncategorized
Niger: Mvua na mafuriko yamesababisha vifo vya watu hamsini mwaka 2025
Iran: Alireza Arafi ateuliwa kuongoza mpito baada ya kifo cha Khamenei
IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI
Iran: Alireza Arafi ateuliwa kuongoza mpito baada ya kifo cha Khamenei
Kifo cha Johanna Ng’eno: Gachagua ataka uchunguzi wa kina kuhusu ajali ya helikopta iliyoua 6
TUKO SWAHILI NEWS
Kifo cha Johanna Ng’eno: Gachagua ataka uchunguzi wa kina kuhusu ajali ya helikopta iliyoua 6
Israel yatangaza mashambulizi mapya ‘katikati mwa Tehran,’ milipuko kadhaa yasikika
IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI
Israel yatangaza mashambulizi mapya ‘katikati mwa Tehran,’ milipuko kadhaa yasikika
Mkakati wasukwa ulinzi Ziwa Victoria
HABARILEO
Mkakati wasukwa ulinzi Ziwa Victoria
ASTV TANZANIA ITVBONGO

#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Patrobas Katambi, amesema serikali itaweka mifumo ya kudhibiti uhalifu katika maen…

February 7, 2026 mjombazecoder

#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Patrobas Katambi, amesema serikali itaweka mifumo ya kudhibiti uhalifu katika maeneo ya biashara,makazi na mashambani ili kuweza kudhibiti matendo ya uhalifu ikiwemo…

LTV ENGLISH NEWS

Mnangagwa, Prateek Suri map Africa’s growth path

February 7, 2026 mjombazecoder

HARARE, ZIMBABWE: When political leadership meets entrepreneurial ambition, the outcome often shapes the future of nations. Such a moment unfolded when Emmerson Mnangagwa, President of Zimbabwe, sat down with global…

TZSPORTS

CAFCC| Lusajo Mwaikenda tayari ameshaitanguliza Azam FC

February 7, 2026 mjombazecoder

CAFCC| Lusajo Mwaikenda tayari ameshaitanguliza Azam FC. 35': Azam FC 1-0 AS Maniema Union LIVE #AzamSports3HD #CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika #AzamFCVsASManiema #AzamFC #ASManiemaUnion

MWANANCHI

Baba asimulia alivyowaokoa wanawe wawili moto ukiteketeza nyumba

February 7, 2026 mjombazecoder

Tukio hilo la moto lilitokea jana Ijumaa Februari 6, 2026 na kuteketeza mali zote zilizokuwapo...

TZSPORTS

#NBCPL: TRA walianza kwa kulimwa kadi nyekundu kupitia mchezaji Omary Yusuf na baadae Adily Buha akafunga goli la kwanza kwa pen…

February 7, 2026 mjombazecoder

#NBCPL: TRA walianza kwa kulimwa kadi nyekundu kupitia mchezaji Omary Yusuf na baadae Adily Buha akafunga goli la kwanza kwa penati na baadae Said Naushad akaweka la pili. FT: TRA…

TZSPORTS

15’| CAFCL

February 7, 2026 mjombazecoder

15’| CAFCL Petro Atletico 1-0 Simba SC LIVE #AzamSports2HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #PetroAtleticoVsSimbaSC #PetroAtletico #SimbaSC

#BSSNextLevelRevolution | Majaji wamesema haiishi hadi iishe, bado tunaendelea na usaili hapa La Kairo Hotel

February 7, 2026 mjombazecoder

#BSSNextLevelRevolution | Majaji wamesema haiishi hadi iishe, bado tunaendelea na usaili hapa La Kairo Hotel. Msimu wa 16 #BongoStarSearch utaanza kuoneshwa rasmi kuanzia Machi 22, 2026 kupitia @sinemazetuhd na @azamtvmaxapp…

Watu wawili wameripotiwa kufariki dunia kufuatia ajali ya gari la kampuni ya Mining Nice lililokuwa likisafiri kutoka Dar es Sal…

February 7, 2026 mjombazecoder

Watu wawili wameripotiwa kufariki dunia kufuatia ajali ya gari la kampuni ya Mining Nice lililokuwa likisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Masasi mkoani Mtwara, baada ya kugonga lori la mizigo…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

DRC: Idadi ya wagonjwa wa surua yaongezeka katika eneo la Afya la Idjwi, Kivu Kusini

February 7, 2026 mjombazecoder

Ukanda wa afya wa Idjwi unakabiliwa na ongezeko kubwa la visa vya surua, hasa vinavyoathiri watoto wenye umri wa miaka 0 hadi 5 katika maeneo kadhaa ya afya. Ili kukabiliana…

MWANANCHI

Waziri Shemdoe aridhishwa na maandalizi ya ufunguzi Soko la Kariakoo

February 7, 2026 mjombazecoder

Waziri huyo amesema uwekezaji wa Sh28 bilioni uliofanyika katika soko hilo baada ya kuungua...

#KaziNaUtuTunasongaMbele

February 7, 2026 mjombazecoder

#KaziNaUtuTunasongaMbele #TabasamuLaUtu #diplomasiayauchumi #MaendeleoEndelevu (Feed generated with FetchRSS)

Wananchi wa Mtaa wa Kisiwa cha Fokoland, Kata ya Yombo Vituka, Manispaa ya Temeke, wamejichanga na kujenga barabara ya zege kwa …

February 7, 2026 mjombazecoder

Wananchi wa Mtaa wa Kisiwa cha Fokoland, Kata ya Yombo Vituka, Manispaa ya Temeke, wamejichanga na kujenga barabara ya zege kwa lengo la kutatua kero ya muda mrefu ya miundombinu,…

MWANANCHI

Man United gari limewaka hilo, Mbeumo aweka rekodi

February 7, 2026 mjombazecoder

Mabao ya ushindi ya Man United katika mechi ya leo yamepachikwa na Bryan Mbeumo na Bruno...

TZSPORTS

#NBCPL: TRA United wameduazwa kwa magoli 2-0

February 7, 2026 mjombazecoder

#NBCPL: TRA United wameduazwa kwa magoli 2-0. FT: TRA United 0-2 Mbeya City Saa 1:00 usiku ni Mtibwa Sugar dhidi ya Namungo FC, LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi…

Serikali Wilayani Mbulu Mkoani Manyara imepanga kutoa kipaombele cha kugawa Bima za afya bure kwa jamii ya wahardzabe kupitia mp…

February 7, 2026 mjombazecoder

Serikali Wilayani Mbulu Mkoani Manyara imepanga kutoa kipaombele cha kugawa Bima za afya bure kwa jamii ya wahardzabe kupitia mpango wa Bima ya afya kwa wote ikiwa ni manufaa yatokanayo…

TZSPORTS

#CAFCL: RS Berkane wamekula chuma mbili bila kupepesa macho

February 7, 2026 mjombazecoder

#CAFCL: RS Berkane wamekula chuma mbili bila kupepesa macho. FT: Power Dynamos 2-0 RS Berkane Saa 1:00 usiku ni Petro Atletico dhidi ya Simba SC LIVE #AzamSports2HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika…

MWANANCHI

Wavuvi Mkokotoni waomba kipaumbele masoko mapya ya samaki

February 7, 2026 mjombazecoder

Unguja. Wavuvi na wajasiriamali wa mazao ya baharini wanaofanya shughuli zao katika maeneo ya...

MWANANCHI

Nchimbi: Mageti ya Ikulu yafungwe dhidi ya waovu

February 7, 2026 mjombazecoder

Soma zaidi hapa...

MWANANCHI

Mitazamo tofauti Rais Samia akifanya uteuzi

February 7, 2026 mjombazecoder

Soma zaidi hapa...

MWANANCHI

Ukosefu wa taa za barabarani wachochea uporaji Tanga

February 7, 2026 mjombazecoder

Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi kwa nyakati tofauti wiki hii katika Kata ya Majengo jijini...

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Serikali yatangaza FARDC kuchukuwa udhibito wa maeneo kadhaa kusini mwa mkoa wa Kivu

February 7, 2026 mjombazecoder

Waziri wa Ulinzi wa DRC amesema wakati wa mkutano wa Baraza la Mawaziri siku ya Ijumaa, Februari 6, kwamba vikosi vya jeshi la DRC (FARDC) vilizima mashambulizi ya “muungano wa…

TZSPORTS

ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: Mchezaji Abdulqadir Haji anafunguka namna alivyojipanga katika mashindano ya #Vishada msimu huu

February 7, 2026 mjombazecoder

ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: Mchezaji Abdulqadir Haji anafunguka namna alivyojipanga katika mashindano ya #Vishada msimu huu. Uhondo umeanza leo Februari 7, visiwani Zanzibar. #KusiCup2026.

TZSPORTS

#CAFCL: Bado hakuna goli kwa pande zote mbili

February 7, 2026 mjombazecoder

#CAFCL: Bado hakuna goli kwa pande zote mbili. HT: Power Dynamos 0-0 RS Berkane LIVE #AzamSports2HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #PowerDynamosVsRSBerkane #PDFCRSB

TZSPORTS

#NBCPL: Mbeya City wapo mbele kwa mkwaju wa penati uliopigwa na Adily Buha

February 7, 2026 mjombazecoder

#NBCPL: Mbeya City wapo mbele kwa mkwaju wa penati uliopigwa na Adily Buha. TRA United wapo pungufu baada ya Omari Yusufu kuoneshwa kadi nyekundu. HT: TRA United 0-1 Mbeya City…

TUKO SWAHILI NEWS

Mabinti Kenya wafunguka kwa nini ni vigumu kuchumbiana na maafande: “Utakuwa na co-Wives wengi”

February 7, 2026 mjombazecoder

Wanawake wa Kenya wameelezea sababu mseto kuhusu ni kwa nini ni nadra kuchumbiana na maafisa wa vikosi vya polisi, wakifichua kiwewe na dhana potofu.

MWANANCHI

Meli ya kwanza ya EACOP kusafirisha mafuta Julai

February 7, 2026 mjombazecoder

Rais Samia amesema hayo leo Jumamosi, Februari 7, 2026, Ikulu jijini Dar es Salaam, alipokuwa...

TZSPORTS

Wananchi Yanga SC, wapo mzigoni nchini Morocco, leo saa 4:00 usiku wapo dimba la CSPMA wakikipiga na AS FAR, mechi ya marudiano…

February 7, 2026 mjombazecoder

Wananchi Yanga SC, wapo mzigoni nchini Morocco, leo saa 4:00 usiku wapo dimba la CSPMA wakikipiga na AS FAR, mechi ya marudiano Ligi ya mabingwa Afrika. Katika mchezo wa kwanza…

TUKO SWAHILI NEWS

Mke Mjamzito wa Silas Abungana asema hangeweza kumsaidia mumewe kwani ndugu zake walimshambulia

February 7, 2026 mjombazecoder

Beki wa Kakamega Homeboyz Silas Abungana alifariki kutokana na majeraha ya kichwani baada ya shambulio la kikatili la usiku kutoka kwa ndugu zake.

TZSPORTS

Bundesliga leo Jumamosi

February 7, 2026 mjombazecoder

Bundesliga leo Jumamosi Saa 11:30 jioni, Wolfsburg watakuwa nyumbani Volkswagen Arena wakiwakaribisha Borussia Dortmund. Mchezo huu utaruka mbashara kupitia ZBC2. @bundesliga

TZSPORTS

NFL Superbowl LX – Patriots Vs Seahawks

February 7, 2026 mjombazecoder

NFL Superbowl LX - Patriots Vs Seahawks Superbowl 2026 ni New England Patriots dhidi ya Atlanta Seahawks, mwaka 2015 timu hizi zilikutana na Patriots wakashinda kwa 28 – 24 kwa…

LTV ENGLISH NEWS

Tanzania, UNITAID agree to strengthen TMDA capacity

February 7, 2026 mjombazecoder

GENEVA: UNITAID has announced its commitment to continue collaborating wth the Tanzanian government to strengthen the capacity of the Tanzania Medicines and Medical Devices Authority (TMDA), including facilitating its upgrade…

TZSPORTS

ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: Msikie Marley ambaye ni mmiliki wa shule ya mchezo wa #Vishada Zanzibar akielezea namna bora ya kuanz…

February 7, 2026 mjombazecoder

ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: Msikie Marley ambaye ni mmiliki wa shule ya mchezo wa #Vishada Zanzibar akielezea namna bora ya kuanza kuucheza mchezo huo. Marley hapa anamwelekeza mtangazaji Patrick Nyembera.…

TUKO SWAHILI NEWS

Wizi wa Mtwapa: Washukiwa 6 wa ujambazi wakamatwa baada ya video za CCTV kuzinasa nyuso zao

February 7, 2026 mjombazecoder

Washukiwa sita wamekamatwa kuhusiana na wizi eneo la Mtwapa baada ya makachero kuwafuatilia kupitia CCTV. Ushahidi unawahusisha na uhalifu mwingi.

LTV ENGLISH NEWS

Muhimbili finds better treatment for incapacitated patients

February 7, 2026 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: MUHIMBILI National Hospital (MNH) has planned well using modern methods to serve patients who cannot support themselves, including paralyzed patients, elderly people who need help being carried,…

Polisi nchini Zambia wamesema kwamba Mvuvi mwenye umri wa miaka 52 amefariki baada ya kushambuliwa na mamba alipokuwa akikimbia …

February 7, 2026 mjombazecoder

Polisi nchini Zambia wamesema kwamba Mvuvi mwenye umri wa miaka 52 amefariki baada ya kushambuliwa na mamba alipokuwa akikimbia kutoshambuliwa na kundi la Tembo katika eneo la Mashariki mwa Zambia.…

LTV ENGLISH NEWS

Tanzania sees success in reducing deaths caused by epilepsy

February 7, 2026 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: THE Tanzania Epilepsy Association (TEA) has said that the risk of epilepsy patients losing their lives in the country has decreased from an average of six to…

IDHAA YA DUNIA

Kisa cha Mbrazili ‘feki’ na kile kinachofichua kuhusu ujasusi wa Urusi

February 7, 2026 mjombazecoder

Polisi wa Brazil na Ofisi ya Upelelezi ya Shirikisho la Marekani (FBI) zote zimemtambua kama afisa wa ujasusi wa Urusi.

TZSPORTS

CAFCC: Kocha wa Singida BS, Othmen Najjar amesema wanatakiwa kuweka mazingatio kwenye mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho Afr…

February 7, 2026 mjombazecoder

CAFCC: Kocha wa Singida BS, Othmen Najjar amesema wanatakiwa kuweka mazingatio kwenye mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya CR Belouizdad ili kuendelea kuweka hai safari…

TUKO SWAHILI NEWS

ODM wamtupa Oketch Salah kikaangoni, wasema hawamtambui na anayofanya hayawahusu yuko kivyake

February 7, 2026 mjombazecoder

ODM yajitenga na mfanyabiashara Oketch Salah, ikisema shughuli zake ni za kibinafsi. Wanga anasisitiza programu zote za chama lazima zipitie sekretarieti.

TZSPORTS

CAFCL: Mchambuzi wa soka ambaye pia ni mtangazaji @leomusikula_tz amezichambua takwimu za Yanga SC katika mechi za ugenini kati…

February 7, 2026 mjombazecoder

CAFCL: Mchambuzi wa soka ambaye pia ni mtangazaji @leomusikula_tz amezichambua takwimu za Yanga SC katika mechi za ugenini katika michuano ya CAF, akianzia mwaka 2023. Msikilize mchambuzi huyu ili ujue…

HABARI ZA KIPEKEE

Abbas Araghchi atoa wito wa suluhisho la kiadilifu kwa kadhia ya Palestina

February 7, 2026 mjombazecoder

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa wito wa kuwepo suluhisho la kiadilifu na endelevu katika kutatua kadhia ya Palestina.

HABARI ZA KIPEKEE

Hali yazidi kuwa mbaya Gaza: Uhaba wa dawa na vifaa vya matibabu washadidi

February 7, 2026 mjombazecoder

Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza katika taarifa yake kwamba, hospitali zilizobaki zinazofanya kazi katika Ukanda huo, ambazo zinajitahidi kuendelea kutoa huduma za kimatibabu, zimekuwa vituo…

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa alaani vikali kuongezeka kwa vurugu Sudan Kusini

February 7, 2026 mjombazecoder

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres analaani vikali kuongezeka kwa vurugu nchini Sudan Kusini, ambako takribani watu milioni 10 ambao ni zaidi ya theluthi mbili ya idadi ya…

Mwaka 22026 haujawaletea nafuu watoto wanaoishi katika mazingira ya vurugu na migogoro Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini – UNICEF

February 7, 2026 mjombazecoder

Vurugu na migogoro ya silaha katika eneo la Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini imeendelea kuathiri pakubwa maisha ya watoto, wiki chache tu tangu kuanza kwa mwaka mpya, Shirika la…

HABARI ZA KIPEKEE

Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lakaribisha mazungumzo ya Iran na Marekani

February 7, 2026 mjombazecoder

Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi limetangaza kuwa, limekaribisha kwa mikono miwili mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani yaliyofanyika Muscat…

TZSPORTS

DODOMA JIJI vs KMC: “Mchezo wa ufundi zaidi”

February 7, 2026 mjombazecoder

DODOMA JIJI vs KMC: “Mchezo wa ufundi zaidi” Kocha wa KMC, Mohamed Abdallah ‘Bares’ amesema kesho kutakuwa na mchezo mzuri huku akisifu ubora wa Dodoma Jiji. Kwa upande wake mchezaji…

HABARI ZA KIPEKEE

Somalia: Uingiliaji kati wa Israel ni changamoto kwa bara zima la Afrika

February 7, 2026 mjombazecoder

Rais wa Somalia amekosoa vikali uingiliaji kati wa utawala wa kizayuni Israel katika masuala ya ndani ya nchi hiyo na kueleza kwamba, hatua hiyo ya Wazayuni ni changamoto kwa bara…

HABARI ZA KIPEKEE

Je, Trump ni rais wa amani kama anavyodai mwenyewe?

February 7, 2026 mjombazecoder

Donald Trump, ambaye anajiona kama rais wa amani, amekariri madai yake dhidi ya uwezo wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya kuhalalisha mashambulizi dhidi ya vituo…

HABARI ZA KIPEKEE

Maandamano makubwa yafanyika mjini Rabat, Morocco kuunga mkono Palestina

February 7, 2026 mjombazecoder

Mamia ya raia wa Morocco wameandamana na kukusanyika mbele ya jengo la Bunge mjini Rabat, wakitangaza himaya na uungaji mkono wao kwa watu wa Palestina na kulaani mzingiro wa utawala…

MWANANCHI

Ofisa wa Polisi alivyokwepa kifungo cha miaka 20 jela

February 7, 2026 mjombazecoder

Soma zaidi hapa...

Posts pagination

1 … 84 85 86 … 645

Recent Posts

  • Iran: Alireza Arafi ateuliwa kuongoza mpito baada ya kifo cha Khamenei
  • Kifo cha Johanna Ng’eno: Gachagua ataka uchunguzi wa kina kuhusu ajali ya helikopta iliyoua 6
  • Israel yatangaza mashambulizi mapya ‘katikati mwa Tehran,’ milipuko kadhaa yasikika
  • Mkakati wasukwa ulinzi Ziwa Victoria
  • Wakulima wa kahawa Mbinga, wapata tumaini jipya

Recent Comments

No comments to show.

Archives

  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • August 2024
  • July 2024
  • June 2016

Categories

  • ASTV TANZANIA
  • CRI SWAHILI
  • DW SWAHILI
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • HABARILEO
  • IDHAA YA DUNIA
  • ITVBONGO
  • LTV ENGLISH NEWS
  • MAGAZETI
  • MWANANCHI
  • MWANASPOTI
  • RFI SWAHILI
  • TRT SWAHILI
  • TUKO SWAHILI NEWS
  • TZSPORTS
  • Uncategorized

You missed

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Iran: Alireza Arafi ateuliwa kuongoza mpito baada ya kifo cha Khamenei

March 1, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

Kifo cha Johanna Ng’eno: Gachagua ataka uchunguzi wa kina kuhusu ajali ya helikopta iliyoua 6

March 1, 2026 mjombazecoder
IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Israel yatangaza mashambulizi mapya ‘katikati mwa Tehran,’ milipuko kadhaa yasikika

March 1, 2026 mjombazecoder
HABARILEO

Mkakati wasukwa ulinzi Ziwa Victoria

March 1, 2026 mjombazecoder

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS