Uruguay yamtema Suárez kuelekea Kombe la Dunia
Zikiwa zimebaki siku 10 kabla ya kuanza kwa Fainali za Kombe la Dunia 2026, kocha wa Uruguay...
Maeneo ya kuponda starehe Kombe la Dunia 2026
Kombe la Dunia 2026 litakalofanyika kwa pamoja katika nchi tatu kubwa za Amerika Kaskazini...
Mambo 10 yanayompa Aslay utofauti
Tofauti na wanamuziki wengi, Aslay alianza kuvuma akiwa bado mdogo kabisa, lakini nyimbo zake...
Utumishi Girls’: David Osiany asafiri hadi Narok kumfariji jamaa aliyempoteza bintiye katika mkasa
David Osiany alisafiri hadi Narok kumpa faraja baba aliyezunika baada ya mkasa wa kutisha moto wa Utumishi Girls kukatisha maisha ya bintiye mwenye umri wa miaka 15.
Sudan Kusini: Zaidi ya nusu ya nchi inakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula, kulingana na UM
Nchini Sudan Kusini, Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) halina uwezo. Kulingana na makadirio ya hivi karibuni ya Umoja wa Mataifa, zaidi ya 56% ya…
Vita vya siri vya GPS vinavyotikisa usafiri wa anga duniani
Katika Ghuba ya Uajemi, kulikuwa na ongezeko kubwa la ndege zilizoripoti kuathiriwa na udanganyifu wa GPS baada ya kuanza kwa vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran Mwezi Februari…
Uchaguzi wa wabunge Ethiopia: Tigray kutoshiriki uchaguzi, miaka minne baada ya kumalizika kwa vita
Mamilioni ya Waethiopia watapiga kura kote nchini lro Jumatatu Juni 1, 2026, kwa ajili ya uchaguzi wa wabunge, ambao utatoa nafasi ya kuchaguliwa Waziri Mkuu. Isipokuwa huko Tigray, eneo la…
Mashariki ya Kati: Marekani yashambulia maeneo ya Iran, Walinzi wa mapinduzi wajibu
Marekani imetangaza siku ya Jumapili, Mei 31, kwamba imefanya mashambulizi mwishoni mwa wiki kusini mwa Iran, ikilenga mifumo ya rada na udhibiti wa ndege zisizo na rubani, licha ya makubaliano…
Afrika kuanza kutumia Su-34M, ndege mpya za kivita za Urusi
Su-34M ni ndege ya kivita ya Urusi ambayo ni ya mashambulizi ya masafa marefu , iliyotengenezwa kwa ajili ya mashambulizi ya ardhini, baharini na pia kujilinda angani.
Madagascar: Rais Michaël Randrianirina ahutubia taifa katikati ya mvutano
Rais wa Madagascar Kanali Michaël Randrianirina, amelihutubi taifa, akizungumza kwa muda mrefu kwenye televisheni ya taifa siku ya Jumapili jioni, Mei 31, 2026. Hotuba ambayo wengi waliisubiri kwa hamu, ilikuja…
Senegal: Maswali yaibuka kufuatia kuitishwa kwa wabunge wawili wa PASTEF kufika polisi
Nchini Senegal, kuitishwa kwa wabunge wawili wa PASTEF na kitengo cha utafiti cha polisi kumezua sintofahamu. Wabunge hao ni Guy Marius Sagna na Cheikh Bara Ndiaye. Kulingana na vyanzo vyetu,…
Raia wa Ethiopia wanashiriki uchaguzi Mkuu
Raia wa Ethiopia hivi leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu ambao chama tawala cha Waziri mkuu Abiy Ahmed kinatarajiwa kushinda kirahisi kutokana na upinzani kugawanyika. Imechapishwa: 01/06/2026 – 06:49 Dakika…
Rosana Kathure: “Ningejua anayenioa atanikata jicho, nisingeolewa”
Rosana anasema mume wake alikuwa akimuambia maneno makali kila walipokwazana lakini yeye aliyachukulia kirahisi.
Ethiopia: Abiy Ahmed kuwania muhula mwingine katika uchaguzi wa wabunge unaopingwa
Waethiopia milioni hamsini wameitwa kushiriki uchaguzi leo Jumatatu ili kuwachagua wabunge wao na maafisa wa kikanda. Wengi watakaochaguliwa watachagua waziri mkuu, nafasi ya juu zaidi nchini. Abiy Ahmed ameshikilia wadhifa…
Mradi wa Nyegedi ulivyokwama kwa miaka mitano, waacha maumivu
Lindi/Mtwara. Licha ya Serikali kujinasibu kuendeleza vituo vya ukuzaji viumbe maji...
DRC: Wagonjwa wanne wapona Ebola Bundibugyo
Watu hawa wanne ambao walitibiwa kwa mchanganyiko wa viuavijasumu na dawa zingine kana kwamba walikuwa wakiugua malaria, wamefanikiwa kupona ugonjwa wa Ebola aina ya Bundibugyo na wanawakilisha matumaini katika mapambano…
Su-34M: Ndege hizi za kivita zinabadili mizani ya kijeshi Afrika
Su-34M ni ndege ya kivita ya Urusi ambayo ni ya mashambulizi ya masafa marefu , iliyotengenezwa kwa ajili ya mashambulizi ya ardhini, baharini na pia kujilinda angani.
Jumatatu tarehe Mosi Juni 2026
Leo ni Jumatatu 15 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1447 Hijria mwafaka na tarehe Mosi Juni 2026.
Trump ataka marekebisho yafanywe katika mkataba kati ya Marekani na Iran
Mabadiliko yanahusiana na Mlango-Bahari wa Hormuz na kuondolewa kwa madini ya Urani iliyorutubishwa, kulingana na vyombo vya habari vya Marekani.
Spika Qalibaf: Iran inamrudisha nyuma adui kupitia umoja wa kitaifa
Mohammad Baqir Qalibaf Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa Iran, kupitia umoja wa kitaifa, inamrudisha nyuma adui katika vita vinavyoacha historia.
Mwanasiasa wa Ujerumani: EU ni mshirika katika ugaidi wa kimfumo wa Israel
Mwanasiasa wa Ujerumani na mbunge wa zamani wa bunge la nchi hiyo amekosoa sera za utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema: "Walowezi wa Kizayuni wanafanya ugaidi wa kimfumo dhidi…
PSG kombe Arsenal pesa, msimu wa mabingwa ulivyofungwa
PSG imetwaa ubingwa wa Ulaya mara mbili mfululizo. Kwa Arsenal, licha ya kupoteza fainali kwa penati, safari yao ya kuvutia ilibeba maana kubwa zaidi ya kisoka na kifedha, kutokana na…
WHO: Uvutaji sigara unahatarisha afya ya watu bilioni 1.2 duniani kote
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza takwimu za kutisha na za kusikitisha kuhusu hatari ya uvutaji sigara, kwa mnasaba wa madhimisho ya kila mwaka ya Siku ya Kupiga Vita Tumbaku…
Uchaguzi mkuu Ethiopia; Abiy Ahmed anatarajiwa kushinda tena kiti cha Waziri Mkuu
Uchaguzi mkuu wa Ethiopia unatarajiwa kufanyika Jumatatu hii huku migogoro ikiendelea katika baadhi ya maeneo ya nchi, ikimaanisha kuwa watu wengi hawataweza kupiga kura.
Mkaguzi mkuu wa magereza Ufaransa: Hali ya magereza nchini ni “mbaya, ya aibu na ya majanga”
Wizara ya Sheria ya Ufaransa imetangaza kwamba idadi ya wafungwa nchini humo imefikia zaidi ya watu 88,600, ambayo ni kubwa zaidi kuwahi kurekodiwa katika historia ya nchi hiyo.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 1, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Chama Cha Mapinduzi CCM kimesisitiza kuwa kimedhamiria kufanya Mageuzi makubwa katika sekta zote nchini ili kupeleka maendeleo K…
Chama Cha Mapinduzi CCM kimesisitiza kuwa kimedhamiria kufanya Mageuzi makubwa katika sekta zote nchini ili kupeleka maendeleo Kwa wananchi kwakuwa Chama hicho kina nia ya dhati ya kuwainua kiuchumi Watanzania.…
Jamii imetakiwa kuendelea kushirikiana katika makuzi na malezi ya watoto na vijana ili kujenga jamii bora yenye maadili, amani n…
Jamii imetakiwa kuendelea kushirikiana katika makuzi na malezi ya watoto na vijana ili kujenga jamii bora yenye maadili, amani na maendeleo endelevu. Wito huo umetolewa na Katibu wa Taasisi…
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Dkt.BATILDA BURIAN ameunda kamati maalum ya kufuatilia mchakato wa ubomoaji nyumba za wananchi kati…
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Dkt.BATILDA BURIAN ameunda kamati maalum ya kufuatilia mchakato wa ubomoaji nyumba za wananchi katika kijiji cha Msakangoto kilichopo wilayani Muheza Mkoani humo. Akitoa taarifa…
Kombe la Dunia linakuja na mambo yake 😇, miongoni mwa jambo lililowavutia mashabiki wengi wa soka siku za hivi karibuni, linamuh…
Kombe la Dunia linakuja na mambo yake 😇, miongoni mwa jambo lililowavutia mashabiki wengi wa soka siku za hivi karibuni, linamuhusu nyota wa kikosi cha New Zealand @timpayne__ kutoka kutojulikana…
#BAL: Hatimae RSSB Tigers kutoka Rwanda ndio mabingwa wa Basketball Africa League mwaka 2026
#BAL: Hatimae RSSB Tigers kutoka Rwanda ndio mabingwa wa Basketball Africa League mwaka 2026. Matokeo ni Petro De Luanda 88-90 RSSB Tigers, kwenye mechi ambayo ilikuwa ni ya vuta nikuvute.…
Zay B: Mwimbaji mkongwe wa Bongo Fleva afariki, wasanii na mashabiki wamlilia
Mwanamuziki maarufu wa Bongo Zay B, jina lake halisi Zainab Lupangile, amefariki. Salamu za rambirambi zinaendelea kutumwa kutoka kwa wasanii wenzake na mashabiki.
Chama cha mapinduzi CCM mkoani Tabora, kimehitisha kampeni za uchaguzi mdogo katika Kata ya Itilo wilayani Nzega na Kata ya ziba…
Chama cha mapinduzi CCM mkoani Tabora, kimehitisha kampeni za uchaguzi mdogo katika Kata ya Itilo wilayani Nzega na Kata ya ziba Wilayani Igunga, huku kikiwaomba wananchi kuwachagua wagombea wa chama…
Utumishi Girls’: Wazazi wa wanafunzi wanaodaiwa kuwasha moto wa mauti wazua rabsha polisi
Mvutano ulikuwa mkubwa huku wazazi wa wanafunzi waliohusishwa na mkasa wa moto Utumishi Girls wakitaka kujua hatima ya binti zao licha ya uchunguzi unaoendelea.
Benard Omae: Bado ni fumbo kifo cha mwanamume anayedaiwa kuuawa kizuizini Nairobi
Familia ya Benard Nyakwana Omae inadai haki kufuatia kifo chake akiwa kizuizini katika Kituo cha Polisi cha Kibra. Wanawashutumu polisi kwa kifo chake.
Waumini wa Kanisa Katoliki mkoani Tabora wamehimizwa kutokata Tamaa katika maisha, bali waendelee kumtumikia Mungu na kulitumiki…
Waumini wa Kanisa Katoliki mkoani Tabora wamehimizwa kutokata Tamaa katika maisha, bali waendelee kumtumikia Mungu na kulitumikia Taifa kwa ujumla huku wakisisitizwa umuhimu wa kuwa na moyo thabiti katika mapambano…
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, , amesema baadhi ya watu wanaobeza miradi ya maendeleo inayo…
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, , amesema baadhi ya watu wanaobeza miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali wanapaswa kuombewa ili watambue mchango wa miradi…
CAPE TO CAIRO MARATHON | Timu ya #AzamTVFitnessClub ipo njiani ikirejea Dar es Salaam, kutokea Arusha ambako ilishsiriki #CapeTo…
CAPE TO CAIRO MARATHON | Timu ya #AzamTVFitnessClub ipo njiani ikirejea Dar es Salaam, kutokea Arusha ambako ilishsiriki #CapeToCairoMarathon alfajiri ya leo Mei 31, 2026. #CapeToCairoMarathon (Feed generated with FetchRSS)
Mtoto aliyepotea aopolewa kwenye bwawa la samaki
Baba wa mtoto huyo, Khatibu Ramadhani amesema mara ya mwisho kumuona mwanaye ilikuwa jana jioni...
TANAPA rolls out redesigned entry permits to boost tourism services
ARUSHA: Tanzania National Parks (TANAPA) has introduced redesigned entry permits across its network of national parks as part of efforts to improve visitor services, strengthen security controls and modernize park…
Inclusive digital economy highlights TSCN 2026
TARIME: DISCUSSIONS on the future of rural connectivity and its transformative role in advancing inclusive digital economy have brightened the 5th edition of the Tanzania School of Community Networks (TSCN…
Bodaboda, bajaji Sanya waomba mikopo nafuu ya kumiliki vyombo vyao
Serikali kupitia CCM imeahidi kufuatilia changamoto zao na kutafuta suluhisho la kudumu.
CCM yahitimisha kampeni Isimani, Chatanda atoa ahadi
IRINGA: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimehitimisha kampeni zake za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Isimani kwa mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika Migoli, huku viongozi wa chama wakionesha imani kubwa ya…
WFP yatafuta suluhisho changamoto ya chakula, lishe Tanzania
Shindano hilo lililopewa jina la Ignite linaangazia maeneo mawili muhimu: suluhisho za matumizi...
Simba yatwaa kibabe ubingwa WPL
Simba imejihakikishia ubingwa huo baada ya kuichapa Mashujaa mabao 5-2.