Shirika la Uturuki la TİKA lazindua mradi Msumbiji kusaidia walionusurika vurugu
Shirika la Misaada la Ushirikiano na Uratibu la Uturuki (TİKA) limetoa mchango muhimu katika maendeleo ya jamii nchini Msumbiji unaolenga kusaidia wanawake, walionusurika vurugu.
#HABARI: Wizara ya Viwanda na Biashara, imekitaka Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC), kuendelea kudhibit…
#HABARI: Wizara ya Viwanda na Biashara, imekitaka Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC), kuendelea kudhibiti uingizwaji wa zana za kilimo zisizokua na ubora nchini kwa kuzihakiki kabla…
#HABARI: Wadau wa sekta ya utalii mkoani Njombe, wametoa rai kwa wadau wa maendeleo nchini kujitokeza katika uwekezaji wa ujenzi…
#HABARI: Wadau wa sekta ya utalii mkoani Njombe, wametoa rai kwa wadau wa maendeleo nchini kujitokeza katika uwekezaji wa ujenzi wa hoteli za kisasa, hususani katika kipindi hiki ambacho fursa…
#HABARI: Mamlaka nchini Kenya zimewatuhumu viongozi wa kisiasa katika eneo la Trans Mara kwa kuchochea mzozo wa kijamii ambao um…
#HABARI: Mamlaka nchini Kenya zimewatuhumu viongozi wa kisiasa katika eneo la Trans Mara kwa kuchochea mzozo wa kijamii ambao umesababisha vifo vya watu tisa na mamia ya familia kukimbia makazi…
Waziri Mkuu wa Sudan, Kamil Idris ameliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) kusimama na serikali ya nchi hiyo ili k…
Waziri Mkuu wa Sudan, Kamil Idris ameliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) kusimama na serikali ya nchi hiyo ili kusaidia kumaliza vita vinavyoendelea kati ya majeshi ya…
Ulanguzi wa tiketi za usafiri wa mikoani kutoka Dar es Salaam umetajwa kuendelea kushamiri miongoni mwa abiria huku Mamlaka ya U…
Ulanguzi wa tiketi za usafiri wa mikoani kutoka Dar es Salaam umetajwa kuendelea kushamiri miongoni mwa abiria huku Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini (LATRA) ikirusha lawama kwa abiria kwa kutotumia…
🔴MCHEZO SUPA:HII NDIO NGUVU YA BUKU..23 DESEMBA 2025
🔴MCHEZO SUPA:HII NDIO NGUVU YA BUKU..23 DESEMBA 2025
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, iliyopo mkoani Songwe, Bw
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, iliyopo mkoani Songwe, Bw. Hamad Mbega, amesema tayari wameanza utekelezaji wa mpango wa bima ya afya kwa wote, kwa kuanza uandikishaji kwa makundi maalumu…
Muungano wa mataifa ya Sahel waanzisha kituo cha Televisheni kukabiliana na taarifa potofu
Televisheni hiyo ya AES imeelezwa katika mawasiliano rasmi kuwa chombo cha kukabiliana na upotoshaji wa taarifa na kuimarisha yanayojiri katika kanda hiyo.
#HABARI: Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya Watanzania kuungana na wenzao duniani, kuadhimisha Sikukuu ya Krismasi na Mwaka M…
#HABARI: Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya Watanzania kuungana na wenzao duniani, kuadhimisha Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Bw. Said Mtanda, ameviagiza vyombo vyote…
Jeshi la Polisi mkoani Njombe limemkamata mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Gerold Willa ( 40) mkazi wa Madunda wilayani Ludew…
Jeshi la Polisi mkoani Njombe limemkamata mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Gerold Willa ( 40) mkazi wa Madunda wilayani Ludewa kwa tuhuma za kufanya vitendo vya kuwavizia wanawake wakienda…
#HABARI: Wakazi wa Kata ya Viziwaziwa, wilayani Kibaha, mkoani Pwani, wameiomba Serikali kutatua kero ya upatikanaji ya huduma y…
#HABARI: Wakazi wa Kata ya Viziwaziwa, wilayani Kibaha, mkoani Pwani, wameiomba Serikali kutatua kero ya upatikanaji ya huduma ya maji safi na salama ambayo imekuwa sugu kwa zaidi ya miaka…
#HABARI: Waziri wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe
#HABARI: Waziri wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amewataka watumishi wa Sekta ya Ardhi nchini, kuepuka kujihusisha na migogoro ya Ardhi, huku akisisitiza…
Msauzi ambakisha Matola Simba
Imefahamika kwamba, Kocha Mkuu wa Simba, Steve Barker ndiye aliyependekeza Selemani Matola...
#HABARI: Ikiwa imebaki siku moja kabla ya kuingia Sikukuu ya Krismasi, ITV Digital imezunguka katika maeneo mbalimbali ya Manisp…
#HABARI: Ikiwa imebaki siku moja kabla ya kuingia Sikukuu ya Krismasi, ITV Digital imezunguka katika maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Moshi, Ili kujionea hali ya usafiri katika mji huo ambayo…
Moshi yafurika, abiria wahaha kupata usafiri
Ikiwa imebaki siku moja kabla ya kuingia Sikukuu ya Krismasi, hali ya usafiri katika mji wa...
🔴TAARIFA YA HABARI YA DISEMBA 23, 2025 – MELI MBILI ZA MIZIGO ZASHUSHWA ZIWA TANGANYIKA
🔴TAARIFA YA HABARI YA DISEMBA 23, 2025 - MELI MBILI ZA MIZIGO ZASHUSHWA ZIWA TANGANYIKA
Ambacho kilitokea mwaka huu 2025⁉️
Ambacho kilitokea mwaka huu 2025⁉️ #SentroYaCloudstv #CloudsTvNyoosha #LainiYawana
Yamesalia masaa UZAO MPYA upate kutokea!
Yamesalia masaa UZAO MPYA upate kutokea! ikiwa ni safari ya kuelekea Uzao Mpya wa kiimani na fikra tarehe 25/12 kama ilivyo ada kwa kila mwaka, timu ya taifa Clouds360 kesho…
Ngoma gani imekukosha zaidi mwaka huu 2025 ipigwe live kwenye the spark ya Clouds Tv?
Ngoma gani imekukosha zaidi mwaka huu 2025 ipigwe live kwenye the spark ya Clouds Tv? Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229…
Israel yakabiliwa na mgogoro wa uwajibikaji, uhuru wa habari
Serikali ya Israel inakabiliwa na shinikizo kubwa la ndani huku Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu akikataa tume huru ya kuchunguza mashambulizi ya Oktoba 7, na baraza la mawaziri likiidhinisha kufungwa kwa…
#HABARI: Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI (Mb) Dkt
#HABARI: Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI (Mb) Dkt. Jafar Seif, amewataka vijana wanaojishughulisha na shughuli za uchimbaji wa madini ya dhahabu katika maeneo ya Lwamgasa, Nyarugusu, Nyakabwe…
Ziara ya Dk Mwigulu ilivyoibua kero hekaheka mikoani
Ziara ya siku ya tano ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba katika mikoa mitatu imekuwa ya neema...
Ujerumani: Urusi inajiandaa kushambulia nchi ya NATO
Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Johann Wadephul anaamini kwamba Urusi inaweza kuutumia uwezekano wa usitishaji mapigano Ukraine ili kujiandaa kuishambulia nchi mwanachama wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO.
DRC yaanza tena kuuza nje madini ya Kobalti
DRC ndiyo mzalishaji mkubwa wa kobalti duniani ambayo ni madini muhimu kwa betri zinazotumika kwenye magari ya umeme na kwenye simu. Madini hayo yanazilishwa zaidi katika eneo la Katanga.
Vijana Mkoa wa Mbeya wameaswa kuzingatia sheria katika kutafuta majibu ya changamoto zinazowakabili kwa njia ya mazungumzo kul…
Vijana Mkoa wa Mbeya wameaswa kuzingatia sheria katika kutafuta majibu ya changamoto zinazowakabili kwa njia ya mazungumzo kuliko kushawishiwa kutafuta majibu hayo kwa vurugu za ubaribifu wa miundombinu na mali…
Watoto waliokosa fursa ya Malezi ya wazazi katika kituo cha kulelea watoto yatima na wenye mahitaji maalum Cha Nuru Orphans mkoa…
Watoto waliokosa fursa ya Malezi ya wazazi katika kituo cha kulelea watoto yatima na wenye mahitaji maalum Cha Nuru Orphans mkoani Mbeya, wamewaomba wadau kusaidia upatikanaji wa gari la kubeba…
Israel yaapa kusalia katika Ukanda wa Gaza
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz ameapa kwamba Israeli itaendelea kubaki katika Ukanda wa Gaza na kuahidi kwamba wanapanga kukita kambi zaidi kwa kuanzisha vituo vya ulinzi kaskazini mwa…
Mloganzila kuwa kitovu cha uzalishaji dawa, mafunzo – Mchengerwa
Serikali imetangaza eneo la Mloganzila jijini Dar es Salaam kuwa kitovu maalumu cha uzalishaji...
Serikali kufunda vijana kuhusu Muungano
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Hamad Masauni, amesema...
Ujerumani: Urusi kumaliza mapigano Ukraine hakutamaliza vita
Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Johann Wadephul amesema anaamini kwamba Urusi inaweza kuutumia uwezekano wa kusitisha mapigano nchini Ukraine ili kujiandaa kwa mashambulizi dhidi ya Jumuiya ya Kujihami…
Wahouthi na serikali ya Yemen kubadilishana wafungwa 3,000
Makubaliano hayo yamefikiwa baada ya karibu wiki mbili za mazungumzo kati ya maafisa wa Yemen kutoka pande zote mbili huko Muscat, Oman, ambayo ndiyo mpatanishi muhimu katika mzozo huo uliodumu…
Serikali kuimarisha uwajibikaji kupitia kitengo maalumu cha maoni
Serikali ipo katika hatua za mwisho za kuanzisha kitengo maalumu kinachofanya kazi saa 24...
Trump azidi kuimarisha udhibiti sera ya kigeni ya Marekani
Utawala wa Rais Donald Trump unaendelea kubadilisha kwa kiwango kikubwa diplomasia ya Marekani, ukiondoa mabalozi walioteuliwa awali na kutegemea zaidi watu wa karibu wa rais katika juhudi za amani na…
Wawili washikiliwa kwa tuhuma za mauaji Njombe
Jeshi la Polisi mkoani Njombe linawashikilia Petro Mfugale (35) na Benson Lyambilo (35), wakazi...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA – DISEMBA 23, 2025 -🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUVUMA – DISEMBA 23, 2025 –
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUVUMA - DISEMBA 23, 2025 -
Kulandana atabiriwa kuibeba Mbeya City
SIKU chache baada ya kuripotiwa kutua Mbeya City kuelekea usajili wa dirisha dogo utakaofunguliwa Januari Mosi 2026, kiungo Abdallah Yasin Kulandana ametabiriwa kufanya vizuri akiwa na kikosi hicho katika mechi…
Krismasi Gaza: Imani, maumivu na tumaini ya amani
Wakati usitishaji tete wa vmapigano ukileta pumziko Gaza, jumuiya ndogo ya Wakristo wa Palestina inajaribu kuhuisha roho ya Krismasi katikati ya maumivu ya vita, uharibifu mkubwa na hofu ya mustakabali…
Ibenge analitaka Kombe la Mapinduzi
AZAM inalitaka Kombe la Mapinduzi na kuhakikisha hilo linatimia, mastaa wa timu hiyo ambao wameanza mazoezi juzi wamefichua jambo.
Kocha Fountain Gate avamia Championship
FOUNTAIN Gate imeibuka na hesabu tofauti, wakati wengine wakisaka mastaa kutoka Ligi Kuu Bara na nje ya Tanzania, yenyewe imekimbilia Ligi ya Championship kuangalia nyota wa kuimarisha kikosi chao.
Polisi Mbeya kutumia doria zaidi ya moja, yaonya upigaji fataki
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema litafanya misako ya doria za magari, pikipiki na kutumia...
Baresi aanza kazi kimyakimya KMC
KOCHA Abdallah Mohammed ‘Baresi’ ni kama ameanza kazi kimyakimya KMC kwani hivi sasa kuna jambo analifanya chini kwa chini na akikamilisha tu, basi atatangazwa rasmi.
Ndani ya mjadala wa leo wa “Tunamuinuaje kijana wa kitanzania “ ndani ya #Clouds360
Ndani ya mjadala wa leo wa “Tunamuinuaje kijana wa kitanzania “ ndani ya #Clouds360. @nathan_kimaro
Sh485 milioni zanufaisha vikundi 15
Mbunge wa Mbeya Vijijini, Patali Shida amekabidhi mkopo wa Sh485 milioni uliotolewa na...
Cleensheet zampa jeuri kipa Mtibwa
WAKATI Ligi Kuu Bara ikiwa kwenye mapumziko kupisha Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 zinazofanyika Morocco, makipa Erick Johora wa Mashujaa, Omary Gonzo (JKT Tanzania) na Costantine Malimi…
Russia kuisaidia Tanzania kujitegemea kiuchumi, kujenga satelaiti
Russia imeeleza dhamira yake ya kuisaidia Tanzania kujitegemea kiuchumi na kuboresha...
#HABARI: Mkuu wa Operesheni wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Joseph Mwakabonga, ameon…
#HABARI: Mkuu wa Operesheni wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Joseph Mwakabonga, ameongoza zoezi la ukaguzi wa magari katika Stendi Kuu ya Mabasi ya Moshi,…