Somalia: Uingiliaji kati wa Israel ni changamoto kwa bara zima la Afrika
Rais wa Somalia amekosoa vikali uingiliaji kati wa utawala wa kizayuni Israel katika masuala ya ndani ya nchi hiyo na kueleza kwamba, hatua hiyo ya Wazayuni ni changamoto kwa bara…
Je, Trump ni rais wa amani kama anavyodai mwenyewe?
Donald Trump, ambaye anajiona kama rais wa amani, amekariri madai yake dhidi ya uwezo wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya kuhalalisha mashambulizi dhidi ya vituo…
Maandamano makubwa yafanyika mjini Rabat, Morocco kuunga mkono Palestina
Mamia ya raia wa Morocco wameandamana na kukusanyika mbele ya jengo la Bunge mjini Rabat, wakitangaza himaya na uungaji mkono wao kwa watu wa Palestina na kulaani mzingiro wa utawala…
Why Zanzibar’s executives can not ignore Artificial Intelligence in real life
ZANZIBAR: AT around 9.30am local time, in the morning, inside a quiet conference hall at Madinat al Bahri Hotel in Zanzibar, senior government officials-Principal Secretaries (PS) sat not to discuss…
Wawili wafariki dunia, 12 wajeruhiwa ajali ya basi Lindi
Ajali hiyo imehusisha basi la Kampuni ya Maning Nice baada ya kugonga lori lililokuwa...
Matajiri wa jiji, AzamFC, wanaisaka robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika ambapo leo saa 1:00 usiku watakuwa dimba la New Ama…
Matajiri wa jiji, AzamFC, wanaisaka robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika ambapo leo saa 1:00 usiku watakuwa dimba la New Amaan Complex, Zanzibar wakiwakaribisha AS Maniema kutoka DRC Mechi hii…
“Tulikua tunashiriki mapenzi hotelini bila kujua tulirekodiwa na kuonwa na maelfu”
Wapenzi walikua mapumziko katika hoteli moja na kuendelea na ngono bila kujua walikuwa wakirekodiwa na baadaye kuonyeshwa kwenye channeli inayotazwa na maelfu ya watu
KUTOKA MOROCCO: “Ni mchezo muhimu sana kwetu”
KUTOKA MOROCCO: “Ni mchezo muhimu sana kwetu” Nahodha msaidizi wa Yanga SC, Dickson Job anasema wanahitaji kuwa bora zaidi leo ili kuweza kupata matokeo mazuri dhidi ya AS FAR katika…
DODOMA JIJI vs KMC: “Tutamkosa mchezaji mmoja ambaye ni Ally Salim”
DODOMA JIJI vs KMC: “Tutamkosa mchezaji mmoja ambaye ni Ally Salim” Kocha wa Dodoma Jiji, Aman Josiah ameonesha kusikitika kwa kumkosa golikipa wake Ally Salim ambaye alipata changamoto kwenye mechi…
Katika hali ya kushangaza, serikali ya Uturuki imekuja na mbinu ya kupunguza ajali barabarani kwa kutumia mabaki ya magari yaliy…
Katika hali ya kushangaza, serikali ya Uturuki imekuja na mbinu ya kupunguza ajali barabarani kwa kutumia mabaki ya magari yaliyoharibika kwa kuyaweka kando ya barabara kama njia na alama ya…
Mshawishi wa FB akiri anamzimia sana Edwin Sifuna: “Siwezi kuacha kumfikiria”
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna aliamsha msisimko kwenye mitandao ya kijamii baada ya mahojiano yake na Citizen TV. Mshawishi Yvonne Kontoz alifunguka anavyomzimia.
Msaada wa baiskeli kuwakomboa wanafunzi kutembea umbali mrefu
Geita. Shule za sekondari ya Evarist iliyopo Kata ya Nyarugusu na Rwamgasa, Kata ya Rwamgasa...
Yanga, Rabat kitaumana leo kwa Azam usipime
Wikiendi hii, kazi inaendelea kwa wawakilishi wetu hao kujitupa uwanjani kusaka ushindi ambao...
Wikiendi ya moto wa soka kwenye Kisimbuzi chako cha AzamTV leo Jumamosi
Wikiendi ya moto wa soka kwenye Kisimbuzi chako cha AzamTV leo Jumamosi Saa 1:00 usiku Mnyama SC na AzamFC watakuwa dimbani. Mnyama Simba SC atakuwa ugenini nchini Angola akikipiga na…
Benki Kuu ya Kenya (CBK) imezuia matumizi mabaya ya fedha za noti, ikiwemo kuzikunja na kuzitumia kama mapambo mbalimbali
Benki Kuu ya Kenya (CBK) imezuia matumizi mabaya ya fedha za noti, ikiwemo kuzikunja na kuzitumia kama mapambo mbalimbali. Benki hiyo imesema tabia hiyo husababisha noti kuchakaa haraka na kulazimika…
Kuelekea ufunguzi wa Soko la Kimataifa la Kariakoo unaotarajiwa kufanyika kesho na Rais Samia Suluhu Hassan, mwandishi wetu Jafa…
Kuelekea ufunguzi wa Soko la Kimataifa la Kariakoo unaotarajiwa kufanyika kesho na Rais Samia Suluhu Hassan, mwandishi wetu Jafari Mponda amefanya mahojiano na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo…aliyesema…
Ndani ya boksi: Feblove ishi ‘kituristi’ toka magetoni ‘blaza’
Kama umeamua kishi kikamaria, basi tandika mikeka sana. Mpaka Gabachori akusanye virago vyake...
Inadaiwa kuwa ukuaji wa kizazi cha sasa na cha zamani unaonyesha tofauti kubwa
Inadaiwa kuwa ukuaji wa kizazi cha sasa na cha zamani unaonyesha tofauti kubwa. Kizazi kilichozaliwa kuanzia mwaka 2000 kinaonekana kuzeeka kwa haraka kimuonekano, yaani umri wao halionekani kulingana na ukubwa…
Argentina na Marekani zasaini mkataba wa biashara wa kupunguza ushuru
Argentina na Marekani zimesaini makubaliano ya biashara na uwekezaji siku ya Alhamisi, zikihalalisha makubaliano ya mfumo yaliyofikiwa mwezi Novemba, huku lengo kuu likiwa ni kupunguza ushuru wa pande zote, mamlaka…
Kijiji ambacho kuoana mkiwa dini tofauti ni kifo
Mauaji ya wanandoa wa imani tofauti ya dini yameshtua kijiji kidogo katika jimbo la Uttar Pradesh kaskazini mwa India ambapo wakazi wameishi kwa amani kwa miaka mingi.
Mauwasa yaanza kufunga mita za maji za malipo kabla
Maswa. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Maswa (Mauwasa) imeanza kufunga mita za...
‘Nunda’ aliyetumwa kumuua mwanamke aokoa maisha yake, amgawia KSh 220k alizopewa: “Nilifeki kumuua”
Peter Kibui Afichua Jinsi Alivyookoa Maisha ya Mwanamke Aliyeajiriwa Kumuua, Akishiriki Simulizi ya Kutisha ya Udanganyifu, Hatari, na Hatimaye, Ukombozi.
KUTOKA ANGOLA: Mwandishi wa habari za michezo wa nchini Angola azungumzia yale yanayosemwa na wapenda soka kuelekea mechi ya leo…
KUTOKA ANGOLA: Mwandishi wa habari za michezo wa nchini Angola azungumzia yale yanayosemwa na wapenda soka kuelekea mechi ya leo ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Petro Atletico…
President Samia Hosts Uganda’s President Museveni for Official Talks in Dar es Salaam
President Samia Suluhu Hassan with her guest, the President of the Republic of Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, shortly after his arrival at the State House grounds in Dar es Salaam…
Marekani: Pentagon yatangaza kuvunja uhusiano wa kielimu na Chuo Kikuu cha Harvard
Pentagon imetangaza Ijumaa, Februari 6, kwamba inavunja uhusiano wote wa kielimu na Chuo Kikuu cha Harvard, hatua zaidi katika shambulio la utawala wa Trump dhidi ya taasisi kubwa za kitaaluma…
Kama una uzito mkubwa na unataka kuupunguza ili kufanya mwili wako kuwa mwepesi na wenye afya, wataalamu wa mazoezi wanashauri u…
Kama una uzito mkubwa na unataka kuupunguza ili kufanya mwili wako kuwa mwepesi na wenye afya, wataalamu wa mazoezi wanashauri ufanye mazoezi haya. #AzamTVUpdates ✍Halima Abdallah Mhariri | John Mbalamwezi
How Kenya’s debt crisis exposes deep governance fault lines
NAIROBI: IF you have been privileged to have the wisdom of elders in your upbringing, you will have encountered their wise words. One of the insights I gained during my…
Cuba yapitisha hatua za dharura kushughulikia mgogoro wa nishati
Serikali ya Cuba imetangaza kifurushi cha hatua za dharura siku ya Ijumaa katika nyanja za elimu, ajira, na usafiri ili kushughulikia mgogoro wa nishati ambao nchi inapitia chini ya shinikizo…
Ukraine: Gridi ya nishati yalengwa tena na shambulio kubwa la Urusi
Ukraine imelengwa leo Jumamosi asubuhi, Februari 7, na shambulio kubwa kwenye gridi yake ya nishati, na kusababisha kukatika kwa umeme katika sehemu kubwa ya nchi, shirika la umeme la Ukraine,…
MASHABIKI YANGA, SIMBA: Shabiki wa Yanga kutoka Mwembe Yanga Dar es Salaam, asema anaitaka sare tu mbele ya AS FAR katika mchezo…
MASHABIKI YANGA, SIMBA: Shabiki wa Yanga kutoka Mwembe Yanga Dar es Salaam, asema anaitaka sare tu mbele ya AS FAR katika mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).…
Trump asifu mazungumzo ‘mazuri’ na Iran, ambayo yataendelea ‘wiki ijayo’
Iran na Marekani zimekubaliana “kuendelea na mazungumzo yao,” Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi alisema siku ya Ijumaa baada ya duru ya kwanza ya mazungumzo yaliyofanyika Oman…
🧠 Kisanyansi… binadamu anaweza kukaa siku ngapi bila ‘kwenda haja’?
🧠 Kisanyansi… binadamu anaweza kukaa siku ngapi bila ‘kwenda haja’? A. 4 B. 7 C. 14 ✍Chagua Jibu Sahihi! #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi
KUTOKA ANGOLA: Unafahamu kuwa Estadio 11 de Novembro ndio uwanja ambao Lionel Messi ‘aliutwanga’ hapo akiwa na kikosi cha Argent…
KUTOKA ANGOLA: Unafahamu kuwa Estadio 11 de Novembro ndio uwanja ambao Lionel Messi ‘aliutwanga’ hapo akiwa na kikosi cha Argentina….? Unafahamu kuwa Simba SC sio mgeni kukipiga katika dimba hilo…??…
Niger: ISGS yafafanua toleo lake la shambulio la uwanja wa ndege wa Niamey
Nchini Niger, wiki moja baada ya shambulio la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Niamey, Waziri wa Uchukuzi amezuru eneo hilo. Kanali-Meja Abdourahmane Amadou alienda kutahtmini mfumo wa usalama. Shambulio…
Watoro 2 wa washukiwa wa wizi wa M-Pesa walionaswa kwenye CCTV wakamatwa JKIA wakitokea Zambia
Washukiwa wawili, Ali Samir Abdalla na Ajip Haisam, walikamatwa katika uwanja wa ndege wa JKIA kwa wizi wa M-Pesa, picha za CCTV zilinasa uhalifu wao.
Marekani yasifu mazungumzo na Iran, Trump asema yameanza vyema
Marekani na Iran zilikutana jana huko Oman kufuatia kuongezeka kwa mvutano kati ya nchi hizo, huku Trump akirudia kuonya kuhusu uwezekano wa shambulio la kijeshi.
Nigeria: Wakristo 89 waliotekwa nyara wakati wa mashambulizi ya makanisa matatu waachiliwa
Wakristo 89 wa mwisho waliotekwa nyara wakati wa shambulio la makanisa matatu na magenge ya wahalifu kaskazini mwa Nigeria wameachiliwa huru huku kukiwa na ongezeko la utekaji nyara wa watu…
Guardiola ajibu mapigo dhidi ya Baraza la Wayahudi, apinga tena mauaji ya watu wasio na hatia huko Gaza
Meneja wa timu ya Manchester City, Pep Guardiola aliisisitiza jana Ijumaa kwamba atapaza sauti yake waziwazi wakati wowote "watu wasio na hatia wanapouawa" popote pale duniani, akijibu ukosoaji wa Baraza…
Magazeti ya Kenya: Wakenya walioajiriwa na jeshi la Urusi kutokea Qatar wauawa Ukraine
Ujasusi wa Ulinzi wa Ukraine ulipata miili ya raia wengine wawili wa Kenya walioajiriwa na serikali ya Urusi katika jiji la Lyman katika eneo la Donetsk.
Kwa hili, Nandy haoni aibu kabisa!
Akiwa anaelekea kutimiza miaka 10 tangu amepata umaarufu kupitia muziki, Nandy amejipambanua...
Wahandisi watakiwa kutekeleza maono ya Serikali kilimo cha umwagiliaji
Iringa. Wahandisi nchini wametakiwa kutekeleza kwa vitendo maono ya Serikali katika maendeleo...
Maisha ya wafugaji Kenya, Somalia yalivyo hatarini ukame ukizidi kusambaa
Ukame unaoendelea katika Pembe ya Afrika sasa umeenea hadi maeneo ambayo hapo awali hayakuwa yakikumbwa sana na majanga ya ukame.
Al-Burhan: Hakutakuwa na amani na wale walioua, kupora na kuwafurusha watu wa Sudan
Mkuu wa Baraza la Utawala nchini Sudan, Luteni Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amesema kwamba hakutakuwa na amani na wale walioua, kupora na kuwafurusha makwao watu wa Sudan.
Kesi ya kupinga ushindi wa Museveni yatupiliwa mbali, sababu.. gharama kubwa
Kesi iliyowasilishwa mahakamani kupinga ushindi wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda katika uchaguzi mkuu wa Januari 15 imetupiliwa mbalii.
Asap Rocky ajibu kuhusu ndoa na Rihanna
Rapa wa Marekani, Asap Rocky, 37, amejibu kwa ustadi swali la mwanafunzi mdogo aliyeuliza kama...
Tetesi za Usajili Ulaya Jumamosi: Ronaldo kuuzwa kwa £43m
Ligi Kuu ya Saudi Arabia iko tayari kumuuza Cristiano Ronaldo kwa pauni milioni 43, Chelsea inawania saini ya Dusan Vlahovic ikipambana na Tottenham, huku Sergio Ramos akielekea Marseille.
Trump anakabiliwa na tuhuma za ubaguzi wa rangi baada ya kuchapisha video inayomuonyesha Obama na mkewe kama nyani
Rais wa Marekani, Donald Trump, alizua hasira katika duru za kisiasa baada ya kurusha mkanda wa video kwenye jukwaa lake la "Truth Social" akitangaza nadharia za njama za uchaguzi ikiwa…