Wasaudia wainasa saini ya Joshua Mutale
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mzambia Joshua Mutale 'Budo', amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Al Adalah Club ya Saudi Arabia, baada ya mabwanyenye hao wanaoshiriki Ligi Daraja la Kwanza kuonyesha nia…
Dhahabu na hifadhi fedha za kigeni: Inafaa kuuzwa
Maelezo haya ni nukta kumi kwa muhtasari, yakijumuisha ufafanuzi na maoni yangu binafsi...
ZANZIBAR KASKAZI CUP 2026: “Ni mchezo ambao umekuwa ukivutia sana soko la utalii hapa Zanzibar”
ZANZIBAR KASKAZI CUP 2026: “Ni mchezo ambao umekuwa ukivutia sana soko la utalii hapa Zanzibar” Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii Zanzibar, Aboud Suleiman Jumbe amesema mchezo wa vishada umekuwa…
Nchi mbili za Afrika zenye ndege za kisasa za kivita za F-16
''F-16 bado inaonekana kama ndege iliyotangulia wakati wake, kama chombo cha baadaye kilichobaki katika zama za sasa'', anasema Robinson, mtaalamu wa masuala ya anga katika Jumuiya ya Kifalme ya Anga…
Ibenge aitolea macho Union Maniema
Zikiwa zimesalia dakika 180 kwa Azam FC kusaka tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe...
Mbunge wa UDA aliyewataka polisi kuwapiga risasi waandamanaji aomba radhi: “Nimeaibika”
Mbunge wa Belgut Nelson Koech anaomba radhi bila masharti kwa matamshi ya awali kuhusu vitendo vya polisi, akikiri kwamba vilikuwa vibaya na vinaendeshwa na hisia.
Mashujaa yachoka unyonge Ligi Kuu, yaivimbia Prisons
MATOKEO ya kukosa ushindi katika mechi tano mfululizo yameonekana kuwaumiza Mashujaa FC, huku benchi la ufundi likitoa msimamo kwa nyota wake na kuahidi kurejesha kasi waliyoanza nayo msimu huu.
Moses Muthama: Mwanawe Seneta wa Machakos Agnes Muthama afariki dunia
Moses Nduya alikuwa mtoto pekee wa Kavindu na Seneta wa zamani wa Machakos Johnson Muthama, ambaye pia aliwahi kuwa mwenyekiti wa Muungano wa Kidemokrasia.
VIWANJANI: “Wakati mwingine ni kuwa na wakati mbaya kazini”
VIWANJANI: “Wakati mwingine ni kuwa na wakati mbaya kazini” Mchambuzi wa soka mwenye taaluma ya ukocha Michael Hyera amesema kupanda kwa viwango vya uchezaji miongoni mwa mabeki wa Yanga SC…
VIWANJANI: “Baada ya kuaminiwa inaonekana ule muarobaini umepatikana katika eneo la kiungo”
VIWANJANI: “Baada ya kuaminiwa inaonekana ule muarobaini umepatikana katika eneo la kiungo” Mchambuzi wa soka @rashidy_hamis amesema Mohammed Damaro ni suluhisho la kiungo katika klabu ya Yanga. Rashidy amesema uwezo…
Je, ni nyoka gani anayetajwa kuwa hatari zaidi duniani kwa binadamu?
Je, ni nyoka gani anayetajwa kuwa hatari zaidi duniani kwa binadamu? 🐍💀 a. King Cobra b. Kifutu c. Black Mamba 👉 Tupatie jibu sahihi kwenye comment 👇 #AzamTVUpdates ✍John Mbalamwezi
Nidhamu ya fedha si kipato, ni chaguo
Imani iliyoenea ni kwamba matatizo ya fedha husababishwa na kipato kidogo, ingawa kipato ni...
Je, Fedha za kidijitali zinaweza kuziba ufa wa usawa kati ya mijini na vijijini Tanzania
Kwa miongo kadhaa, uchumi wa Tanzania umekuwa na taswira mbili tofauti: upande mmoja ni miji...
Fursa ya kiuchumi iliyojificha nyuma ya teknolojia ya AI
Wakati dunia ikiwa kwenye kilele cha mapinduzi ya nne ya viwanda, teknolojia ya akili unde (AI)...
MSHIKEMSHIKE: CAFCL: Petro De Luanda Vs Simba SC, AS FAR Vs Yanga SC, Jumamosi hii
MSHIKEMSHIKE: CAFCL: Petro De Luanda Vs Simba SC, AS FAR Vs Yanga SC, Jumamosi hii. Mechi gani unaisubiri kwa hamu na kwa nini? Tuandikie maoni yako na sisi tutayasoma kwenye…
Tshisekedi arejea tena Marekani kujadili mkataba wa amani na biashara ya madini
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi na ujumbe wake, amerejea tena jijini Washington nchini Marekani, miezi miwili baada ya kutiwa saini kwa mkataba wa amani na Rwanda,…
Gaza: Ujumbe wa kiraia wa Umoja wa Ulaya EUBAM wathibitisha kutoegemea upande wowote
Ufaransa inakaribisha kufunguliwa tena, hata kwa sehemu, kwa kivuko cha Rafah, kama ilivyoainishwa katika mpango wa amani wa Marekani. Paris pia inakaribisha kupelekwa tena kwa misheni ya kiraia ya Umoja…
Harmonize atangaza rasmi anamvisha Frida Kajala pete ya uchumba, walishana mabusu motomoto
Mwimbaji staa wa Tanzania, Harmonize alimvisha mpenzi wake wa muda mrefu Frida Kajala pete ya uchumba mwezi mmoja baada ya kurudiana. Walitenga 2022.
Xi Jinping atoa wito wa ushirikiano na Vladimir Putin na ‘Heshima ya pamoja’ na Donald Trump
Rais wa China Xi Jinping amezungumza na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin na kisha na Rais wa Marekani Donald Trump mnamo Februari 4. Ingawa alitoa wito wa ushirikiano wa pande…
Mchezaji wa Kakamega Homeboyz Silas Abungana afariki baada ya shambulio la usiku
Kakamega Homeboyz waliomboleza kifo cha kusikitisha cha beki Silas Abungana, ambaye alifariki kutokana na majeraha aliyopata katika shambulio la usiku.
Afisa mwandamizi wa serikali asema Ukraine haitajisalimisha
Afisa mwandamizi wa serikali ya Ukraine anasema nchi yake haitakubali masharti yasiyofaa, kama vile hatua za upande mmoja za kuondoa wanajeshi kutoka mistari ya mbele, ili kukomesha mapigano na Urusi.
Afisa wa Ukraine ayaita mazungumzo ya amani ya pande tatu ‘ya kweli na yenye tija’
Afisa mwandamizi wa Ukraine anasema mazungumzo ya amani ya ngazi ya juu na nchi za Urusi na Marekani ya Februari 4, yalikuwa "ya kweli na yenye tija."
Video ya CCTV yamnasa mjakazi akimfanyia kitendo cha ajabu mtoto mdogo wa bosi
Picha za CCTV ilionyesha mjakazi akimfanyia mtoto mdogo wa bosi wake kitendo cha ajabu, video hiyo imesababisha hasira na wito wa ufuatiliaji majumbani.
Nyuklia: Iran na Marekani kukutana kwa mazungumzo Oman siku ya Ijumaa
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema siku ya Jumatano, Februari 4, kwamba mazungumzo na Marekani yalipangwa kufanyika siku ya Ijumaa, Februari 6, nchini Oman, huku kukiwa…
Lengo jipya la mkakati wa kijeshi wa Marekani barani Afrika
Kamandi ya Marekani barani Afrika (AFRICOM) imetangaza kupeleka kikosi kidogo cha kijeshi cha Marekani nchini Nigeria na hivyo kwa mara ya kwanza kukiri rasmi kutumwa wanajeshi wa Marekani katika nchi…
Nchi wanachama Watetezi wa Mkataba wa UN zalaani hatua ya EU dhidi ya Iran
Nchi wanachama wa Kundi la Marafiki Watetezi wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa zimetoa taarifa ambayo imelaani hatua ya hivi karibuni ya Umoja wa Ulaya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu…
Mila au sayansi? Simulizi za wanawake kuhusu tiba asili za kujifungua kwa urahisi
Katika nchi nyingi za Afrika, matumizi ya vinywaji vya mitishamba (majimaji ya mizizi au majani yaliyochemshwa) ili kusaidia kufunguka kwa mlango wa uzazi na kuimarisha uchungu yameenea sana.
Guardiola aomba Guehi aruhusiwe kucheza fainali
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, ameonyesha kutoridhishwa na kanuni za Kombe la Carabao...
Uturuki-Misri: Erdogan na al-Sisi wasaini mikataba mipya ya ushirikiano kati ya Ankara na Cairo
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amekutana na Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi huko Cairo siku ya Jumatano, Februari 4, wakisaini mikataba 18 mipya ya ushirikiano wakati wa ziara…
Maafisa wa hali ya hewa wa Japani waonya kuhusu hatari ya theluji kutokana na halijoto za juu
Halijoto katika baadhi ya maeneo ya Japani ni za joto kiasi kwa wakati huu wa mwaka, na kuongeza hatari ya theluji kuanguka kutoka kwenye paa. Lakini hali ya hewa ya…
Theluji nyingi yaua watu 38 nchini Japani
Idara ya Kukabiliana na Moto na Majanga ya Japani imesema theluji nyingi na baridi kali tangu Januari 20 imesababisha vifo vya watu 38 nchini humo.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Mazungumzo ya Iran na Marekani yatafanyika Oman, Februari 6
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema mazungumzo kati ya Iran na Marekani yamepangwa kufanyika Oman Februari 6.
Trump na Xi wajadili masuala mbalimbali
Rais wa Marekani, Donald Trump, na mwenzake wa China, Xi Jinping, walizungumza kwa simu Februari 4. Trump alisema wana uhusiano "mzuri sana", na kwamba walijadili masuala mbalimbali ikiwemo juu ya…
Mkataba wa silaha za nyuklia wa Marekani na Urusi kuisha Februari 5
Mkataba wa kudhibiti silaha za nyuklia uliosainiwa kati ya Marekani na Urusi, mataifa mawili ambayo yanamiliki idadi kubwa mno ya vichwa vya nyuklia duniani, unatarajiwa kuisha Februari 5.
Putin na Xi wafanya mazungumzo, mkataba wa silaha za nyuklia unaomalizika muda wake ukiwa ajenda
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amemwambia mwenzake wa China, Xi Jinping, kwamba Urusi itawajibika ipasavyo huku mkataba wa kudhibiti silaha za nyuklia kati ya Urusi na Marekani ukiwa unamalizika Februari…
Nigeria: Angalau watu 162 wameuawa na watu wenye silaha katika eneo la magharibi mwa nchi
Shambulio jipya limegharimu maisha ya watu wasiopungua 162 siku ya Jumanne, Februari 3, katika kijiji cha Woro, katikati mwa magharibi mwa Nigeria, huku nchi hiyo ikizidisha juhudi zake za kupambana…
Guardiola apaza sauti tena kuhusu mauaji ya kimbari ya Ghaza na dhulma inayotawala duniani
Kocha wa timu ya soka ya Manchester City, Pep Guardiola, amesema mauaji ya watu wasio na hatia duniani kote yanamuathiri sana na amewahimiza walimwengu wasinyamazie kimya dhulma zinazofanywa.
ACT-Wazalendo yalaani mpango wa ZEC wa kuchoma moto nyaraka za uchaguzi wa Zanzibar
Chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, kimelaani mpango wa tume ya Uchaguzi wa Zanzibar (ZEC) wa kuchoma na kuteketeza nyaraka za Uchaguzi wa Oktoba 2025, uliofanyika visiwani humo.
Wabeba silaha waua watu wanaokaribia 200 kwenye majimbo ya Kwara na Katsina, Nigeria
Watu wenye silaha wamewaua karibu watu 200 magharibi na kaskazini mwa Nigeria. Hayo yameelezwa na maafisa wa serikali na wakazi wa maeneo hayo huku manusura wakiwazika wenzao waliouawa na askari…
Russia: Mkataba wa nyuklia wa New START baina yetu na US unamalizika leo Feb. 5
Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetangaza kuwa, Mkataba wa New START, unaoweka mipaka ya silaha za nyuklia kwa madola mawili makubwa zaidi duniani yanayomiliki silaha hizo, yaani nchi…
Mama asimulia kifo cha mwanawe aliyelazimishwa kula mahindi na pilipili, akiri alikuwa na hatia
James Maina na Daniel Nudhu walipatikana wamekufa katika shamba la mahindi, inadaiwa baada ya kulazimishwa kula mahindi mabichi na pilipili. Familia zinatafuta haki.
Libya: Mauaji ya Saif al-Islam, yanapunguza uwezekano wa ukoo wa Gaddafi kurejea madarakani
Karibu miaka kumi na tano baada ya kifo cha Muammar Gaddafi, aliyeuawa huko Sirte mnamo mwaka 2011, kuuawa kwa mwanawe Saif al-Islam siku ya Jumanne, Februari 2, huko Zintan, kaskazini…
Tafrani Azimio: Baadhi ya vyama vyawakataa viongozi wapya walioidhinishwa na Uhuru
Chama cha Muungano cha Azimio la Umoja One Kenya kinakabiliwa na msukosuko huku vyama washirika vikikataa mabadiliko ya uongozi, vikiviita vya uongo na visivyo wazi.
Mapitio ya #MAGAZETI leo Februari 5, 2026 kwenye
Mapitio ya #MAGAZETI leo Februari 5, 2026 kwenye #Moorning Trumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Mazishi ya Raila Odinga: Sifuna ana machungu jeneza la kinara wa ODM halikupambwa rangi za chungwa
Seneta Edwin Sifuna alifichua kukatishwa tamaa kuhusu mazishi ya Raila Odinga, kutengwa kwa ODM, na masuala ya katiba katika kuteua uongozi wa mpito wa chama.
Wakimbizi wa ndani DRC: OCHA yaonya kuhusu mgogoro wa kutisha wa kibinadamu
Hali ya kibinadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imefikia viwango vikubwa. Kulingana na ripoti ya hivi karibuni kutoka Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Uratibu wa Masuala ya…
DJ Krowbar azidiwa na uzito wa msiba wakati wa misa ya wafu ya mke wake Joyce: “Sikulala”
DJ Krowbar alimsifu marehemu mkewe Joyce Wanjiru Karumba kwa machozi, akikumbuka kumbukumbu nzuri na kuomba maombi kwa ajili ya familia yake na watoto wake.
Trump anaitaka Marekani kusonga mbele baada ya sakata la Epstein..lakini huenda isiwe rahisi
Katika miezi miwili iliyopita, Wizara ya Sheria ya Marekani imetoa mamilioni ya nyaraka zinazohusiana na uchunguzi wake wa biashara ya ngono dhidi ya Jeffrey Epstein. Sasa, rais anataka taifa liendelee…