Kwa nini Einstein hakutaka kuwa Rais wa Israel?
Einstein alihisi kwamba hakuwa na ujuzi wa kisiasa wala uzoefu wa kuwa kiongozi wa serikali.
Marekani na Iran zimepiga “hatua kubwa” kuelekea makubaliano, kulingana na J.D. Vance
Je, Marekani na Iran zimeanzisha makubaliano ya mfumo wa kukomesha vita katika Mashariki ya Kati? Hivi ndivyo vyanzo vilivyonukuliwa na mahirika ya habari ya AFP na REUTERS vinavyodai. Makamu wa…
Miradi yalenga kuzalisha lita bilioni 13 za maziwa
IRINGA: Katika kuadhimisha Wiki ya Unywaji Maziwa nchini inayofanyika kitaifa mkoani Iringa, Bodi ya Maziwa Tanzania imetambulisha miradi miwili mikubwa ya kimkakati inayolenga kuleta mapinduzi katika sekta ya maziwa nchini…
Ebola: Vizuizi katika mpaka wa Uganda na DRC vyazua wasiwasi kwa jumuiya ya wafanyabiashara
Siku moja baada ya Uganda kuchukua haua mpya katika mpaka wake na DRC katika jaribio la kudhibiti kuenea kwa mlipuko wa virusi vya Ebola, wasiwasi unaongezeka katika jumuiya ya wafanyabiashara.…
Ebola DRC: Changamoto zinaendelea licha ya mgonjwa wa kwanza kupona virusi aina ya Bundibugyo
Mtu wa kwanza aliyekuwa ameambukizwa virusi vya Ebola (Bundibugyo) na kulazwa hospitalini, ameruhusiwa kuondoka katika kituo cha matibabu ya Ebola mnamo Mei 27 huko Rwampara, katika mkoa wa Ituri, mashariki…
Madagascar: Mahakama Kuu ya Mauritius yakataa ombi la Mamy Ravatomanga la kuachiliwa kwa muda
Mmoja wa wafanyabiashara wakuu nchini wa Madagascar Mamy Ravatomanga bado yuko gerezani nchini Mauritius. Mahakama Kuu ya Mauritius imekataa ombi lake la kuachiliwa kwa muda mapema wiki hii. Mshirika wa…
Ebola: Urusi inasema imetengeneza chanjo ambayo inaweza kutoa ulinzi dhidi ya aina ya Bundibugyo
Kwa sasa, hakuna chanjo iliyoidhinishwa dhidi ya aina ya virusi vya Ebola ya Bundibugyo. Angalau chanjo mbili maalum zinafanyiwa majaribio. Chanjo ya hali ya juu zaidi inaweza kuwa tayari kwa…
Ndoto ya Arsenal katikati ya usingizi wa PSG
KOCHA Mikel Arteta yuko karibu kuandika historia mpya, huku Arsenal wakijiandaa kwa usiku...
Kauli tata za wanasiasa wanaohama vyama Tanzania
Ingawa kisheria kuhama chama ni haki ya kikatiba ya kila mwanasiasa, mjadala mkubwa hubaki kwenye maneno waliokuwa wakiyasema wakati wakiwa kwenye vyama wanavyovihama, maneno ambayo mara nyingi huonekana kugongana na…
Tunisia: Hifadhi ya Jiolojia, Dahar, yaorodheshwa kama eneo la Urithi wa Dunia wa UNESCO
Nchini Tunisia, tangu Aprili 23, 2026, eneo la Dahar kusini mwa Tunisia limeorodheshwa rasmi kama eneo la Urithi wa Dunia la UNESCO kwa Hifadhi ya Jiolojia ya kilomita za mraba…
Vita ya malaria Zanzibar kisasa zaidi
Nyumba 3,564 (Unguja 2,436 na Pemba 1,128) zimepigwa dawa ya kuuwa mbu waenezao malaria.
Messi uhakika Kombe la Dunia, Argentina ikianika kikosi
Argentina imeanika kikosi chake cha wachezaji 26 watakaoshiriki Fainali za Kombe la Dunia mwaka...
Haya yanazuia dua yako kujibiwa
Dua ni ibada na ni sababu, lakini athari zake hazipimwi kwa kupatikana kwa kile kinachoombwa...
KONA YA MSTAAFU: Mstaafu anapoijenga nchi inayoishia kuwa na mishahara miwili tofauti
Mstaafu wetu anakumbuka sana mwaka ulee wazee wetu walipochanganya michanga ya nchi mbili ili...
Kituo cha kuwahifadhi Wamarekani walioambukizwa Ebola kufunguliwa Kenya
Kituo cha kuwahifadhi raia wa Marekani walioambukizwa virusi vya ebola, kinatarajiwa kufunguliwa nchini Kenya hivi leo, kwa mujibu wa maafisa wa Marekeni ambao wametetea uamuzi wa Washington uliokashifishwa wa kutowarejesha…
Togo: WFP yaonya kuhusu ukosefu wa usalama wa chakula kaskazini mwa nchi
Nchini Togo, zaidi ya watu 330,000 wanaweza kukabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula katika miezi mitatu ijayo ikiwa hawatapokea msaada, kulingana na makadirio ya Shirika la Umoja wa Mataifa…
Uswisi yakosolewa kwa kuwarudisha kwa nguvu nyumbani waomba hifadhi kutoka Burundi
Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa na mashirika 40 yasiyo ya kiserikali yanaikosoa Uswisi kwa kuwarudisha kwa nguvu nyumbani waomba hifadhi kutoka Burundi. Imechapishwa: 29/05/2026 – 06:05 Dakika 1 Wakati wa…
Nigeria: Atiku Abubakar kuwania urais kwa tiketi ya ADC
Nchini Nigeria, kuelekea uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwezi Januari mwaka ujao, vyama vya siasa tangu Mei tarehe 23 vimekuwa vikifanya uchaguzi wa ndani, kuwachagua wagombea urais na nyadhifa zingine za…
JD Vance: Marekani na Iran ‘zakaribia’ kufikia makubaliano, lakini mazungumzo bado hayajakamilika
Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance, amesema Marekani na Iran bado zinapaswa kutatua masuala kadhaa yaliyosalia kabla ya kufikiwa kwa makubaliano kuhusu vita hivyo.
Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa: Barcelona inamfukuzia Hincapie Arsenal
Barcelona wanakaribia kumsajili Piero Hincapie, Ruben Dias awaagiza maajenti kutafuta dili la kuondoka Manchester City huku Liverpool wakishinikiza makubaliano ya haraka na Yan Diomande.
Utumishi Girls: Wanafunzi waliojeruhiwa wasafirishwa kwa ndege Nairobi kwa matibabu maalum
Moto uliozuka Utumishi Girls ulisababisha vifo vya wanafunzi 16 na kujeruhi 74. Saba kati ya waliojeruhiwa walisafirishwa kwa ndege Nairobi kwa matibabu maalum.
Serengeti Boys kuvaana na Senegal fainali AFCON
Mechi hiyo imeamriwa na mikwaju ya penalti baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya bila...
Iran yadungua ndege isiyo na rubani ya Marekani karibu na Bushehr
Jshi la Iran limedungua ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyokiuka anga ya Jamhuri ya Kiislamu karibu na mji wa kusini wa Bushehr.
Iran yalaani ukiukaji wa Marekani wa makubaliano ya amani, yahimiza UN kuingilia kati
Iran imelaani vikali vitisho vya mara kwa mara vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na ukiukaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyosimamisha vita haramu vya hivi karibun, ikiuhimiza Umoja…
Utumishi Girls: Msalaba Mwekundu wachukua miili ya wanafunzi 16 waliofariki katika mkasa wa moto
Moto uliozuka katika shule ya Utumishi Girls, Gilgil ulisababisha vifo vya watu 16. Shirika la Msalaba Mwekundu Kenya lilichukua miili huku familia zikitaka majibu
CNN: Trump amezitishia au kuzishambulia nchi 15 akiwa madarakani
Ripoti ya televisheni ya CNN imeeleza kuwa Rais Donald Trump wa Marekani amezitishia, ameeleza wazi uwezekano wa kufanya mashambulizi au amezishambulia nchi 15 katika mihula yake miwili ya uongozi; yaani…
Wizara ya Afya ya Kongo: Idadi ya watu wanaoshukiwa kuambukizwa Ebola imepindukia 1,000
Wizara ya Afya ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza kuwa idadi ya watu wanaoshukiwa kuwa na Ebola nchini humo imepindukia 1,000 huku kukiwa na ongezeko la maambukizi katika majimbo…
Washington Post: Israel imetengwa duniani kutokana na vita vya mara kwa mara vya Netanyahu
Gazeti la Washington Post limeandika kuwa: Vita vya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza, Lebanon, Syria, Iran na Yemen vimeiweka Israel katika njia…
Je, Marekani na Iran zinakaribia kuweka amani au kurudi kwenye vita
Hatua ya kusitisha mapigano ''ipo hatarini'' . Mchakato wa kidiplomasia "unakaribia kufaulu ". Rais "hajaridhika". Huku milipuko ikisikika karibu na Ghuba.
IRGC yasimamia kupita salama meli nyingine 26 katika Mlango wa Hormuz
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesema meli 26 za kibiashara na meli za mafuta zimevuka Mlango-Bahari wa Hormuz katika muda wa saa 24 zilizopita baada ya kuratibu…
Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger, ameipongeza timu ya taifa ya vijana ya Tanzania kwa kuingia fainali ya Kombe la Matai…
Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger, ameipongeza timu ya taifa ya vijana ya Tanzania kwa kuingia fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Vijana chini ya umri wa…
Timu ya taifa ya Tannzania chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imetinga fainali AFCON U17 baada ya kuiondosha Misri kwa mikwaju y…
Timu ya taifa ya Tannzania chini ya miaka 17 'Serengeti Boys' imetinga fainali AFCON U17 baada ya kuiondosha Misri kwa mikwaju ya penati 4-3. Sasa, Tanzania itacheza na Senegal katika…
Dunia ya michezo imeendelea kuwa chanzo kikubwa cha utajiri kwa mastaa mbalimbali kupitia mishahara, matangazo ya biashara na mi…
Dunia ya michezo imeendelea kuwa chanzo kikubwa cha utajiri kwa mastaa mbalimbali kupitia mishahara, matangazo ya biashara na mikataba ya udhamini. Hawa ndio wanamichezo 10 wanaolipwa zaidi duniani kwa sasa.…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inashikilia magari 32 yaliyoingizwa nchini kinyume cha sheria bila kufuata taratibu za kiforodh…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inashikilia magari 32 yaliyoingizwa nchini kinyume cha sheria bila kufuata taratibu za kiforodha ambayo yameikosesha Serikali mapato na kuisababishia hasara Mamlaka hiyo. Akizungumza jijini Dar…
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imeifuta rasmi na kuindoa mahakamani hati ya kesi ya madai iliyofunguli…
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imeifuta rasmi na kuindoa mahakamani hati ya kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Saidi…
“Sheria imeacha mapengo, mapengo yenyewe ni yale ya kukosa wivu….sheria imekosa wivu, inatakiwa iweke wivu….”-Frank Ndutta- …
"Sheria imeacha mapengo, mapengo yenyewe ni yale ya kukosa wivu....sheria imekosa wivu, inatakiwa iweke wivu...."-Frank Ndutta- Makamu Mwenyekiti-Umoja wa Wafanyabiashara Tanzania #MalumbanoYaHoja (Feed generated with FetchRSS)
“Kwa mujibu wa sheria pale ambapo mwekezaji amekuja nchini, na akasajiliwa kufanya uwekezaji fulani, kwa kweli kwa mujibu wa she…
"Kwa mujibu wa sheria pale ambapo mwekezaji amekuja nchini, na akasajiliwa kufanya uwekezaji fulani, kwa kweli kwa mujibu wa sheria anatakiwa azingatie working Permit yake, ni nini imemtaka kufanya ndani…
“Lakini hii sheria ukiitazama vizuri, ina maeneo 15 tu, ambayo ndio yanamzuia mtu ambaye sio Mtanzania kuja kupata leseni ..ya k…
“Lakini hii sheria ukiitazama vizuri, ina maeneo 15 tu, ambayo ndio yanamzuia mtu ambaye sio Mtanzania kuja kupata leseni ..ya kufanya biashara Fulani….halafu tujitafakari tuone Je, wazawa wamelindwa...”- Saduni Isack-Wakili…
คู่มือการรับโปรโมชั่น ฝาก19รับ100 อธิบายชัด สำหรับสายสล็อตโดยตรง
เริ่มต้นเส้นทางสายปั่นสล็อตด้วยทุนหลักสิบกับโปรโมชั่น ฝาก19รับ100...
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 28, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 28, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
KOMBE LA DUNIA 2026: Mwalimu wa ‘Mathe’ @godlisten_muro7 anatukumbusha mkasa uliwahi kumkuta Ronaldo de Lima wa Brazil, siku moj…
KOMBE LA DUNIA 2026: Mwalimu wa ‘Mathe’ @godlisten_muro7 anatukumbusha mkasa uliwahi kumkuta Ronaldo de Lima wa Brazil, siku moja kabla ya fainali za Kombe la Dunia mwaka 1998, baada ya…
10 คำถาม ฝาก10รับ100 ยังคุ้มค่าอยู่ไหมในปี 2026
โปรโมชั่นระดับตำนานอย่าง ฝาก10รับ100 แต่เมื่อก้าวเข้าสู่ปี 2026 ที่ระบบ AI...
ส่อง 10 รายชื่อ UFABET เว็บตรง เว็บหลักแท้ มีบริษัทแม่รับรอง 100%
UFABET วันนี้ไม่ต่างจากตลาดสินค้าแบรนด์เนมที่มี “ของก๊อปเกรด AAA” อยู่เต็มไปหมด...
“Kumewekwa unafuu kwa wawekezaji wa ndani, ili waweze kufurahia vivutio mbalimbali vya kikodi vilivyopo bila kuweka hitajio la j…
"Kumewekwa unafuu kwa wawekezaji wa ndani, ili waweze kufurahia vivutio mbalimbali vya kikodi vilivyopo bila kuweka hitajio la juu ambalo liko sawa na wawekezaji wa nje.."-Mercy Philipo-Meneja Uchambuzi wa Sera…
Ebola: Marekani yatoa ufadhili wa dharura wa KSh 10.3b huku Kenya ikiidhinisha kituo cha karantini
Marekani imetoa KSh 10.3b kwa ajili ya kazi ya kukabiliana na Ebola, kusaidia mashirika yasiyo ya kiserikali katika kupambana na mlipuko huo Afrika Mashariki.
Kesi yapelekwa kortini kupinga kuanzishwa kwa kituo cha karantini cha Ebola kwa Wamarekani nchini
Katiba Institute inapinga mipango ya karantini ya Ebola nchini Kenya, ikitafuta amri za mahakama za uwazi na uwajibikaji huku kukiwa na wasiwasi wa umma.
CRAWFORD : Wizara ya Maliasili na Utaliii imempa Ubalozi wa hiari wa Utalii Bondia Mahiri kutoka Marekani, Terence Crawford kwa …
CRAWFORD : Wizara ya Maliasili na Utaliii imempa Ubalozi wa hiari wa Utalii Bondia Mahiri kutoka Marekani, Terence Crawford kwa ajili ya kuvitangaza Vivutio vya Tanzania, Waziri wa Maliasili na…
SERENGETI BOYS: ”ni mechi ngumu, lakini tumefuata maelekezo ya Kocha wetu”, Issa Chole akizungumzia mchezo ambao umemalizika u…
SERENGETI BOYS: ''ni mechi ngumu, lakini tumefuata maelekezo ya Kocha wetu'', Issa Chole akizungumzia mchezo ambao umemalizika ukiwapeleka hatua ya fainali kwenye michuano ya #AFCONU17 baada ya kuitoa Misri kwa…
KMPDU yasisitiza wanachama wake lazima waajiriwe katika kituo cha karantini cha Ebola cha Marekani
KMPDU kimelalamika kuhusu kutengwa kwa Kenya katika mazungumzo ya kituo cha Ebola cha Marekani nchini, ikilaani unafiki wa serikali na hatari iliyopo.