Modi, Putin, viongozi wengine wawasili Mkutano wa SCO China
Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) umeanza mjini Tianjin, kaskazini mwa China, ukiwaleta pamoja viongozi kutoka zaidi ya nchi 20. Huu ndiyo mkutano mkubwa zaidi tangu…
#HABARI: Mahakama ya Mkoa wa Vuga, tarehe 27/08/2025 imemhukumu Mshtakiwa Nassor Seif Khamis (47) mkazi wa Nyerere Zanzibar, kut…
#HABARI: Mahakama ya Mkoa wa Vuga, tarehe 27/08/2025 imemhukumu Mshtakiwa Nassor Seif Khamis (47) mkazi wa Nyerere Zanzibar, kutumikia adhabu ya kifungo cha miaka 13 jela kwa kosa la Unyang’anyi…
Viongozi wa dunia wako China kuhudhuria mkutano wa kilele
Rais Vladimir Putin wa Urusi amewasili Jumapili, akiambatana na ujumbe uliowahusisha wanasiasa wandamizi na wawakilishi wa biashara. Putin anatarajiwa kufanya mazungumzo Jumatatu na Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan na…
Rais wa Indonesia: Maandamano ‘yanakaribia uhaini na ugaidi’
Maandamano hayo, yaliyoanza kwa kupinga marupurupu ya kifahari kwa wabunge na mishahara midogo, sasa yamegeuka vurugu, yakisababisha vifo vya watu watatu na mashambulizi dhidi ya nyumba za mawaziri na wabunge…
Jeshi la Israel lashambulia viunga vya Gaza usiku kucha
Maafisa wa afya wa eneo hilo wamesema mashambulizi hayo ya vifaru na makombora ya angani yameuwa karibu watu 18 Jumapili, wakiwemo 13 waliojaribu kutafuta chakula kutoka kituo kilicho karibu cha…
Mkuu wa Wahouthi Yemen auawa katika shambulizi la Israel
Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Wahouthi, Mahdi al-Mashat, alithibitisha tukio hilo, akisema watu wengine pia walijeruhiwa. Israel imesema shambulizi hilo lililenga maafisa wakuu akiwemo mkuu wa utumishi wa…
Hemedti wa RSF aapishwa kuiongoza serikali sambamba ya Sudan
Hatua hiyo inaashiria kugawanyika kwa taifa hilo katikati ya vita vya miezi 28 kati ya Jeshi la Sudan na Kikosi cha RSF kinachoongozwa na mbabe huyo wa kivita. Wakati jeshi…
🔴: MKUTANO WA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS CCM -KONDOA, DODOMA
🔴: MKUTANO WA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS CCM -KONDOA, DODOMA
🔴: MKUTANO WA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS CCM – CHEMBA 31 AGOSTI, 2025
🔴: MKUTANO WA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS CCM – CHEMBA 31 AGOSTI, 2025
Uchaguzi Mkuu Tanzania: CHAUMMA ya ‘mzuka bila roho ya kisiasa’ itatoboa?
Chanzo cha picha, gp Maelezo kuhusu taarifa Author, Na Mwandishi Wetu Nafasi, Akiripoti kutoka Dar es Salaam Dakika 18 zilizopita Rafiki yangu mmoja aliwahi kuishi jijini Doha, Qatar kwa takribani…
Tetesi za soka Jumapili: Spurs yaongoza mbio za kumsajili Akanji
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Akanji Saa 2 zilizopita Tottenham Hotspur wanaongoza mbio za kumsajili beki wa Manchester City Manuel Akanji, mwenye umri wa miaka 30, wakilenga…
Uhusiano kati ya vyakula unavyokula na usingizi mnono
Chanzo cha picha, Serenity Strull/ BBC Maelezo kuhusu taarifa Author, Jessica Bradley Nafasi, Saa 1 iliyopita Wengi wetu tunafahamu kwamba kulala tukiwa tumeshiba sana kunaweza kuathiri usingizi wetu. Lakini kubadilisha…
Pakistan: Nusu milioni wahamishwa makazi Punjab kutokana na mvua kali za munsuni zinazoongezeka
Baada ya mvua mbaya na maporomoko ya matope katika mkoa wa Khyber Pakhtunkhwa, kaskazini mwa Pakistan, mvua kubwa inasababisha mafuriko katika mkoa wa Punjab. Katika eneo hili lenye watu wengi…
Watu 130,000 wapotea, maelfu waandamana Mexico
Maelfu ya watu wameandamana kote nchini Mexico kupinga hatua hafifu na dhaifu za serikali katika kukabiliana na tatizo la watu kutowekwa na kupotezwa na kulazimishwa kutoweka kwa nguvu. Ndugu na…
ICRC: ‘Haiwezekani’ na ‘haieleweki’ raia kuhamishwa kutoka mji wa Gaza
Katika taarifa yenye nguvu isiyo ya kawaida, Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) imeionya Israel siku ya Jumamosi, Agosti 30, dhidi ya kuwahamisha watu wengi kutoka mji wa Gaza.…
Yemen: Waziri Mkuu wa Waasi wa Houthi auawa katika mashambulizi ya Israel
Baada ya kimya cha siku mbili, mamlaka ya Houthi nchini Yemen hatimaye imethibitisha siku ya Jumamosi, Agosti 30, vifo vya wanachama kadhaa wakuu wa vuguvugu lao, akiwemo mkuu wa serikali…
Mali: Paris ina wasiwasi kuhusu mwanadiplomasia wake anayeshikiliwa na Bamako
Katikati ya mwezi wa Agosti, serikali ya Mali ilitangaza kuwa imezuia “jaribio la kuhatarisha usalama wa taasisi za Jamhuri.” Wanajeshi kadhaa wakiwemo majenerali wawili walikamatwa. Miongoni mwa wale wanaoshutumiwa kushiriki…
🔴KUMEKUCHA:..UZAZI NA AFYA YA AKILI, AGOSTI 31, 2025
🔴KUMEKUCHA:..UZAZI NA AFYA YA AKILI, AGOSTI 31, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – AGOSTI 31, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – AGOSTI 31, 2025
Tukio la wavuvi kupoteza maisha Ziwa Singindani kwa miaka mitano mfululizo
Tukio la wavuvi kupoteza maisha Ziwa Singindani kwa miaka mitano mfululizo. Je mamlaka za utafiti zinashindwa kulidhibiti lisiendele?
31.08.2025 Matangazo ya Jioni
DIRA.BZ31.08.202531 Agosti 2025 Israel yathibitisha kuuawa kwa msemaji wa kundi la Hamas huko Gaza // India yatangaza kuwa imedhamiria kuimarisha mahusiano na China // Na Indonesia yapunguza posho za wabunge…
31.08.2025 Matangazo ya Mchana
SK2 / S02S31.08.202531 Agosti 2025 Viongozi wa ulimwengu wawasili China kuhudhuria mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai // Waziri Mkuu wa serikali ya Houthi nchini Yemen auawa…
Makala ya Afrika Wiki Hii
31.08.202531 Agosti 2025 Joto la kisiasa Tanzania linaendelea kupanda kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Rais anaetetea kiti chake, Samia Suluhu Hassan, haonekani kuwa na mtihani mkubwa sana kwa kuwa…
#HABARI: Wizara, Taasisi na Mashirika binafsi, zimetakiwa kutekeleza utoaji wa huduma za ustawi wa Jamii kwa vitendo ili kuwa na…
#HABARI: Wizara, Taasisi na Mashirika binafsi, zimetakiwa kutekeleza utoaji wa huduma za ustawi wa Jamii kwa vitendo ili kuwa na jamii yenye uwezo wa ustahimilivu na yenye mchango wa kuleta…
🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 30, 2025 – WAGOMBEA URAIS ZANZIBAR WAJITOKEZA KWA WINGI KUCHUKUA FOMU
🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 30, 2025 – WAGOMBEA URAIS ZANZIBAR WAJITOKEZA KWA WINGI KUCHUKUA FOMU
Usipitwe na kipindi bora cha burudani HAWAVUMI LAKINI WAMO kila Jumamosi saa 4 Usiku hapa ITV
Usipitwe na kipindi bora cha burudani HAWAVUMI LAKINI WAMO kila Jumamosi saa 4 Usiku hapa ITV #hawavumilakiniwamo #kulachumahicho #zomboko
Volodymyr Zelensky: Mauaji ya spika wa zamani wa bunge ‘yaliyopangwa kwa kina’
Mauaji ya spika wa zamani wa Bunge Andriy Parubiy, mtu mashuhuri katika siasa za Ukraine, “yamepangwa kwa kina,” rais Volodymyr Zelensky amesema siku ya Jumamosi, Agosti 30. Imechapishwa: 30/08/2025 –…
Gabon yamwachilia huru Kelly Ondo, mhusika wa jaribio la mapinduzi dhidi ya rais wa zamani Ali Bongo
Luteni Kelly Ondo, muhusika wa jaribio la mapinduzi dhidi ya rais wa zamani wa Gabon Ali Bongo Ondimba mnamo Januari 7, 2019, ameachiliwa Jumamosi, Agosti 30. Alikuwa akizuiliwa katika Gereza…
DRC: Mkuu wa UNHCR atoa wito wa msaada wa haraka wa Kibinadamu kwa Wakimbizi
Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Filippo Grandi, amewasili Goma, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), siku ya Ijumaa, Agosti 29. Amewatembelea…
Mkutano wa SCO China: Beijing, Kutafuta Washirika Wapya wa Biashara, yawapokea Putin na Modi
Mkutano wa 25 wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai utafanyika katika mji wa Tianjin nchini China, siku ya Jumapili, Agosti 31 na Jumatatu, Septemba 1. Hii ni fursa nzuri kwa…
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ya ‘Selfie’ na Wananchi wa Kibaigwa Mkoani Dodoma wakati wa…
#HABARI: Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) Bw
#HABARI: Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) Bw. Vicent Minja, ameipongeza Shule ya Sekondari ya Wasichana ya John The Baptist Schools iliyoko Boko Basihaya jijini Dar…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA PWANI : AGOSTI 30, 2025
🔴HAPA NA PALE KUTOKA PWANI : AGOSTI 30, 2025
EU: Marekani Ifikirie uamuzi wake dhidi ya wapalestina
Mkutano huo unatarajiwa kufanyika mwezi Ujao mjini New York Marekani. Kallas amesema kutokana na mikataba iliyoko kati ya Umoja wa Mataifa na Marekani, taifa hilo linapaswa kufikiria upya uamuzi wake.…
Israel itasitisha msaada kuingia Kaskazini mwa Gaza
Afisa huyo ambae hakutaka jina lake kutajwa kwa kuwa hakuidhinishwa kuzungumza na vyombo vya habari, aliliambia shirika la habari la The Associated Press kwamba Israel itachukua uamuzi huo ndani ya…
Watu 13 wamezama baada ya kukimbia mashambulizi Nigeria
Inaarifiwa watu waliokuwa wamejazana katika boti hiyo walikuwa wanayakimbia mashambulizi ya watu waliojihami katika jimbo hilo. Maidamma Dankilo, Mkuu wa mji wa Birnin Magaji,amethibitisha mauaji ya watu hao 13. Watu…
#HABARI: Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt
#HABARI: Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kutatua changamoto za ardhi na kuendeleza programu za…
HRW yautaka Umoja wa Mataifa kuwalinda raia wenye njaa Sudan
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linapaswa kuchukua hatua za haraka kuwalinda raia katika maeneo ya Magharibi…
Ujerumani haiko tayari kuidhinisha vikwazo vya EU kwa Israel
Halmshauri ya Umoja wa Ulaya ilipendekeza kusimamisha kwa muda ufadhili wa utafiti katika makampuni kadhaa ya Israel, baada ya Uchunguzi wa Halmashauri hiyo kuonesha kuwa hatua za Israel, katika Ukanda…
Marekani haitakiwi kuwanyima wapalestina visa kufika UN
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ufaransa Jean-Noel Barrot amesema wahusika wote wanapaswa kuhudhuria mkusanyiko huo. Ameyazungumza hayo katika mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje unaofanyika Copehagen.…
Urusi yaishambulia Ukraine kwa zaidi ya droni 100
Zaidi ya droni 100 zilionekana zikiruka sehemu tofauti za nchi, huku jeshi la anga likijaribu kudungua baadhi ya droni hizo. Miripuko pia iliripotiwa katika maeneo ya Cherkasy, Chernihiv, Dnipro na…
Thailand: Mgogoro wa kisiasa hautaathiri usalama wa mpakani
Bangkok Wizara ya Ulinzi ya Thailand imesema kukosekana kwa serikali rasmi nchini humo hakuaathiri usalama wa mipaka na Cambodia. Taifa hilo linajaribu kujaza nafasi ya Waziri Mkuu iliyowachwa wazi baada…
Morocco na Madagascar kukutana kwenye fainali CHAN
Morocco wanalisaka kombe hilo ili waweke rekodi ya kuwa taifa lenye vikombe vingi katika michuano hiyo huku Madagascar wao wakitaka kuweka rekodi ya kulibeba taji hilo kwa mara ya kwanza.…
Aliemchongea Mpina kwa msajili atimuliwa ACT
29 Agosti 2025 Kikao cha kamati ya uongozi wa chama cha ACT Wazalendo nchini Tanzania kimemvua uanachama Monalisa Joseph Ndala, kufuatia hatua yake ya kuwasilisha malalamiko kwa msajili wa vyama…
#HABARI: Mgombea wa Urais Zanzibar kupitia Chama cha Wakulima AAFP Said Soud Said, amewasili katika Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uc…
#HABARI: Mgombea wa Urais Zanzibar kupitia Chama cha Wakulima AAFP Said Soud Said, amewasili katika Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kuchukua fomu ya Uteuzi. #ITVDigital #ITVUpdates…
#HABARI: Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi, amemkabidhi fomu ya uteuzi wa kugombea…
#HABARI: Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi, amemkabidhi fomu ya uteuzi wa kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),…
Kutana na kijiji ambacho wanawake wanawaua wame zao
Chanzo cha picha, Getty Images Dakika 10 zilizopita Mnamo Desemba 14, 1929, gazeti la Marekani la ‘The New York Times’ lilichapisha habari ambazo ziliishtua Marekani pamoja na watu wa Hungary,…
Dira Ya Dunia
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Source link
Vita vya Ukraine: Jinsi mataifa ya magharibi yanaweza kuvunja mpango wa Putin huko Ukraine
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Putin na timu yake wamebadilisha mkakati wao – hata kama huwezi kushinda haraka, huwezi kupoteza pia Maelezo kuhusu taarifa Author, Olesya Zhygalyuk…