🔴MAGAZETI: RAIS SAMIA ATOA MAAGIZO MAZITO KWA MAKALLA / MAMBO 3 KITASA KIPYA..AGOSTI 27, 2025
🔴MAGAZETI: RAIS SAMIA ATOA MAAGIZO MAZITO KWA MAKALLA / MAMBO 3 KITASA KIPYA..AGOSTI 27, 2025
Macron akanusha madai ya kuongezeka kwa chuki dhidi ya Wayuhudi
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, amekanusha kwa nguvu zote, madai ya Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu kuhusu kuongezeka kwa vitendo vya chuki na ubaguzi dhidi ya Wayahudi katika nchi…
Israel: Shambulizi la hospitali liliilenga kamera ya Hamas
Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi, askari waliamua kuchukua hatua dhidi ya kamera hiyo, na kuongeza kuwa wakati sita kati ya waliouawa walikuwa “magaidi,” jeshi “linajutia” madhara yoyote yaliyosababishwa kwa…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – AGOSTI 2, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – AGOSTI 2, 2025
Hamas yapongeza 'ujasiri' wa mawaziri wa Uholanzi kujiuzulu juu ya Gaza
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imepongeza hatua ya kujiuzulu mawaziri kadhaa wa Uholanzi, akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Caspar Veldkamp, kujibu hatua ya…
OIC leo inajadili mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza na kuunganisha pamoja misimamo
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) wanafanya mkutano wa dharura leo Jumatatu katika mji wa Jeddah nchini Saudi Arabia kujadili vita vya mauaji ya…
27.08.2025 Matangazo ya Mchana
SK2 / S02S27.08.202527 Agosti 2025 Tume huru ya uchaguzi nchini Tanzania (INEC) imekiandikia chama cha upinzani cha ACT Wazalendo kuwa hakitaweza kumteua mgombea wa urais kupitia chama hicho, Luhaga Mpina//…
27.08.2025 Matangazo ya Asubuhi
DIRA.BZ27.08.202527 Agosti 2025 Nchi za Magharibi ambazo ni washirika wakuu wa Kiev, zimekuwa zikijadili uwezekano wa kupelekwa kwa wanajeshi nchini Ukraine// Uhaba wa maji unaotokana na ongezeko la viwango vya…
27.08.2025 Taarifa ya Habari Asubuhi
DIRA.BZ27.08.202527 Agosti 2025 Jeshi la Israel lasema shambulizi la hospitali ya Nasser liliilenga kamera ya Hamas // Mazungumzo ya nyuklia yaliyofanyika Geneva yakamilika bila mafanikio // Na Morocco kuvaana na…
Wanahabari wa Afrika waunda Muungano wa Kupinga Mauaji ya Kimbari ya Israel Gaza
Waandishi wa habari kutoka bara zima la Afrika wamezindua muungano uliopewa jina la ‘African Journalists Against Genocide (AJAG)’ wenye lengo la kupinga kile wanachoeleza kuwa ni mauaji ya kimbari ya…
Je, ushirikiano wa kijeshi wa Marekani na Nigeria unaongeza hatari ya ukiukaji wa haki za binadamu?
Hivi karibuni Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilitangaza kuwa ili kuisaidia Nigeria katika mapambano dhidi ya makundi ya kigaidi, imekubali kuiuzia nchi hiyo silaha zenye thamani ya takriban…
Ufaransa 'yamjia juu' balozi wa US Paris kwa kuituhumu kuwa inahatarisha maisha ya Mayahudi
Ufaransa imemwita balozi wa Marekani nchini humo Charles Kushner, baada ya mwanadiplomasia huyo kumwandikia barua Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa akidai kwamba Paris imeshindwa kuchukua hatua za kutosha kukomesha vitendo…
Uganda: Upinzani wakosoa makubaliano ya kupokea wahamiaji
Maafisa wa Uganda hawajatoa maelezo ya kina kuhusu makubaliano hayo na Marekani ingawa walisema wanapendelea kupokea wahamiaji waliotoka barani Afrika na hawataki watu wenye rekodi za uhalifu. Uganda inapendekezwa kumpokea…
EU yasisitiza kuiunga mkono "kwa dhati" ICC baada ya US kuwawekea vikwazo waendesha mashtaka 2
Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema “amesikitishwa sana” na uamuzi wa Marekani wa kuwawekea vikwazo maafisa wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC). BONYEZA HAPA USOME…
Hali yaripotiwa kurejea ya kawaida mjini Uvira, DR Kongo
Ukiwa unapatikana kwenye kwenye mwambao wa Ziwa Tanganyika, mji wa Uvira ni mji wa pili kwa jimbo la Kivu Kusini na wenye umuhimu mkubwa wa kiuchumi si tu kwa Jamhuri…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 26, AGOSTI 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 26, AGOSTI 2025
Mawaziri wa kizayuni watoa msimamo kuhusu Ghaza: "Wazingireni, waacheni wafe kwa njaa"
Mawaziri wa utawala wa kizayuni wa Israel wenye misimamo mikali ya chuki wametetea waziwazi hatua ya kuwatesa kwa njaa Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
#HABARI: Wilyaya ya Singida imeweka mkakati kati ya VETA na Jeshi la Magereza, Wilaya ya Singida, ili kuhakikisha wafungwa w…
#HABARI: Wilyaya ya Singida imeweka mkakati kati ya VETA na Jeshi la Magereza, Wilaya ya Singida, ili kuhakikisha wafungwa wanapatiwa mafunzo ya muda mfupi ya ufundi stadi, ili wanapo maliza…
Botswana yatangaza dharura ya kiafya huku kukiwa na uhaba mkubwa wa dawa
Botswana imetangaza dharura ya kiafya huku nchi hiyo ikikabiliwa na upungufu mkubwa wa dawa na vifaa tiba. Uhaba huo umesababisha hospitali na zahanati nchini humo kuhangaika kutibu magonjwa kuanzia shinikizo…
Rais wa Rwanda akadhibisha ripoti zinazolihusisha jeshi na mauaji mashariki mwa Kongo
Rais Paul Kagame wa Rwanda amekadhibisha ripoti kwamba jeshi la nchi hiyo lilihusika katika mauaji mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
🔴MCHEZO SUPA:HII NI NGUVU YA BUKU!!!
🔴MCHEZO SUPA:HII NI NGUVU YA BUKU!!! : 26, AGOSTI 2025
Taarifa ya mwisho ya mkutano wa OIC yapinga mpango wa "Israel Kubwa"
Taarifa ya mwisho ya mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu imesisitiza upinzani dhidi ya matamshi ya kutowajibika ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kuhusu dira ya…
#HABARI:Polisi nchini Kenya wamethibitisha kumkamata mshukiwa mkuu wa kike wa vifo vya waumini wa mafunzo potovu, ambaye anasa…
#HABARI:Polisi nchini Kenya wamethibitisha kumkamata mshukiwa mkuu wa kike wa vifo vya waumini wa mafunzo potovu, ambaye anasadikiwa kutoroka wakati wa kukamatwa kwa awamu ya kwanza ya wafuasi wa Kanisa…
Uchaguzi Tanzania 2025: Wabunge wa CCM ‘walioanguka’ kura za wajumbe
5 Agosti 2025 Katika kile kinachoonekana kama mabadiliko ya upepo wa kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wabunge kadhaa waliokuwa wakitetea nafasi zao wamejikuta wakitemwa na wajumbe wa chama…
Iran yaapa kulipiza kisasi baada ya Australia kumfukuza balozi wake
Iran imeapa kuchukua hatua zinazofaa za kulipiza kisasi baada ya Australia kumfukuza balozi wa Jamhuri ya Kiislamu nchini humo kwa madai ya “chuki dhidi ya Wayahudi,” na kusisitiza kwamba vitendo…
Hatma ya Mpina urais mikononi mwa Tume (INEC)
Chanzo cha picha, ACT Dakika 21 zilizopita Hatma ya mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, ipo njia panda baada ya Msajili wa Vyama vya Siasa kutangaza kuwa uteuzi wake haujakidhi…
#HABARI: Kufuatia mauaji ya Mlinzi wa Soko la Ussoke, lililopo Wilaya ya Urambo mkoani wa Tabora, Bw
#HABARI: Kufuatia mauaji ya Mlinzi wa Soko la Ussoke, lililopo Wilaya ya Urambo mkoani wa Tabora, Bw. Nasoro Mgalula, aliyeuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Agosti 18. 2025, wakati…
#HABARI: Mgombea wa Ubunge Jimbo la Mbulu Vijijini kwa tiketi ya CCM Dr.Emanuel Nuwas amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo ka…
#HABARI: Mgombea wa Ubunge Jimbo la Mbulu Vijijini kwa tiketi ya CCM Dr.Emanuel Nuwas amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo katika Ofisi za Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo hilo na…
Mwandishi habari ajiuzulu Reuters akilalamikia hatua ya shirika hilo kuhalalisha mauaji ya Israel dhidi ya waandishi habari
Mpiga picha wa Canada, Valerie Zink, ametangaza kujiuzulu kutoka kwenye shirika la habari la Reuters, akipinga nafasi ya shirika hilo katika kuendeleza propaganda za Israel na kuhalalisha mauaji ya waandishi…
🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 26, 2025 – MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATENGUA UTEUZI MGOMBEA URAIS WA ACT
🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 26, 2025 – MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATENGUA UTEUZI MGOMBEA URAIS WA ACT
Dira Ya Dunia
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Source link
#HABARI: Bw.Lutengano Mwalwiba ambaye aliyeteuliwa na Chama cha mapinduzi kupeperusha bendera ya chama hicho kuomba ridhaa kwa …
#HABARI: Bw.Lutengano Mwalwiba ambaye aliyeteuliwa na Chama cha mapinduzi kupeperusha bendera ya chama hicho kuomba ridhaa kwa wananchi ya ubunge jimbo la Busokelo Mkoa wa Mbeya, amefika ofisi za msimamizi…
Mgombea wa chama cha Republican achoma Qur'ani ili kuunga mkono kampeni yake ya uchaguzi
Mgombea wa chama cha Republican wa kiti cha Kongresi huko Texas, anayejulikana kwa uadui wake mkubwa dhidi ya Waislamu amewakasirisha Waislamu zaidi ya bilioni mbili duniani kwa kuchoma moto nakala…
#HABARI: Kaya zaidi ya 400 katika Mtaa wa Kwa Kibosha, Kata ya Mapinga, Bagamoyo, mkoani Pwani, wameiomba Serikali kuingilia kat…
#HABARI: Kaya zaidi ya 400 katika Mtaa wa Kwa Kibosha, Kata ya Mapinga, Bagamoyo, mkoani Pwani, wameiomba Serikali kuingilia kati mgogoro wa ardhi katika eneo hilo lenye ukubwa wa takribani…
Uchaguzi Tanzania 2025: Mbio za kisiasa zaanza rasmi, je nini kitarajiwe?
Chanzo cha picha, CCM Maelezo ya picha, Wagombea tiketi ya urais na makamu wa rais kupitia CCM Rais Samia Suluhu Hassan na Dkt. Emmanuel Nchimbi. Maelezo kuhusu taarifa Author, Na…
#HABARI: Watumishi wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Mbeya, wameagizwa kwa wafungwa wote ambao wamejiandikisha katika daftari la kup…
#HABARI: Watumishi wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Mbeya, wameagizwa kwa wafungwa wote ambao wamejiandikisha katika daftari la kupiga kura, kuhakikisha wanapata haki yao hiyo ya msingi ya kupiga kura…
Israel: Maafisa wakuu wa jeshi wagawanyika kuhusu operesheni Gaza, watu wamiminika mitani
Maandamano makubwa yamefanyika nchini Israel leo Jumanne, Agosti 26. Waandamanaji wengi wameandamana katika maeneo mbalimbali nchini Israel wakipinga vita huko Gaza na kudai makubaliano ya kuachiliwa kwa mateka ambao bado…
Israel yashambulia katika Ukingo wa Magharibi
Jeshi la Israel limefanya mashambulio katika mji wa Ukingo wa Magharibi wa Ramallah hivi leo na kuwajeruhi watu 14 na kufanya uharibifu kwenye mji huo. Hayo yameelezwa na shirika la…
Putin atuhumiwa kufanya hila kutokutana na Zelensky
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz ameituhumu Moscow kwamba inaendesha kile alichokiita mkakati wa kuchelewesha hatua za kufikia makubaliano ya amani na Ukraine. Katika mkutano na Waziri Mkuu wa Canada Mark…
Serikali ya DRC na waasi wa M23 warudi Doha
Wajumbe wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa kundi la M23 wamerejea tena kwenye meza ya mazungumzo mjini Doha. Hayo yameelezwa na wajumbe hivi leo kufuatia…
Jeshi la Nigeria laokoa watu 76 waliokuwa wametekwa nyara, wamo wanawake na watoto
Maafisa wa serikali ya Nigeria wamesema, jeshi la anga limeokoa watu 76 waliokuwa wametekwa nyara, wakiwemo wanawake na watoto. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
Wanajeshi wanaofuata siasa kali wafukuzwa Bundeswehr
Tayari jeshi la Ujerumani limeshawafukuza wanajeshi 90 baada ya kuthibitishwa kuwa na misimamo ya siasa kali za mrengo wa kulia mnamo mwaka jana. Wizara ya ulinzi Ujerumani, ambayo ilikuwa ikijibu…
No Reforms No Election vs Oktoba Tunatiki: Kuzaa mwelekeo mpya wa siasa Tanzania?
Chanzo cha picha, x Maelezo kuhusu taarifa Author, Yusuph Mazimu Nafasi, Akiripoti kutoka BBC Dar es Salaam 10 Juni 2025 Kwa siku kadhaa sasa kuna sauti mbili zinazoshindana katika mdundo…
“Utumishi wa Umma unaozingatia viwango vya juu vya weledi, unaopatikana na kuendelezwa kwa kufuata misingi ya haki, umahiri na u…
“Utumishi wa Umma unaozingatia viwango vya juu vya weledi, unaopatikana na kuendelezwa kwa kufuata misingi ya haki, umahiri na utendaji bora ndani ya utumishi wetu wa Umma” – Mhe.Samia Suluhu…
#HABARI:Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma, wamejitokeza kumsindikiza Dkt…
#HABARI:Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma, wamejitokeza kumsindikiza Dkt.Juma Zuberi Homera, kuchukukua fomu ya kugombea Ubunge kwenye Jimbo hilo, baada ya kuteuliwa…
Ufaransa yakabidhi fuvu la mfalme Toera
Ufaransa leo imerejesha nchini Madagascar mafuvu ya watu watatu waliouwawa wakati wa enzi za ukoloni. Miongoni mwa mafuvu yaliyorejeshwa ni la mtu anayeaminika alikuwa mfalme wa Madagascar aliyekatwa kichwa na…
Mawaziri wakuu wa Canada na Ubelgiji wakutana na Merz
Akihutubia mkutano wa pamoja wa waandishi wa habari baada ya kukutana na kansela wa Ujerumani Friedrich Merz mjini Berlin, Carney amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa na fursa za malighafi na…
#HABARI: Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mafia mkoani Pwani Bwana Salehe Kikweo amefariki dunia asubuhi ya leo wakati ak…
#HABARI: Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mafia mkoani Pwani Bwana Salehe Kikweo amefariki dunia asubuhi ya leo wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Halmashauri ya Mji Handeni. Akithibitisha kutokea…
Ushawishi wa muziki katika jamii
26.08.202526 Agosti 2025 Muziki una ushawishi mkubwa mno katika jamii – ni sauti iliyo na nguvu isiyoonekana na inayogusa mioyo ya watu, kubadilisha fikra na kuleta mabadiliko ya kijamii kwa…
Uchaguzi Tanzania 2025: Mambo 6 muhimu ya kukumbukwa ya Bunge la 12 la Tanzania
Chanzo cha picha, Bunge Maelezo kuhusu taarifa Author, Na Yusuph Mazimu Nafasi, Akiripoti kutoka BBC Dar es Salaam 27 Juni 2025 Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…