Taarifa kwa Umma:
Taarifa kwa Umma: Ahsanteni na tunawatakia kila la kheri katika uchaguzi mkuu5 hakutakuwa na safari yoyote ya boti na meli. Huduma zetu zitarejea siku ya Alhamis tarehe 30/10/2025 kwa nyakati…
Taarifa kwa Umma: Ahsanteni na tunawatakia kila la kheri katika uchaguzi mkuu5 hakutakuwa na safari yoyote ya boti na meli. Huduma zetu zitarejea siku ya Alhamis tarehe 30/10/2025 kwa nyakati…
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Ruvuma limeongezewa nguvu kwa kupewa vifaa mbalimbali vya kukabiliana na majanga ya moto ikiwa ni sehemu ya kuliongezxea nguvu. Vifaa hivyo vyenye thamani ya…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametaka Umoja wa Mataifa kuwakilisha kwa dhati haki za mataifa yote, huku akilaani uchokozi wa Marekani na Israel dhidi ya Iran…
Waziri wa zamani wa biashara wa Ivory Coast, Jean-Louis Billon, amekubali kushindwa na Rais aliyepo madarakani, Alassane Ouattara, katika uchaguzi wa urais wa taifa hilo, kufuatia matokeo ya awali yanayoonyesha…
Mwandishi wa habari raia wa Uingereza anayejulikana kwa kuunga mkono Palestina amekamatwa nchini Marekani na shirika la Uhamiaji na Forodha (ICE), kufuatia shinikizo kutoka kwa makundi yanayoiunga mkono Israel.
Shirika la Kitaifa la Vipaji la Iran (INEF) limeandaa hafla maalum ya kuwatunuku wanafunzi 17 wenye vipaji na vijana waliotwaa medali za dhahabu, fedha na shaba katika mashindano ya kimataifa…
Mshauri mwandamizi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Dkt. Ali Akbar Velayati, amesema kuwa Iran, China na Russia, kama mataifa matatu huru yenye nguvu barani Asia,…
Tanzania sasa ina furaha baada ya Klabu zake zote nne kutinga hatua ya makundi ya mashindano ya...
🔴MEZA HURU: KAMERA ZA ULINZI ...OKTOBA 27, 2025
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameelezea wasiwasi wake mkubwa kufuatia kuongezeka kwa mapigano ya kijeshi mjini El Fasher, jimbo la Darfur Kaskazini, nchini Sudan.
Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa OHCHR leo imesema imepokea taarifa za kutisha kuwa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vinafanya ukatili wa kutisha, ikiwemo mauaji ya…
Wakati Kimbunga Melissa kikitarajiwa kuleta mvua kubwa na upepo mkali katika eneo la Carribea, takriban watoto milioni 1.6 wako hatarini, huku familia katika nchi za Jamaica, Haiti na visiwa jirani…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa wito kwa dunia na mataifa wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kusini-Mashariki mwa Asia, ASEAN kuchukua hatua za haraka kumaliza machafuko…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Masuala ya Wanawake UN Women, limeonya kuwa upunguzaji mkubwa wa ufadhili unavunja misingi ya mashirika muhimu yanayopigania kukomesha ukatili dhidi ya wanawake na wasichana.
Katika kaunti ya Mombasa nchini Kenya, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) kwa kushirikiana na wa Mastercard Foundation na Serikali ya Kaunti ya Mombasa, imechukua hatua za…
Ofisi ya Uratibu wa Misaada ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imeelezea wasiwasi mkubwa kufuatia ripoti za vifo vya raia na wimbi la wakimbizi wa ndani, kufuatia kuendelea kwa…
#HABARI: Aliyekuwa Meya wa Halmashauri ya Manisapaa ya Tabora na Mgombea Udiwani wa Kata ya Isevya Mkoani Tabora kupitia CCM Bw. Ramadhan Kapela, ametamatisha kampeni zake za kuomba kura, akiahidi…
Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema imekamilisha usambazaji wa vifaa vya kura zikiwemo karatasi za kupigia kura katika vituo vyote vya uchaguzi huku kesho Oktoba 28, 2025 kura…
Katika kukabiliana na hali ya kukatika kwa umeme mara kwa mara mkoani Mtwara, Shirika la Umeme nchini (TANESCO) limezindua mtambo wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi ili kuongeza Megawati 20…
Wataalamu wa mazingira kutoka nchi mbalimbali Afrika wameanza kikao cha kuandaa mkakati wa pamoja wa kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ambayo yameendelea kuchangia kuathiri nyanja mbalimbali za maisha…
Jeshi la Zimamoto na uokoaji Mkoa wa Mbeya limesema matukio ya majanga na ajali za moto...
#HABARI: Serikali kwa kushirikiana na wanaharakati wa kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya watoto jijini Tanga ikiwemo kuwaingilia watoto wao kinyume na maumbile,wameiomba jamii kusaidia kuwafichua baadhi ya wazazi…
Watu sita wamefariki dunia na wengine wanane kujeruhiwa mkoani Mara katika kipindi cha miezi...
Katika dunia ya sasa, urembo wa mwanamke haupimwi tena kwa vipodozi vya bei ghali au mavazi ya...
Msanii wa R&B na Bongo Flava, Khery Sameer Rajab 'Mr Blue' ameelezea namna anavyofanya...
Katibu wa Itikadi, Siasa, Mafunzo na Uenezi wa Wilaya ya Tanga, Kipanga Salim Juma, ametoa tathmini ya kampeni zilizofanyika katika Jimbo la Tanga, akisema chama kimefanya kazi kubwa ya kuwasilisha…
Serikali mkoani Mara imeliagiza Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani humo kufanya ukaguzi katika majengo ya serikali na majengo yanayoendelea kujengwa ili kubaini usalama wa mifumo ya kupambana na majanga…
Dar es Salaam. Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati na Kusini (ECSA-HC) na Jukwaa la...
Bongo ukiachana na viongozi wa serikali na sekta binafsi, wasanii wanaongoza kwa kuwa na...
Mshauri wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa wa kina uhusiano wa kihistoria na mzuri uliopo kati ya Iran na China na kusema: "Uhusiano wa nchi hizo mbili una…
Meneja wa kituo cha uzalishaji umeme cha mradi wa Rusumo, Mhandisi Patrick Lwesya amesema zaidi ya tani 10 za magugu maji yamedhibitiwa kwa kuvunwa katika mradi huo na kutumika kwa…
NBC Premier League Jumapili hii. Mnyama Simba SC atakuwa dimba la Benjamin Mkapa akiwakaribisha matajiri wa jiji, AzamFC. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 11:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.…
Haya yamesemwa ikiwa zimebaki siku mbili kabla Watanzania kwenda kupiga kura kumchagua Rais...
Mjini Youtube kuna tamthilia moja matata. Ni moja ya tamthilia iliyofanikiwa kuteka nyoyo za...
Moto wa burudani ya soka ndani ya Kisimbuzi chako cha AzamTV unaendelea wiki hii. Yanga SC, Simba SC, AzamFC na Singida BS baada ya uwakilishi kimataifa sasa wanarudi nyumbani kwenye…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Wilson Mwita Charles, mwenye umri wa miaka 53, mkazi wa kitongoji cha Burunga Kata ya Uwanja wa Ndege Wilaya ya Serengeti Mkoa…
Divine Makanda, mateka wa kike aliyekuwa anashikiliwa na waasi wa Mobondo katika eneo la Kwamouth, kwenye Wilaya ya Mai-Ndombe nchini DRC ameachiwa huru hapo jana Jumapili ikiwa imepita miezi sita…
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kutoka Wakala wa Mabasi Yaendeyo Haraka (DART), William Gatambi amesema kwa kipindi hiki cha matazamio njia ya Mbagala, mabasi yaliyopo yanatosha na huduma za mwendokasi…
Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Gloria Shayo ameeleza namna atakavyotekeleza ahadi zake kwa wananchi wa jimbo hilo, ikiwa ni pamoja na suala la miundombinu bora, kuhakikisha sera ya elimu bure…
Hii ni rekodi mpya kwani tangu Tanzania ianze kuingiza timu nne katika michuano ya CAF ngazi ya...
Nyota wa zamani wa Liverpool, Jamie Carragher amesema anaamini kuna matatizo ndani ya timu hiyo...
#HABARI: Wasimamizi wa uchaguzi katika Jimbo la Kigoma Kaskazini wamewataka wapiga kura katika jimbo hilo kuhakikisha wanapiga kura kwa amani na kuwa na imani na vyombo vilivyowekwa kusimamia uchaguzi huo…
Azam FC wametinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la CAF baada ya ushindi wa jumla wa...
Usifanye mchezo na damu ya mswahili, baada ya miezi mitano ya kuwa na uhusiano kati yake na Muddy, Linnie alipatwa na mabadiliko makubwa ya mwili. Hali yake ilibadilika na kuonekana…
Baada ya picha zake kusambaa mitandaoni akiwa amevaa nguo sare na aliyowahi kuonekana ameivaa...
Imechapishwa: 27/10/2025 – 09:46Imehaririwa: 27/10/2025 – 09:47 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata Watanzania wanatarajiwa kupiga kura, Oktoba 29, kuwachagua madiwani, wabunge na rais, katika uchaguzi…
Baada ya ukimya wa muda mrefu, msanii wa Bongofleva, 20 Percent ameibuka na kusema hajarogwa...
THBUB Imewataka wadau wote wa uchaguzi kuhakikisha upigaji kura unafanyika katika mazingira ya...
Ally Salim Ngwando siyo jina dogo licha ya mwenye jina kuwa na umbo dogo akiwa na uzito wa kilo...
🔴KONGAMANO LA AMANI, OKTOBA 27, 2025